CAMP 14: GEREZA hatari la KIFO la Korea Kaskazini, MFUNGWA aliyetoroka asimulia mambo ya kutisha

  Рет қаралды 161,830

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

#Makala360 hii inakupa mkasa wa matukio ya kweli ya kusisimua ya mwanaume pekee na aliye hai mpaka sasa aliyefanikiwa kutoroka katika gereza hili hatari zaidi duniani. Haikuwa rahisi, inatisha na kusisimua. Tega sikio mpaka mwisho kujua mengi kuhusu Camp 14, gereza la kijeshi huko Korea Kaskazini ambalo kwa hakika si mahali salama pa kujikuta ndani yake

Пікірлер: 131
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Braza una saut nzur xana ya kusimulia Hadith love 💕! Gonga like Yako kama unamwelewa hyu broo!!
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv Ай бұрын
Hiyo sheria ya Vizazi vitatu nimeipenda ❤❤❤❤❤siku wakimtia mkononi mwao tena sijui ni kitamkuta😥😥😥😥🇨🇳
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 Жыл бұрын
Nmeanza kua mfuatiliaji mzuri wa hii makala 💥💥🙂🙂 Bravo 👏
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Subhanallah Uwiiii 🥺🥺🥺🥺Daa sidhani km atakuja kuwa sawa tena psychology because since amezaliwa. SNS big up
@Arrestgptucomedy
@Arrestgptucomedy Жыл бұрын
Locked from Kenya nimependa makara kama hizi plz do more research my favorite Media
@jameswisdomtz8580
@jameswisdomtz8580 Жыл бұрын
Makala nzuli sana yenye mafunzo katika maisha ya sasa
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Wa kwanza nipeni like 😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Sky unajuw mpk unaker 🙏🙏 Kwa hii makal Safi 360
@rashidbakar1322
@rashidbakar1322 Жыл бұрын
Have been waiting for this for couple days …. Thanks sky 👊
@tatutumbi4640
@tatutumbi4640 Жыл бұрын
Ahsante kwa makala hii. Duniani kuna mambo ya kutisha. Shukran 🙏
@sandraechiveraya8570
@sandraechiveraya8570 Жыл бұрын
This is awesome sky your gorgeous at this your narrative is ✌️✌️on point
@mustafabakari2919
@mustafabakari2919 Жыл бұрын
Nakukubali sana kaka
@IdrisaMussa-sm6tb
@IdrisaMussa-sm6tb Жыл бұрын
Kiukwel spend kukoment lkin napenda sana makala yako na sauti yako hongera sana kaka kwa uelewa wako na huyumbi Wala kusitasita katika usimuliz wako ahsante
@mcno1noah
@mcno1noah Жыл бұрын
Nawakubali Sana sns kwenye makala 360 na hiki ki sound Cha background nimekuelewa Sana makala inakua na laza
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
Mungu ampe maisha marefu sana ahin❤️🙏🙏🙏
@GiftAbduly
@GiftAbduly 11 ай бұрын
Ila huyu rais wa korea kaskazin na yule wa Russia n wamba waheshimiwe🙌
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 11 ай бұрын
Makala zenu zinamvuto. Hongeren kwa ubunifu
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Mwamba unajuwa sanaaa
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 Жыл бұрын
Hii sauti inafaa sana kwenye simulizi
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Mtangazaji nimekukubari uko vizuri kwa sauti yako hongera sana kwa utafiti wako.
@muslihelpapel8754
@muslihelpapel8754 Жыл бұрын
Sky walker the TOP engine❤️
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 Жыл бұрын
Sns bwana sky saut nzuri 👊👊👊👊
@Jaycollection
@Jaycollection Жыл бұрын
Bravo 👏🏾👏🏾👏🏾
@fredymushy9674
@fredymushy9674 Жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa 360 pamoja
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Жыл бұрын
I loooooooov this
@josephk90
@josephk90 Жыл бұрын
Speechless!
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Daah ila kuna watu wana roho ngumu sana unawasha mkaa kwenye mwili wa binadamu.
@stellajohn5647
@stellajohn5647 Жыл бұрын
😢
@stanleymartin2943
@stanleymartin2943 Жыл бұрын
Watu wanateseka sana ktk dunia hii sio poa
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Жыл бұрын
Duuuh nouma saana 🙌🇶🇦
@mustafabakari2919
@mustafabakari2919 Жыл бұрын
Nakujubali sana kaka
@belzylucas7275
@belzylucas7275 Жыл бұрын
Sky me napenda sana simulizi zako
@zainabumnamba8526
@zainabumnamba8526 Жыл бұрын
Nashukuru sana kuzaliwa Tanzania ♥️♥️
@abdullahaldarae1523
@abdullahaldarae1523 Жыл бұрын
Unadhani tz ndio magereza Yao mazuri
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 7 ай бұрын
​@@abdullahaldarae1523hamna anachoelewa siku afanye makosa then aende lupango harafu atuambie
@strong8534
@strong8534 Жыл бұрын
Thank you Sky
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
Ndiyomaana hata superpower wanamuogopa mtukwaoyuko.nauzalendo Kwenyenchiyake daimambele nyumamwiko.
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Hiyo ndiyo Korea Kaskazini. Shetani wa dunia.
@shoshifataki5825
@shoshifataki5825 Жыл бұрын
mze wewe unaweza sana kaka 👊👊😊
@LAUWONICHOLAUS
@LAUWONICHOLAUS Жыл бұрын
Sky 🌌 walker unatisha sana Big up
@aminaali792
@aminaali792 Жыл бұрын
Asantee kaka Sky🫶🏼👌🏼
@rgmoussa
@rgmoussa Жыл бұрын
namba uno
@aisha_mohammed5825
@aisha_mohammed5825 Жыл бұрын
Love this content ❤️❤️❤️❤️❤️
@goodluckjackson1777
@goodluckjackson1777 Жыл бұрын
SNS on fire 🔥 🔥 🔥
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Жыл бұрын
Subhanallah
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Жыл бұрын
sounds good
@GodfreyRichard-v4f
@GodfreyRichard-v4f 20 күн бұрын
Sns iko juuu kama kilimanjaro
@chefdrew4760
@chefdrew4760 Жыл бұрын
tupo makini sana
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 Ай бұрын
Genius
@danielafernado6767
@danielafernado6767 Жыл бұрын
Waaaaah!! Nsawa
@premier47
@premier47 Жыл бұрын
Siku moja natamani uelezee undan wa dark web nakuomba sana
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 Жыл бұрын
Jamal kaelezea mtafute
@ajoseph31
@ajoseph31 Жыл бұрын
Hakika tunaishi kwenye nchi yenye amani, na uhuru
@AbdulSalim-wu8wo
@AbdulSalim-wu8wo Жыл бұрын
Asante
@rgmoussa
@rgmoussa Жыл бұрын
namba1
@mkiawachui6449
@mkiawachui6449 Жыл бұрын
Sauti nzuri
@sulwajackson6906
@sulwajackson6906 Жыл бұрын
Nimeogopa sana
@maila561
@maila561 Жыл бұрын
let support you bro
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Hawana hofu ya Mungu hao😰
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Hawaabudu,,hakuna dini huko
@jaymbawal249
@jaymbawal249 Жыл бұрын
Ñàķùbãľ bľøøď 🔥🔥🔥🔥una jua sn
@braynbreezyoficial666
@braynbreezyoficial666 Жыл бұрын
Iyo makala inata kuendana na mov moja ya kihindi inaitwa deewar ya mze wakaz amithabachan
@triplea_pilot9938
@triplea_pilot9938 Жыл бұрын
Tuwache hemu
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Heee!
@amdunially4096
@amdunially4096 Жыл бұрын
Woooooowwwwww
@marthageorge5043
@marthageorge5043 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@salamakombo3257
@salamakombo3257 Жыл бұрын
Daaah
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao Жыл бұрын
Asante Mungu Kwa maisha
@mbogolokushaha7782
@mbogolokushaha7782 Жыл бұрын
Guantanamo, mauaji Libya, Afghanistan, Iraq nk
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Жыл бұрын
Hii media ina madini hadimu ubarikiwe sky walker
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Жыл бұрын
Mimi na nyie pamoja sana nawapenda
@OmanOman-ry5gw
@OmanOman-ry5gw Жыл бұрын
Brother ila nin mm hiz za korea kaskazin nisha zirudisha zaid ya mara tano zote mbil zilete nyengin mbon nizur
@daktariwakienyeji
@daktariwakienyeji Жыл бұрын
🙏
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Mungu ni mkubwa!
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Жыл бұрын
Kwetu liletwe
@abuukamugisha5994
@abuukamugisha5994 Жыл бұрын
Duh, vizazi vitatu🤔
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Mmmmh😳😳😳
@user-uz8kp6je6m
@user-uz8kp6je6m 10 ай бұрын
Mbona america hawaongelei guantanamo bay
@patrickkwibe4431
@patrickkwibe4431 8 ай бұрын
inatisha sana😅😅
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Unamzaa mtoto jail,,anafanya ndio iwe sababu ya mama kuuliwa,,duh
@chi12547
@chi12547 Жыл бұрын
Sahii ukifunguwa mipaka ya North Korea, within 1 month only, nnchi itabaki bilA watua, watatoroka wote
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g 6 ай бұрын
Magereza hatari yapo kote duniani ila kama huendani na mrengo fulani utaonekana wewe tu ndiyo mbaya
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Жыл бұрын
Duu kali
@fml1804
@fml1804 Жыл бұрын
Da kwamala ya kwanza nimekuwa wakwanza ku view video za youtubechanel zenye zaid ya subscribe 1m tz
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Pongez
@richardkwideha956
@richardkwideha956 10 ай бұрын
Hi
@MarthaGirgis-yi6zy
@MarthaGirgis-yi6zy Жыл бұрын
Mmh kosa la mzazi linamtesa mtoto daaah hyo ndo Korea ban
@gynae8407
@gynae8407 Жыл бұрын
Duh! Huku ni jehanamu kabisa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️🙏.
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Movie yake inaitwaje?,,mana lazima ishatengenezwa..
@franklachman8883
@franklachman8883 Жыл бұрын
Camp 14:Total Control Zone
@stanleyjohn1361
@stanleyjohn1361 Жыл бұрын
Wewe unajua japo muda umekuwa mfupi naomba tueleezee siku ya kifo cha na hisia kwamba unakufa sasa
@ummyomary3423
@ummyomary3423 Жыл бұрын
😅😅😅😅mimi nitakuelezea tu ukishaamuona mwamba islael ujue umelala yoooo 😂😂
@bonfacemarube6196
@bonfacemarube6196 Жыл бұрын
Wanyama si wale walioko porini pekee, waliovaa suti ni hatari zaidi
@aishamatangamatangamatanga1344
@aishamatangamatangamatanga1344 Жыл бұрын
Nipo nakufatilia
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 Жыл бұрын
Yaani mtu anazaliwa kwenye gereza na yeye anaishi Kama mfungwa! Kosa lake la yeye kuishi Kama mfungwa lilikuwa ni lipi? Ila hiyo story Ni movie kabisa!
@piusisisto5857
@piusisisto5857 9 ай бұрын
we unaitwa nani mchumba
@user-pq5xe1xx7o
@user-pq5xe1xx7o 8 ай бұрын
Nenda nawewe ukaone man sihuamin mpaka uone 😂😂😂
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 4 ай бұрын
Kisanga nikwamba ukiwa kule hutembelewi maana ni.makosa ya.kivita tuu hakuna kuingia hivyo huyo mtoto hangeweza kuruusiwa maana hajui pakwenda hivyo inampasa akae mpaka.mzazi.atoke
@MuhemeliNyogwa
@MuhemeliNyogwa 3 ай бұрын
Sijawahi kuishi nchi za kipumbavu kama hizo
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 Жыл бұрын
Nihao ciao
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
Tupe mastory kaka sns
@mugishaalida5580
@mugishaalida5580 10 ай бұрын
hiyi inchi kwanini isikombolewe hata kivita kwakuwaokoa watu na maisha hayo 🤔🙏
@alexjohn7361
@alexjohn7361 4 ай бұрын
Hizi zingine ni perception tu juu ya wananchi na nchi hizo kwakuwa taarifa zake nyingi hatuna na inapelekea tuletewe propaganda tu na maadui wake. Mfano usema masai anateseka kuishi polini na ng'ombe ilihali kwao ni fresh tuu na wanatuona sie hamnazo kwa lifestyle tunayoishi
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Mung wang family tena kwaoniyama chura
@abdalahabdalah7853
@abdalahabdalah7853 Жыл бұрын
Korea wako seriouz na maisha, hawawezi kufanywa watumwa wa kudumu na wamarekani
@davidbochela1441
@davidbochela1441 Жыл бұрын
na hii ni nini
@musakhalid1274
@musakhalid1274 Жыл бұрын
Hizo ni propaganda za nchi za magharibi...wenzetu hawana huo ujinga
@brownie_dee8655
@brownie_dee8655 Жыл бұрын
Naomba kuuliza hasa yy c mwanaharakat anafanya kazi ya kutetea haki za binadamu?sasa anawezaje kufanikisha hilo wakat rahisi wao ndo muhusika mkubwa wa roho mby?
@butondodavid2105
@butondodavid2105 Жыл бұрын
Mwamba sns
@kabamaponda9597
@kabamaponda9597 Жыл бұрын
💔😮‍💨😭
@maila561
@maila561 Жыл бұрын
yaani kwamfano ningekuwa raisi wa Tanzania chakwanza ningejenga gereza ambalo wale wanao ua wenzao au kubaka au kula rushwa ndio ingekuwa gereza lao niamini wangeingia humo yaan ukitoka hutoweza kurudia kabisaaa😅😅😅
@suleimankidiavai1889
@suleimankidiavai1889 Жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔😉😉😉😉7🤣7🤣🤣🤣🤣
@annaphilemon852
@annaphilemon852 Жыл бұрын
Km rais wao tu mbili zimefyatuka je magereza yao ipo vp
@ooooooo8946
@ooooooo8946 Жыл бұрын
Xux7ye
@rgmoussa
@rgmoussa Жыл бұрын
wakwanza
@user-jo2ye6jm5o
@user-jo2ye6jm5o 11 ай бұрын
Djaf
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Жыл бұрын
Mmh, hiyo ni kila nchi tu. Magereza kama hayo yapo
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Ila hayo ndo hatariiiiiiii zaidi duniani
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Жыл бұрын
Hivi vinafaa kabisa Tanzania
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Hahahahaha
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 13 МЛН
Prophet Muhammad and Aisha's Adultery (Al-Ifk)
16:31
Nabi Asli
Рет қаралды 639 М.
The Rock
8:58
Shotgun BomBom
Рет қаралды 76 МЛН
Wafahamu Nyoka 4 Hatari na wenye sumu kali zaidi wapatikanao Tanzania
14:21
From $42 Billion to $0 - How Anil Ambani Lost All His Money
23:56
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
ОБСЛУЖИЛИ САМЫЙ ГРЯЗНЫЙ ПК
1:00
VA-PC
Рет қаралды 2,4 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
0:56
صدام العزي
Рет қаралды 61 МЛН
Tag her 🤭💞 #miniphone #smartphone #iphone #samsung #fyp
0:11
Pockify™
Рет қаралды 70 МЛН