Assalamualaikum somo naomba utupe elimu kuhusu kipindi cha kulea mtoto maana wanawake wengi tunawaweka waume zetu benchi eti mtoto ataharibika ukishiriki tendo la ndoa mara kwa mara.wanawake wengi hatuna elimu hiyo.
@AttiyaHassan_somomtoto23 күн бұрын
Walaykum salam Tumeshafanya hiki kipindi tafadhali rudia vipindi vilivyopita utaikuta hii mada. Shukran
@SHADIAABDALLAH-o6m22 күн бұрын
@AttiyaHassan_somomtoto samahani, jina la mada limeandikwaje.
@AttiyaHassan_somomtoto22 күн бұрын
@@SHADIAABDALLAH-o6mnimefanya vipindi vingi siwez kukumbuka tafadhali rudia vipindi vya nyuma uskilize km mfatiliaji bas utapata mara moja hilo jibu