WAFANYABIASHARA SOKO KUU NJOMBE WAFUNGIWA MADUKA, BILA UWOGA WAFUNGUKA MAZITO

  Рет қаралды 24,021

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 154
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi SHUJAA wetu JPM 💔😭😭poleni sana wafanya biashara 😢😢
@tithomhagama
@tithomhagama Жыл бұрын
Dah Nchi yetu kila mtu anajiamulia chakufanya #Magu alisema tutamkumbuka
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Shida kweli kweli nchi hii kweli tutamkumbuka
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
ndio nilijiuliza hii nchi ina viongozi wa aina gani? yaani migogoro kila secta ya taifa
@hawasaid7151
@hawasaid7151 Жыл бұрын
Na kweli tunamkumbuka, changamoto kama hizi angeshatatua kwa haraka sana😢😢
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
RIP JPM mtetezi wa wanyonge.😭😭.
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Sasa polisi wanatafuta majambazi kumbe wengine wako huku wanaenda mchana kweupe kwa wafanyabiashara.
@monicachacha455
@monicachacha455 Жыл бұрын
halimashauli ni shida nchi nzima
@mauldabdalah2168
@mauldabdalah2168 Жыл бұрын
Ndiomaana mimi sipendi kufanya biashara kwenye vyumba vya halmashauri
@laurianopius2411
@laurianopius2411 Жыл бұрын
Biashara skuiz changmoto, serikali mliangalie hilo kwnye issue za kodi maan ukiona watu wazma wanalia ujue Kuna jambo
@pineapplemelodymaster
@pineapplemelodymaster Жыл бұрын
Sijui tu inchi yetu inaongozwaje kila kiongozi anataka kuibia watu daaah
@cypriankikoti9160
@cypriankikoti9160 Жыл бұрын
Yaani hii nchi ukiwa mzima unamshukuru tuu Mungu ila kuhusu viongozi toka JPM ameondoka mambo yamerudi yaleyale . R. I. P JPM
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Daah nchi yetu mashaka sana 😊
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
tatizo ni kuwa na viongozi wa hovyo
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын
Ni kweli hizi risiti hufutika jmnii
@athumanhassani805
@athumanhassani805 Жыл бұрын
Hii nchi nikubadisha chama tawala hawa waliopo hakuna
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Tatizo hizi kazi wanapeana wtt waviongozi,elimu yenyewe hawana kazi za kupewa mtt wa furani
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
Wamezira baada ya swala la kariakoo,wanaendesha mambo kwa hasira sio kwa nidhamu na maadili ya kazi,Sasa wakifunga ndio wanapata hayo mapato?pumbavu kabisa,RIP JPM
@samwelclement8108
@samwelclement8108 Жыл бұрын
Dawa ni katiba mpya hapo tutaheshimiana
@joshuamwanilwa4157
@joshuamwanilwa4157 Жыл бұрын
Mama anaupiga mwingi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
kwa hivi , anaupiga mwingi sana 😂😂😂
@meryerick6053
@meryerick6053 Жыл бұрын
Hamna jipya nchi imewashinda Kwanza huyo anayeupiga mwingi wote wapigwe chini mpk chama Chao
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Hii inchiii inako elekea kubayaaa juz kariakoo Leo njombeee
@patrickkasonso3513
@patrickkasonso3513 Жыл бұрын
Ndo walewale wa Kariakoo..wachukulieni hatua wakajibu hayo..
@anicethpeter3100
@anicethpeter3100 Жыл бұрын
Magufuli ..alisema iposiku tutamkumbuka haya apa sasa😢
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
AMKENI AMKENI WATANZANIA, VINGINENYO MTAWAFANYIA KAZI AKINA MWIGULU NCHEMBA NA SERIKALI YAO
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
Hapa Mwigulu hausiki, hii ni halmashauri anahusika Mkurugenzi na Afisa biashara wake!
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Sasa MAGUFULI umeondoka umetuachia shetani ulisema tutakukumbuka kweli
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo Жыл бұрын
Samia mama waangalie wafanya biashara wako
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
mama enu kakamatiwa kamba hana lake hata moja
@youyougav8060
@youyougav8060 Жыл бұрын
No the fuck she won’t. You sound stupid.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Poleni sana wafanya biashara,cha muhimu andikeni barua ya malalamiko na mpeleke ngazi za juu Tamisemi na nakala kwa Waziri Mkuu ili mpate suluhisho la kudumu.
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
TUNAIBIWA SANA WANANCHI SERIKALI WAJINUFAISHA WAO TU
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Жыл бұрын
Niwezi sana
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Tunako elekea kubayaaa sana hii inchi Kila mtu saiz anafanya anacho jisikia
@barakaadson6627
@barakaadson6627 Жыл бұрын
Magufuri alisema tutamkumbuka Sasa tutamkumbuka kwa machozi!!!
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Hawezi kuwasaidia huyo mama, hana mda wa kuwasaidia, kazi yake ni safari na mikopo.
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@Dulayoawazi-zj8wr
@Dulayoawazi-zj8wr Жыл бұрын
Tazania yaovyo daaa ahoo wasenge wafukuzwe
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Mungu awasaidie
@mghuna
@mghuna Жыл бұрын
Nchi kila kukicha mambo ya ajabu
@thomasmunis9814
@thomasmunis9814 Жыл бұрын
Daa ukifkiria hii nchi unatamani uende burundi kama alivyo waziri
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Mta mkumbuka magufuli 😢😢
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 Жыл бұрын
Labda ww peke lakini sisi tuna mkubali mama, kila kitu magufuli Acha mzee RIP
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
@@mohamedelmi7435 we mhamed kama hfanyi biashara muwe mnaKAA KIMYA BIASHAR ngm sanA sik izi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
@@mohamedelmi7435 nyie mna lipwa muwe mna msifia huyo
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 Жыл бұрын
@@salumalriyamy Kweli kabisa dunia haisubiri mtu.....
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Жыл бұрын
Tutakukumbuka shujaa jpm!
@chankamba
@chankamba Жыл бұрын
Nchi imekuwa ngumu sana. Magufuri tutamkumbuka ssana
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
RIP JPM
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Kumekucha kumekucha kumekucha Mmmmhhh Sielewi yaaani Tz yangu ina Nini sijui daahhh
@mohamedwwnurumasagcom8171
@mohamedwwnurumasagcom8171 Жыл бұрын
Mama chukua hatua baadhi ya watendaji wanakuangusha, wapiga kura wako wanaonewa
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Hatua ni mwendo wa kuwahamisha,yaani wakiharibu hapa wanahamishiwa kule!!!!
@sakinamixpambe2602
@sakinamixpambe2602 Жыл бұрын
Poleni sana wafanyabiasha madudu yapo mengi sana Tz
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Mkiambiwa MUNGU alikataa mwanamke asiongoze hamuelewi
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Kwa kweli nakuunga mkono
@tevintevin6254
@tevintevin6254 Жыл бұрын
Huyu mama nchi aiiangalie vzuri shauri akee
@musso238
@musso238 Жыл бұрын
Safi watu wametoa changamoto zao na ushauri wao 🤙🏾
@samwelclement8108
@samwelclement8108 Жыл бұрын
Katiba mpya ni muhim tupambane
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Sasa hapo katiba mpya inasaidia nini
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
katiba ikisha andikwa kitabuni ndio itaondoa haya , kani katiba ya sasa inaruhusu , 😂😂😂labda yaje yazidi
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Nchi inaongozwa na shetani
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Жыл бұрын
Huko kuna Mtaka Anthony, msihofu ukweli utajulikana na wahusika watabainika na hatua watachukuliwa.
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Жыл бұрын
Endeleeni kuiweka ccm madarakani
@yasiniselemani3917
@yasiniselemani3917 Жыл бұрын
Tunahitaji tukae chini na serikali tumalize hizi tofauti watuambia kama sisi hatutakiwi kuishi hapa TZ tutafute inchi yakwenda wabaki wao waajiriwa tu maana wanyonge tunateseka
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
Siku hzi Kuna control number za wakubwa mlikuwa hamjui ndugu zetu?poleni bhana,sisi tumeshuka maana nchi inaenda kasi sana
@EagleCrown-pb9qv
@EagleCrown-pb9qv Жыл бұрын
Inshort ni kwamba sasa ivi ni la manyani....🤔🇹🇿🙏🏿
@Yohanalumisha
@Yohanalumisha Жыл бұрын
Iv imagine wee nod baba wa familia utakubali familia Yako iwe na mambo ya ajabu jibu ni hapana tatizo ni uongozi wa juu kuanzia kwa raisi kero hizi mpaka lini tusisifie sifie tu ati mama anaupigwa mwingi anaupiga mwingi wapi familia yake watoto wake wanalialia kila kukicha kweli tutafika hapana
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
kweli hii ni nchi ina viongozi ? 😂😂😂
@majigedioniz8049
@majigedioniz8049 Жыл бұрын
Npeni mauwa yangu
@Yohanalumisha
@Yohanalumisha Жыл бұрын
Iv imagine unamfungia mtu duka lake kisa hajalipa kodi asa ukifunga atapata wapi pesa ya kulipa pango ivi nchi hii tuna wataalamu wenye akili timamu kweli na uongozi unaanzia juu kama uongozi wa juu haujali matokeo yake ndo haya leo kariakoo leo njombe kesho sijui wapi haki ya nani nchi imejaa wahuni an washenzi sana inauma mana in upumbavu huu
@samirymwita7162
@samirymwita7162 Жыл бұрын
Ahaaaa mwiguluuuuuuuuuuu
@frankkidenya
@frankkidenya Жыл бұрын
Halimashauri ya njombe ni wahujumu uchumi haiwezekani ndani ya harmashauri Kuna wasomi alafu na hili limeshindikana du atar sana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Mlianza tozo mkarudi kodi ya pango kwa wamiliki wa nyumba, mkaja TRA, mmeahamia kodi za halmashauri kidogo kidogo mtatufikia waenda kwa miguu tulipie lesen yakutembea barabara 😢😢
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
😂😂😂
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 da umechekesha sanA
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
@@onesmoelias2285 Wee cheka tu ndiyo ujipate uko misele mara boom tupatie kibali chakutembea njia hii🙋🏃🏃
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
@@cheiknamouna2058 nikuhamia burund kwel msemo was nchemba
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Жыл бұрын
Aisee ikiwa hivyo mi najitoa mhanga nakufa naye atakaye niomba leseni ya kutembea kwa miguu 😢😢😢
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Hatuna rais, kwa sasa Tanzania tumetekwa,
@alphanmatanza5148
@alphanmatanza5148 Жыл бұрын
Hatar sana malume 😂🙌
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 Жыл бұрын
Mama Samia Mama Samia Mama samia Wewe ndio Raisi wa nchi yetu Sasa pls huu ni muda wako Wakutatua haya hii nikero kwa maendeleo ya raia wako na taifa kwa ujumla simamia hili Mama
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Poleni sana. JPM TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA DAIMA
@floramlowe7078
@floramlowe7078 Жыл бұрын
Mmmh hayo ni maumivu hao ni matapeli na huo ni wizi
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Halmashauri wamekula pesa za Wafanyabiashara.
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Kama kuibiwa tunaibiwa jamani.duh!!!
@kingnicky2568
@kingnicky2568 Жыл бұрын
Mama alisema kila mtu ale kwa kamba yake xxa hzo n kamba za watu …😂😂
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 Жыл бұрын
Wafanyabiashara ni wapuuzi sanaa walishindwa kuunga wakati Kariakoo Wamegoma hawana umoja hawa
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Wananchi hawapati Haki zao kama Wananchi.
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 Жыл бұрын
Jmn mama wanyooshee
@BenLeeBl
@BenLeeBl Жыл бұрын
Kufupi ccm kaz imewashinda kuendesha hii nchi
@Dulayoawazi-zj8wr
@Dulayoawazi-zj8wr Жыл бұрын
ahoo wasenge
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Жыл бұрын
HAHAH nchi irisamehe tilion 360 kwa kuwafurahisha mabwana zao nnje pesa ambazo magufuli arizipambania sahv selikali inatesa watu uhuni kira kona
@sikujuahamisi7252
@sikujuahamisi7252 Жыл бұрын
Mama samia piga kazi
@pineapplemelodymaster
@pineapplemelodymaster Жыл бұрын
Hii inchi itafika hatua tutaanza kulipuana muda sio mrefu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
kwa mwendo bila shaka yoyote
@floramlowe7078
@floramlowe7078 Жыл бұрын
Hapo mkuu wa mkoa atawasaidia tu
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Жыл бұрын
Wembe 2025 mbona CCM wanatutesa sana, ivi watanzania bado hatuelewi tuuu daaah
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Жыл бұрын
Kwani lazima mumlilie mama Samia ✍️✍️
@charlesjaphet5768
@charlesjaphet5768 Жыл бұрын
Hawa ccm hii nchi imeshawashinda tutanyanyasika mpaka tufe kwahyo mtetezi wetu ni mikono yetu wenyewe kupiga kura ifikapo uchaguzi kuwaondoa madarakani,
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Жыл бұрын
Haya sasa
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
Baba akiwa zaifu nyumba Zima nao wanakua zaifu
@allykadege4733
@allykadege4733 Жыл бұрын
Aliyejenga amekwenda wawo hawajui umuhimu wawanyonge
@majigedioniz8049
@majigedioniz8049 Жыл бұрын
Dah pole sana ila najivunia kuzaliwa kanda ya ziwa ndiko wanatokea viongozi watetezi wawanyonge na watenda haki
@umojamedia4167
@umojamedia4167 Жыл бұрын
Mwanza vp ule mgomo wa watu wa bar na club umeisha?
@thomasgabriel588
@thomasgabriel588 Жыл бұрын
Mkurugenzi awajibike hayuko makini
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Hii Nnchi aina viongozi ina majizi
@Yohanalumisha
@Yohanalumisha Жыл бұрын
Tatizo la nchii hii ni raisi kwa nn asitoe tamko taasisi zote ziko chini yake kelele hizi mpaka lini jamani hii nchi yeti sote
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg Жыл бұрын
😢
@honestmosha6203
@honestmosha6203 Жыл бұрын
Raisi awe makini sana kunawatu wanamuharibia nchi kwa jinsi hii
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
makini ipate wapi , raisi wenyewe kakamatiwa kamba na kina Kikwete na kinana
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Жыл бұрын
Tulia rudi mbeya haraka katatue kero,
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re Жыл бұрын
Tanzania bye bye 👋 👋
@ninaseleman5738
@ninaseleman5738 Жыл бұрын
Wanatk kutuuwa njaa
@petrolconrad4250
@petrolconrad4250 Жыл бұрын
ISHU NI ELIMU
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 Жыл бұрын
👀
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 Жыл бұрын
pigen fimbo hao vibaka wa halimashauli nimajizi wakubw a
@salwasalum6758
@salwasalum6758 Жыл бұрын
Nchi ngumu hiii dahhh
@husseintwaha1737
@husseintwaha1737 Жыл бұрын
Ccm wamechoka kabisa hawawezi tena hata kututawala
@sevelintino6181
@sevelintino6181 Жыл бұрын
Kiukweli naumiaga sana hii mipangilio ya kuumiza wananchi ukute hao wanao wasumbua walisomeshwa na wazazi
@ismail-vf4zw
@ismail-vf4zw Жыл бұрын
Siku hizi watu wanafanya wanavyojiskia,
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Nchi imejaa uchafu mwingi wizi mashoga wasiokemewa na kuwashughulikia kilichobakia ni siye kuuzwa
@gracesanga7801
@gracesanga7801 Жыл бұрын
Hee halmashauri yetu hii
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Жыл бұрын
Kuna Jambo hapo, kuna ttz so bure
@hassanimussa2154
@hassanimussa2154 Жыл бұрын
Mama samia fukuza kazi hao mawakala
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Ooh anaubavu mpaka kikwete aseme
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
msimsumbuwe mama na njaa zenu bado yupo bize milioni hamsini za simba na yanga kwahiyo ripeni tu ili tuwalipe wachezaji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶🚶🚶🚶🚶🚶
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
msimsumbuwe mama na njaa zenu bado yupo bize milioni hamsini za simba na yanga kwahiyo ripeni tu ili tuwalipe wachezaji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶🚶🚶🚶🚶🚶
@frankmaligo5749
@frankmaligo5749 Жыл бұрын
Mh
@user-js7bi9lr4y
@user-js7bi9lr4y Жыл бұрын
Tra pumbavu saba
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Risiti muwe mnascan ili kuokoa kero kama hizo, Wezi sana hao
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Жыл бұрын
Kumbukumbu ipo ukiingza namba
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
@@hamadsheni8997 namba za risiti hua zinafutika risiti ikikaa muda mrefu
@4hestatecompany20
@4hestatecompany20 Жыл бұрын
Tunakopa na tutazd kukopa pesa znaenda uko dunian
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 16 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
WAMWIDUKA BAND - Live in Johannesburg City, South Africa.
34:40
Wamwiduka Band
Рет қаралды 57 М.
You Won't believe This Town is Built By Potato Farmers //Njombe Tanzania
13:37
Malango Travels 🇹🇿
Рет қаралды 4,3 М.
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
KWETU NJOMBE  BY KIBEKINGA GROUP 0762946594
5:47
MC_JACKSON MGENI
Рет қаралды 70 М.