Wafahamu Nyoka 4 Hatari na wenye sumu kali zaidi wapatikanao Tanzania

  Рет қаралды 88,509

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 178
@mtwaracity9254
@mtwaracity9254 2 жыл бұрын
Daah sky yaani hizo punchline zako unazopiga pindi unapotamka hayo majina ya sumu ya hao nyoka sio poa man it's crazy and amazing,keep doing a good job bro bravo😃
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 2 жыл бұрын
Subhanallah mwenyezi mungu atunusuru na viumbe Hawa hatareee
@khadijakhamisi3450
@khadijakhamisi3450 2 жыл бұрын
Inshaallha 🙏
@subzeroflows1974
@subzeroflows1974 2 жыл бұрын
MUNGU hawezi kukuepusha nao na wakati duniani ndo nyumbani kwao,sasa ni wew fanya juhudi ujue ni namna gani ya kuwakabili viumbe hatari kama hawa
@msokile
@msokile 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana...Jamaa naamini kwa kipawa ukichonacho utasaidia sana kutusimulia mambo mengi ya nchi yetu.
@ummySheikh72
@ummySheikh72 2 жыл бұрын
Subhannallah mungu atuepushe na shari ya nyoka na wadudu woote wenye sumu na hatari! Tutakufa na mauti yote mabaya basi Mungu tupe Mwisho ulio mwema ya Allah! Tunaomba msaada utokanao kwako na hivi viumbe ulivyo viumba.🤲🙈
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
Allahumma Ameen
@mteicosmas
@mteicosmas 2 жыл бұрын
Moja ya makala Bora zaidi endelea kutuelimisha hii ni elimi kubwa sana kwa Raia
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Hizi ndio story tunazozitaka...zinaelimisha jamii...sio zile za yule bibi kizee na mshamba wa mademu. Na unavyosimulia bro.yaani ni kama upo darasani na wanafunzi..safi sana...sauti yako na matamshi ni ya kipekee Thus the real definition of simulizi na sauti....keep it up
@Dawah99
@Dawah99 2 жыл бұрын
Sky aka Anakin Skywalker, nakukubali sana. SNS to the Galaxy 🌌. All the way from England.
@ericklaura7511
@ericklaura7511 2 жыл бұрын
Keep it up #sky #walker , what a very cool documentary🙏
@abelbest4984
@abelbest4984 2 жыл бұрын
Mnpofika mashamban au polini zipo njia mbaimbal zakuwafukuza nyoka kitaalam .1 kumwaga mafuta ya taa ;harufu yake uwakera nakuhama haraka 2.kuchoma matairi uwafanya wasindwe kupumua na kukereka na harufu hivyo nyoka ukimbia mbal na eneo hilo
@sirvesterndahani5638
@sirvesterndahani5638 6 ай бұрын
Hakuna dawa ya kutibu uki ngatwa na nyoka yoyote
@EricaSumary
@EricaSumary 3 ай бұрын
​@@sirvesterndahani5638 I0😅mkkookl
@EricaSumary
@EricaSumary 3 ай бұрын
​ Ml
@cchimodzi3858
@cchimodzi3858 2 жыл бұрын
kifutu anatabia ya kukaa sana kwenye mashamba ya mpunga hasa baada ya kuvuna... kazi nzuri sana 👏👏
@aishaally4831
@aishaally4831 2 жыл бұрын
Kanipa kilema cha mguu mpaka leo
@jasminetarimo6952
@jasminetarimo6952 2 жыл бұрын
@@aishaally4831 jamani pole kipenz pole sana
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 5 ай бұрын
​@@aishaally4831pole aisha
@RizikiMbembela-b6h
@RizikiMbembela-b6h 2 ай бұрын
Pole bwana
@jameswisdomtz8580
@jameswisdomtz8580 2 жыл бұрын
Kazi nzuli kabisa Nawakubali sana kwa story za ukweli
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Naangalia kwa bashash ila bady hat choon siend ila asnt sana sky walker kwa hii makal nzuri yeny mafunzo
@swaiseif2989
@swaiseif2989 4 ай бұрын
Mintaota kbsaa nikiangalia hiv😂😂😂😂
@nestinaviolachemba7914
@nestinaviolachemba7914 2 жыл бұрын
Mjomba angu aling'atwa n kifutu mguuni, alipoteza vidole vinne vilioza yani. Ni nyoka hatari sana.
@ndiiyolazarolemoloo2164
@ndiiyolazarolemoloo2164 2 жыл бұрын
The best voice God bless you🙏
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 2 жыл бұрын
Even me I like it
@mariabarhe8985
@mariabarhe8985 2 жыл бұрын
Huyo nyoka Puff header nilikutana nae kidogo nimkanyege nyoka ambye sijawahi kukutana nae katika maisha yangu ni Mungu tu maana nilikuwa natembea kwa kuangalia mbele niangalia pembeni xdhani kama ningekuwa mzima kwa sasa
@beb3034
@beb3034 2 жыл бұрын
Sky ulivyoanza kumtaka hiyo Blaaack mamba🙌🙌
@bunditz8477
@bunditz8477 2 жыл бұрын
Am Tour operator/ guide......yote uliyosema ni kweli tunakutana nayo sana tukiwa porini
@camilahazal7119
@camilahazal7119 2 жыл бұрын
Kenya pia hawa wengi sana uliza wamaasai wanao chunga mifugo
@emmanuelmsuya8578
@emmanuelmsuya8578 Жыл бұрын
Thanks for story
@danielmkama24
@danielmkama24 2 жыл бұрын
Nimeipenda hroh 👏👏
@martingeorgenzali5614
@martingeorgenzali5614 2 жыл бұрын
Kwel We Brother Upo Na Sauti Konk Xana Katka Utangazaji...Fireeeeeeeeee
@santosclementemateusmateus7048
@santosclementemateusmateus7048 2 жыл бұрын
Asante sns mubarikiwe ❤️🇲🇿
@EliZedek
@EliZedek 10 ай бұрын
Mungu atusaidie🙏
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 жыл бұрын
Bro sky samahani kwa kukucorrect Hypertension means 'high blood pressure', while Hypotension means 'low blood pressure'.
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Audhubillahi mina shaitwani rajim hasbunn'Allahi wa neema al wakkin sipendi nyoko na sipendi hata kum ona kwenye picha hata kwenye TV hivi tu nime ziba na mkono kwenye sim naskiliza tu si angalii nafunuwa kidogo kidogo unapo fikia kuitaja eti hii iko hivi😣
@shihume256
@shihume256 2 жыл бұрын
Lakini nimefikiriaaaaa nikaja kugundua mwenyezi MUNGU anatulinda sana jaman
@hassanshabankombo423
@hassanshabankombo423 Жыл бұрын
Kweli
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Pamoja sana Mwamba, umeua sana💪🙌
@mrjohn4446
@mrjohn4446 2 жыл бұрын
Uyo wakijani nilimkuta ndani ya nyumba nikamuuwa, anaspeed ndefu sana anatambaa kwakunyanyua kichwa
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
Duh hakukuattack?
@mrjohn4446
@mrjohn4446 2 жыл бұрын
@@mrsliverpool4235 apana , nilimwagia mafuta ya taa kwanza akawa anaweweseka kwenye tiles kama anaungua , ndonikamponda na jiwe kwenye kichwa
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
@@mrjohn4446 hapo Sawa maana bila mafuta huyo nahisi mungekufa nyote.. Ila mafuta taa yanasaidia sanaa hata oil chafu
@mrjohn4446
@mrjohn4446 2 жыл бұрын
@@mrsliverpool4235 ila hivi viumbe vina akili sana na vinajua kuhisi hatari na kutafuta namna yakujificha
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
@@mrjohn4446 duh mimi na waogopa hatari
@wolfdjmovies
@wolfdjmovies 2 жыл бұрын
Black Mamba
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Жыл бұрын
Bra sky you remind 20 years back time i was Tanzania Arusha place there calling RANDANAI one day june 2001 in mine there i meat this kindy of snake Black mamba bra i don't want to remember that day i was have bucket of water i was fill urine is coming but i didn't take any actation that look me and Disappeare bra
@Ndaizee
@Ndaizee 11 ай бұрын
Hiyo "puff' utanialibia radio unaitamka kwa kishindo sana
@jumannerajabu1356
@jumannerajabu1356 2 жыл бұрын
mambo niyasisi wanashamba uyo tunamkmata na fresh2
@frenzylyrics2390
@frenzylyrics2390 2 жыл бұрын
the best voice over ever SNS
@SilahMirambo-lp3wd
@SilahMirambo-lp3wd 5 ай бұрын
Noma San kaka uko vzr
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 2 жыл бұрын
Mimi tu hapa kwa picha nimeshindwa kumalizia kuwatizama nawaogopa mno
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 5 ай бұрын
Punguza uoga
@mariabarhe8985
@mariabarhe8985 2 жыл бұрын
Watu wa tabora hawawezi kumsahau koboko huyo nyoka inatesa sana watu tabora duuh
@jeybullaz9323
@jeybullaz9323 2 жыл бұрын
"nakuumwa na mtoto wa KIBOKO nihatar mbaya vile vile"😂umechapia kidogo bro #sky But nimejifunza mengi ktk makala hii,,, You are the best kwenye hiz staff 🎤📻📺
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 жыл бұрын
Kiboko wa majini.
@JosephMaroa-rg5qd
@JosephMaroa-rg5qd Жыл бұрын
Habar ukiota nyoka mkubwa sana na huyo nyoka anaishi ndan ya shimo kubwa lakin watoto wake wako nje ya shimo na huyo nyoka mkubwa akawaananiongelesha nakusema usipita hapo niatar hyondoto inamaana gan😢😢😢
@hassansawasawa6753
@hassansawasawa6753 2 жыл бұрын
Hawa nyoka wakijani wapole San aisee ila ukiwachokoza wakachukia mamae utajua balaa lao alaf wanang'ata mara 3 fasta fasta, ila niwapole San namarang wanakaa wawiliwaili wanapend kweny miti
@johnmataba6875
@johnmataba6875 Жыл бұрын
Nyoka atambae nyoka nahamba
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
MUNGU ATUNUSUSURU KWAKWELI 😭🤲🤲mininavyoopgopa nyokanjamani
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Huyu nyoka yupo kwetu kwenye mpera ila humuoni KILA siku na huwa anakaa anakuangaliatu ukishtuka ukimuona anakimbia huwa hatumgusi wala kumpiga
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 2 жыл бұрын
Noma sana na mjua vyema sana uyu koboko
@ashamkwawa5793
@ashamkwawa5793 Жыл бұрын
Nilikutana na koboko macho Kwa macho nikaitafuta kuni peke yangu alifunga break miguuni na akaondokaa mpaka Leo sijinsahauu
@apple9711
@apple9711 2 жыл бұрын
Bona hawa green mamba wanakaa chem chem na huwa hawana shida
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Makala nzuri sn
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 2 жыл бұрын
Green mamba na black mamba wakikung,ata humalizi dk tano wanatisha sana
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Duh mwili wote unakosa nguvu nyoka namwogopa sana
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 жыл бұрын
Mm cnaga ukalibu na Hawa viumbe wakjaa kwny 18 zangu napga
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
...sky...
@novusengineering_tz4523
@novusengineering_tz4523 2 жыл бұрын
Mbna tunatishana sky😂😂😂😂
@augostinopaul3601
@augostinopaul3601 2 жыл бұрын
#SnS to the world
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Heee Mungu tuepushe Sisi nawatoto wetu Na uyu Munyama muchafu
@patricksounda9993
@patricksounda9993 2 жыл бұрын
Nisha wagonga vichwa Hawa sana hawaniwezi na hawataniweza kabisa😄😄
@sirjoel6802
@sirjoel6802 2 жыл бұрын
Mzee umetsha nmecheka hatar mungu atunusulu na hawa viumbe wabaya lkn hata mm najisikiaga amani nikimuua nyoka huwa nafulah nkmbonda kchwa
@nyikaboychannel7089
@nyikaboychannel7089 2 жыл бұрын
Tuko wengi
@soundmale
@soundmale Жыл бұрын
Akikuotea ndo utajua konzi yake moja inaua😁😁😆😆
@janetshao6423
@janetshao6423 4 ай бұрын
Mungu tu ndio atulindaye😢
@Martin-uh6nf
@Martin-uh6nf 5 ай бұрын
Nyoka hao wapo wakubwa
@jacksonmishwaro9671
@jacksonmishwaro9671 2 жыл бұрын
Unavyoitamka hiyo " Puff" sasa....yaani hadi earphone imekufa
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 жыл бұрын
😅😅
@Tanzanian395
@Tanzanian395 2 жыл бұрын
😂😂😂😂eti imekufa mimi sns sjui niwape zawadi gani mpo juu sana
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 2 жыл бұрын
Jamn huyuu koboko kijani aliingia ndani jamn uwiiii sisahau nilikua nimelala ndani kila nikitaka kulala roho haitakii kila nikitaka kulala roho haitaki nikawa nimelala mwisho wa kitanda huku naangalia juu mana naona kitu kinakuja kwa kasi yaani nilivyoo kurupukaa nilichanganyikiwaa mpaka mwili.ulikufaa ganzi nilikua nalia kama nimechanganyikiwa wee watu walivyokuja kumtoa ni nyoka mrefuu afu mwembamba huwezi amini alikua mkalii mnoo
@jasminetarimo6952
@jasminetarimo6952 2 жыл бұрын
Utanifanya nisiende kijijini kwetu jamani mm uwiiiiiii
@owenmutale8686
@owenmutale8686 2 жыл бұрын
Leo wa kwanza
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 жыл бұрын
Ila mm binafsi nawakubali Sana Hawa viumbe
@saidnasibu5803
@saidnasibu5803 2 жыл бұрын
Kifutu ni hatari sana ila unapo mkanyaga yye uamini hauja muona ssa hana haraka yaku shambulia mtu ila utakapo mkwaa ama kumsukuma hapo ndio utajua haujui.
@soundmale
@soundmale Жыл бұрын
Kwa maelezo anatisha kweli huyo kiumbe lkn mm nikimuona simuachi lzima nimuuuue maana nitakuwa nimesaidia watu wengi.. Lkn akiniotea konzi yake moja tu sijui kama nitaiona kesho😁😁😆😆💪🏿
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 2 жыл бұрын
.Nacheza nao kila cku
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 2 жыл бұрын
Umetisha sana mzee🤝
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 2 жыл бұрын
Tutaftie na dawa zake uking'atwa maana naogopa Kuna rafiki yangu aling'atwa kidonda hakiponi😭
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 5 ай бұрын
Huyo ni kifutu
@nurudinmwakisale1509
@nurudinmwakisale1509 Жыл бұрын
Jamani mm uoga atar
@producerscommunity8509
@producerscommunity8509 2 жыл бұрын
Huyo green mamba nimewah kuwashika niwapole sana
@dixminderjngao1056
@dixminderjngao1056 2 жыл бұрын
kipindi cha makala umekiwezea saut imetulia sana inashawishi kuendelea kusikiliza
@japhetlust5050
@japhetlust5050 2 жыл бұрын
Ata mm nakubar
@petermasanilo732
@petermasanilo732 2 ай бұрын
Ng'hobhoko hatari sana huyu
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Puff eder ndie nyoka mwenye sumu kali kuliko nyoka wote
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
Nyoko yeyote utamwacha ukiwa kwenye barabara bila majani na kwenye majani atakushinda ila kwneye ardhi bila majani utamshinda tu.
@rostaduccibilly9046
@rostaduccibilly9046 2 жыл бұрын
Cytotoxin(myotoxin) is for the cell/tissue not abnormal bleeding, Abnormal bleeding is for Hematotoxin poison, and bleeding can not cause hypertension but hypotension and it can end up with hematological shock. UMEJITAHIDI
@glorymtinangi8002
@glorymtinangi8002 2 жыл бұрын
Anajua sana
@mrishonasry4779
@mrishonasry4779 2 жыл бұрын
Broo sauti nzr xn hongera umetumia sauti yako original cyo km wengne wanakuwa wanaiga saut t mwisho wanampa ujiko mwanzilishi
@saddybrezzy9777
@saddybrezzy9777 2 жыл бұрын
Mwanangu SKY 👑
@rashidramadhan
@rashidramadhan Жыл бұрын
wanaishi kwenye mapago sio kwenye miti au sehem yenye utulivu ambapo hapatiti kitu chote
@hamedabashir9
@hamedabashir9 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭Allah tu linde waja wako 😪😪😪😪
@jumahamis227
@jumahamis227 2 жыл бұрын
Ila king cobra Tanzania hayupo si tuna cobra wa kawaida, king cobra wapo sana bara la asia, na cha ajabu king cobra ni kiumbe kinachojua kama chenyewe ni hatari hashambulii mtu hovyohovyo unless awe anaona yupo hatarini.
@vedastusmanumbu9780
@vedastusmanumbu9780 2 жыл бұрын
Hivi GreenMamba sio Hawa tunaowaita nyoka wa kijani,,,, nisaidieni
@cr7tz770
@cr7tz770 2 жыл бұрын
We ni nyoka wakijani lakini niwaoga sana
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 жыл бұрын
Nafikiri wako tofauti, lakini sina hakika, maana tumezoea kuwaita kibisa.
@allymagati949
@allymagati949 2 жыл бұрын
nyoka wakijani wapo waaina 3, aina 2 wanasumu na aina moja haina sumu kabisa
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
Huyo wa kijani ubaya wake huning'inia kwneye miti na anagonga shingoni au kichwani kifutu ni mpole sana na hupenda maeneo ya joto.
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 жыл бұрын
Hata wakijani, ni nadra sana kun'gata wengine humuita kibisa.
@abrahmanabdallah8479
@abrahmanabdallah8479 2 жыл бұрын
Mii namuopa nyoka na akinitoke ghafla naweza zumia
@lewissvictor8930
@lewissvictor8930 2 жыл бұрын
Hujamuelezea vizur kobogo wewe, nihatar sana , na anaishi miaka mingi tu zaidi ya hiyo uliyo elezea , akikua sana hua anatoa sauti kari sana na inaenda umbali mlefu sana
@luckstarmunuo9584
@luckstarmunuo9584 Жыл бұрын
Kwel kbs huyo bro, huyo koboko kuna vitu vitakuwa havipo kwenye research yake. Kwanza ana sauti ya kelele sana nyakati za usiku. Niko TAWA na huwa nawasikia sana nyakati za usiku.
@hamisalfan9150
@hamisalfan9150 2 жыл бұрын
awa nyoka wote nimewahua sana udizungwa kepind ichoo
@queentoto3878
@queentoto3878 2 жыл бұрын
Nakumbuka nikiwa na miaka 9 tuliwahi kwenda shamba niliona ki2 cheusi kina meremeta sana nikaanza kuitishia na kuipiga na Finbo lakin ili ni wahi ikani temea mate machoni niliumia sana nilihisi kama kichwa kinataka kupasuka lakin nilikuwa na babaangu akani akani usha uso na kunipata mafuta yamu gando kisha wakani wahisha hospital alihamdulillah nilipona macho mpka leo naogopa hata kwenda mashabani
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 жыл бұрын
Duuh! Pole sana aisee
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Hata macho yavyo sipendi kuyaona😩😣
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Kunawatu wanawaita wenzao waoga kwa kukimbia nyoka 😂 🇹🇿🇬🇷
@MuslimChannelTZ
@MuslimChannelTZ 2 жыл бұрын
Allah Akbar
@jumahamis227
@jumahamis227 2 жыл бұрын
Ila anapokushambulia sio kwa kukusudia ila ni kwa kujihami, biolojia imeshamtengeneza kutuhofia binadamu pia.
@merryabiaza711
@merryabiaza711 2 жыл бұрын
Duuh mungu tusaidie utulinde na hivyi viumbe
@swaiseif2989
@swaiseif2989 4 ай бұрын
Wakijani jmn nilikua napishana nao porin wakt naenda kukta kuni alinipita shwaaaaa
@christianmansoor3015
@christianmansoor3015 7 ай бұрын
by the way Black Mamba sio Poisonous kuliko King Cobra
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Koboko blaaack mamba ni hatari
@diyaosman6268
@diyaosman6268 2 жыл бұрын
SNS🔥
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 2 жыл бұрын
Serekali itusaidie kuuwa hawa takataka mbona wana waacha na wanasema eti Ni maliasili hatuwataki huku kwetu buza wameja wanagonga watu mara kwa mara
@sirvesterndahani5638
@sirvesterndahani5638 6 ай бұрын
Kwani hakuna dawa ya kutibu hata uki umwa nanyoka yoyote dawa iwe1 kama kuna mtu anajua naomba jibu ndugu zangu
@arafatimkwizu7554
@arafatimkwizu7554 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@harrsmgaya8141
@harrsmgaya8141 2 жыл бұрын
Dah sky ume gusa pale ninapo pataka
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Alaah huyu nyoka wa kijani kashawahi kuniangukia kwenye tumbo nilikua na mimba , mama angu akanambia nisiwe na wasiwasi maana nilikua hatakulala siwezi kwa kuogopa , kumbe anasumu Kali Dah 😥.
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 жыл бұрын
Pole jamani
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 жыл бұрын
Huyo nyoka wa kijani,hupenda sana wanawake.
@ZaharaHassan-e8s
@ZaharaHassan-e8s 9 ай бұрын
​@@johnkiimbila6799 Tena hupenda wanawake?. Na wale nyoka wa kijan wa kwenye minazi ndo hao au
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
Cobra 🐍 niliua sana kifutu kiboko na kifutu.
@camilahazal7119
@camilahazal7119 2 жыл бұрын
Nimempatia Black mamba tasee Kenya wacha tu kama maji ya mafuriko ya kazi
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 2 жыл бұрын
Jamani mimi navyo ugopa nyoka mungu ayu epushe naivi viumbe😭😭😭
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
Allahumma ameen
@timochazze9845
@timochazze9845 2 жыл бұрын
Duuuu ni hatari sana
Physics Club September 23, 2024
1:06:29
Yale Physics
Рет қаралды 3,9 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
DANGER: Wajue NGE 6 hatari na wenye SUMU kali zaidi duniani
18:57
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 15 М.
Ijue Mito 6 yenye kina kirefu na hatari zaidi duniani
9:42
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 77 М.
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН