Kwani huyu jamaa hajui kuwa sheria inasema mali ikiuzwa hairudishwi imekula kwake
@doctalinspatiencemahale53124 жыл бұрын
Kali hii
@geofreykashebo75944 жыл бұрын
Pumbavu sana,,sijakutukana nimekuona namna hiyo.
@elizabethmwandoe24264 жыл бұрын
Mwiba wa kujidunga uo..yani shida zikufanye upeane mke
@maryakajj41277 жыл бұрын
honestly even if it's me I can't remember you go buying 😂😂😂😂
@habibajuma19894 жыл бұрын
U
@sharifaallan23865 жыл бұрын
Tamaa mbele mauti nyuma....laana nyinyi....
@sarahruth17184 жыл бұрын
just here for pure swahili
@hammerQ9548 жыл бұрын
😂😂😂😂pole bro
@DaveOndiekAaron855 жыл бұрын
BANGI NI MBAYA AKI😂😂😂
@mwatimasaleh4234 жыл бұрын
Tamaa imekuponza
@msafirisinkamba44725 жыл бұрын
Jamaa hana kichwa kabisa
@dishka46644 жыл бұрын
Let me just say woooow😁
@erickwainaina57087 жыл бұрын
Ole wangu!
@nancyochanda98318 жыл бұрын
😂😂😂😂😂this is very serious!!!!!!!
@simonmagaigwa66344 жыл бұрын
Kweli Kenya ni nchi ya maajabu, ndo maana inaongoza kwa utalii. Hata hiki kisa kinatosha kuwa kivutio cha utalii!!
@gracehinga22974 жыл бұрын
Ukipeda mali utapoteza mengi...
@lwanjiedna52334 жыл бұрын
Kwa wakenya inawezekana
@cestlaviecestlavie40734 жыл бұрын
si ungelimpa dada yako we fala ! kwani si alikupa mahari ya kuowa hata wanawake 6, fanya byashara na wewe uingie ulaya mahali pengine 😏...
@Sandra398234 жыл бұрын
Hata mimi cwezi nimekukumbuka mimi, kwamaana huna pezi na mimi
@lifelinesomalia9 жыл бұрын
Hamna dini yoyote ana kubaliana na haya mambo.
@generalkago53614 жыл бұрын
Madness beyond comprehension
@khamisboy86203 жыл бұрын
Wanawake ndio walitusababishia dhiki na taabu zote sisi wanaume katika huu ulimwengu nashangaa bado munawaamini?wapeni heshima zao ila musiwaamini kamwe.
@fatmahassan26388 жыл бұрын
Duuh pole sana bro
@ceciliathumbi14415 жыл бұрын
Heheheheee pumbafuu ulijitakia hahahaaa
@queenmayra1155 жыл бұрын
Algunos kenyans is gusta cosas fáciles ....pero así no es la vida...espabilados.
@jeidaandayi1005 жыл бұрын
😂😂😂😂Ni nana mjinga akii mtu anakuo then anakuonza dhow za mahari zikiisha nikelele msaidiwe vipi jamani?kama mlidhani kumwoza bibi yako kwa mzungu ni ishara ya upendo poleni ilikua nikero kwa bibi zenyu nani nataka mwanaume mlafi kwa utajiri na hatafuti kwa njia nzuri maybe🍌🍌hazifanyi kazi
@fatmakiruwasha23784 жыл бұрын
Pumbavu nyinyi
@ericmonax56664 жыл бұрын
🤣🤣🤣Fools
@sellamwani73004 жыл бұрын
Masenge hawa,wastahili kuachqa kwenye umaskini makenge nyinyi.
@joycewairimu24485 жыл бұрын
Akki ujinga hauna sawa maaa
@ruqiyaruq51425 жыл бұрын
Ww mwanaume pumbavu kisha ulikuwa haupendi mkeo ungempenda kwa dhati usinge muuza wacha ujinga ata ktk dini ushapata dhambi
@jumamunga7157 жыл бұрын
Sawa na amejitia kidole akakinusa alafu aseme Chanuka vibaya
@janemuthoni20115 жыл бұрын
Ole wake but funzo hio
@samwellwiza53395 жыл бұрын
Mwanamke ana akili nyingi sana.. Coz alifundishwa jamaa Hana mapenzi nab anathamini pesa kuliko mke n ndoa... Mama akajiongeza akaamua aende kwa atakayempenda kwa dhati.... Sasa just emagine mume anakuaga!? hii ina maana hakuna mapenzi hapo.....
@hassanhassan11844 жыл бұрын
Pumbavuu
@bijumakassim36975 жыл бұрын
Huyu jamaa angeaza kupimwa akili kwaza yani mtto wakislamu ukauze mkeo eti kisa pesa.haya pole kaka.mtaka yote hukosa yote kesho tena angalia sasa jinsi gani alivyo kutenda mkeo
@jayomarion81838 жыл бұрын
hahahahahahaahahahahahahahahaaha this shit has made my dia
@mumyally59015 жыл бұрын
Tamaa ya ponza shaurilo
@mbarakahmed3892 Жыл бұрын
Deyusi wewe hauna maana
@flowrencewambui61178 жыл бұрын
hauna kichwa kizuri wwe.
@fr.anthonykiungu31765 жыл бұрын
😂😂😂😢😭😭 just can't believe this
@ججوي-س4ي4 жыл бұрын
mukome washenzi wanawake muriona kama nivyashala
@lilaleonard18775 жыл бұрын
Jamaa amebaki ni picha za kumbukumbu.
@abletumcyber65864 жыл бұрын
Whaaaaaaaaaat??????????? The world😟😟😟😟😟😟😟😟
@Ayshermaki4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 pole
@stevenkubhoka39758 жыл бұрын
hahahaha i love kenya
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
ta tamaa mbaya, ta tamaa mbayax2
@patrickmaitha18675 жыл бұрын
Mzungu alipata ubavu wake lakini huyo jamaa bado ubavu wake uko atafute...
@suddykigamba18024 жыл бұрын
Khabbithi l3ammal pumbavu mara waahed
@sarahgift3695 жыл бұрын
Tamaa hio..mtaka yote hukosa yote
@khamisdaima14554 жыл бұрын
Huna akili wewe bange zishakuua
@yasimxyz28804 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤭yaniwewe ukosawa?
@ngisian6 жыл бұрын
Gitonga amejionea vijimambo kule UKUNDA
@shoshcaleb89258 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂tamaaaaaa
@ortymique72765 жыл бұрын
Mwiba wa kujidunga
@anthonymuriithi79575 жыл бұрын
Majority ya wa coast ni mafara.Uvivu ni kifo
@rachealthomas89156 жыл бұрын
Hehehe.... I saw that in mtwapa bibi ako na mzungu boy friend na bwana pia ako na girlfriend sio maajabu hayo
@brigidmua95587 жыл бұрын
Sio riziki yako. ...oa tena
@abdulrahmanmohammed11685 жыл бұрын
Ahaha pole sana
@milkamugomomugenimgomo68246 жыл бұрын
60k 😆😆😆😆 laziness ya watu wa coast
@lubatikoseme66134 жыл бұрын
Hapo sasa
@omarmahendo92134 жыл бұрын
Not all coast pple
@maishakimakini62594 жыл бұрын
Wasenge wa hali ya juu mutaishi mukiwa maskini milele shenzi types
@daprince75456 жыл бұрын
hahahahahaaa naja badae
@ARFIddy8 жыл бұрын
haahaa hyo ni chizi kabsa
@luckydubebello11314 жыл бұрын
Wavumbafu was msa hamtaki kuchoka
@lorenshiawaweru68558 жыл бұрын
machizi kweli .....😂😂😂😂
@eliasmajuto73845 жыл бұрын
Iro jamaa zezeta liliendekeza njaa na sio mapenzi ya dhati
@dedihsupertal93917 жыл бұрын
mmmmh....Mzuka!!!
@issaabdi91295 жыл бұрын
Vuna ulichokipanda kubwa bure akili dagaa. nyoo mjinga haurumiwi...
@khamisjuma46915 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahahahaha wrong done Message outlaw thanks Africa leader message from USA
@adamumjomba824 жыл бұрын
Huo ni upuuzi mtupu utamkodisha kivipi mkeo ?
@fktoreaafrekea24078 жыл бұрын
mjinga wewe, unaeza bibi yako, wewe ulilogwa, uchawi wa mombasa