Walahy hii kazi ngumu mno.ALLAH azidi kuwapa subra vipenzi vyetu.Tunawapenda na kuwaombea duwaa kila siku.
@salimdaawah1235 ай бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@dominicwafula39975 ай бұрын
AllahuAkbar, Alhamdulillah am A Muslim
@HamzaAkilimali5 ай бұрын
Hata hapa Mwanza TZ, kuna Wachungaji toka Kenya, walikuja hawana kitu, wakakuta Watanzania waliosinzia, Mijini na Vijijini.Walifungua Makanisa wakazikusanya Sadaka kwa wingi, toka kwa Wasiojielewa. Wanasombwa Watu hata kwa Mabasi, Madaladala, na Mabodaboda, kila Jumapili toka vijijini. Sasa Wachungaji hao ni Matajiri saana, wamejenga hadi Majumba ya Kifahari, ya Kibiashara katikati ya Jiji, Magari ya Kifahari. (Serikali ya Tanzania, inaangalia tu, kwa kisingizio cha Uwekezaji au Uhuru wa kuabudu) Jamani, jamani, hamuoni Watanzania wenzetu masikini, wanavyonyoywa.❓
@HamzaAkilimali5 ай бұрын
Jamani Wapenda Amani Duniani, tuwaombee sana akina Mwalimu Salim, na wenzake wote. Ili ALLAH Awalinde, awasimamie kuwaepusha na maadui hao wote wanaoibia watu kwa SADAKA UCHWARA. Ukweli unauma sana, lakini Ukweli utabakia kuwa ukweli. "Jamani Waislamu kila Tukiswali ktk. Dua zetu, nao tuwaombeeni ALLAH Awalinde wazidi kuelimisha wanaohitaji kuelimishana.
@Sal.05 ай бұрын
Ai leo kume kuwa MOTO! 🚒🔥 Ustad Ali, be careful, otherwise Vua ya Mave zita nyesha! TabarakAllah Team.
@issarashid14215 ай бұрын
ALLAH awalipe duniani kheri Duniani na Akhera ndugu zangu katika iimani,nawafatilia kila siku nipo Tanzania
@loner_wolf5 ай бұрын
2gether😮😮😮
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@ahmednasib84655 ай бұрын
Alhamdulillah Allah awazidishie Na kuwaweka salama ❤ Mash'Allah Mash'Allah
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@andallaathman38565 ай бұрын
Shida ya mzee ali ni haki hua unaleta rabsha sana wallah tena mzee mashaa llah but maneno mingi yakutupa utakuja siku ufanye wapande mori hao iwe fujo sovizuri ikawa sheikh salim kila time ali ,ali ali ali is too much
@HisMajesty645 ай бұрын
Bora ufuatilie kipindi cha straight path dawah maana humo utaridhika hamna vurugu kama hilo. Sisi tuachie mzee Ali sasa tushamzowea, Alhamdulillah.
@rahilyas2545 ай бұрын
❤😂
@andallaathman38565 ай бұрын
@@HisMajesty64 mm nafuatilia zote sina ushabiki did I mention any channel wacha ujinga hebu kwani mtu kumkosoa mtu hua ndio afukuzwa asiangalie tena darsa ingekua watu hakuna msikitini BC hata moja uislam ni dini ya kukosea warekebishwa so wacha upuzi hapa enda ww Kwa hio channel ya family yako
@faudhiasaidi36695 ай бұрын
Kafatilie Abass online TV
@andallaathman38565 ай бұрын
@@faudhiasaidi3669 ww kafutilie ndacha labda sio muislam ww ndio ikawa waongea hivyo Kwa Abbas siniwalimu WA kislam mm nafuatilia wote
@husseinmwenja43985 ай бұрын
MashAllah MashAllah MashAllah Nlimiss leo kutua ila naona kazi swafeee sana jazzahkallah barraqallahufiq habari wanaipata kwa njia murwa kapsaa ALLAH AWAHIFADHI DAIMA
@hythamhashiem44585 ай бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@abdiidaawah-yv9bg5 ай бұрын
Alhamdulillah kabisa kazi tamu Wallahi
@DhB-z1p5 ай бұрын
Mashallah tabbarkallah masheikh wetu ❤❤
@sonaratz5 ай бұрын
Ahsanteni sana leo nimejua maana ya Jatelo, tuko pamoja nawafuatilia sana kutoka Tanzania 😂
@salimdaawah1235 ай бұрын
Karibu sana masha Allah
@mwangimuhammad-sx9hb5 ай бұрын
Maa Shaa Allah..umemfinya vizuri yule blue shirt boy...kuingato na kihooto
@salimdaawah1235 ай бұрын
Alhamdulillah mpaka kieleweke hapa
@softymoha54845 ай бұрын
assalam aleikuym sheikh ....masha Allah...mwenyezi mungu awabariki nyote mnavyojitolea kuwafunza watu...dini ya haki. awape umri mrefu...awape afya....awaepushe na Shari.... nawafwatilia nikiwa saudia. ningependa kuwauliza,,,mbona huwa hamuendangi...kakamega....kupeleka muhadhara? kwetu ni kakamega lakini sijawahi waona mkienda huko. kakamega town...ukiteremka chini barabara ya kwenda mumias...mahali panaitwa joyland
@salimdaawah1235 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin inn shaa Allah tutapanga ila mikutano ya mbali yahitaji garama because sehemu ya kulala na kula
@faridbashuu5 ай бұрын
Wah !!! Sadaka imeleta Tumbo joto, Allah Awahifadhi na awalinde.
@salimdaawah1235 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@isahbarasa5 ай бұрын
Mashalla watu wanakilii mandiko 👏
@abdiidaawah-yv9bg5 ай бұрын
MashaAllah kazi tamu.....ujumbe unafika in full dose
@salimdaawah1235 ай бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@musanike30795 ай бұрын
Mola awape afya. Mabruk
@bahsansheikh60425 ай бұрын
Risala imefika sheikh Salim
@salimdaawah1235 ай бұрын
Kabisa mpaka kieleweke inn shaa Allah
@hodhanmusa72245 ай бұрын
Ustadh Ali munafanya kazi pamoja lakini ustadh Ali si kwa ubaya mwache ustadh salim ashughulike na hawa wakristo
@IbrahimSheqey5 ай бұрын
Masha allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@amadimagadi79785 ай бұрын
Uyu ustadh Ali hatulii khaa
@HamzaAkilimali5 ай бұрын
Huyo Ustadhi Ally, huwa ana mori, hayo ndiyo maumbile yake Tumvumilie tu.
@thechallangeboystheawadh51955 ай бұрын
MashaAllah BarakAllah
@Idysalim5 ай бұрын
Masha Allah
@abdiazizabdi23135 ай бұрын
Sheikh Salim huyu sadaka amekupoteza wakati lengo lake ilikwa apoteze wakati upande yke amekuwahi tuangalie hiyo co3 wanasoma kutoka kwwnu sio kurudia kitu moja
@salimdaawah1235 ай бұрын
Inn shaa Allah
@Noorein-ws8wk5 ай бұрын
Maa shaa Allah ❤
@Nora-v1m3p5 ай бұрын
Allah akbar Allah akbar Allah akbar wali llah lihamd
@mwangimuhammad-sx9hb5 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah...nawatakia Eid mazbut
@salimdaawah1235 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mina waminkum
@SalimHumud4 ай бұрын
Somo Inshallah Mungu atawalipa awape ( JANA )
@TobaShaban5 ай бұрын
Assalam alaykum warhamatullahi wabarakatu
@salimdaawah1235 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@KhamisJuma-ni1vk5 ай бұрын
Alhamdhulilah
@rizikiali3285 ай бұрын
Mashallah masheikh but huyu kaka nimemuelewa anaka kuelezwa kuhusu hawa wanaojiita waislamu hali hawajaelewa Qur'an wana tumia Qur'an vibaya
@salimdaawah1235 ай бұрын
Okey but yeye amesema kuna watu wanafundisha vijana kuingia katika vikundi na anawajua
@josemu8705 ай бұрын
Allahamdhulla
@qadarkadaz25985 ай бұрын
Alhamdulilah for islam
@SaidMgeni5 ай бұрын
مشأ الله تبارك الرحمن
@faridbashuu5 ай бұрын
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Mwenye Allegations za Uislamu na Terrorism Leo Usiku hatalala 😂😂 Hio ni Full Doze... 😂😂 Barakallahu Feekum Nyotee
@salimdaawah1235 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hapa mpaka kieleweke
@abdallasuleiman87855 ай бұрын
Ni kawaida ya watu ambao wanakuja kusikiliza na emotions. Brainwashed ndio shida yao.
@andallaathman38565 ай бұрын
Mashaa llah neema eid Mubarak in advance inshaa llah
@salimdaawah1235 ай бұрын
Alhamdulillah Allah atufikishe tukiwa hai
@husha63725 ай бұрын
Huyo kijana Ni mchungaji Tarajiwa
@salimdaawah1235 ай бұрын
Inaonekana hivyo because anauchungu sana kwa ajili ya sadaka
@ibruzah0015 ай бұрын
Allahu Akbar ❤
@HisMajesty645 ай бұрын
Huyo wa shirt ya blue anasema sio mkristo wala sio muislamu lakini anatetea "ukristo" kwa hamasa na hasira. Mkristo ukimgusa kidogo tu " ukristo " wake unajitokeza. Hawa jamaa wana chuki ajabu na uislamu. Laanatullahi alaihim
@nayef39035 ай бұрын
Mtu akisilimu anafaa apewe jina la kislamu ikiwa amesilimu hana jina la kislamu inakuwa vigumu kumtambua kama ni mwislamu ni vyema mtu apewe jina hata mtume Muhammad katika seera asema wapeni watu majina mazuri mazuri musiwape majina ambayo sio ya kislamu. Sharti jina la kislamu
@abdallahdoka91735 ай бұрын
Sio lazma Mzee Ali awe katika mhadhara awaachie wenzake wasome yeye atulie Kando na hasira zake
@Zainab_salat5 ай бұрын
Si funny siku ana maneno
@thechallangeboystheawadh51955 ай бұрын
Nawafatilia sana MashaAllah nipo Toronto
@salimdaawah1235 ай бұрын
Masha Allah Mwenyezi Mungu akuhifadhi
@Fumokale5 ай бұрын
As.alykum shaikh salim naomba nikuulize...huyo kijana alie bebanga vitabu ni mtoto wako?❤❤❤❤
@salimdaawah1235 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hapana huyo amesilimu tu hivi karibuni
@Fumokale5 ай бұрын
@@salimdaawah123 asante kwa kunijibu...nakuombea kila la khairi ktk kazi zako za daawa na Allah s.w akujaalie IKHLASW na ukilipe mema kesho akhira tukutane na mtume wetu s.a.w....amiin
@abdallahdoka91735 ай бұрын
Ali akiwa lazma muhadhara iharibike.....hata akiambiwa atulie hataki
@HusseinLimbe5 ай бұрын
😁 ndio anajua kuisoma quran na biblia vile sisi tunapenda Mapungufu hayakosekani ila binafsi hainisumbui kwakeli
@JamilaJumanne-u7qАй бұрын
@@HusseinLimbe😊
@halimohussein82305 ай бұрын
with all respect please salim dawah we love our brother ALI but too much distraction so can u train him to be the camera man and get someone else to read bcoz to much of time has been wasted talking to the ppl,jzk
@aliabdallah84564 ай бұрын
Kama ni hivyo kwenda kuungama kwa mchungaji ili akusamehe dhambi basi wafuasi wa wakatoliki ni wajinga sana sasa huyo binadamu mwenzio atakusameaje dhambi huo ni upimbi na kukosa akili imani ya kweli ni uislamu tu hauna ujinga huo