UNYAKUO UTATOKEA MWAKA 2026,NI HESABU ZA KIBIBLIA NA MUNGU AMENITHIBITISHIA|Ask.Alexander Mgunda

  Рет қаралды 37,682

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 220
@godfreymollec8206
@godfreymollec8206 Жыл бұрын
Hatupingi neno au maono ya huyu mzee kwa sababu neno la mungu linakuja kwa njia nyingi hata wakati nuhu aliambiwa tengeneza safina watu wakapuuza mi nalosema tukae katika kumpendeza bwana tukae na utakatifu kila wakati endapo siku inafika upatikane ukiwa ktk mikono salama ya mungu
@belovedflorence4109
@belovedflorence4109 Жыл бұрын
Huyu mzee anamjua Mungu. Anasisitiza sana kwamba Mungu yupo ndani ya mtu na siyo dhehebu wala dini. Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili yeyote aaminiye asipotee...
@MamaLio475
@MamaLio475 Жыл бұрын
I see God in Christ Jesus in this old man.... Glory to Jesus
@EnockKibona-xe5hp
@EnockKibona-xe5hp Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mzee mgunda kanisa niwewe mwenyewe ukinyakuliwa wewe vijana bado wataendelea kuchapa injili DUNIANI.
@TrezaPeris
@TrezaPeris Жыл бұрын
😂
@reginaruta3249
@reginaruta3249 Жыл бұрын
Mungu akubari baba yetu tunakushukuru kwa kutufikishia ujumbe. Mwenye masikio na asikie
@MaryMuigai-zj8fz
@MaryMuigai-zj8fz Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana happy umefika sio nguvu zalo Bali ni neno lake Mola, Uishi Hadi Bwana wetu Yesu kurundi kwake Amena na Amena umbarikiwe Amena.
@MussaMabula-qg6rm
@MussaMabula-qg6rm Жыл бұрын
Mahesabu ya miaka huwa tunatumia kalenda ipi? Maana waethiopia wana kale nda yao waislam wanayo waislael kalenda yao je sis tunatumia ipi je tunajuaje kalenda ipi iliyosahihi Zaidi kwa Mungu kuitumia? Maana miaka ya 20000 tuliambiwa nimwisho na haujatokea. mwisho yetu hi
@tamarali8325
@tamarali8325 Жыл бұрын
Amen Utukufu kwa Yesu. Barikiwa baba. Promover TV be Blessed
@MAONYOTVTANZANIA
@MAONYOTVTANZANIA Жыл бұрын
Pingeni tu mwewezavyo Neno moja mfahamu Yesu anakuja upesi hakuna ajuaye siku Wala saa jiandae tu ,
@edwardlaizer1522
@edwardlaizer1522 Жыл бұрын
Kuja kwa Yesu ni uhakika ila hatui siku wala saa jiandae
@risperladee5718
@risperladee5718 Жыл бұрын
Hata yesu mwana wa MUNGU hajui
@ellenkalinga6860
@ellenkalinga6860 Жыл бұрын
Mzee mwenyewe ni ushuhuda tosha. 82 years hatumii miwani ananikumbusha habari za Musa macho yake yalikuwa angavu hata uzee wake na kifo. Kumtegemea MUNGU kuna faida.
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 Жыл бұрын
Mungu wangu unirehemu mimi. Nimepokea kitu kikubwa hapa na sikuwahi kufikiria. Mungu akujaze wingi wa siku Mzee wangu. Asante promover
@OwenMgoba
@OwenMgoba Жыл бұрын
MUNGU ambariki huyo mzee vijana wezangu tumgeukie mungu wetu
@zahakiosward1575
@zahakiosward1575 Жыл бұрын
Hatakama haitakuwa hivyo ila heli yako mtumishi wa BWANA naona maandalizi yako kuusu kwenda na YESU ni makubwa sana nautamani moyo wako
@mathewmutuki-qh3tn
@mathewmutuki-qh3tn Жыл бұрын
Mzee GOD bless you for your message it's very important we have understood the time, GOD shows everything to his personal people be destroying the world
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Amen Amen, NIKWELI YESU KRISTO ANARUDI, ila hakuna ajuaye siku Wala saa, Bali tujiandae na kujitakasa Kila wakati................( Luka 17:20........ Na alipoulizwa na mafarisayo, UFALME WA MUNGU utakuja lini?? Aliwajibu akawaambia, UFALME WA MUNGU HAUJI KWA KUUCHUNGUZA,,Wala hawatasema, Tazama, upo huku au huku au kule, Kwa maana Tazama,UFALME WA MUNGU umo ndani yenu. ( amen)
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 Жыл бұрын
Nice INTERVIEW very composed. Lord bless this man of Jesus. Message imefika
@GetudaRashidy
@GetudaRashidy Жыл бұрын
Yesu atusaidie Sana tuishi maisha matakatifu kwa kujiweka tyr haijalishi ni lini atarudi kikubwa ni kumtii Mungu2 hatujui siku Wala saa barikiwa Sana mzee mungu akutunze umalize vyema
@helenbahati8038
@helenbahati8038 Жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ufunuo huu Kwa kweli kitabu cha UFUNUO kinafunuo yote kwa wele wanaosoma kitabu hiki, wenye kupinga wacha waendelee kupinga, jana la BWANA litukuzwe milele Amen Amen
@tabithajeremiah4589
@tabithajeremiah4589 Жыл бұрын
Inavyoonekana watu wengi hatutaki kurudi nyumbani bado tunatamani kuwepo kuwepo Duniani,nimesoma comment nyingi nikawa ninatabasamu,kwani tatizo liko wapi Yesu akirudi 2026? Unadhani Mungu atasubiri kila mmoja akamilishe mipango yake ya maisha ndio mwisho ufike?Yeye haangalii matakwa yetu,anachopanga kukifanya anakifanya kwa mapenzi yake.KUWA TAYARI KURUDI NYUMBANI KWETU.
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Жыл бұрын
Mzee asante kwa kalenda.Lakini siku ya mwisho hakuna ajuaye hata mwana wa adamu hajui.Tumepewa kuzitambua nyakati na dalili.Mhimu tuishi maisha ya kujitkasa.umenikumbusga mzee Kulola kila mwaka alipokuwa akisimama furahisha alikuwa akituaga akisema mwakani ni siku za mwisho,Ila tuliendelea kumwona mpk ameondoka mwaka2013 aliacha bila mwisho wa dunia kufika.Tuushi kwa kuzijua dalili za siku ya mwisho japo mwaka na siku hatujui.
@EliasKisuma-kg7qf
@EliasKisuma-kg7qf Жыл бұрын
Yuko Roho mtakatifu atakaye tujulisha yote
@irenejames110
@irenejames110 Жыл бұрын
Unyakuo umefika ndugu
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
hajasema siku wala saa. amesema mwaka. so nafikiri siku na saa hatutajua ila wakati tutaufahamu
@deogratiasmnubi8783
@deogratiasmnubi8783 Жыл бұрын
La muhimu zaidi hakuna ajuaye siku wala saa ila tukae Kwa KUKESHA
@petermaziku5554
@petermaziku5554 Жыл бұрын
Kwanini unasema hata mwana wa adamu hafahamu,,,Yesu kwa Sasa Yuko mbinguni sure anajuaa
@issachege5606
@issachege5606 Жыл бұрын
Bro and sister 😢naomba tu mpewe kibali ya maono ndio mjue kuna life after death mi siwezi pinga lolote haya nayajua yote nkweli ila watu watapinga tuu😢Skuzote mungu aitwe mungu 2 nimemuona yesu Ana kwa Ana yupo na anaishi milele mungu tufungue machoo sote tusimezwe na jehanam😢
@mercykasyoka4007
@mercykasyoka4007 Жыл бұрын
Umemwona yesu wapi...?
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
tunashukuru kwa comment yako hiyo lkn please jina la Mungu aliye hai na Yesu Kristo Mwokozi wa ulimwengu wote ni marufuku kuliandika kidharau-dharau, anza na herufi kubwa, kuwa na heshima basi
@issachege5606
@issachege5606 Жыл бұрын
Siwezi kueleza ata nkijaribu uwezi elewa naomba tu upwards na ujaliwe maono ndio uwelewe juu ata nkiharibu kukueleza utampinga 2 bt ivo ndio tulivo wanadamu naelewa vile nuhuu alipingwa na wanadamu bt what followed 😑
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 Жыл бұрын
Tunaishi kwa maono au kwa Neno la Mungu, acha kuharibu neno la Mungu mna mzingizia Roho Mtakatifu, kasema 2026 na hesabu zenu Zaki mjinga Yesu alisha Kuja, 1Yoh 5:20 kasome hiyo uelewe BIBILIA ndiyo Ufunuo wa Mungu pekee akuna Ufunuo mpya tena ishi Neno la Mungu, kila mtu nilipo kuwa naomba Yesu akasema nami, ivi wewe unajuwa, Yesu kule nyikani alizughumza nani wewe mpende Yesu Kristo ndani yake mna mapenzi ya Baba Yesu alisha tupa Ufunuo wote sasa unakuja na Ufunuo mpya wawapi wewe mtu wa upande gani wewe, nawengine walitiwa upofu, mna sapoti upotovu, hii ndiyo kazi mbaya mtume Paulo alilia kuhusu manabii wa uongo, nikupotosha ukweli wakati wote, tambua Mungu ni Roho, na shetani ni roho ila ukisikia kila kitu kwa maono nabila kukifanyia kazi wengi mtapotea, nasema tena Kuna watu mtapotea nakuibiwa Sana msipo kuwa makini, Kibwetele alisema hivyo, shakahola ivi uwa natafakari mnapo comment
@pablovicpabloski7929
@pablovicpabloski7929 Жыл бұрын
JESUS IS COMING SOON LISTENING FROM KENYA
@apostlezizi
@apostlezizi Жыл бұрын
Amen mtumishi,ni sahihi kabisa kua MUNGU hakai katika dhehebu bali katika neno,tusome neno kwa bidii ndio njia pekee ya kuwatambua wanaojiita watumishi wakati ni mbwa mwitu
@AgnesVenance-z9u
@AgnesVenance-z9u Жыл бұрын
Mzeee Mungu akubariki sana,
@jaminusisanga607
@jaminusisanga607 Жыл бұрын
Jamani Jamani mzee nakuomba umalizie vizuri safari yako.
@sostenemunihire60
@sostenemunihire60 Жыл бұрын
Bwana wetu yesu christo atu saidiye sana tuweze ku fika sikuhiyo salama
@Peace.2018
@Peace.2018 Жыл бұрын
Amina, ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 10 ай бұрын
Hongera baba yaani nimejifunza kwako kuwa biblia iko akilini na moyoni kwelikweli. Mhh. Kwakweli tunapaswa kuyasikia na kuyafanyia kazi. Mungu tusaidie
@annachachage4931
@annachachage4931 Жыл бұрын
Ameeni!! Nimemuelewa mzee, MUNGU aendelee kumtunza, kweli MUNGU hana dhehebu,yupo na anaishi popote anapatikana kwa yeyote anaekuwa tayari kumkaribisha nae atakua baba kwake,tuwe ktk kumsubiri BWANA YESU KRISTO akirudi atukute tayari tumejiandaa.
@PAULINALAIZER-b6e
@PAULINALAIZER-b6e Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kufikisha ujumbe wa bwana
@marthaumazi2197
@marthaumazi2197 Жыл бұрын
Amen 🙏 Mungu akubariki sana mzee wangu.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Жыл бұрын
Barikiwa mzee wa miaka mingi umeshiba neno na siku ...barikiwa sana
@selestinimassawe3601
@selestinimassawe3601 Жыл бұрын
Yesu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu
@josykogei7647
@josykogei7647 Жыл бұрын
Mungu tusaidie tusifumbwe macho na ibilisi tuendele kupiga watu mkeshe kwa toba na maombi mahana mungu anasema hamjui siku wala saa,unaeza ngoja 2026 alafu ukose kufika jamani wee ghaii lord have mercy
@lisawanjiru4773
@lisawanjiru4773 Жыл бұрын
Iknow he might look like he is out of his mind but woe onto you if it happens prepare be ready always
@josykogei7647
@josykogei7647 Жыл бұрын
I saw someone laughing,but it might seem fanny to other but we put trust in the word of God,mungu anasema tusipuzie unabii wake Mimi nakubali pia nikikesha kwa toba
@ufunuoministry
@ufunuoministry Жыл бұрын
​@@josykogei7647😂😂😂 🤣🤣🤣!!!!!!!!!
@ellyitete938
@ellyitete938 Жыл бұрын
Ishu NI kujiweka tyr ....so kupuuzia
@SiphirahWaithira
@SiphirahWaithira Жыл бұрын
Very true 🙏🙏🙏
@angiemkusa3845
@angiemkusa3845 Жыл бұрын
​@@josykogei7647😅😅😅😅😅😅
@SeifumpeliMpeli
@SeifumpeliMpeli Жыл бұрын
Huyu Mzee akifa Leo anakwenda motoni mungu amsamehe shetani amemhadaa
@drmaryjohnmponda3484
@drmaryjohnmponda3484 Жыл бұрын
Yesu tunaomba rehema.Amen
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Alexander Isaih Mgunda. Natamani kumsikiliza mtumishi huyu mtu mzima. 1973 Moses Kulola akiwa ARUSHA alitumika NAYE miaka 50 kunjilisha! BARIKIWA BABA.
@jonasprosper-ew3gi
@jonasprosper-ew3gi Жыл бұрын
Mungu atuwezeshe.Hapo sipingi
@dorsandollah3384
@dorsandollah3384 Жыл бұрын
Mungu anisaidie tu
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 Жыл бұрын
Amefunuliwa na Mungu, hajafunuliwa na Mungu umuhimu ni kumtii Mungu tu na kufuata sheria zake maana ni kweli mwisho wa dunia waja na jehanam ipo so tukaze bidii tujipushe na moto huo wamilele
@simonnsengiyumva1000
@simonnsengiyumva1000 Жыл бұрын
Nandio kwama Yesu akisema eti kwanyinyi mko hapa panawenye hawataona kifo kabla sijarudi,basi nyakati hizo saa ya Mungu imesimama tukawa kwenye mda wa Neema!!!
@martinehangi8174
@martinehangi8174 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa ujumbe huu hâta Kama Biblia inasema kwamba Siku n'a saa haijulikani .mimi ninaamini kwa muda imeisha tuée tu tayari kwa dalili zote kama sindanganyike zimetimia
@marionoti5760
@marionoti5760 11 ай бұрын
Acha uwongo, hadaa na hila kwa viumbe vya mwenyezi Mungu. mumekuwa matapeli wa injili, na kujipa majina makubwa makubwa kwa nia ovu.
@SiphirahWaithira
@SiphirahWaithira Жыл бұрын
Everyone be ready, prepare the ways of the Lord, for no one knows the day or the time for the second coming of Jesus Christ 🙏🙏 he may look as if he's out of his minds,but God is on the way to take us home🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@christophermotonyi2547
@christophermotonyi2547 Жыл бұрын
Wasomali mnakuja sana be careful with false prophets
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 Жыл бұрын
Kweli apa kunasomo makini sana
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Hongera baba kwA kukumbusha watu
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Mie hufurahia mambo ya MUNGU kupitia kwa jina la Yesu Kristo ila kuhusu tarehe na siku.... Tutoke hapo.
@sirpleasureb
@sirpleasureb Жыл бұрын
8:49 / 1:13:09 PASTOR IBRAHIM,msomali mtafute umuhoji tafadhari
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Жыл бұрын
Mbaya zaidi wasiostahili hawatajua unyakuo utakapotokea, maana watakaoisikia sauti ya parapanda ni wale tu watakaonyakuliwa.
@LazimaEmanuel
@LazimaEmanuel Жыл бұрын
Mzee mwachie mungu hayo yote hata ajaye hajui jitaidi kujitakasa tuu
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx Жыл бұрын
MUNGU naomba uamsho ndani yangu. 🙇🏾‍♀️
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Wajina wangu Alexander mgunda
@njiailiyonjema
@njiailiyonjema Жыл бұрын
Mwenye dhambi aache lakini suala la 2026, sisi tupo hapa kama kweli atatokea.
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Huo ni mwisho wko mwenyewe yesu mwenyew alikataa kuwa ajuaye ni mungu unabii rudi kakta maandika ya Mungu biblia tubu umalize salama
@titusmumo54
@titusmumo54 Жыл бұрын
Kweli kabisa mafundisho ya bibilia c kwenda bible study n Mungu hufundisha , ujumbe wa kweli kabisa kwa wale wanaelewa na bibilia na wanaoisoma vizuri na kwa umakini
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Yesu amesema hata Yeye hajui, sa vp mwanadamu
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
Macho yake tu yanaupako wa kutosha ubarikiwe sana babu
@stephanomakoye6936
@stephanomakoye6936 Жыл бұрын
Kwa kawaida mbinguni kuna namba 7 hakuna namba 8,,dunia ilisimama ndani ya siku 6 na siku ya 7 alistarehe, siku 1 ni sawa na siku 1000 kwa MUNGU,,kizazi cha Adam kiliishi miaka 2000,, baadae kikafutwa kwa maji kikaja kizazi cha nuhu nacho kikaishi miaka 2000 jumla miaka 4000 amabazo sawa na siku 4,,kikaja kizazi cha neema(YESU) ,,naye YESU alisema kizazi hiki hakitapita yote yatimie ,,tumeishi miaka 2000 jumla miaka 6000 sawa na siku 6,,siku ya 7 ni miaka 1000 ambayo tutatawala na kristo,, YESU aliishi miaka 33 na nusu,,ukitoka hiyo na miaka 7 ya mpinga kristo utaona siku zilizo baki kukamilisha siku SITA,
@elleng5227
@elleng5227 Жыл бұрын
Weeeh kwa kifupi muda umeisha, kama una make sense hviii @stephenomakoye
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Anajichanganya Ila promova please Ebu jitaidini kupata kibari cha roho mtakatifu Mtume ukweli maana kunawengine watapotea na manabii wa uongo
@serahmatiru3741
@serahmatiru3741 Жыл бұрын
Huwo ni ukweli kabisa!! Asante sana kwa ufafanuzi huwo !! Hesabu ya Mungu sio Kama ya mwanadamu!! Kwa mfano anaposema , one can chase 2000 but two can chase 10,000 ! Deuteronomy 32 : 30 .
@gloriousfrancis8201
@gloriousfrancis8201 Жыл бұрын
kweli kabisa ndugu yangu lakini ujuwe siku ya saba tumeshaianza ambayo ni siku ya tatu Yesu alisema atalivunja hekalu na kulisimsmisha kwa siku3 na kweli ufslme wa Mungu utasimama siku hii ya tatu amvayo tumeanza mwska wa elfu3 Asante pia kwa mafundisho ysko
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
@@gloriousfrancis8201 alimanisha kifo chake
@kizandume3015
@kizandume3015 Жыл бұрын
Amena mtumishi wa mungu
@paulinambuba9439
@paulinambuba9439 Жыл бұрын
Tukae na mngu vizur kisa umeambiw 2026 nd ujio bas ndo uuze vitu yaan inaweza ikapita na maisha yakaendelea kama kawaida
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 Жыл бұрын
Mzee mgunda unazeeka vibaya,unyakuo hata Yesu mwenyewe alisema hajui wewe umejulia wapi!?
@fitinamarando
@fitinamarando Жыл бұрын
Mzee wetu ubarikiwe sana --Dsm
@fitinamarando
@fitinamarando Жыл бұрын
Mtumishi Jactani hongera sana nawapenda. Mungu akubariki sana --Dsm
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Жыл бұрын
Unajuwa wengi awapendi kusoma Bibilia.Hakuna ajuwaye kuja Kwa yesu Mathayo 24:1 naombeni msome fungu hlo sana nilamhim sana
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Usibishe, muulize Mungu Atakujibu. Mungu hawi mbali nasi. Soma Amos 3:7
@samludo5435
@samludo5435 Жыл бұрын
Usikubal neno lnasema hakuna ajuae siku wala saa ya mwanawaadam kurud unaeza kuta unyakua ni wik ljaro so maboya wnakua washapotezwa watakao kaa kusubl 2026
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
​@@samludo5435add hzo namba utapata 1 ambapo tafsr n Wakat wa Mungu
@pendaelkaaya1930
@pendaelkaaya1930 Жыл бұрын
Nyie msioamini kwan mkiamini mnapungukiwa nn??kwanza nashukuru Sana Mungu kwa ajili ya Alexander!!hizo hesabu za Biblia siyo mchezo..kikubwa tujiandae dalili zote ziko waziwazi,God help us🙏 na pia kumbe ckujua kumbe chukizo la uharibifu lilishatokea yan nguruwe kuchinjwa kwenye hekalu!!! Kiukwel hatuna🕐
@nomamatata754
@nomamatata754 Жыл бұрын
Sijui sana biblia wala sijidai naijua lakini nina jua YESU anakuja kama mwizi....hakuna ajuaye....hata mitume hawakujua..............TUSIDANGANYIKE.
@mbondok5828
@mbondok5828 Жыл бұрын
I sense the love of Christ in this old man, Askofu Alexander Mgunda. However, I don't agree with him giving us the exact year of the 2nd coming of our Lord Jesus Christ to rapture the church coz the Bible says in Mathew 24:36 “But of that day and hour no one knows, not even the angels of heaven, but My Father only".
@jamesonkibangara8204
@jamesonkibangara8204 Жыл бұрын
Huyo Mzee Alexander Mgunda ameeleza kwa kadri ya uwezo wake wa kupanga matukio na hesabu alizo fanya. Ni research yake. Hivyo mtu asimhukumu. Je, wewe hata hayo aliyodadavua unayaweza?! Bado akili yake iko vizuri. Siku Wala saa, Wala mwaka havipo kwenye kalenda ZETU, ila kwa Mungu. Tuamini tu kwamba kanisa litanyakuliwa na mwisho upo. Hata kanisa likinyakuliwa mwisho wa Dunia UTAKUWA bado. Asomaye na afahamu.
@nabiiwaisharaonlinetv9863
@nabiiwaisharaonlinetv9863 Жыл бұрын
NI UONGO ULIOTUKUKA NI MARA KARIBU TANO WALITABIRI STAILI HII NI UONGO HATA HESABU HAZIPO ZA UJIO HAPO MTANIAMINI MBELENI UONGO MTUPU HUO
@nsengiyumvaoseki3004
@nsengiyumvaoseki3004 Жыл бұрын
Mzee Mungu amekufunulia kuhusu kifo chako. Hayomahesabu kuhusu unyakuo wa kanisa kutokana na maono ya Daniel wengi walishindwa. Acha kujichanganya
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
😊
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Kama unafahamu elimu y namba kwenye ulimwengu wa roho uki add napata 1 ambapo ni namba y Mungu ajuae n Mungu hata yesu aliwaambia mitume kwamba sio kazi yenu kujua nyakati au majira aliyoyaeka baba katika mamlaka yake mwenyew
@joyprecious8822
@joyprecious8822 Жыл бұрын
Sijaelewa kabisa,Ni ufunuo ,Maono au Ni hesabu za mzee wetu Mgunda
@MamaLio475
@MamaLio475 Жыл бұрын
Crowdfundr...iyo kampeni ya Jenga makanisa ingia website ya Crowdfundr ni wanasaidia watu mbalimbali Kwa kazi ya Mungu ktk Yesu Kristo.
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 Жыл бұрын
Anasema Mungu habagui dini yo yote ila biblia iko wazi kuwa wale ambao hawaamini kwa Yesu kama mwana wa Mungu aliyetufia msalabani tayari wamelaaniwa kumaanisha wasipookoka na kutubu hawawezi kuingia mbinguni. Na hapo ndo kuna waislamu, wahindu na kadhalika.
@ammykissbeats3296
@ammykissbeats3296 Жыл бұрын
Usiseme Etty watu Fulani walisema kama huyu na haikutokea wewe jiandae kuwa tayari taa yako iweke mafuta
@denismugisha2
@denismugisha2 3 ай бұрын
Ni kweli Yesu anarudi lakini hakuna ajuaye siku wala saa Jichungeni sana kila kitu tufanye kwa kuasi na kwa uongozi wa Roho Mtakatifu,...mambo haya ya unabii yamewaletea shida kubwa kanisa la SDA
@andersonchongoma1723
@andersonchongoma1723 Жыл бұрын
Nakataa unabii huu KWA sababu kama ni kweli ,unabii huu utapinga a na mafundosho yaYesu Kristo aliyosema kuwa siku ile HAKUNA ajuaye ila BABA peke yake ... Mungu gani amekuthibitishia ?!!?!??😢😢
@njiailiyonjema
@njiailiyonjema Жыл бұрын
Tunachezeana akili sana watu wa Mungu, Mungu sio huyo
@FaithKiongo
@FaithKiongo Жыл бұрын
Unabii wawakati hatuna chamuhimu nikuwa tayari
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 11 ай бұрын
Tutubu na kuacha ubishi hayo asemayo mtumishi yanaweza kutokea. Hajataja siku wala saa anasema nyakati
@SeifumpeliMpeli
@SeifumpeliMpeli Жыл бұрын
Mzee moto unamsubiri atubumapema kabla hajakufa ila akifa tunaomba mwandishi utujulishe
@SharonAron-t1j
@SharonAron-t1j 2 ай бұрын
Hata kama sio unyakuo lakini kuna jambo linaweza kitokea la kiistoria na mnaosema kuwa imeandikwa hakuna ajuaye ila baba na mwana, kuna andiko linasema sisi sio wana wagizani hata sıku hiyo ituvamie bali sisi ni wana wanuruni
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 Жыл бұрын
Imeandikwa kwamba "hatujui siku Wala sana bwana ajapo" Tunaona imeongelewa hatutajua siku Ile Wala saa Ile bwana yesu kristo atakaporudi ila biblia haikutaja mwaka. Kwaiyo ndani ya mwaka Kuna siku na masaaa. Imetupasa tu kuomba pengine tunaweza kupata neema ya kujua mwaka Ili kujiandaa ndani ya mwaka huo Ili siku Ile na saa Ile ndani ya huo mwaka tuweze kunyakuliwa
@SostenesMallya
@SostenesMallya Жыл бұрын
kweli jamani MWININI MUNGU NA AHADI ALIZO TUPA. ALIENDA KUTU ANDALIA MAKAO NUUKWELI KABISA
@rebekamwimi1394
@rebekamwimi1394 Жыл бұрын
Wataalamu wamejiandaa mwaka huu ianze new world order. 2023 fuatilia usipinge kila kitu
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
A atusaidie kujiandaaa
@johnmuemawambua6019
@johnmuemawambua6019 Жыл бұрын
Uwongo huu! Hakuna ajuaye siku Wala saa.
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Tujenge vipi yesu hakujenga wala hajapita hata karibu yake
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Unauhakika hakujenga? Lkn hata Kama hajajenga katuagiza kujenga
@AllenNgusa
@AllenNgusa 3 ай бұрын
Yesu alisema hajui siku wala saa. Ila kwa swala la miaka ipo wazi na imeandikwa kinabii. Mfano juma la sabini... Wewe unaelewaje hapo huoni humo kuna miaka miezi wiki siku na saa humo? Tumieni ufaham sawasawa. Tusichojua ni siku na saa tu
@UwezoBwitonde-dc3nc
@UwezoBwitonde-dc3nc 5 ай бұрын
Ndio akomulangoni ilahakuna ajuwaye siku nayeye asema atakuja kama mwizi. Maandiko yasema
@aulamongi2020
@aulamongi2020 Жыл бұрын
hiyo Documents tunaomba U scan then Uitach pls
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
MZEE MDA BADO SANA, TUNADAIWA TU WAKATI HUU KUFUNUA UFALME WA MUNGU DUNIANI KOTE, YAKO MATAIFA MPAKA SASA HAWAJAPATA UHURU WAO ILI UHURU HUO UWAPE FURSA YA KUINGIA KWA UFALME, NA MDA HAKUNA AJUAYE ILA TUKIJUACHO NI UWEPO WA ROHO WA MUNGU KUWA NASI DUNIANI.... UPENDO WA KRISTO UMEJAA DUNIANI,
@YuenPonsiano
@YuenPonsiano 4 ай бұрын
We ndio kipofu wa mwisho.kama hujui lolote tulia Mzee atufunulie
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 4 ай бұрын
@@YuenPonsiano tarehe ngapi haya yanatimia? Wapo watu waliwahi kuweka bango ubungo wakiweka na tarehe naona walikuja kulitoa wenyewe, tupatie date kabisa
@YuenPonsiano
@YuenPonsiano 4 ай бұрын
@@mathayomwashambwa1238 ivi vitu havitakiwi ubishi Sana bola hata 50/asilimia make watu tuu wepesi kubisha saana vitu vinavyohusu MUNGU.ila mabango ya waganga wa kienyeji tunashoboka .ila ni bola ukavianimi visitokee kuliko kutoviamini vikatokea .make asili ya mwanadamu aendako hakujui lakini haachi kwenda ,na wakati alikotoka napo pia amepasahau.
@AllenNgusa
@AllenNgusa 3 ай бұрын
Kma umekuwa msikivu vizur mzee hajasema siku wala saa. Kasema majira tu. Na mambo ya unabii yapo kwenye miaka. Kuwa msomaji na kukubali kufundishwa na Roho mt
@daudaloyce-km4id
@daudaloyce-km4id Жыл бұрын
Kwa habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata Malaika walio mbinguni, wala Mwana ila Baba peke yake, mathayo 24:36
@Nchiyangu23
@Nchiyangu23 Жыл бұрын
Kabla Yesu hajanyakua kanisa, anakuja Musa na eliya ... Je hao Musa na elia wako wapi. Mbona hatuwaoni.. au eliasi wa mwanza ndio eliya.?
@josykogei7647
@josykogei7647 Жыл бұрын
Hii Yako nayo unangoja musa na eliya utangoja kabisa,ju mandiko inasema kizazi hiki kinataka ishara na miujiza, ila ishara Ile wataona Niya Yona peke kama mnangoja ya eliya we sorry
@Nchiyangu23
@Nchiyangu23 Жыл бұрын
@@josykogei7647 sasa nani atamezwa na samaki safari hii😂
@josykogei7647
@josykogei7647 Жыл бұрын
@@Nchiyangu23 si kumezwa na samaki Yona atapeleka injili ya toba,ju tuko na mayona wengi. Wametumwa na mungu ila wamesema mdaa Bado Sasa nilazima mungu awapige kiboko Ile Iko karibu na mauti ndio warudi kupeleka injili wakitetemeka
@Nchiyangu23
@Nchiyangu23 Жыл бұрын
@@josykogei7647 Najua Yesu alisema kizazi cha nyoka ndio akiamini, mpaka kione ishala lakini wana wa Mungu wanaishi kwa iman hawaishi kwa ishara
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
@@Nchiyangu23 yes there you are
@jonasjoe3623
@jonasjoe3623 Жыл бұрын
Hiyo siku haijulikani
@JosephSimatwa-u7q
@JosephSimatwa-u7q Жыл бұрын
Jacktan msafiri Nipe no ya simu yako
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Жыл бұрын
Dalili zinaonyesha lakini mwisho aujuaye ni MUNGU aliye umba mbingu na nchi
@DianaRutaserwa-fh7wk
@DianaRutaserwa-fh7wk Жыл бұрын
Tunachotakiwa kushika ni kujiweka tayari muda wote Tatizo binadamu wameigeuza dunia kuwa ni mahari pao pa kuishi wamesahau hapa tunapita tuko safarini kuelekea Kwenye makao ya milele.
@janiffernduku8547
@janiffernduku8547 Жыл бұрын
Ukiona mchungaji amelea ndevu ndefu ni njia moja manabii wauongo wanatumia ili kuonekana wako serious na hawacheki..iweni makini na msome Biblia la sivyo mafunzo yote ya uongo yatawaingia
@herielkishimbo9052
@herielkishimbo9052 Жыл бұрын
Huyu baba ameokoka. Tatizo inawezekana alitokea dini ya wasabato. Hakuna ajuaye siku. Wasbato walishaongea hivi kama uyu baba, lakini hayakutokea.
@StellaPaul-z9y
@StellaPaul-z9y Жыл бұрын
Jmn
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Amen
@StevenMirindi
@StevenMirindi Жыл бұрын
Sisi ni wanadamu hatujuwi mambo ya Mungu hata kidogo Bibiliya inasema katika kitabu cha Marko : 13:32 Hakuna ajuaye siku hiyo itukuwa lini au saa ngapi hata malaika mbinguni hawajui wala mimi mwana sijui isipukuwa Mungu Baba peke yake. Sasa Bibiliya inasema hata malaika mbinguni hawajui sasa sisi tuliopo hapa duniani tunashinda akili malaika walioko mbinguni? Hata Yesu anasema hajui sasa sisi ni nani kujuwa wakati hiyo? Yesu atakuja kama mwizi hakuna ajuwaye siku wala saa, Jacktan Mungu akusayidiye.
@derickrangimoto1709
@derickrangimoto1709 Жыл бұрын
Unafikiri kuna athari gani? kabla hatujajadili faida
@StevenMirindi
@StevenMirindi Жыл бұрын
@@derickrangimoto1709 unamaanisha nini ndugu?
@costantinemihayo
@costantinemihayo Жыл бұрын
Umesema vyema halafu pia yesu atakuja baada ya dhiki kuu Lakin mpaka leo hatuoni dhiki kuu labda itanza mwaka 2025 Ila kwa upande wa kuja Kama mwivi sio sahihi Yesu atakuja Kama mwivi kwa wale ambao hawasali Ila kwa wanaosali hatakuja Kama mwivi maana wamepewa daridri za kuja kwake Zipo Dariri za kawaida zenyewe tumeshaziona tiar Ila ipo Dariri ya mwisho kuondolewa sadaka ya dhabihu yaaani kuzuiliwa kwa kumwabudu MUNGU dunia nzima Na badala yake kusimamishwa kwa chukizo la uharibifu yaani kumwabudu mpinga Kristi
@barnabazawadi9433
@barnabazawadi9433 Жыл бұрын
Yesu atajaye mambo ya baadaye ambayo hayajaja bado, atashindwa vipi kujua siku ya kurudi kwake? Tunatakiwa kujua muktadha wa hayo maneno ya Yasu kwamba “hata Mwana hajui ila Baba?
@mwebrannia
@mwebrannia Жыл бұрын
@@barnabazawadi9433 natamani hili swala lingejadiliwa ili ieleweke kabisa kwamba Yesu alimaanisha nini kusema "Hata Mwana hajui ila Baba"
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Жыл бұрын
Maandiko yanasema hakuna anayeifahamu ile siku! Hata Mwana haijui. Ninachofahamu ni kuwa mwaka 2026 kutakuwa na matukio mabaya Tanzania 😊
@amosichacha5022
@amosichacha5022 Жыл бұрын
Toka hapa, na hayo maroho yako ya kuzimu!!
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
KANISA NA KURUDI KWA YESU (UNYAKUO)
1:13:39
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 25 М.