Рет қаралды 832
SIMULIZI ZA SAUTI
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI-Mabuki) imefanya utafiti wa kuzalisha mbegu ya ng'ome chotara aina ya Ankole na wa kienyeji ambao umesaidia kuleta tija kwa wafugaji wanaopatikana kanda ya ziwa hususani mkoa wa Mwanza.