WAFUNGUA KANISA NA KUWAACHISHA WATOTO SHULE KISA YESU ANARUDI WASUBIRI KUMPOKEA, DC AAGIZA WAKAMATWE

  Рет қаралды 30,396

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 485
@MwantumRashidi
@MwantumRashidi Жыл бұрын
Nyie hii nchi ina vijana wa ovyo sanaa,
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Жыл бұрын
Mkuu wa Wilaya Anabusara Sana....Tembea Uonee.😢😢
@KatoPaul-l5n
@KatoPaul-l5n Жыл бұрын
Nilichoelewa ni kwamba sio kwamba mtoto hayuko shule, bali yuko shuleni ambayo kwa dakika 2hamuwezi kuwaelewa watumishi wa MUNGU, tafadhari wapeni mda mkuu wa wilaya, wasikilize sana
@EdnaLugano
@EdnaLugano Жыл бұрын
Watu wamechanganyikiwa na maisha ndio.Wasabato Wana shule nyingi tu na kila cku wanafungua shule na vyuo.Acheni kupotosha maandiko sisi wakristu tumekuwa huru Sana ndio maana tunafanya mambo ya ajabu kila siku.Kwa Waislam hakuna huu ujinga ujinga
@elizabethlobe4353
@elizabethlobe4353 Жыл бұрын
Sio kuchanganikiwa
@annamulungu2876
@annamulungu2876 Жыл бұрын
Ila ni nini kama siyo kuchanganyikiwa?​@@elizabethlobe4353
@kamarhelo
@kamarhelo Жыл бұрын
Ila ni nini
@kagoliHussein
@kagoliHussein Жыл бұрын
Watu wamevurugwa sana hakuna Cha uchungaji hapo huyo ni muongozo tu
@festohaule9716
@festohaule9716 Жыл бұрын
Ni sahihi Wamechanganyikiwa kabisa.. kristo harudi Karne hii au Karne ijayo....
@williamsunday-yg2bz
@williamsunday-yg2bz Жыл бұрын
DC ana busara na huruma sana!
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 Жыл бұрын
Pia serikali haiwezi kujifanya inawapenda sana watoto wangu kuliko mimi. Mbona wakiharibikia shuleni unabaki mzigo wa wazazi. Kusoma na kuandika na hesabu ni elimu ya Mungu. Ila hizi elimu tunazo lazimishiwa ni elimu za kipagani wala hata haziwasaidii ktk maisha yao. Msijifanye mnawapenda sana.
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 Жыл бұрын
Ukishatambua nani yupo nyuma ya SIRIKALI, utaelewa kwanini wanampinga Mungu
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 Жыл бұрын
Si ni yule aketie katika hekalu la Mungu na kujifanya yeye ndiye Mungu na kuabudiwa.
@joephmaukilo
@joephmaukilo Жыл бұрын
Nikwel kabxa
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Жыл бұрын
Ni kweli Yesu kristo anarudi lakini haijaandikwa tukae bila kufanya kazi tumsubiri Yesu ni upotoshaji wa maandiko. Ndiyo sababu unyakuo utatukuta kwenye majukumu yetu ya kila siku.
@GoodDeeds-Jesus
@GoodDeeds-Jesus Жыл бұрын
Kabisa
@azizanyiranzeyimana7073
@azizanyiranzeyimana7073 Жыл бұрын
Huyukijana, naakamatwe, huyunitawila Mr Makesne hiviwewebaba umelogwana,Makeanse ?Serikali waokoweni , watotohawa jameni.
@bensonlucas7607
@bensonlucas7607 Жыл бұрын
Hawa sijui ndo masabato masalia au vipi? Kanisa la Wasabato mbona lina miliki shule za Secondary nk? Miaka ya Nyuma walishawahi kubeba mabegi wakaenda uwanja wa Ndege Dar wakapiga kambi pale wiki mbili eti wanataka kwenda kuhubiri injili Ulaya.Wakateseka kwa njaa mwishowe Kandoro mkuu wa mkoa wa Dar akafika pale kuwapa Elimu ndipo akakuta wameondoka baada ya njaa kuzidi.
@bensonlucas7607
@bensonlucas7607 Жыл бұрын
Huyo kijana wa UDOM ameacha chuo amekwenda kulima kibarua.
@NurusamsoniKanubo-o9r
@NurusamsoniKanubo-o9r Жыл бұрын
​wanafundisha upuuzi wala hazina maana za sda
@Africasafarichannel
@Africasafarichannel Жыл бұрын
Huyu Alidisco
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Vipi unampata.
@AbduMsuya-lo4gx
@AbduMsuya-lo4gx Жыл бұрын
Mh.DC ni bonge la pisi❤❤❤❤
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Tatizo ni mfumo wa elimu hii tulio hachiwa na wapagani sa ulaya inakaa kipaganipagani na kuto mpa Mungu nafasi kwa kweli imetuvuruga wanadamu pakubwa hadi hatu hizingatii nafasi ya mola wetu katika maisha yetu. Mitaala ifanyiwe marekebisho.
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 Жыл бұрын
Serekali mukiwaacha watu kamahao mudasimrefu itakua kamayale ya Kenya .Wadhibitiwe kwaharaka
@MatokeoMajonge
@MatokeoMajonge Жыл бұрын
Kumbuka kila neno na tendo walitendalo wanadamu watalitolea hesabu mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu Жыл бұрын
yupo sawa dini ndio mfumo sahihi wa maisha ya mwanadamu na Mungu ndio anatakiwa kupewa kipaumbele kuliko kitu chochote .
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
Dini gani sahihi ya maisha ya mwanadamu na ni ayah gani inaeleza hivyo?
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Juliusdominic-uk4bu. Wazungu waliotuletea dini wamesoma pia na Elimu za kidunia
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@ramadhanimtetu3656 Wasipojifunza kusoma hata maandiko wanayowafundisha watayasomaje?Hawa Majamaa ni mitihani kweli kweli.
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Жыл бұрын
Unahekima sana mkuu wa wilaya
@Laurygust-k2u
@Laurygust-k2u Жыл бұрын
Asante sana MUNGU akubariki kwa KAZI yako njema DC kila jambo Lina muda wake
@alexmwashifungwe5174
@alexmwashifungwe5174 Жыл бұрын
Mh .DC uko sahihi sana kwanza umempa nafasi yakujieleza mungu amuongoze rais ateue viongoz kama huyu
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
6:17 yanakuja yale ya Kenya..shakahola.. serikali iwe macho, yanaweza kutokea vifo/mauaji kwa hao waumini na watoto wao
@ErnestTomas
@ErnestTomas Жыл бұрын
Hajakutana na YESU,amekutana na Shetani
@NurusamsoniKanubo-o9r
@NurusamsoniKanubo-o9r Жыл бұрын
Kweli kabisa bwana Erik Mungu akutie nguvu amina
@haldinkiope9753
@haldinkiope9753 Жыл бұрын
Lawama serikali mmewapa watu elimu mwisho wa siku wanadata kwa kukosa ajira 😅😅😅😅😅
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
Sukuma ndani hao Mh DC.
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
Mkuu wa wilaya yuko vizuri
@jomba6514
@jomba6514 Жыл бұрын
Afya ya apo juu sio nzuri
@mtimti3912
@mtimti3912 Жыл бұрын
Hiyo pia ni injili imewafikia
@Faya884
@Faya884 Жыл бұрын
Nyie wachungaji w kizazi hiki mnamtumikia Mingu wa kweli,😢😢😢 kweli??
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Mungu awasaidie sana! Maneno ya Mungu "mshike sana elimu usimuache aende zake".
@Chume_tz
@Chume_tz Жыл бұрын
Kanukuu kuwa elimu iliyolengwa hapo sio hii iliyowekewa mipata elimu iliyozungumziwa na mungu ni elimu ya kidini hawa watu sio vichaa kama tunavyo wafikilia kama kweli tunaamini katika dini wapo sawa ila kama hatuna imani katika dini ndio tunawaona vicha
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial Жыл бұрын
Elim ya ki Mungu sio ya Dunia japo na ya kalisali tumpe kaisali
@kutailass6671
@kutailass6671 Жыл бұрын
​@@Chume_tzsasa hiv hayupo yesu hapo Je araish maisha gani ili akimsubir huyo yesu arud?
@Ndenza
@Ndenza Жыл бұрын
@@Chume_tz tii mamraka iliyo wekwa ukitii mamraka pia niibada
@Chume_tz
@Chume_tz Жыл бұрын
@@kutailass6671 ndio maana jama kasema kaba hatutaishi kwa mikate bali kwa neno la mungu
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Kweli watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
@eliakimu191
@eliakimu191 Жыл бұрын
Jifunze juu ya Daniel aliekuwa mtu mwenye elimu ya juu, jifunze habari za Paulo Mtumishi wa Mungu aliekuwa msomi pia fuatilia habari za luka Mtumishi wa Mungu
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Mpeni mtoto elimu yadunia na ya kiMungu mbon mim nimelelewa hayo maisha na sas hiv nina kazi yangu nzuri tu achen upumbavu watu wenyew mnamaisha magumu bado hamtaki kupeleka watoto shule ili waje kiwasaidia baadae kuna muda nadhan hat Mungu hutusikitikia kwa maamuzi yqkipumbavu
@MatokeoMajonge
@MatokeoMajonge Жыл бұрын
Imeandikwa "shina la mabaya yote ni kupenda fedha"
@Punda284
@Punda284 Жыл бұрын
Warumi 13:1-2 [1]Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. [2]Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
@ACLESSJABRINE
@ACLESSJABRINE Жыл бұрын
Hongera sana mh kwa busara na hekima ulizonazo maana wengine hapo tusingejibiwa hivyo makofi yangekuwa yameshatembea chapchap
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Жыл бұрын
Nikupongeze Dc unahekima sana naumeenda kwaakili yakuupima uelewa wahao ndugu
@maryjames7438
@maryjames7438 Жыл бұрын
Mkuu wa wilaya ni mpole hatari yaan huyu jamaa nataman angekutana na mwamba magu angeenyoosha maelezo vzr
@Football90transfrerandrumors
@Football90transfrerandrumors Жыл бұрын
Mtumishi uko sahihi sana na wanajua ila nafsi yao inawasuta
@nyamogafamily9549
@nyamogafamily9549 Жыл бұрын
Ni YESU huyu huyu tunayemwabudu au tutarajie mwingne⁉️⁉️
@Maryc2G
@Maryc2G Жыл бұрын
Watu wangu waliokosa maarifa wanahangamia. Mfano tusifanye kazi mungu atatusaidia 😅😅😅😅😊😊
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 Жыл бұрын
Makenzie mwingine huyo, kutoka kule Kenya, anaambia watu wafunge, wakati yeye anakula Tena viziri, Sasa huyu kasoma lkn hataki wengine wasome ili aweze kuwatawala
@ChristerShao
@ChristerShao Жыл бұрын
Maskini huyo kijana amevurugwa na maisha.mungu awaguse waweze kubadirika.
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Жыл бұрын
Kazi ipo watu washaanza kuchanganyikiwa.Mungu tusaidie
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Kitu kinachoitwa imani ni sawa na upofu yani mtu akiamini kitu hata ukimwambiaje hakuelewi kabisa ila Mungu aingilie kati tu imani zingine zisiendelee kumea zikapotosha watu wake.
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Dada unauliza maswali vizuri sna hauna papala kabisa, unafaa kutangaza TBC
@ZabronSamwel
@ZabronSamwel Жыл бұрын
Serikali iangalie sana tatzo la ajira maana wasomi wanaweuka mapema sana,mfano hao jamaaa Ni maisha tu yanasumbua,Imani waliyonayo hao vijana Ni upagani mtupu Wala hakuna uhusiano wowote wa biblia na wanayosema.
@IsaacCheyo
@IsaacCheyo Жыл бұрын
Ngolo,Ng’wana malenya ng’wasi ng’waniduhu.Hongera sana kupambana na wazushi,
@festohaule9716
@festohaule9716 Жыл бұрын
Yesu atarudi kesho kutwa... Vijana wa Afrika Amkeni Amkeni...
@marikiurio2656
@marikiurio2656 Жыл бұрын
MKUU WA MKOA ANA HURUMA ALITAKIWA YULE ASKARI AMCHAPE VIBOKO YAANI NINGEKUWA MIMI WANGEONA CHA MOTO ALLA HIYO BIBILIA ATASOMAJE
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Жыл бұрын
Maisha yamewavuruga kweli kweli na ahojiwe vya na ikiwezekana wapimwe akili maana wanaweza kuleta mambo ya kina mackenzie hao kwa akili zao
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Жыл бұрын
Ameona elimu ya chuo kikuu Haina msaada wowote
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 7 ай бұрын
Hiyo ni iman ya hali ya juu sana wala hapa mtu asiye na Roho wa Mungu hawezi kuelewa kitu hapa zaid ya kumbeza huyo jamaa!
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
Serikali zetu hazijitambui kila ukicha makanisa ya kitapeli kila mtu anaona njia rahisi kufungua makanisa ya kitapeli hili kujipatia kipato kwa sadaka za Wananchi mtihani utapeli tu dah😭😭
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Hakuna shida yoyote hata kama Yesu akija leo pelekeni watoto shule
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Жыл бұрын
Umaskini Unavuruga watu vichwa hadi watu wanavurugwa
@Maas-d5d
@Maas-d5d Жыл бұрын
kunawatu wanaimani jamani duh wasameheni tu nawatoto waende shule
@drgeraldcubwa481
@drgeraldcubwa481 Жыл бұрын
Mh Dc ,kamata wote sweka ndani!! Watatota gerezani siku Yesu akirudi
@kamarhelo
@kamarhelo Жыл бұрын
Apo umenena
@jacksongeorge3964
@jacksongeorge3964 Жыл бұрын
Haya majamaa ni ma PANGA'NGAA ,sweka hizo PUNDA ndani wanapotosha Raia itakujatokea na ya SHAKAHOLA kenya
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Жыл бұрын
Kanisa la waadventist wasabato wajibu hili, laki kwa huyu Bwana hakuna ukweli. Biblia imesema mshike sana elimu usiache aende zake
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Жыл бұрын
Unafikiri mkiwekwa mtu kati na huyo msabato utamshinda kwa hoja? Kishawaji elimu inayoongelewa katika mstali huo wa bible ni ile ya kumjua Mungu ambayo ndiyo hiyo yeye anampatia mtoto wake. Mbona DC kaishiwa pozi mpaka anaanza kukimbililia eti kama hiyo elimu anayoitoa kwa mtoto imesajiliwa au lah. Kwani sheria ipi inatutaka tukiwafundisha watoto wetu kumjua Mungu majumbani kwetu mpaka elimu hiyo isajiliwe? Isajiliwe kwani imekuwa ni taasisi? Hao jamaa wanaelimu ya Dunia na dini hivyo sio wepesi kama mnavyo fikiri. Kapigwa swali eti mbona yeye alisoma kwanza elimu Dunia jibu katoa ni aliposoma hiyo elimu Dunia aligundua kuwa haina msada kumjua Mungu. Huyo hao jamaa wanakwenda kushinda kesi huko mahakamani na huyo dogo kishamezeshwa sumu hatokubali kwenda shule hata baba yake akifungwa. Ushauri isitumike nguvu jamaa aombwe huko walikompeleka kama alegeze misimamo amwache mtoto aende shule. NB Mimi pia siungi mkono misimamo mikali ya dini na sinaga mpango hata na hiyo dini yenyewe lakini napendaga sana debate za hoja kwa hoja bila kujali ni kutoka kwa mwislam, mkristo au mpagani.
@deusngumba5155
@deusngumba5155 Жыл бұрын
Achen kuichafua iman hakuna andiko linasema hivo, imeandikwa atakapo kuja atakuta watu wakiendelee na shuguli zao
@ramadhanhassan9308
@ramadhanhassan9308 Жыл бұрын
Kichaa tu
@melckyedes5004
@melckyedes5004 Жыл бұрын
kiukwel iman ya kisabato inamafunzo na imani tofauti na uelewa wa wengi maan nkikumbuka kipind kile tena wameweka kambi uwanja wa ndege naishiwa nguvu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
Ilikuwaje ndugu,
@melckyedes5004
@melckyedes5004 Жыл бұрын
@@MiriamAbdallah waliweka kambi pale uwanja wa julius nyerere dar wakiwa hawana pasport wala nauli ila walkua na iman kwamba wanaenda kutangaza neno nje ya nchi maan yalkua maagizo ktoka kwa Mungu🥲🥲
@tridaxprocumbens6079
@tridaxprocumbens6079 Жыл бұрын
Imani ya kisabato haikatazi watu kwenda shule wala hospitali kwa sababu kanisa lina shule nyingi, vyuo pamoja na hospitali. Hawa sijui ni wasabato wa wapi na hata wale waliotaka kwenda ulaya wanazijua imani zao wenyewe. Kanisa wala Biblia haikatazi watu kwenda shule eti kwa sababu Yesu anarudi.
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Жыл бұрын
Ee mungu muumbaji wa vyote ikumbuke tanzania
@endtimes9850
@endtimes9850 11 ай бұрын
YESU ANARUDI HAKIKA
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p Жыл бұрын
Mkuu waweke ndani hata magereza ikibidi hatutaki mambo ya shakahola kenya hapa ni tz hawa ndio kina kibwetere
@Maas-d5d
@Maas-d5d Жыл бұрын
hii ndio imani kwakweli lakini mlicho kosea tu nikukusanya watoto na mkawafanya wasiende shule subhanna llah subhanna llah
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Walikua wanataka kujaza kamisa
@absm8084
@absm8084 Жыл бұрын
Huo ni ugonjwa wa akili Lenyewe linajua kusoma halafu linataka watoto wasijue kusoma pumbapfuuuuuuuuu
@hameesnassoro7158
@hameesnassoro7158 Жыл бұрын
Huwenda Jamaa akawa anatatizo la afya ya akili ni vzr angechunguzwa afya yke kwnza.
@deussasi9285
@deussasi9285 Жыл бұрын
Wako sahihi....kama ushoga unaenda kufundishwa mashuleni unategemea tufanyeje....ni lazima tufanye hv
@Prosperkisama
@Prosperkisama Жыл бұрын
Kila kitu kinatakiwa kuendelea Kama ilivyo yaani shughuli zote halali ziendelee na Yesu Kristo anapokuja maana lazima aje atakomesha yote mema na mabaya!
@NDEWARA
@NDEWARA Жыл бұрын
Tukiwaendekeza hawa wajinga tutaangamia😢😢Upuuzi sana huu wa kuharibu watoto
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Жыл бұрын
Sasa Hawa Jamaa wanahubiri neno la Mungu Ujinga Wao uko Wapi? Mbona waisramu wanawambia watoto wao wasome Elimu ya Dini?
@kutailass6671
@kutailass6671 Жыл бұрын
​@@eliaskahory7116waisiramu na wao watakua hawana akili timam, ila kwa dini safi na salama ya kiislam haina ujinga huo,
@salmabinyaga2357
@salmabinyaga2357 Жыл бұрын
We ndo mpumbavu dini gani inasema mtu asisome bwana we na huyo mchungaji nyote ni manjunja
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 Жыл бұрын
​@@salmabinyaga2357kwani kusoma dini sio kusoma?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
​@@eliaskahory7116Na elimu dunia pia,acha kipotosha
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Home schooling😊 i like the argument
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 Жыл бұрын
Yes kristor anarudi hakuna Shule 😢
@Benzo_Mkemia
@Benzo_Mkemia Жыл бұрын
Ndo yale yale ya Paul makenzi kule shakahola Kenya
@mtimti3912
@mtimti3912 Жыл бұрын
Vipi na hawa watoto wa mtaani walio jaa huko pia chukueni hatua na kuwakamata wote waende shule
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Жыл бұрын
Hizo namba ni za Fillmason ..hizo anaxotajahuyo.jamaahapo. wanatumia masweitwani. Rusfa
@BarakaWicklifu
@BarakaWicklifu Жыл бұрын
Kwa kweli Mungu Atusaidie sana Wasabato kila siku tunafungua shule tena kwann tuwe chanzo kukwamisha elimu kwa watoto hao ni Afya ya akiki plus kuvurugwa na Maisha So wanatafuta nyia lahisi ndo maaana wameamua kuingia kwenye ushez tuuu
@africa7479
@africa7479 Жыл бұрын
tunatakiwa tujifunze Elimu zote hyo ya maisha yajayo ni muhimu na yamaisha ya sasa ni muhipi pia kwasbb tunaishi sasa
@ericsonkibasa7513
@ericsonkibasa7513 Жыл бұрын
Kuna jamaa moja ilikua kila mwalimu akitangaza test jumamosi hafiki akiulizwa anasema iheshimiwe siku ya sabato😂😂😂😂 wasabato wana misimamo buana so mchezoo😅😅
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Cheza na watu wote na si wasabato,mmoja tabora alirudisha mpaka pesa za semina alizolipwa kisa mtihani wa mwisho ulipangwa jumamosi,imagine malipo ya siku 28
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Kwenye imani kunaujinga mkubws sn
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 Жыл бұрын
kwa hali ya ajira ilivyokua ngumu kusoma sas iwe ni hiari sio lazima 🤣🤣🤣
@langotv5071
@langotv5071 Жыл бұрын
Ugumu wa maisha umewapa tatizo la afya ya akili mpelekeni Mirembe akatibiwe
@AgreyYona
@AgreyYona Жыл бұрын
Hao sio waadventista.ni mapandikizi tu.isaya 8:20
@Punda284
@Punda284 Жыл бұрын
Tunaposema ukristo bila utatu mtakatifu ni ufarusayo watu hawaelewei,hao watoto wakikosa Elimu nao watashindwa kupata habari njema za Kristo kupitia neno la Mungu.Wasabato ni wasomi.Tunategemea Mungu na kuheshimu mamlaka zilizoko Kama tunavyoagizwa na Mungu.
@magdalenachissanga9564
@magdalenachissanga9564 Жыл бұрын
Mungu asaidie huyo mzazi hayo ni mafunuo ya minimum wala siyo ya Mungu. Mungu ndiye aliyesema shika sana elimu usiache iende zake
@emmanuelshavunza4314
@emmanuelshavunza4314 Жыл бұрын
Hapo shida ni afya ya akili.
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Izrael mbakasasa imepiga hamasi kwa makombora nakuvunjavunja majengo lkn bado wanapigwatuu na wapiga bunduki watembea kwamiguu, hii ni isharatosha yesu yupokaribu. Maana hata kwenye biblia imeandikwa
@mariachales3283
@mariachales3283 Жыл бұрын
Makezi kafika tz jamani ❤
@mamags8828
@mamags8828 Жыл бұрын
😂😂😂
@mariachales3283
@mariachales3283 Жыл бұрын
@@mamags8828 unacheka
@Philipoupdates
@Philipoupdates Жыл бұрын
Huyu ameingiliwa na roho zidanganyazo anahitaji msaada wa kiroho na hapo anajiona yuko sahihi kabisa kumbe yupo nje na bible Mungu amfungue
@JUSTNEMITOMINGI
@JUSTNEMITOMINGI Жыл бұрын
Analudi kweli akikuta hujamalizia digli itakuaje yuko sawa mtumishi
@HancyKabisama
@HancyKabisama Жыл бұрын
Namuona afande fred hapo anawaza mida iende awahi ziro
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
Nimecheka jamani.😆🤣🤣Anawaza Kinyero tu hapo,au Chocolate.😂😂
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial Жыл бұрын
Mkuu wa Wilaya anahekima sana
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Жыл бұрын
Mkuu wawilaya KASEMA nayeye ni MKRISTO anafunga na biblia anasoma lkn hakujua anaongea na msabato SI MKRISTO kama yeye. Lkn biblia hakuizingatia kwa kusema waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mungu ni wao.SIVYO alivyosema Bwana YESU . YESU KASEMA ......msiwazuie maana WATOTO KAMA HAWA (kama hawa) ufalme wa ............
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Жыл бұрын
NI WASABATO WA MATENGENE HATA VIKINDU WAPO
@eliakimu191
@eliakimu191 Жыл бұрын
Daniel , Musa, paulo pamoja na luka hao niwatumishi wa Mungu waliokuwa na elimu ya juu, sasa wewe unadhani walikosea kusoma elimu hizo? Mithali 3:13 inasema heri mtu yule aonae hekima na mtu yule apatae ufahamu. Sasa mtu atapata wapi ufahamu asipo soma?
@EmmanuelRenson-y2r
@EmmanuelRenson-y2r Жыл бұрын
dini hizi shida sana maisha yamemvuruga huyo ndo mchunga kondoo huyo daaaaaa
@MwajumaKassimu-b4f
@MwajumaKassimu-b4f Жыл бұрын
Hawa wagaratia wengine wanamambo mengine inamaana yesu yupo kariiibu mtoto asiende shule wasabato wenyewe wanasoma shule na wanamaisha swafi
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Hii dunia inaendaje jamani yeye mwenyewe babamtoto kasoma adi sekondari ndo mana anauwezo ata wakujieleza yote hayo peleka mtoto shule
@respiciusndyanabo366
@respiciusndyanabo366 Жыл бұрын
Je kama huyo mchungaji amesoma biblia na hao watoto wataisomaje kama hawajua kusoma
@papaamularfins599
@papaamularfins599 Жыл бұрын
Kwani Mackenzi wa Shakaholla Kenya, kashafungua tawi jipya Tz?
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Жыл бұрын
🤣🤣
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
Kidogo kidogo tunaona
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg Жыл бұрын
Jamani mkuu usipoteze muda huyo maisha yamempiga kwanza
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Жыл бұрын
Asaidiwe arudi chuo hayuko vizuri
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 Жыл бұрын
Hatari sana tusikubaliane nayo kabisa
@nixonmwezimpya9522
@nixonmwezimpya9522 Жыл бұрын
hii nchi uhuru umezidi
@amisseachiro2734
@amisseachiro2734 Жыл бұрын
Makenzi wa 2
@ibrahimwilliam6410
@ibrahimwilliam6410 Жыл бұрын
Jamaica Ana Point sana ila maandiko hajui
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
I Am Not A Monster: Schizophrenia | Cecilia McGough | TEDxPSU
14:41
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 453 М.