Acha roho mbaya we mkaka wenzako wanapambana ili wapate ridhiki zao waishi nafamilia zao Ilawewe unaponda loo unajiona unajua Sana au muheshimu mungu wakzi minnaumia kwasababu wakaka wa watu wanategemewa na familia
@SmartVicenzo7 ай бұрын
Awa wanyakyusa wana mchana live Jamaa
@amisasadock685711 ай бұрын
Wakazi mwenye anaoneka anastrees huyo af anataka utuletee umelekani sisi ayatuusu na umejua kunifuraisha eliud umetumia vzr unyakyusa ujataka kumsemea pembeni
@officialngalya306211 ай бұрын
Kitu nimekikubali kwa Eliudi huyu jamaa sio mnafiki anakuchana live tu, safi😂
@jastinarts11 ай бұрын
Eliudi umeongea vizuri
@Ram8193K4 күн бұрын
WAKAZI anazungumza vitu vingi sana vya msingi na kwa mpangilio mzuri ila watu wengi tu sijui kwa nini wanamuona mizinguo 😅😅😅
@annamarychristopher16759 ай бұрын
sema eliudi anaconfidence
@CalveneMaligana11 ай бұрын
Pigen kaz washkaji zang wakaz ni nan yeye bas akaishi malekani hii ndo bongo land✊️kipo,eliud🙏
@KedmonistMaconfidance11 ай бұрын
Kwani wakazi ni nani mpaka aseme kitu na kionekane ni sahihi, Mziki Umemshinda Atulize Shanga.
@christinewomanoffaith547911 ай бұрын
Ndo nani kwani😂
@kinzupdate75211 ай бұрын
apo nimemuelew sana eliud is not just comedian but also ni mtu anatambua nn anaongea lakin wakazi it's seem kama ni kwel alikulupuka. sometimes hizi social media zinataka kufanya mtu atengeneze ka dunia kake kakuweka kilakitu kiwe perfect 100% ni kwel unavyopost kitu atleast think twince kwasab ujumbe haumfukii pekee ake mtu uliyemlenga but inawafikia na wale wasio walengwa wenye thinking ability kubwa (HIVI WAKAZI ANAFANYA KAZI GANI MBONA JINA LAKE AU
@MariaPius-v7e11 ай бұрын
Eliud mwamba sana haogop mtu kwenye ukweli anakupa makavu hata kama upo hapo😂😂
@bahatirobert10097 ай бұрын
Wanyakyusa ndo tulivyo 😂😂
@saeedmagoda965111 ай бұрын
Daaah Eluid Amekasirika sana na imemuuma sana hii kitu
@jamaliselemani85011 ай бұрын
Asa wakaz ni msanii anaimba vinini nayeye mbn mm sijawahi kumwelewa
@Commentsplus11 ай бұрын
Wakazi anaushamba sana anajikuta anajua kila kitu
@rogersiddy11 ай бұрын
Sanaaaa anajiona yeye ndo kila kitu MAREKANI yote anaijua yeye pmj na sheria zake 😂😂
@kyalagwamaka155011 ай бұрын
Wanyakyusa huwa hawana shobo za kishamba hata uwe nani ukizingua anakuchana tu big up ghwakukajha elihuti kwanzawWakazi ndo nani eti?
@mohdmohd842811 ай бұрын
Mjuaji sana
@moviekaa11 ай бұрын
Wakazi kila kitu marekani....afu anajua kila kitu duniani hapa.😂😂😂
@prospermwambeje500711 ай бұрын
Hiyo ndiyo raha ya Mnyakyusa hapendi unafiki ukikosea anakuchana hapohapo bila kupepesa macho. Huyo Wakazi anajifanya mjuaji sana hapo amekamatika 😀😀😀
@andrewmmbaga166510 ай бұрын
Nmekaa na wanyaki sana...wakarimu sana,halafu hawapindishi maelezo...anakupa kavu
@HappyMwaigwisya9 ай бұрын
@@andrewmmbaga1665asanteeee
@HappyMwaigwisya9 ай бұрын
Yaan sahihi sana ukitaka kukaa na mnyakyusa ukawa hupendi ukweli utapata shida. Hawaogopi nani na nani ni UKWELI tuuuuu
@afisamipango00511 ай бұрын
Wakazi naona anajaribu kuponyoka mikononi mwa Eliud😅😅
@adozenaziz836211 ай бұрын
eliud nilimwona toka akiwa na like 10 nanilimwona natuedfon tweupe😂
@joeandres974411 ай бұрын
wanyakyusa huwa hawafichi kitu ni watu wa makavu hapo hapo...eliudi kaiva😂
@HappyMwaigwisya9 ай бұрын
Sanaaaaa big up wanyakyusa
@JosephmasanjaShilinde-jv9rh11 ай бұрын
Huyoo star,s stoke tuuu NBC iendelee
@SmartVicenzo7 ай бұрын
Wakazi anabowa
@zaunamoody731111 ай бұрын
Kwaza uyo wakazi Ndio namsikia leo ni nani jamani 🤔🤔
@christinewomanoffaith547911 ай бұрын
Hata mi ,ndo nani
@GenevieveJames-y3p11 ай бұрын
Eliud amempa za uso jamaa 😅😅😅
@meshackngaboss123611 ай бұрын
WAKAZI MJUVIIII ANAJIKUTA ANAJUA KILA KITU NA YEYE NI FAILURE HANA KITU CHOCHOTE SUCCESSFUL KELELE NYINGIIIII
@fadhilsalum214311 ай бұрын
Sema Eliud ana SHOMBO sana😅😅😅😅
@bahatirobert10097 ай бұрын
Kusema ukweli ndo shombo
@BenLeeBl11 ай бұрын
eliudi kamkanda vizuri😅😅😅😅😅
@jeremiasilla35867 ай бұрын
Wakazi we ni kengeee
@Commentsplus11 ай бұрын
Wakazi unaboa hata nimeshindwa kukupa sikio mpaka mwisho
@dostovan514211 ай бұрын
Just coz u been to the states don't mean u know everything
@BeathaSinkala11 ай бұрын
Eliud fanyeni kazi kwenye hii dunia siyo kilamtu atapenda unacho kifanya
@bongorecaps355811 ай бұрын
Huyu dada nna mahaba nae nampenda sana jmn
@PhyinaElias-mu4wf11 ай бұрын
Eliud 🤣🤣 haogopi yupo na confidence ya kwenda (kwenye maswali)😂
@Stanley.kapumbira11 ай бұрын
Kabisa yupo vzr
@bahatirobert10097 ай бұрын
Wanyakyusa hatuogopi
@MorryUshindi10 ай бұрын
Uo n uongoooo bwanaaaa,,,, mkojaniiii howw
@tonoboymwatonokaaa286211 ай бұрын
Wakazi marecani imemwalibu, yeye anaweza akaisi wamalekani wanachekesha afu nikaenda mm nikanza kulala usingizi
@rogerslwitiko391511 ай бұрын
Hahaha hicho si ni kiini cha yai home boy🔥🔥🔥😆😆😆🤣🤣🤣🤣
@ChoraKisiki-zz3ut11 ай бұрын
Wakazi wakazigani snich uyo
@gwamakawilliam589511 ай бұрын
Kwani huyo wakazi ndo anafanyaga nini nchi hii?
@frankSimle-gx1jv11 ай бұрын
😅😂
@mgayamgaya11 ай бұрын
Pigeni kazi mpuuzieni maana kwenda marekani sio yeye wa kwanza kila kitu anataka kufananisha na marekani
@patrickedward93711 ай бұрын
huyu wakazi zamani alikua na akili sahv maviii tu🤣🤣🤣🤣
@davidjonathan-b3q11 ай бұрын
DAAAH WANAUME MUNGU ANAKUPA BAHATI TUNACHEZEA UYO DEMU BADO MBICHI JAMANI TUACHE UJINGA WANAUM
@AishaOmary-r9v11 ай бұрын
Me nishabiki wa Roma wakazi wakazi Gani
@pikanaauntzuu146611 ай бұрын
😂😂😂kwelu kabisa yani wale mammonta na vilanja walikuaga wanaona km washayapatia maisha walikua wanajua wakifika nje watakuwa hivyohivyo ila namkumbukua mmoja nampenda sana yule mdada jmn alikua akiambia kagua vidumu vya maji km vimeja anakagua anajua kabisa kidumu chako hakina majia hata robo kidumu hayafiki na anakausha hasemi
@PabloOscar-cu7gt11 ай бұрын
Huyo wakazi hajitambui maana angekua anajitambua asingeweza kudisi kitu ambacho hakijui na hajakifwatilia
@amedeuskimario889511 ай бұрын
Huyo naye kila kitu anajua toa na zako basi kenge wewe
@SubiraMakoga11 ай бұрын
Hajui hata anachoongea,kweli ni mshamba, tu,
@mrenjoyfootball840311 ай бұрын
Nakubali sana wanangu sanaa daaah ahahhahahahha Kipotoshi daaah
@PanchoValentino-wh7wt11 ай бұрын
Wakazi we Ni Nan Kwan..? tuliza Wenge
@SmithJacob-f2r11 ай бұрын
Shida ya wakazi ni kuvunga anajua kila kitu
@Lileaglebillionboy11 ай бұрын
Opposite na IKULU😅😅😅
@kingswebe325110 ай бұрын
Niseme ukweli nimemfahamu wakazi leo hii kupitia eliud
@brightontheogenes509311 ай бұрын
mwanangu ananichekesha na suti yake ya njano😅😅😅
@Geeze90511 ай бұрын
Mie nashangaa mpaka sasa hivi kampuni ya Rangi ya Sadolin hawajamfanya Balozi wao, aseeee😂😂😂😂😂😂
@Califfer11 ай бұрын
Wakazi ni kichwa box hanna kitu anasema Ni ujinga mtupu anatumia social media vibaya
@mdachiog521111 ай бұрын
Wakazi huna kazi Mana hata mziki wako hamna kitu😂😂😂
@yohanamussa413411 ай бұрын
Simjui huyu jamaa
@arostoyaoo709811 ай бұрын
safi wakazi kashauri wasanii wote wa tz mziki,uchekeshaji,uigizaji n.k
@deusmbuge574011 ай бұрын
Yeye mbona kuimba hawezi
@gwamakawilliam589511 ай бұрын
Kashauri nini wakati na yeye mwanamziki, na mbna kazi zake hazitembei
@dangomc_official11 ай бұрын
nimependa ujaogopa kumchana hapohapo
@jessicamwasandube94411 ай бұрын
Waisa wameandamana,lazima wakupe ukweli wako,umekamatika wakazi
@HappyMwaigwisya9 ай бұрын
Yaan hawalazi damu
@kafungorajab589711 ай бұрын
Leo wakazi kayatimba😂
@godfreymwamaso242411 ай бұрын
Huyu wakazi ndiyo nani? Anafanya nini cha zaidi kwrenye sanaa ya bongo?na ana mafanikio gani ktk nchi yetu?
@BenLeeBl11 ай бұрын
huyu tangu aende marekan kila kitu marekani
@salmabinyaga235711 ай бұрын
Mshamba huyu mbuzi
@samwelisack207611 ай бұрын
Hahahah
@kennyclever52410 ай бұрын
Tatizo la wakazi ni kwamba yeye huwa ni mjuaji
@SamMoyo-p9o11 ай бұрын
wakazi ana akili uyo
@pikanaauntzuu146611 ай бұрын
Hapo kwenye kujipata hapo Joel nanauka anasema student A wanafanya kazi kwa student C kwasbabu student C walipofeli walichagua kitu cha kufanya na wale student A waliendelea kukomaa shuleni
@nasibugunda792711 ай бұрын
kusema hawajui kuchekesha wakati hao ndo wanaotuchekesha unatukosea
@samwelsalon659011 ай бұрын
wakazi elimu umetoa✊
@kesphaanyitike775111 ай бұрын
🔥
@calvinhassan989911 ай бұрын
Ni nani uyo wakazi😏😏😏
@castorymakwanda434411 ай бұрын
Naona mkono uliteleza badala ya wachekeshaji imeandikwa washekeshaji
@AliMkumbukwa11 ай бұрын
Sio kla mckchji unaweza kumechi nae ,
@robertsimfukwe109711 ай бұрын
Wakazi hajawahi kuwa naakili timamu na uwezo wake wakunifimilia ni mdogo sana expore yake haina positive impact kwenye industry nfio maana mwenyewe hawezi kujisimamia mpaka atembee na upepo wawenzake
@benjo_brighter11 ай бұрын
Kwa hiyo Wakazi anajua kila kitu sasa 🤔
@Khalidniya38011 ай бұрын
Huyu wakazi anaboa sana bwege kabisa
@njoroboihastla11 ай бұрын
Rich anacheka tuu😂😂😂
@law93king11 ай бұрын
wakazi bwege tu wewe binadamu gani mjuaji wa kila kitu😅
@Erickdluhanga11 ай бұрын
Hamna baya comedians huko huko marekeni mtaenda
@christinewomanoffaith547911 ай бұрын
Uzuri tunakukubali eliud,akafie mbele huko
@BENGO.SKILLS11 ай бұрын
Wakazi hana kazi ,mwambie abadilishe kofia hiyo
@nyotamy367811 ай бұрын
Sasa mmeshindwaje kumuacha kipotoshi aongee mmemkatisha?
@patrickpatrick638611 ай бұрын
Wakazi kajifanya mzungu eti
@mwansasu11 ай бұрын
Wakazi umetwangwa nakitu kizito na Eliudi
@lwitikomayele11 ай бұрын
"Mafanikio sio lazima aprove wakazi"
@khalidmdotta38439 ай бұрын
Ww fala siulikuwa mwanamuziki raper ulifanya nini acha usenge acha watu wapambane maisha
@isaacknjuguna63988 ай бұрын
Mtu wenye matunda hupigwa mawe..waisa pigeni kazi uyo jamaa hajielew Kwan lazma acheke yeye
@donlinechanell476011 ай бұрын
Kil kitu anajitia anajua
@AliMkumbukwa11 ай бұрын
Ebuu chekesha ww wakaz tuone
@kimbwapulekig812611 ай бұрын
wakaz hajuaji kitu huyoo
@sammasika362711 ай бұрын
Wakaz we choko
@adelinatate970411 ай бұрын
Hahhahahha mmuweza,hakuna ajuacho kwa comedy 😅
@SubiraMakoga11 ай бұрын
Anataka tu, nayeye ku treend
@Zillionking62711 ай бұрын
Kwani uyu jamaa ninani 😢
@Zillionking62711 ай бұрын
Wakazi😢😢mjuaji sanaa 😢😢😢
@godfreymwamaso242411 ай бұрын
Eti wakazi maneno mengiii ujuaji mwingii for nothing kwenda Marekani nini sisi ndugu zetu wako Abroad miaka kibao na wana uraia wa huko hawana kelele
@christinewomanoffaith547911 ай бұрын
😂 eliud na suit ya njano jmn
@FrankSanga-z6y11 ай бұрын
Wakazi amna kitu madudu matupu izi alisema hayati you know America
@bandit377911 ай бұрын
Eliud ni moto na Question ni hatarii
@ikabako245411 ай бұрын
W kwenye kofia yake inastand for “wack” ! Wakazi hanaga issue ni ujuaji tu ambao hauna msingi.