WAKAZI - "MUZIKI WA BONGO UNAKUFA" / NCHA KALI AMPINGA - TAZAMA MABISHANO!

  Рет қаралды 15,611

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@frankjohachim5405
@frankjohachim5405 Жыл бұрын
Uyu wakazi anaonekana ana ujuaji mwingi ngomazake zenyewe zskichoko anatoa maoni ya hovyo mzik unakufa vep me nimeshuka airport ya Iraq mjini bagdad nimeiskia ngoma ya Zuchu sukari hawa wasenge wasenge ukuwaji mwingi sikaaginao skan Moja One Love brother nchakali umetoa fact sana haraf we mwenyew hip hop nakujua kitambo sana ✌️
@esthermutabuzi4582
@esthermutabuzi4582 2 жыл бұрын
Very true....siku hizi audiences ndio wanaifanya nyimbo iwe hit song with the presence of TikTok and more streaming services besides KZbin! Music wa bongo umeendelea sana kuliko enzi za Wakazi. Wakazi muziki ulimshinda ndio maana hua haoni jitihada za wenzake alafu mbishi Mr. Know it all! Sisi wengine tupo Marekani na tunaona muziki wetu umevuka hebu asitutishe na kuishi huku na sie tumekuwepo 21yrs now ebo😏
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
Wakazi Hana tofauti na machawa ,anakurupukaga tu na ni mjuaji mno,kakalia leo kwa Ncha Kali
@kulengwamabula9508
@kulengwamabula9508 2 жыл бұрын
Wakazi anaujinga mwingi sana.....ni mjinga sana sijui kwann
@issahamisi674
@issahamisi674 2 жыл бұрын
Hajui ktu uyo wakaki anapenda kuonekana anajua
@Moe-Joe
@Moe-Joe 2 жыл бұрын
Wakazi leo umekalishwa.. This beard guy is making sense 💯
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Sanaaaaa😅😅😅
@TheConqueror__Yb
@TheConqueror__Yb 2 жыл бұрын
Na haijawahi kukalisha mtu!
@blessedgreatempire1233
@blessedgreatempire1233 2 жыл бұрын
Jamaa mwenye mzuzu yuko deep sana pure facts
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 2 жыл бұрын
Nipeni hit ya huyu WAKAZI
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 2 жыл бұрын
😂
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 2 жыл бұрын
Nlikua namuonaga wakazi Smart kumbe kuna watu Hatari huyu nchakalih knows wer we came from and how far we've achieved na anajua anachozungumza
@agnesszephania1886
@agnesszephania1886 2 жыл бұрын
Sure...wakazi anabwabwaja tu anajikuta sijui nan
@chingychingy2066
@chingychingy2066 2 жыл бұрын
Uyo jamaa nchakali anaujua mziki kuliko
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 2 жыл бұрын
Cyo ulikua unamuona endelea kumuona vile vile coz hata hapo yupo anajenga hoja na kubishana ni faida kwako kujua mambo.. Kwaiyo ata ncha kali siku akimezwa utamuonaje? Pungunguza ujinga mzee baba
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 2 жыл бұрын
@@chingychingy2066 No doubt
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 2 жыл бұрын
@@rabsontryphon9254 bro mkundu unakuwasha nini?? Sema tunaruka tu kaka... Acha kuzunguka zunguka kuandika maneno yasiokua na hoja yeyte
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 2 жыл бұрын
Wakazi hamjui dokta kumbeneka...dah niko upande wa NCHA KHALI
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Uyu kipele Leo kajaaaa kwa mwenye uelewa zaid
@chefaziz6913
@chefaziz6913 2 жыл бұрын
We wakazi kavu tu hakuna wa kuua mziki wa bongo na hauwezi kufa forever
@francissamson8028
@francissamson8028 2 жыл бұрын
Wakazi ww ni mwanamuziki kwanini usiuvushe muziki kimataifa,
@GeronimoMorgans
@GeronimoMorgans 2 жыл бұрын
Wakazi mjinga wazee😂😂 Ncha kalih anajua kinyamaaaaa
@mbesherejoh4219
@mbesherejoh4219 2 жыл бұрын
Leo huyu pimbi kashikwa kwenye kona Wakazi huna unachojua zaidi ya ubishi mzee
@deniskg310
@deniskg310 2 жыл бұрын
Kwenye maisha tunaitaji watu wenye mitizamo tofauti na yetu,tena wawazi kama Wakazi.
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 2 жыл бұрын
Mitizamo isiyo sahihi huwa inaharimu jambo husika na kuona wafanyao Hawa fanyia,
@kulwanjawa2437
@kulwanjawa2437 2 жыл бұрын
Namuelewa nchah Kali Yuko sahihi sana
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 2 жыл бұрын
Mziki sio jambo la kubahatisha, wala ujanja ujanja... mziki upo calculated kama zilivo tasnia nyingine... big up Ncha kali kwa positivity... huyu bwana mdogo ni lopolopo sana
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 2 жыл бұрын
Tulikua tunatafuta msemaji wa wasanii, kwa maoni yangu Mtu kama Ncha kali anafaa kuwakilisha kabisa, weka like kama unakubali.
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Wakazi Anglesea Mziki wake haukui ningemuelewa kwa sababu tangu nimjue hana Heat Song 🎵
@joezeno8
@joezeno8 2 жыл бұрын
😂😂😂🔥😂🔥
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Wakazi anakuwaga mujinga sana sawa yeye siatukishi boda kama naona haijafuka
@chingychingy2066
@chingychingy2066 2 жыл бұрын
Nchakali anaujua mziki sana kuliko
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Wakazii zwa zwa wivu umemzid
@euvassammy8537
@euvassammy8537 2 жыл бұрын
Ncha Kali Ubongo tulivuu kabisa. Kamkanda wakazi bila papara wala kelele. Wakazi ni aina ya Wabongo wengiii who never appreciates what we have. Asee From today, i will never skip an Interview Crip ya Ncha Kali, What a smart man.!
@fidelekahezi5175
@fidelekahezi5175 2 жыл бұрын
Nchakali anaongea point dans🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 2 жыл бұрын
NCHAKALI NIMEMUELEWA ZAIDI,
@samirshaban1663
@samirshaban1663 Жыл бұрын
Wakazi anajaribi kuulaumu ushuzi anamuwacha aliejamba
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Wakazi anajifanya anajua sana tasnia ya muziki lakini ni mweupe tu, yeye mwenyewe anachangia kuuwa muziki kuimba kiingerza na hiyo sio utamaduni wetu ndio maana mziki wake hausikilizwi
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 2 жыл бұрын
Ncha kali umesort out point kali, wanamziki wanapewa airtime kubwa but yet can't appreciate wakati watu wa biashara wanalipa mapesa kubao kupata airtime ... Big up OLD BLOOD
@jamessimba749
@jamessimba749 2 жыл бұрын
WAKAZI KAPIGWA VYUMA , ANAONGEA UPUPU TU
@loganpoul
@loganpoul 2 жыл бұрын
Wakazi ni Fala Tu Hana ajualo,hua kanajitia kijanja sababu kalisoma uzungu,
@mosesjnr8436
@mosesjnr8436 2 жыл бұрын
Wakazi ni mjuaji tu
@adamsamy7450
@adamsamy7450 2 жыл бұрын
ifike muda wakazi usiwe unapenda kubishana bishana, hauna umri huo, watu hawakufahamu kama msanii wanakuona tu kubishana bishana kila siku, usitutoe kwenye mood, muziki unaendelea kukua kila siku.
@255_apollo26
@255_apollo26 2 жыл бұрын
Nchakali is right ✅, siku hizi audience ndo wanafanya nyimbo iwe hit song au sio. Wala sio kuwalaumu media au wasanii wenyewe.
@SwahiliFilmTz
@SwahiliFilmTz 2 жыл бұрын
Wakazi Anapenda Kujifanya Mjuaji
@zujoboy3699
@zujoboy3699 2 жыл бұрын
Sio kujifunga weee ndoo pua kabisa
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 2 жыл бұрын
Huyu Wakazi Leo Kaoneshwa Kuwa Hajui Mziki ,Nimeamini Mtu Akiamdika Na Akiongea LIVE Ni Tofaut ,Nchakali Nam Follow Kuanzia Sasa Hv ,He Is Very Genius On everything He Talks ,He Makes Sense ...
@hades3431
@hades3431 2 жыл бұрын
Ncha kali.....inachoma📌📌
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
For the first time nashuhudia wakazi akipa mbabe wake🤣🤣🤣kakalishwa vibayaaaa😅😅😅
@jimmykim9833
@jimmykim9833 2 жыл бұрын
Jamaa anakomaa lakini hana hit hata moja
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper 2 жыл бұрын
Braza wakazi ana stress za Muziki
@MrNdanguza
@MrNdanguza 2 жыл бұрын
Mziki wa Leo ni kutengeneza hits mengineo nikubwabwaja ,make A hit achana na majungu .piga midundo ya kisasa utatoboa .
@brizyescoba9006
@brizyescoba9006 2 жыл бұрын
Nilikuaga namchukiaga huyu jamaa ncha kali but damn!! Ncha kali ana maono na knowledge kubwa sana, wakazi alikua anageuzwa geuzwa Kama chapat kila akiweka hoja zake za kiwaki
@Amouradam7
@Amouradam7 2 жыл бұрын
Kwann umchukie jamaa?...😂
@yohannhendrick6820
@yohannhendrick6820 2 жыл бұрын
Ncha kali nakubali
@dalla8186
@dalla8186 2 жыл бұрын
Ncha kali ana ongea points sana sio wakazi ana bwatuka
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 2 жыл бұрын
Nchakali kunywa soda nalipia kwa points zako.
@Chapesamedia
@Chapesamedia 2 жыл бұрын
Leo kakamatwa domokaya hahaha 😆 😂 kaishia kutingisha kichwa tuu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 жыл бұрын
Wakazi Leo kapatikana....hana hojaaa hahahaha 🤣🤣🤣
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 2 жыл бұрын
Wakazi leo kamapata Kazi kweli kweli naona kila akiongea anaongea Utumbo tu
@mubarakahussein9950
@mubarakahussein9950 2 жыл бұрын
Wakazi mjinga kweli !!!!!
@oscalaelias3114
@oscalaelias3114 2 жыл бұрын
Ncha kali saluti bro ..wakazi got non bt jealous
@azizipispo5522
@azizipispo5522 2 жыл бұрын
Waka leo kanya
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 2 жыл бұрын
Watu wa aina ya dada wa kazi ni aina ya watanzania wengi ambao uonea wivu waliofanikiwa ikiwa kila siku tunashauriwa kujifunza kwa waliofanikiwa
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Wakazi anatoa macho anajiuliza huyu jamaa anatoa wapi haya madini🤣🤣
@joezeno8
@joezeno8 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 жыл бұрын
😅😅🤣🤣amepooza km amewekwa maji barid
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
@@saumuimeda5181 ansema yeye ametoka Unyamwezini jana, sasa sijui hiyo hoja ilihusiana vipi hapo🤣🤣🤣🤣
@fidelekahezi5175
@fidelekahezi5175 2 жыл бұрын
Mimi binafsi nimemjua wakazi kwa sababu ya ubishi tu na sio mziki kwani Alianza lini mziki
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Жыл бұрын
Ukiniambia nimpe JINA WAKAZI jina nitakpa Lil Makwapa
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 2 жыл бұрын
Huyu jamaa madevu anajua mzki kwakweli
@mejamiela7436
@mejamiela7436 2 жыл бұрын
Kweli kabisa hakuna nchi ambayo kunawasanii wakubwa zaid ya 20 ata Nigeria n davido, Wizkid na burnaboy ndo wanaozungumziwa Sana ko inawezekan tukiupa mziki wetu nguvu tukawazd ata hao kiswahili kinakuwa kwa kasi sana
@issaramadhan8113
@issaramadhan8113 2 жыл бұрын
Nchakali anajua MZIKI huyo kaziyake kubwabwaja tu
@dineshog8575
@dineshog8575 2 жыл бұрын
Wakazi anajifanya anajua
@evanceburton4364
@evanceburton4364 2 жыл бұрын
Ncha Kali ni hazina
@francismsami2169
@francismsami2169 2 жыл бұрын
Wakazi hatoi hoja anaropoka
@hasheemabby2583
@hasheemabby2583 2 жыл бұрын
Ncha kali unaakili sana we jamaa 👏👏👏
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Kwa msofahamu nchakali huyo mwenye mzuzu ndie mzazi mwenzie na dina marios😀😀😀
@princekarani7836
@princekarani7836 2 жыл бұрын
Eheee! Kumbe
@onyaman7336
@onyaman7336 Жыл бұрын
Hoya wajazi interview hizi kidogo nchakali kakuweka sawa
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 2 жыл бұрын
NCHA KALI NIMEMUELEWA🔥🔥🔥🔥
@bhaleeali8459
@bhaleeali8459 2 жыл бұрын
leo huyo jamaa mjuani kapata anaejua zaidiii hahahah NCHAKALI kamkomeshaaaa 🤣🤣
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 2 жыл бұрын
Wakazi amekutana na kiboko yake😂😂😂
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 жыл бұрын
Namuona huyu ncha kali ndani ya wcb soon
@evanceburton4364
@evanceburton4364 2 жыл бұрын
Kuna sehemu nafikiri Ncha Kali kaweka mabano sehemu ni Jabir saleh tena kwa uzuri tuu
@Markhomestz
@Markhomestz 2 жыл бұрын
Ncha kali anatoa point sana
@timotheokiss4870
@timotheokiss4870 2 жыл бұрын
Kwer vipo vipindi kwenye redio vinazungumzia mziki lakini watu awafuatilii
@officialsaddmfalme5381
@officialsaddmfalme5381 2 жыл бұрын
Wakazi ndio amekufa apo
@chadgalavan
@chadgalavan 2 жыл бұрын
Mziki unakufa WA KWAKOOOO😂
@massive1765
@massive1765 2 жыл бұрын
Wakazi kachezea KO😀😀
@wilbertthomas8530
@wilbertthomas8530 2 жыл бұрын
Wakazi anajaribu kutuaminisha kuwa kila mwana hip-hop ni lazima awe mwanaharakati na uwaarakati ni lazima uwe wrong way na bongo flavour! Hana points amezidiwa na mshkaji
@joshuamwihambi5856
@joshuamwihambi5856 2 жыл бұрын
Kwakweli incha kali ume mpiga na kitu kizito Wakazi maana mmh kumbe Wakazi huwa ni ubishi wa bure tu fact hana
@dalla8186
@dalla8186 2 жыл бұрын
Wakazi mr ujuaji sana..music wake ndio umekufa haha bado ana ishu analogue
@mrnobody-qg6ed
@mrnobody-qg6ed Жыл бұрын
Wakazi ni nan hana hit song wala nn alafu bado mnampa interview
@startwithginegine1891
@startwithginegine1891 2 жыл бұрын
Incha kali anachokizungumza kinaeleweka kuliko wakazi anabishana tu
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 2 жыл бұрын
WAKAZI UNAUWANAHARAKATI WA CHUKI NA WIVU WA MAFANIKIO.
@aziziselemani4437
@aziziselemani4437 2 жыл бұрын
dada wa Kazi A.K.A kubwa jinga Kaingia Cha kike Ana muoneaga Sana diamond 🤣🤣
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 2 жыл бұрын
Wivu mwanangu wakazi... KUNYWA maji fungua moyo kaka
@moviekaa
@moviekaa 2 жыл бұрын
jamaa wenye ndevu nyingi ana points kali afu hata haringi, wakazi anabaki yes,no, yes, no tu
@fidelekahezi5175
@fidelekahezi5175 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 2 жыл бұрын
😂😂😂🥂
@loganpoul
@loganpoul 2 жыл бұрын
Aaliya kitumbo mbwii
@simulizi2632
@simulizi2632 2 жыл бұрын
Point ni kuwa media's they only focusing on contents than music or musicians 🙋🏾‍♂️... Nchakali umeambiwa ukweli bana😫
@geoufo2858
@geoufo2858 2 жыл бұрын
Wakazi anaongea point ila anachanganya na chuki ndomaana aeleweki
@eliahmligite2823
@eliahmligite2823 2 жыл бұрын
wakazi kumbe ujui kuongea point leo umekutana na kiboko hunakitu ww
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 2 жыл бұрын
Huyo dada wa kazi mbona hatuoni muzik wake ukikua yeye aseme kuwa hawezi muziki na hana investments kwahiyo aache wivu
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Жыл бұрын
Wakazi unekutana na kichwa😆
@babap-dn7wq
@babap-dn7wq Жыл бұрын
Ncha kali ndo anaelewa Hii matatatizo ingine iendee shimo ya taka 😂😂😂
@zujoboy3699
@zujoboy3699 2 жыл бұрын
Wakazi
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 жыл бұрын
Unajua shida ya wakazi Nathan watu wanamzunguka wengi upeo wao nimdogo yaan wakazi ndio anawazidi kwaiyo hapo ndio amemaliza mana kila nikimsikilizaga nakua simuelewi kns
@barakabaruti9732
@barakabaruti9732 2 жыл бұрын
Ncha Kali una gauge ya ugoro mdomoni
@oscarmwakibinga1142
@oscarmwakibinga1142 2 жыл бұрын
Video wakati inaisha mwishoni Kuna kitu Cha kawaida kimeongelewa ila nikikubwa sana
@siamee2881
@siamee2881 2 жыл бұрын
You are just mentioning wakazi who is the other guy....name
@partnersah8802
@partnersah8802 2 жыл бұрын
Nchakali wa Clouds
@rashidmajuto3358
@rashidmajuto3358 Жыл бұрын
Wakaz ni front san alafu Hana chochote anachokiimba Cha maana why anakuwa na shobo kias hcho
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 2 жыл бұрын
Mziki haujafa na hautakufa kenge wewe
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 Жыл бұрын
Leo kapatikana mpaka anaongea pumba
@Callkingb
@Callkingb 2 жыл бұрын
😁😂 ni jinsi wanavyo futana Kama mashabiki kwa wasanii wao
Mkasi | S11E04 With Wakazi - Extended Version
55:50
MkasiTV
Рет қаралды 14 М.
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 99 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
HIVI NI KWELI DUDE AGEUKA KUWA USALAMA/MZEE APAGAWA
28:25
Wasafi Media
Рет қаралды 204 М.
NCHA KALI: HIP HOP HAILIPI / WEKA CHINI HIYO MIC, NENDA KALIME
18:09
Dozen Selection
Рет қаралды 5 М.
Wakazi (feat. Godzilla, Mwasiti & Atan) - Kabila Letu
4:57
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН