Wahudumu wa pikipiki zinazotumia umeme Mombasa walalamikia utendakazi wake

  Рет қаралды 9,465

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Wahudumu wa boda boda za kutumia umeme sasa wanalalamikia uwezo wa pikipiki hizo kuhimili safari ndefu na hata mvua kubwa zinazonyesha. Wahudumu kutoka Mombasa haswa wametishia kurudisha pikipiki hizo madukani, wakisema mpango wa utumizi wa pikipiki hizi uliozinduliwa na Rais William Ruto hauna faida kwao.

Пікірлер: 32
@mpendaamani5733
@mpendaamani5733 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 like thy dint knw it was a shoddy deal... 😂😂😂 trust zakayo at your own risk..😂😂
@willimbuthi7337
@willimbuthi7337 11 ай бұрын
Serikali, tafadhali shukisheni bei ya mafuta, hizi miradi za whatever " climate change" hazituhushu Waafrika.
@HUMBLEBEASTTT
@HUMBLEBEASTTT 11 ай бұрын
These bikes are people in Europe not African countries
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 11 ай бұрын
Hizi bike zipelekwe Eldoret😂😂😂😂😂
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 3 ай бұрын
Kenya wayeeeh
@Wekeaudi-hc3cp
@Wekeaudi-hc3cp 11 ай бұрын
Kwani hamkujua ni biashara
@SaboreOlesenteu
@SaboreOlesenteu 11 ай бұрын
Congratulations ❤❤
@knightmmboga4575
@knightmmboga4575 11 ай бұрын
Ruto hatatwibia adi mate kwenye mdomo
@suleimanjannabo313
@suleimanjannabo313 11 ай бұрын
God help us, Ruto is taking us into depression
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂mimi sitaki hizo
@jabezjedidiah1429
@jabezjedidiah1429 11 ай бұрын
I don't know how and why Kenyans believe anything Zakayo tells them, this man has no good intentions for our country. People wake up from your blindness. Someone initiate a problem and yu cry for him for help???.
@dennisondieki2412
@dennisondieki2412 11 ай бұрын
Kwani hao watu wa bodaboda ni wajinga aje hawaoni ukora umezidi kwa hii serikali ya KK kama bado wanaendelea kuamini hii serikali wacha kiwarambe
@briankwala7923
@briankwala7923 11 ай бұрын
I think ruto scammed the whole country
@mititokevin6878
@mititokevin6878 11 ай бұрын
Nanilikuwa nimewawon🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 11 ай бұрын
Infact waliwapelekea xile zao xa mafuta.
@reubenabugah2137
@reubenabugah2137 11 ай бұрын
​@@vincentndonye7989wajinga sana
@alvinzack
@alvinzack 11 ай бұрын
the chronicles continue
@alicesereti3028
@alicesereti3028 11 ай бұрын
Waja kiwarambe kwani amjui Zakayo
@dennisondieki2412
@dennisondieki2412 11 ай бұрын
Wacha kiwarambe kwani ni wageni Kenya
@williamgithieya840
@williamgithieya840 11 ай бұрын
In which ministry do these motorbikes bussiness belong?????
@shadrackalii457
@shadrackalii457 11 ай бұрын
and the chronicles continues .....
@georgejuma9221
@georgejuma9221 11 ай бұрын
😅😅😅
@nassehkelan7396
@nassehkelan7396 11 ай бұрын
😂😂😂Ruto Tena 2027chiath
@marcusmwai9059
@marcusmwai9059 11 ай бұрын
ni Marcus kutoka ruiru .nina salimia mama yangu ako muranga .pikipiki za umeme hazifai
@maryadhiambo1318
@maryadhiambo1318 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@desistkenya6414
@desistkenya6414 11 ай бұрын
😂
@sarahsuarez2863
@sarahsuarez2863 11 ай бұрын
😂😂😂😅
@yufusmalika8339
@yufusmalika8339 11 ай бұрын
Nyinyi n wajinga kwa nn mulichukua?
@kinangawinny6400
@kinangawinny6400 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
Wakaazi wa Mombasa wajitokeza kuandamana dhidi ya mswada wa fedha
2:12
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 38 М.
Wakaazi wa Mombasa wagadhabishwa na hatua ya serikali kukata rufaa
5:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,5 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Mafuriko yaathiri mikahawa Mombasa
1:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 68 М.
Pikipiki za umeme za Mombasa
3:19
K24TV
Рет қаралды 207
Rais azuru eneo la daraja la Liwatoni mjini Mombasa
2:17
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,2 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 619 М.
Wakazi wa Mombasa wataka rais mteule kushughulikia suala la ajira
10:20
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 14 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН