Wafanyibiashara katika soko la Kongowea Mombasa wakadiria hasara

  Рет қаралды 14,951

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

3 жыл бұрын

Wafanyibiashara katika soko la Kongowea Mombasa wakadiria hasara
Moto mkubwa uliozuka usiku umeteketeza bidhaa za mamilioni ya pesa
Wafanyibiashara hao wanalalamika wazimamoto walichelewa kufika

Пікірлер: 48
@nikowabantu6216
@nikowabantu6216 3 жыл бұрын
Poleni sana ndugu wakenya kwa tukiyo ilo lakusikitisha sending love from Congo DRC
@maasaimkisii9089
@maasaimkisii9089 3 жыл бұрын
Waaaaah ni kubaya pole wanacoast
@mimotesh6512
@mimotesh6512 3 жыл бұрын
Poleni sana
@deomakere6118
@deomakere6118 3 жыл бұрын
Tujipe pole tu ndugu zangu huku Tanzania solo kubwa kabisa la kariakoo limeteketea usiku wa kuamkia Leo ni huzuni kwa kweli
@happytimes9747
@happytimes9747 3 жыл бұрын
Poleni kwa hasara mama zangu na baba zangu Mungu atatuchagulia viongozi bora mwaka ujao jipeni moyo tutashinda.
@giloogilo6589
@giloogilo6589 3 жыл бұрын
Kenya Viongozi ni Wale Wale tuu.
@thevineyard7149
@thevineyard7149 3 жыл бұрын
Nyinyi sio wezi. Nyinyi ni watu wa bidii na Mungu atawalipa
@kenyamoja755
@kenyamoja755 3 жыл бұрын
Najua vya uma, niko na Kiosk yangu ya omena hapo. Its sad but tusilie tukisema Muhammed Ali, Aisha Jumwa na Ruto ati hao ndio wakombozi, hao wakishika usukani itakua zaidi ya hivi. Natuombe Mungu hawa viongoze wote wachomeke, hilo bunge lichomeke ndio Kenya tutajikomboa lakini kama ni hizi Kelele tunazo sikia tutajua hatujui.
@giloogilo6589
@giloogilo6589 3 жыл бұрын
@@kenyamoja755 poleni tena.hata mimi Bibi yangu SOKO lake ni hiyo kununua Omena, papa,Nguo za Watoto Sasa kama imetokea hivyo si nibalaa Kwa Bibi yangu.tukae pole sote pia.
@kenyamoja755
@kenyamoja755 3 жыл бұрын
@@giloogilo6589Mimi sitaki kulaumu nani ama nani. Manake Kenya hiii yetu iko na vituko. Tulisema Kibaki Tosha, then Jublee Tosha, Sasa sijui Hursler. Hapa ni Mungu asaidie, I don't trust any politician.
@maxwellodhiambo1443
@maxwellodhiambo1443 3 жыл бұрын
Governor Joho fingerprints 🤔
@kakakakabeka624
@kakakakabeka624 3 жыл бұрын
Wee poleni Sana nawahunikia vibaya kwani hiyo kongoe nichomwa kila wakati na brother mahali ulipo huna lakusema but pole Sana wote mungu atawapigania🤔🤔🤔🤔
@helenshella6809
@helenshella6809 3 жыл бұрын
Kila mwaka moto kongohwea ni shetani gani iko hapo
@phillsnafuna5962
@phillsnafuna5962 3 жыл бұрын
uchungu sana😭😭sasa ha hii uchumi mungu saidia kenya yetu.
@astolafisto5660
@astolafisto5660 3 жыл бұрын
Tena Leo markiti imechomeka kweli Kuna nini yaendelea
@fatmamdigo4701
@fatmamdigo4701 3 жыл бұрын
Kweli kabisa malipo nihapahapa mungu atalipa
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 3 жыл бұрын
County goverment kidole cha lawama kwenu.. Hiyo n hasara sana poleni... Mungu atawarejeshea vyote vilivyopotea
@mufush
@mufush 3 жыл бұрын
Waliasha wenyewe haya, poleni kwa wengi, Lakini hio soko itolewe, Ruto atakuja na looted funds zenu halafu mta cheer
@giloogilo6589
@giloogilo6589 3 жыл бұрын
Wewe hatutaki urongo was Ruto tumeuzoea,akadanganye wale Wajinga au Mafala.
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Patrick Mufumba wewe ndie msemaji wa Ruto?
@mufush
@mufush 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692😂😂hata kwa Billion za hela siesi walahi
@angelinakonde6647
@angelinakonde6647 3 жыл бұрын
Mungu atamulipia
@faizislam2378
@faizislam2378 3 жыл бұрын
Hawa ma moryoo wanaona biashara haisongi wanachoma moto
@mscantraah8210
@mscantraah8210 3 жыл бұрын
Kwelikabisa 😭😭😭👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@suhel5209
@suhel5209 3 жыл бұрын
Musijali no one can stop reggae, BBI itasuluhisha
@kombomwakaribu8252
@kombomwakaribu8252 3 жыл бұрын
BBI will solve how?...kwani BBI ni mtu ,? ... BBI ni project ya watu kidogo tu , hakuna kitu itasuluhisha
@giloogilo6589
@giloogilo6589 3 жыл бұрын
BBI wapelekee Mama zao kama bado Wazaa.
@thevineyard7149
@thevineyard7149 3 жыл бұрын
Sidhani. wahurumie tu.
@hkmeme5437
@hkmeme5437 3 жыл бұрын
BBI mavi
@suhel5209
@suhel5209 3 жыл бұрын
@@kombomwakaribu8252 najua nimeleta kwa maana, sababu hao ni vibaraka wa Raila
@sheilamjune1233
@sheilamjune1233 3 жыл бұрын
Pole sana family 😭😭
@dorisdamadorisdamakarisa5090
@dorisdamadorisdamakarisa5090 3 жыл бұрын
Aaaaaai jmn x hyo count hio ya Mombasa x INA weka WAP watu wa kongowea
@aminahmohd8950
@aminahmohd8950 3 жыл бұрын
Ni kila mahali hata Tanzania pia sjui shida ni nn
@pendaelimolell3510
@pendaelimolell3510 3 жыл бұрын
Mungu awasaidie walio patwa na janga hilo
@luchinasarah3745
@luchinasarah3745 3 жыл бұрын
Nothing will be done to fix this
@amenakenya7993
@amenakenya7993 3 жыл бұрын
Shubuhnllah
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Ya Rabby
@luchinasarah3745
@luchinasarah3745 3 жыл бұрын
This is sad
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 жыл бұрын
poor kenya
@mzangicatherine1046
@mzangicatherine1046 3 жыл бұрын
Ngai ati ngari empty, watu wa fire, improve your work, munazazimu ama ni nini, sasa mnaenda kuzima moto na ngari tupu,nyinyi nikufutwa kazi nyote mpate andapu
@villagegirl3625
@villagegirl3625 3 жыл бұрын
Ngari *gari* hahaha
@thevineyard7149
@thevineyard7149 3 жыл бұрын
@@villagegirl3625 ni shinda ya smartphone. This gadget can make you look foolish especially if you are not writing in English
@villagegirl3625
@villagegirl3625 3 жыл бұрын
@@thevineyard7149 hahahah nimekuelewa mamaa
@mzangicatherine1046
@mzangicatherine1046 3 жыл бұрын
That's true, thanks for replying for, but they understand, that's matter 🙆‍♂️🙆‍♂️
@sherrykeya7370
@sherrykeya7370 3 жыл бұрын
Poleni sana
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 88 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Historia ya mji wa Mombasa
4:49
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 19 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 5 МЛН
Put a camera on cat and show you the complex social network of cats.
5:54
Mission Impossible: Ghost Protocol
7:53
Movie Clips
Рет қаралды 6 МЛН
Chinese sniper vs. American sniper during the Korean War (1952)
50:39
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 88 МЛН