ALIYEKUWA ASKARI WA JWTZ ASIMULIA ALIVYOFUNGWA JELA MIAKA 9 KWA KUSINGIZIWA TUKIO LA UJAMBAZI UBUNGO

  Рет қаралды 553,089

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Moja ya matukio makubwa yaliyotikisa nchi katika serikali ya awamu ya Nne ni tukio la ujambazi wa uvamizi magari ya kusafirishia fedha zilizotoka Bank ya NMB posta Dar es salaam kwenda NMB Dakawa morogoro.
Tukio hilo lilitokea maeneo ya mataa ya ubungo ambayo kwasasa pana fahamika kama Daraja la Kijazi ambapo ni tukio lililoacha simanzi na majozi na vifo kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi na wafanyakazi wa NMB Dakawa morogoro.
Sasa leo tunaye aliyekua askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ Nazareth Amulike ambaye naye alikumbwa na masahibu makubwa yaliyosababisha kukukaa mahabusu kwa zaidi ya miaka 9 ambayo aliingia 2006 na kutoka 2014.
Nazareth ana mengi ya kutuambia nini kilifanya yeye pia akamatwe kwa kusingiziwa katika kesi hiyo na kukaa jela miaka yote hiyo.

Пікірлер: 1 400
@millardayoTZA
@millardayoTZA 2 жыл бұрын
0742811182 NAZARETH AMULIKE MWAINYEKULE
@gambajunior138
@gambajunior138 2 жыл бұрын
So touched aisee!! 😥😥 , asante kwa mawasiliano yake , nitachangia chochote
@bettychungu138
@bettychungu138 2 жыл бұрын
Ahsante kwa mawasiliano haya
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 жыл бұрын
Ahsante kwa namba
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Mbona namba Mara kwa Mara hazipatikan
@willykaovela5485
@willykaovela5485 2 жыл бұрын
pole
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Narudi tena kuwashukuru wote mliotoa ushauri wenu kwangu juu ya utumishi wake Mungu aliowekeza kwangu naamini kwa msaada wa Roho Mtakitifu utaenda kuwa wazi.Pia nashukuru kwa sadaka zenu na pole zenu Mungu awabariki sana sana na awakumbuke kwa magumu mnayopotia,Amen amen.
@medickdullah4301
@medickdullah4301 Жыл бұрын
0
@medickdullah4301
@medickdullah4301 Жыл бұрын
L
@thomasnyalianga242
@thomasnyalianga242 Жыл бұрын
Pole sana mtu wa mungu
@officialnazatv9654
@officialnazatv9654 Жыл бұрын
@@thomasnyalianga242 asante sana nimeishapoa
@swadatimmbaga7435
@swadatimmbaga7435 Жыл бұрын
Hv usharudishwa lazin
@timothykaiza327
@timothykaiza327 2 жыл бұрын
Huyu mwamba kapitia changamoto kubwa sana, Bila Mungu asingeweza acha amtumikie Mungu. Binadamu wabaya.
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@elizabethbusigara4568
@elizabethbusigara4568 2 жыл бұрын
MUNGU nimwaminifu,atakama tunapatia Changa Moto nyingi,lkn Kuna wakati sahihi Mungu anaotuinua nafaraja yetu kurejea,,🙏nikumshukuru Mungu kwa Kila Jambo,,
@innocentmundekesye5617
@innocentmundekesye5617 2 жыл бұрын
Mwakasege! man of God Hallelujah 👏👏
@mbolikop6419
@mbolikop6419 2 жыл бұрын
Hakuna maneno ya kuweza elezea maumivu yako. Kama sio kumpokea Mungu kwakweli ni either ungechanganyikiwa kwa mawazo ama ungekuwa mtu mbaya sana kwa Visasi. Mungu amekupa neema kubwa ya kuweza kusamehe, Ni faida kwako na kwa wale ulio wasamehe na jamii kwa Ujumla. Binadamu tujifunze ubaya wa chuki na wivu na husda.
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Nimeumia moyo. Allah akupe mema dunia na kesho inshAllah. Ulidhulumiwa nafsi ww, mtoto na mkeo. Utalipwa kwa Mungu.
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 2 жыл бұрын
Kibeeeeeeeeeeeeeeeee.... Weeee huchapwii??
@aikandeshoo5354
@aikandeshoo5354 2 жыл бұрын
Ni hakika utalipwa yote na kuzidi. Kumbuka kisa cha Ayubu ... alipita ... lkn alirudishiwa mara 2 zaidi
@felixhaule7071
@felixhaule7071 2 жыл бұрын
Hizi ndio Changamoto za Mwanaume,Mungu akujalie Ndugu yangu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@albertnyamwanji8890
@albertnyamwanji8890 Жыл бұрын
1) Nimeumia kusingiziwa kesi 2) Nimelia kufiwa na mtoto na mkeo accidentaly 3) Nimelia sana kumpoteza dada aliyebaki 4) Nimeumia sana ulipopoteza hata kazi na mshahara wako nusu 5) Mungu akutie faraja naamini ana mpango mwema bado ni kijana. MUNGU AKUBARIKI KAKA
@officialnazatv9654
@officialnazatv9654 Жыл бұрын
Amen amen asante sana
@jacksonbaitu2424
@jacksonbaitu2424 2 жыл бұрын
Namfaham kaka yangu niliwahi kukutana nae segerea kaka hacha kapitia magumu sana tena kk Nazareth huyu kiukweli alitupa ibada na alisaidia wengi sana
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 2 жыл бұрын
Daa nakufahamu sana kaka tulikuwa wote Sangasanga, ngerengere. Pole sana kaka Nazareth,mchezaji hodari wa mpira
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
upo sahihi kabisa
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Asante bro asante sana
@rehematendega430
@rehematendega430 2 жыл бұрын
Pole kaka yangu story yako imenitia uchungu sana
@faizajuma8821
@faizajuma8821 2 жыл бұрын
@@nazarethamulike8807 naomba namba yako plz
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Subhannallah, ata haya ninayopitia ipo siku Allah atanipa faraja ya hali ya juu, Pole sana ndugu yetu 😥
@petronzengelele7137
@petronzengelele7137 2 жыл бұрын
Mungu mwema Jipe moyo atakufanyie wepesi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
@@petronzengelele7137 Ameen Yarabb 🙏😭
@ayshaseif1775
@ayshaseif1775 2 жыл бұрын
Pole Mungu atakufanyia wepesi
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
mungu atakufanyia wepesi inshaallah , dunia Ina mengi
@datiusrichard753
@datiusrichard753 2 жыл бұрын
Pore sana afande mtafute mama hatakurudisha kazini kazi ihenderee
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 2 жыл бұрын
Daa dogo umeniliza mno stori yako, mtangulize mungu akusaidie katika maisha yako
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
Haki unaweza fika mahali ukaona ni Giza tele mbele yako huoni mwanga tena hauna msaada wwte unaona Mungu amekuacha kumbe hapana Mungu ana mpango naww anakupa funzo dah hakika Mungu ni mkubwa nimejifunza kupitia hili 🙏🏼😓 kumbe ambwene ndo aliimba kuhusu ww? Mungu akutie nguvu kaka umepitia mazito sana 🙏🏻
@paul1985ization
@paul1985ization 2 жыл бұрын
Nimelia sana. Mungu wangu! Mungu yuko pamoja na wewe na kweli wewe ni mtumishi wa Mungu
@niclassicsound871
@niclassicsound871 2 жыл бұрын
Hii stpry inaumiza sana aisee
@AB-wm1zt
@AB-wm1zt 2 жыл бұрын
Pole sana kwa hayo uliyopitia Bro. Kikubwa hongera kwa neema ya wokovu hakika zaburi ya 23 nimeiona ikithibitika kwako Bro. Mungu akusimamie na akufanikishe ktk kipindi chote cha maisha yako ktk Jina la Yesu Kristo.AMEN
@shafiunalibiga7364
@shafiunalibiga7364 2 жыл бұрын
Ukiona mwanajeshi wa JWTZ anasema kunasehem ngumu nje ya jeshi,,,,daaah Fikilia kwa makini,,MUNGU AITWE MUNGU,,,,DUNIA TUNAPITA,,,TUKUMBUKE UMAUTI🙏🙏🙏
@saimonmloka8210
@saimonmloka8210 2 жыл бұрын
Maumivu yanaonekana kwenye uso wako lakini mungu wetu ni muaminifu sana wewe ni kiongozi hongera sana kaka mkubwa
@kelvine1682
@kelvine1682 2 жыл бұрын
Hiyo ndio maana halisi ya misuli ya imani! Mungu hawez kukuacha atakujaza na atakulipa mara 100 ya uliyopitia
@victorchris5144
@victorchris5144 2 жыл бұрын
Kaka Nazareth umeniliza sana sana ila nakiri neema ya Mungu baba haijawahi kumuacha mwenye kumuamini maana kwa utashi na maarifa ya mwanadamu nina imani ungeshawehuka kabisa kulingana na mabaya yaliokukuta,worst enough you are innocent per se😭.Lihimidiwe jina la Mungu aketiye mahali pa juu🙏🏻 Kwa imani kubwa uliyonayo naamini ipo siku milango ya mafanikio makubwa itafunguka mbele yako na yote yaliyopita katika maisha yako yatabaki kuwa kama historia, More than painful life story 😭😭😭ila kwa kuwa uhai bado upo bas nafasi ya ushindi ipo pia,barikiwa sana kaka mkubwa 🙌🏻
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Amina asante sana ndugu yangu
@mussatete2618
@mussatete2618 2 жыл бұрын
Hivi me najionaga nimepitia maisha magumu kumbe napitia maisha rahisi sana tena sana. Mungu anisamehe mimi sipitii magumu
@ramadhanirashidkigoto8445
@ramadhanirashidkigoto8445 2 жыл бұрын
Pole sana kaka kwa yote ulopitia,tuliishi wote Kurasini,ulikuwa mkarimu sana na mchezaji mzuri wa Mpira wa miguu,yalokufika yamepita Neema ya Mungu ikufike na akubariki ktk maisha yako mapya
@moudboss846
@moudboss846 2 жыл бұрын
😭😭 Historia yako na Sauti yko havitaacha kunikumbusha kuwa WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI. Nitakuwa naangalia Ile nyimbo ya Ambwene 😭😭😭😭
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@emanuelmfanga9220
@emanuelmfanga9220 2 жыл бұрын
AMEN👍🙏🙏🙏
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Amina
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Ameeen
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
Ameni
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Ningekuwa tajiri ningekuita nikupe pesa nyingi sn uanze maisha mapya mazuri usahau hayo.
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@neemamichael7875
@neemamichael7875 2 жыл бұрын
Mungu atakupa pesa kwa.moyo wak mzur Usijal
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 2 жыл бұрын
Daah pole sana bro, story yako imeniliza sana,😭😭 kwa yote uliopitia pole sana, ila mm nakuomba nikushauli achana na kesi wala wazo la kutaka kuendelea na jeshi ingawa umri unaruhusu, ktk janga hilo Umepoteza mke na mtoto ni maumivu ambayo uwezi fidia kwa kitu fulani, Umepoteza kazi na muda na mengine mengi yalio ndani ya ndoto zako, Nakushauri samehe kila kitu samehe kila mtu Muombe sana Mungu Anza maisha upya ukiwa ni mwalimu wa maisha bado unayo nafasi kushinda, ebu fikilia upo gerezani, nyumba imeungua Moto, na ndio chanzo cha kumpoteza mke na mtoto mara umeachishwa kazi kiufupi kila kitu cha zamani achana nacho pls pls Anza upya.
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri wako
@olaripjonas290
@olaripjonas290 2 жыл бұрын
@@nazarethamulike8807 Mungu ana makusudi makubwa sana na wewe. Endelea kumtumikia Mungu kwa uaminifu sana na Mungu atakuinua sana.
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 2 жыл бұрын
Pole sana Mike..hii Dunia inamitihani mingi sana,Hakika umepitia Magumu sana uliipoteza familia mke na mtoto. Wacha Mungu aandae hukum hakika haki zetu Wanadamu anazo Mungu tu
@faizajuma8821
@faizajuma8821 2 жыл бұрын
@@nazarethamulike8807 kaka naomba namba yako nikucheki watsap plz
@kazenmronga4163
@kazenmronga4163 2 жыл бұрын
@@nazarethamulike8807 bro si umestaafu lakini kwa heshima?
@winicatewainaina4456
@winicatewainaina4456 2 жыл бұрын
I'm from kenya 🇰🇪 but this is so painful 🥺... keep moving 🥺bro..you served 9 yrs for nothing 😭😭😭😭😩😩😩
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Pole" sana nime. kuona kwenye wimbo? wa' ambwn 'UNIKUMBUKE!! Na, kweli!! ume kumbuka na MUNGU 😢🤦‍♀️
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@TommyLee-ib5pk
@TommyLee-ib5pk 2 жыл бұрын
Mungu ana kusudi na maisha yako mtumishi wa Mungu na yote yaliyopita kwenye maisha yako ni kusudi lake kukutafuta hata mimi nimepitia mengi magumu yaliyonikutanisha na Mungu, ubarikiwe sana mtumikie Mungu baba
@dinahnyagosaima1259
@dinahnyagosaima1259 2 жыл бұрын
Mungu akusimamie
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 2 жыл бұрын
Pole sana Kaka ikiwa umeangushiwa jumba bovu na hukuwa na kosa Mungu atalipa kila tone la chozi lako
@marthamushi9390
@marthamushi9390 2 жыл бұрын
Aiseee nimejikuta nalia😭😭😭 huyu baba ameniumiza sana🙌🙌 Yan hapo anaonyesha dhahiri anaongea huku moyon anaumia mnooo sema tu anajikaza kuongea,Pole sana kaka kwa kuondokewa na wapendwa wako na kwa yote uliyoyapitia hakika hayo yote yametokea ni kwa sababu tu Mungu alitaka kujidhihirisha kwako kuwa yupo anatenda na dunian hapa tujifunze kuwa kuna mengi mnoo jamanii muhimu kuishi kwa kumcha Mungu sana na tuishi kwa akili sana,upendo,amani na kwa kutokugombana yaan kupenda mabifu tuepuke mambo ya hila😓😓 Hongera kwa wokovu na hongera kwa kuoa tena, Raha ya milele uwape eeh Bwana na mwanga wa milele uwaangazie Mkeo na binti yako wapumzike kwa amani🙏
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Asante sana sana
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 2 жыл бұрын
Such people, are the giants of the World. Man of God....Pole, na hongera kwa ushindi mkubwa. Wewe ni mtu mkuu.
@nurukitomary8087
@nurukitomary8087 2 жыл бұрын
Pole sana baba.nimelia sana maana baba yangu alishapewa kesi na ndugu yake robari .haina thamana ..,tulifiwa na mama hakumuona wala hakuruhusiwa kabisa kumzika mama,,Baada ya hapo akafiwa tn na mdogo wake tumbo moja pia hakumzika.Ila Mungu alitushindia alishinda ile kesi .
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 2 жыл бұрын
@@nurukitomary8087 poleni sana.
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 2 жыл бұрын
@@nurukitomary8087 😭😭😭😭😭poleni sana wapendwa mungu azidi kuwatia nguvu
@nurukitomary8087
@nurukitomary8087 2 жыл бұрын
Asnt sana.kikubwa tumuombee huyu baba sote ili Mungu azidi kumtia nguvu. Hata sisi Bila maombi tusinge mshinda shetani.
@saidalguhum1996
@saidalguhum1996 2 жыл бұрын
Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali msaidie huyu kijana arudi kazini..Mungu akubariki Mama Samia wewe ni Mkuu wa majeshi na Raisi wa Nchi ...Shukran
@ngowidyness3464
@ngowidyness3464 3 ай бұрын
Amsaidie jaman arudi tuu hata mm nataman angerudi
@melloelisha4630
@melloelisha4630 16 күн бұрын
Kweli jamani,hata miaka 5 tu
@faridaf3923
@faridaf3923 2 жыл бұрын
Sina lakuongea🙌🙌😭😭😭😭😭😭ila Mungu azid kukulinda,na akupe Afya njema wanao kwenda jela sio wote wenye hatia😭
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Tujifunze kutokuyabeba maneno ya kuwambiwa na kuyasambaza bila utafiti wowote Mungu nisaidie nisiwe miongoni mwa kuyabeba mambo na kuyasambaza bila utafiti🙏🤲
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@bariyaibrahim7583
@bariyaibrahim7583 2 жыл бұрын
Amini
@summanelson5523
@summanelson5523 2 жыл бұрын
Wenzetu ulaya huyu baba angelipwa fidia. Pia hawamuweki mtu ndani mpaka wawe na ushahidi kuwa ametenda kosa!!! Pole sana ndugu yangu.
@kevinbrightone8936
@kevinbrightone8936 2 жыл бұрын
So sad indeed 🥺🥺 Mola akupe nguvu 🙏🙏🙏 Watching from Nairobi, Kenya.
@jacklineandrew5909
@jacklineandrew5909 2 жыл бұрын
Pole sana Mungu hatakuacha, shida ilianza mkeo kuna mkubwa wako alikua anamtaka hapo ndio shida ilipoanza
@hakitv4717
@hakitv4717 2 ай бұрын
Ni sawa kabisa
@melloelisha4630
@melloelisha4630 16 күн бұрын
Hivi,inawezekana kitu kama hicho?
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Kuna nyakati nyingine baraka inaweza kuja katika sura ya balaa. Huenda Mungu alikuweka mahali hapo ili kukuepushie mabalaa ambayo yangekukuta endapo ungekuwa huru. Huwa wenye imani tunasema shukuru kwa kila jambo !! Mimi binafsi nilishapitia kwa kipindi kifupi cha kukaa mahabusu kwa kweli ninamuelewa sana huyu ndugu hata mimi niliokoka baada ya kutoka mahabusu na chachu ya kuokoka ilianzia mahabusu tulikuwa tukimuomba Mungu na kusoma sana neno la Mungu. Ninamshukuru sana Mungu kwa sasa ninaishi katika wokovu na walionisababishi mimi kukaa mahabusu nimewasamehe na niko huru ninamtumikia Mungu wangu !!!
@saimonmloka8210
@saimonmloka8210 2 жыл бұрын
Pengine labda nayeye angeungua kwenye moto nakufarik
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 жыл бұрын
Kila siku kila saa MUNGU ni mwaminifu
@AsiaMkusa
@AsiaMkusa 2 жыл бұрын
Hizi sheria zetu zinabidi zifanyiwe marekebisho umemuweka mtu mahabusu Kwa miaka 09 alaf huna ushahidi wa kutosheleza kumtia hatiani, then unakuja kumuachia Hana hatia, umempotezea vitu vingi,kazi,mke na mtoto inaumiza sana, na ni ngumu sana POLICE wetu kukubalika kwenye jamii
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
kweli...
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Ndo nchi yetu hio hata zaidi ya miaka 20 unawekwa tu ndani hawana huruma
@jonathankyando2698
@jonathankyando2698 2 жыл бұрын
Tukipiga kelele kuhusu Rule of law mnasema tunachukia Ccm😂
@amaniathumani6215
@amaniathumani6215 2 жыл бұрын
Nchi ya hovyo sana hii
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 2 жыл бұрын
maskini kaonewa inshallah mungu atawaadhibu waliomsingizia huyu ndugu anatia huruma sana machozi yananitoka
@tulisamwel41
@tulisamwel41 2 жыл бұрын
Mshukuru Mungu kwa kila jambo. Ni ngumu sana na inauma sana. Mwache Mungu aitwe Mungu atakutafutia kazi nyingine. Zidi kumtafuta Mungu atakupatia haja ya moyo wako.
@godlistenurio6055
@godlistenurio6055 2 жыл бұрын
Pole sana mpambanaji..hakika kabla dunia haijafika kikomo..wale waliohusika hata kukunyima haki zako..lazima watalipia ..Amini nakwambia..
@queeneva3709
@queeneva3709 2 жыл бұрын
Difficult times strength the mind. Mungu hakika anamakusudi na ushuhuda wako na kukupeleka kule Mungu alikua na makusudi na maisha yako.
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 жыл бұрын
Mmmh kweli majaribu yanatukuta muda wowote bila kujua du mungu akupe maisha marefu na akutie nguvu.
@khalidomary1381
@khalidomary1381 2 жыл бұрын
Pole sana kaka kwa matatizo uliyopitia najua kuwa machungu uliyonayo hakuna asiyejua mshukuru mungu kwa kila Jambo hakika mungu wetu ni mwema siku zote japo si rahisi kusahau pole sana wewe na familia kwa ujumla mungu atakusaidia na atakubariki
@filbertkapama7996
@filbertkapama7996 2 жыл бұрын
dah pole sana bro inaumiza sana ila damu ya yesu ikulinde maisha yako yote.wapumzike kwa aman familia yako yote iliyotangulia mbele ya haki😥😥
@yusufm1
@yusufm1 2 жыл бұрын
Kuna cha kujifunza Hapa, Mungu akutie Nguvu Kaka na In Shaa Allah atakufanyia wepesi.
@duelnactazee8924
@duelnactazee8924 2 жыл бұрын
Malimaa wa kishuaa
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 2 жыл бұрын
Braza namjua huyo alikuwa anacheza mpira kibaha kwa mbonde timu inaitwa fs Napoli pole sana
@mansourabdi7262
@mansourabdi7262 2 жыл бұрын
Da kweli
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Asante sana kaka
@user-qk2wu5wm1f
@user-qk2wu5wm1f 2 ай бұрын
Mimi namjua pia nimelala nae sero namba 2 jela segerea namfahamu sana
@ramadhanisalum7476
@ramadhanisalum7476 2 жыл бұрын
Inaniuma sana Hakuna haki hapa kwenye nchi hii ina mambo ya hajabu ya ajabu sana mtu akishauwa anacheo tu anajiona kama mungu mtu Mungu atakulipia Naza
@mwambatv5202
@mwambatv5202 2 жыл бұрын
Kaka, hakuna kazi kubwa na nzuri kama kumtumikia Mungu, acha kufuata walichokunyang'anya, Mungu atakulipa stahiki zako zote, Mtumikie huyu Mungu asiyegeuka wala kuzulumu haki, hutawai kosa, Mungu amekuokoa, kwa sasa mtumikie kwa moyo wako wote
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@adrophinakamugisha5014
@adrophinakamugisha5014 2 жыл бұрын
Comment hii ina mashiko sana,kila likuepukalo lina kheri kwako,Muachie Mungu yeye anaejua sababu atakutendea mambo makuu usioyoyajua
@aloycechissanga5380
@aloycechissanga5380 2 жыл бұрын
Wow! Glory to God! God is not done with you continue to serve him…
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Bongo jela ni kwa ajili ya masikini, angalau zama za Magu matajiri waliingia jela
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 2 жыл бұрын
Maisha ndivyo yalivyo. Mungu ana sababu ya hayo yote yaliyotokea. Wala usilaumu, wewe shukuru kwa kila jambo. Angalia Ayubu alivyopoteza watoto, mifugo nk. Lakini Mungu alimpa zaidi ya aliyokuwa navyo. Utapata watoto wengi na wazuri kama Ayubu alivyopata. Utakuwa juu zaidi kuliko ulivyokuwa kama Ayubu alivyokuwa. Hivyo mshukuru Mungu kwa yote.
@tanzania2559
@tanzania2559 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni muaminifu sana, atakufanyia njia iliyo bora kwako
@bettychungu138
@bettychungu138 2 жыл бұрын
Ayseee Mungu akufanyie wepesi, urudishwe kazini na uendelee kumtumikia Mungu wetu.
@mwavitapastory8023
@mwavitapastory8023 2 жыл бұрын
Kaka nimefurahi sana kukuona ukiwa huru, mwenyezi Mungu akukumbuke tena kamaalivyomkubuka ayubu
@RachelFuiki
@RachelFuiki 2 жыл бұрын
Mheshimiwa Raisi Samia hasani suruhu Mmpeni haki zake jamani. 😭😭
@busingyerehema472
@busingyerehema472 2 жыл бұрын
Wewe ishi kwa imani Mungu ameshakuokoa na kukuweka mbali najeshi anataka umtumikie yeye na siyo Jeshi tena.Haiwezekani ukatumiakia mabawana wawili Jeshi la Kaisari.Mungu anataka upate uzima wa milele kwani tayari umeshapata Roho wa Mungu.Sasa unahitaji kuacha Jeshi ilimupate uzimz wa milele.
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 2 жыл бұрын
Uzima wa milele unakupa msosi?
@busingyerehema472
@busingyerehema472 2 жыл бұрын
@@maujanjatv24h41 Uzima wa milele unakupa vyote.Na neno hili wanaweza kulipokea walio kusudiwa na Mungu sio watu wote.
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 2 жыл бұрын
Subhanallah baba kapitia magumu sijui lini maisha yatabadilika watu kubambikiwa kesi ht mungu hapendi ,, ila baba pole kwa yote na mshukuru mungu kwa yote sema alhamdullilah kwa mitihani uliyopitia namini kwa uwezo wake mungu atakulipia
@ummyjumaa4151
@ummyjumaa4151 2 жыл бұрын
Hakika hak ya mtu aiwez kupotea Nazareth namfaham mm na familia yang sote tulipokea kwa masikitiko kuhus ilo tukio na pia atukuamin kama angefanya ayooo hakika mung achen aitwe mung!
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@olexanderj.6969
@olexanderj.6969 2 жыл бұрын
Mungu amkumbuke ndugu huyo na amjalie neema. Watching & listening to his story has given a new fresh meaning to the word HOPE! I have a strong feeling that good things are in store for this humble, innocent & honest gentleman. Amen.
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Amen kaka asante sana
@mwankenjatv9330
@mwankenjatv9330 2 жыл бұрын
Kwahy mke wake amekufa na kinyongo cha kujua mume wake amekuwa ndani kwa kusingiziwa aisee aliyemtendea huyu jamaa ubaya huu aende tu kumuomba msamaha huyu jamaa maana atapata shida katika maisha yake na atakufa kwa shida sanaa
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Na atapata na kizazi chake chote,akaomba kutoka moyoni na Mungu Atamsamehe
@douglasmichael7494
@douglasmichael7494 2 жыл бұрын
Hakuna wa kuweza kukulipia fidia au mafao yako tofauti na Mungu..umepoteza mke na mtoto na bado umesamehe😭😭😭hongera kwa moyo huu
@marthayona2317
@marthayona2317 2 жыл бұрын
Kaka MUNGU akupe neema na maisha mazuri
@douglasmichael7494
@douglasmichael7494 2 ай бұрын
Amina
@simbeyekingsministrytv9035
@simbeyekingsministrytv9035 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu... Binafsi siwezi vaa viatu vyako... Niseme tuu Mungu akubariki zaidi, samehe kabisa kwa ajili yako na walio kukosea. Yesu akutunze. Ayo Tv mbarikiwe sana kwa kutushirikisha hili.
@nassersoudjaen8280
@nassersoudjaen8280 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu mungu akutrie moyo nimeumia sana kuckia matatizo yako...mama fanya huruma umsadie kaka huyu
@barnabasshemelelwa5730
@barnabasshemelelwa5730 2 жыл бұрын
Nazareth, pole na Mungu akutunze, stori yako imetufunza mengi. Asante.
@zulfaomari2045
@zulfaomari2045 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 pole sana kaka angu mpendwa
@zakayochankicha7400
@zakayochankicha7400 2 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa MUNGU, ameruhusu upitie hayo ili akupate umtumikie, nakushauri usihangaikie ya jeshi tena,bali kamtumikie Mungu utakula huko huko ktk madhabahu ya Mungu🙏
@Evelyn-gd5dv
@Evelyn-gd5dv 11 ай бұрын
Nimeenda jana Gerezani kuona wafungwa eeeeeh MUNGU nakuomba uwaone wafungwa wote waliofungwa kwa hatia na ambao hawana hatia maisha ya kule jamani 😢 Kuna watoto pia Bwana YESU naomba uwapiganie Mimi ni nani mpaka umenipa uhai na uhuru huu nilionao nakushukuru BWANA YESU 🙏🏻🙏🏻
@lirastanley390
@lirastanley390 2 жыл бұрын
Aisee pole sana sana sana yani umepata zaidi ya pigo ila maisha ndio haya haya na MUNGU wetu ni mmoja siku zote na habagui hata na ana sbb ya kutoa changamoto hizi kwako na kwetu kama binadamu pia...Amen
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 2 жыл бұрын
Nyamaza umelia umeipigania haki yako, lakini umeminywa .Basi nyamaza Mungu atakutunza atakuhifadhi atakulisha atakunywesha atakuvisha hata kukukinga na maradhi na dhoruba za maisha pia.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 жыл бұрын
Pole sana mkasa mkubwa ni miujiza mpaka leo unaongea na uko kamili, Mungu azidi kukutia nguvu, Hivi hao watu waliokusababishia wanajisikiaje huko waliko? Binadamu tujichunge ndimi zetu, neno lako moja unaweza kumuumiza binadamu mwenzako kwa kiasi kikubwa sana
@expert5898
@expert5898 2 жыл бұрын
Pole sana ndg, inauma sana! Unaacha mtoto wako mdogo! Na mke! Halafu unaletewa taarifa mke kafa! Mtoto kafa! Daaaa!!! Inauma sana!
@feisalally8912
@feisalally8912 2 жыл бұрын
Very sad story. Polisi wanabidi wawe makini zaidi maana maisha ya watu ni dhamana kwao
@zenassylvester125
@zenassylvester125 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu mitihan ni sehemu ya maisha yetu, na majaribu ni mtaji Mungu akuongezee Imani.
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
Nawashukuru wote mlioguswa na mapito yangu Mungu awabariki sana
@nyotastar102nyota2
@nyotastar102nyota2 2 жыл бұрын
Pole Nazareth yote hayo mtumainie mungu pekeee utafika pale una popataka roho wa bwana akushukie ufiki mbari sana umenigusa sana kaka na mi nitatunga wimbo kwa ajiri yako kaka
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
@@nyotastar102nyota2 asante ndugu yangu nimeishapoa,karibu
@nazarethamulike8807
@nazarethamulike8807 2 жыл бұрын
@@otienojohn372 Amen amen
@calvinhints5819
@calvinhints5819 2 жыл бұрын
Pole sana
@colinmlay3756
@colinmlay3756 2 жыл бұрын
Very sorry brother 🙏 ,,,,
@kuzimaster3399
@kuzimaster3399 2 жыл бұрын
Yesaa kamanda salute zote kwako soja uwishii maisha malefu pia pole kwa mikasa uliyo pitia soja.👨‍✈️👨‍✈️👨‍✈️
@joshuazebedayo86
@joshuazebedayo86 2 жыл бұрын
Dah! Pole sana kakaangu Nazareth Amrike Mwakasanga Mwenyezi Mungu akutie nguvu na akuponye na kila jeraha lililokupata, Sahau na samehe.
@fredmbossa
@fredmbossa 2 жыл бұрын
Wangemlipa ili kumpunguzia maumivu,,miaka tisa mahabusu mtoto kafa mke kafa inatia uchungu sana, sometimes unaweza ukajiua kama hujapata canceling,kinachompa matumaini braza ni wokovu alioupata,faraja anayoitegemea kwasasa ni mungu tu maana binadamu wameshindwa kumpa matumaini maana kama wangempa matumaini wangekuwa washamlipa na hata pengine kazini karudishwa na anaonekana kabla hata ya mapito haya anaonekana kabisa aliipenda kazi kutoka moyoni ,,Cha mwisho anajikaza kwasababu ya kazi aliyopitia ya ujeda inamfanya ajikaze inampa ukakamavu wa kujikaza lkn kama ndo kazi zetu izi huwezi kuwa na moyo wa kujikaza,,,kuna msemo unasema ni heri uwe na urafiki na Simba au chui lkn sio binadamu maana binadamu ni zaidi ya sumu ya panya ...mungu amfanyie wepesi
@HertaFabian
@HertaFabian Жыл бұрын
Inauma sana😢
@winlove4
@winlove4 2 жыл бұрын
Mungu anamakusudi na wewe bro, pole na hongera kwa uliyopitia. Usimwache mungu anakupenda sana. Mwenyezi mungu ana makusudi na wewe
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu Mungu ana makusudi yake wapendwa wako walikuacha lakini atakurudishia kila kitu maradufu!!!!
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 2 жыл бұрын
Mungu siku zote husimamia haki hayo mapito uliyopitia pia ni sehemu ya Maisha chini ya jua Mungu azidi kukuongoza katika njia sahihi.
@edwardseme9089
@edwardseme9089 2 жыл бұрын
Tazama ya kale yamepita na Sasa yamekuwa mapya, Mungu akukumbuke Kaka!
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJOXf5Wtd8xmhLs
@nipautago8574
@nipautago8574 2 жыл бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu! Hakika walio kucngizia wakapate malipo na yy tumtumainiye
@dianangailo9878
@dianangailo9878 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa faraja , mwamini Mungu yawezekana anakuepusha Jambo , usilazimishe kurudi kazini , muombe Mungu akupe njia na akuonyeshe kazi ya kufanya . Endelea kumwamini Mungu
@luizabahati5198
@luizabahati5198 2 жыл бұрын
Eee Mungu...this is so touching...Natumai haki yake haizulumiwi. Mungu yupo kazini juu yako kaka. Viongozi wa nchi hii sikieni vilio na machungu wa wananchi wenu...daaa jamani..ni uchungu mkuu..hivi hawezikusikilizwa na hii kesi akashinda? Natumai wapo Lawyers hapa mnaweza kumpa msaada
@directormusasoja986
@directormusasoja986 2 жыл бұрын
Pole.na hongera kwa wokovu.yote ulopitia mungu alijua na yeye ndo amekutoa jela.na yeye ndo atakurudisha kazini.amini hlo na itatokea kwa jina la yesu
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 2 жыл бұрын
Mama ni msikivu sana utarudi kazini mwamba pole sana
@melloelisha4630
@melloelisha4630 16 күн бұрын
Yaan wamkumbuke tu jamani daah 💔..hata miaka 5 tu
@mwilongokivega3169
@mwilongokivega3169 2 жыл бұрын
Kiukwel mpaka nime😭😭 Ashukuriwe yy Alie juu..Mungu ni mwema atafanya njia pasipo na njia
@dativadioniz4292
@dativadioniz4292 2 жыл бұрын
Huyu kaka nafahamu sana alikuwa mwanajeshi kikosi cha sangasanga na alikuwa mwarimu wa kwaya
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 2 жыл бұрын
Isaya 43:2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
@mariamzirojuma2157
@mariamzirojuma2157 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Mungu wa babu zetu akulinde na akutulize. Daima jina lake lihimidiwe. Ombi langu Mungu aniepushe na meno ya binadamu wenye hila
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz 2 жыл бұрын
Duuuh pole xana kaka haya maisha ya bongo uuchosho sana uonevu mwingi ssana kkusingiiziwa xana pia
@octaclement1872
@octaclement1872 2 жыл бұрын
Daaah inauma sana kwakweli, hii dunia ina maswahibu mengi. Mungu akutie nguvu ,ni matumaini na maombi yangu kuwa Mama samia, atalifanyia kazi jambo lako na kukulipa stahiki zako za jeshi
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
Dah pole sana kaka mungu akupe afya njema umri mrefu na wenye mengi mafanikio ww na familia yko inaumiza sana
@deestarsniper3315
@deestarsniper3315 2 жыл бұрын
Pole sana baba Mungu atakusimamia na inshaallah utarudi kazini na kupata haki zako kwa uwezo wake inshaallah
@remenmunis7729
@remenmunis7729 2 жыл бұрын
Daaah Haya maisha yana mambo mengi sana ...Huyu Mwamba ana historia inayochoma moyo sana kaachishwa kazi ..mke kafa mtoto kafa ....kapteza mali ...kasamehe watu na Bado Analipenda na Anatamani jeshi ...watu wa aina hii ni wachache sana 😭😭😭
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 жыл бұрын
Aisee mimi nilijiona kama niko na matatizo ila baada ya kupitia hii simulizi nimejiona sina matatizo kabisa
@ramadhanisalum7476
@ramadhanisalum7476 2 жыл бұрын
daaa mzee Naza pole sana ndugu yangu takribani miaka mingi kaka Mungu atakulipia waache naro zao mbaya walijua utapata ndio maana wakakupa kes zaajabu hizo hii ndio tanzania kaka
@cramawazawa
@cramawazawa 2 жыл бұрын
Mwenyez mungu Huwa na sababu huyu jamaa kama sio jela Wenda naye angekufa ndan na moto mungu Huwa na makusud yake
@mwalimugoogletv3738
@mwalimugoogletv3738 2 жыл бұрын
Hukutaja namba tukusaidie hata vocha kwa ajili ya huduma yako kaka. MUNGU AKUBARIKI KAKA
@saidjuma1521
@saidjuma1521 2 жыл бұрын
Angalia chini namba
@bettychungu138
@bettychungu138 2 жыл бұрын
Ila police aliyesema niliona umbile kama hili😭 duuh Mungu anamwona!! Nachukia basi tu. Mungu anisaidie
@emmanuelmsafi9581
@emmanuelmsafi9581 2 жыл бұрын
Na hana aman uko aliko Amin kwanz dhambi inamtesaa
@bettychungu138
@bettychungu138 2 жыл бұрын
@@emmanuelmsafi9581 Kabisa yaani
@HertaFabian
@HertaFabian Жыл бұрын
Mungu atamlipa saws sawa naalicho mfanyia mwenzake
@kadegefrank2976
@kadegefrank2976 2 жыл бұрын
Pole sana kaka. Mungu yupo pamoja nawe. 🙏🏽 kuna chakujifunza hapa
@husnaameen9309
@husnaameen9309 2 жыл бұрын
Mungu hawezi kukuacha kamwe ,hakika mshike mungu moyoni mwako na akilini mwako ,usimtegemee mwanadam kwani anaweza kukupoteza wakati wowote ,Asante mungu kwa kumtetea mja wako huyu🥰
@salomecaroly5534
@salomecaroly5534 2 жыл бұрын
Amen @Husna Mungu ni mwaminifu
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 168 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 54 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН