Tulikuja hapa baada ya kusikia taarifa ya kifo cha mzee Lowasa tujuane!!
@blandinamwarabu502511 ай бұрын
😭😭😭 Jasiri ameamguka
@marystelaswai517411 ай бұрын
Tumo
@Boniphaceshayo511 ай бұрын
Mimi nimeitizama 2024 mwezi 2 tarehe 13 lala salama lowassa
@marystelaswai517411 ай бұрын
Apumzike kwa Aman
@yasimally95133 жыл бұрын
Kiongozi pekee katika nchi yetu kuwahi kuwajibika baada ya jina lake kukumbwa na kashfa, ameacha mfano bora kwenye nchi yetu kwa kukubal kuwajibika mwenyewe
@AyubuKamendu-r7l18 күн бұрын
Huyo mtangazaji, sauti yake inafanana na dada mmoja pale TBC Taifa, wa kuitwa Yohari Mayoka
@georgembwana835410 жыл бұрын
Kujiuzulu kwa mh e lowasa ni ishara yakuonyesha ni jinsi gani alivyokomaa kisiasa big up mkuu piga makasia yakuelekea magogoni tuko pamoja kaka
@IreneKwegia11 ай бұрын
Huyu hapo nyuma ni Ngeleja au ndo macho yangu
@millenniumtot456511 ай бұрын
95 pinda alipewa kisu kisicho na makali..... Lowasa n mzalendo... Madili n kila MTU... Kwanini JK Rip sita ayupo ata yeye
@ismailmshana2828 Жыл бұрын
Tanzania yetu imeandika big history
@husseinsalimbora353411 ай бұрын
Leo 11 February 2024 ,r.i.p Edward lowasa.
@johnmude10844 жыл бұрын
Yaan lowasa wakamloga wakaampa ugonjwa aakazeeka
@mathiaszakaria705211 ай бұрын
Kweli kabsa jamaa aliyumba Sana kiafya hadi ongea yake ikawa shida
@RajabNgome-b3zАй бұрын
Lowassa Lowassa ameacha hadithi nzuri sana
@kalumbugideon41594 жыл бұрын
Nani amepita hapa 2021
@rabiaiddi55783 жыл бұрын
Tupoooo
@Gody3604 ай бұрын
Mimi
@njikuhr18754 жыл бұрын
Mzee noma
@daudichirstopher61732 жыл бұрын
twende ,2022-2023 waziri wakwanza kujiuzuru Tanzania
@stanslausmteme8455Ай бұрын
Sio kweli Rais Mwinyii ( baba ) pia alijizulu
@DottoKinyamagoha4 ай бұрын
Apa wazee wetu walipigwa changa moja mbaya anaejua ni kikwete narowasa
@jumamnyambwa79935 жыл бұрын
Huyu ndio alikua sipika bora kulikondugayi
@hemedwow88026 жыл бұрын
Mzee wenye akili...tunajua umeonewa!
@rmysportstv273411 ай бұрын
Leo 2024 ooh siku zinakimbia😢
@juliusmagunila630811 ай бұрын
Rip mzee lowassa
@aloycemwakatala26345 жыл бұрын
Spika bora kuwahi kutokea.
@badenbensoni75166 жыл бұрын
Anaye jua ni mungu
@unitytzdar95535 жыл бұрын
KAONDOKA KAZOMEWA, KARUDI KAKARIBISHWA. MAISHA YA SIASA SI HASA.
@makorievans28149 жыл бұрын
Tanzania yahitaji lowassa...ili kujikomboa kutoka umaskini... mungu ibariki Tanzania...
@mussababu56232 ай бұрын
Yaan Tz ipate mtu fisaxi ka Lowassa.au wenvne mlikuwa watoto enzi zile za Giza?..Nchi hii ina watu ambao mnatumia hisia badala ya akili kufikria
@Bob-kz2ql Жыл бұрын
One of the best Parliament ever, 2023 bado tunarudi kuona dah
@sizakitego43744 жыл бұрын
2020 leo tunajikumbusha
@Gody3604 ай бұрын
Ni 2024
@goodluckphilliponguyai339010 жыл бұрын
For sure Hon. Edward Ngoyai Lowassa is the next Tanzanian President( 2015-2025) because he is a person who always takes immediate and appropriate action for the things which needs attention unlike most of the others and even his personality also tells
@dct4lif10 жыл бұрын
Only in Africa you will find idiots electing thieves to run their countries . How do you call a fired minister honorable ? Whats so honorable of being a thief ? You are sick in the brain no wonder we continue to be poor because of ignorant baffoons like u
@Waberoya6 жыл бұрын
kweli
@prof.abusakelsaleh35242 жыл бұрын
Uoooongo uoongooo bhana🤣🤣🤣🤣2022
@HipHop_202411 ай бұрын
Sa hayupo tena😢
@marystelaswai517411 ай бұрын
Yaaan hayupo Tena jaman
@tondisangasanga98259 жыл бұрын
hapa amna kazi mm napigilia suti nakula bata me ndio lowassa bhana sitaki kazi na digirii nyingi
@THEQUILLSTORY Жыл бұрын
It's 2024 TODAY
@Gody3604 ай бұрын
24/09/24
@bakarhossen45456 жыл бұрын
Mpaka namuonea huruma
@saiddimwe95086 жыл бұрын
Daaagh?! In kwere sana
@prosperulungi29982 жыл бұрын
Nana anaipitia hii. 2022
@absm80846 ай бұрын
Mtu pekee aliyesemwa kuliko wote
@michaelsiweya65004 жыл бұрын
Duu..Enzi hizo
@samwelmashauri94145 жыл бұрын
Huyu mzee wa ITV
@sebastiansalamba82366 жыл бұрын
Mwizi bwana anavisingizio,Jibu hoja usilie
@FaustineCasmir-iu3ur11 ай бұрын
Aiseeh anaekumbuka jina la huyu reporter aniambie
@lichilasalumu79835 ай бұрын
Masatu
@kakazkanda11 ай бұрын
👁️👁️
@bakarhossen45456 жыл бұрын
huyu mzee hana mpinzani, kama kweli ni Mwezi si angeshitakiwa
@abdallamaso38486 жыл бұрын
Lowasa fiiiiii sd
@benedictmrisho59473 жыл бұрын
CCM mnao uwezo mkubwa wa kusawazisha maswala yenu kwa amani.
@pasianichuwa9519 жыл бұрын
huyu ndie kiongozi wa kwel
@naimannan555410 жыл бұрын
MIMI NASEMA KWA UA MUZI HUU ALIO UFANYA LOWASSA AMEONYESHA UKOMAVU WA KISIASA HEKIMA BUSARA KWAHILI ANAFAA KUWA RAIS WA NCHI HII
@documentariestvshow4 жыл бұрын
Hivi startv sahivi mbona hawaonekani sana..
@mcsabufa27165 жыл бұрын
Kipinfi ambacho kila mhimili ulikuwa ukifanya kazi kwa uhuru nowadays sasa 😨
@fathermore97726 жыл бұрын
najiuliza mbona hapo alikua na nguvu na mchangamfu sana lakini kipindi hiki kifupi tuu anaonekana kama umri umeenda sana
@omarypanga40645 жыл бұрын
Alikuwa mchangamfu sana lakini sasahivi amekuwa mtalatibu sana
@mariambablia91264 жыл бұрын
Maradhi tu
@mosesgideon66949 жыл бұрын
Mheshimiwa Lowassa hana hata chembe ya uchafu kama angekua nao. Katika hali ya sasa wangesema mabaya yote lakini tuna waona ccm kimya hii ni kuonyesha kwamba hana uchafu hata kidogo.
@daudilengai74029 жыл бұрын
Haiwezekani lowasa awe mbaya kwa wana ccm tu hapa kuna kitu so bure.lakini lowasa tutamchagua kwani tunaimani nae
@allysinkallah16396 жыл бұрын
Ndio maana umekufa
@lewisshemboko21066 жыл бұрын
sita marehemu bendera marehemu duuh
@Boniphaceshayo511 ай бұрын
Na leo lowassa
@victorjoel31775 жыл бұрын
Wamejipanga kafara haukusika
@enockwinfred76459 жыл бұрын
marafiki
@YoelLameck-b9i11 ай бұрын
R.i.p lowassa
@ramadhanluhweja18606 жыл бұрын
Mwakyembe ni mnafiki unafrahi nn
@christohperwilson47145 жыл бұрын
Christopher Wilson selle
@allyngatta93279 жыл бұрын
Ujasiri wa lowasa ni wa kizalendo
@hamidurume88959 жыл бұрын
Tatzo la watanzania
@glodykobelo93175 жыл бұрын
Hapo nisaidieni. Liwasa kajuzuru au kastaafu?
@mamahustru6 жыл бұрын
Yaani ujambazi tuliofanyiwa watanganyika hasa wa Richmond itabaki kuwa siri ya Lowassa na Kikwete. Ukiwasikiliza kila mmoja wao unamuamini anachosema lakini mmoja wao ndo alitutenda. Mwenyezi Mungu atoe hukumu huko waendako.
@allyhamissi58355 жыл бұрын
Moyosaf
@nelsonemmanuel225910 жыл бұрын
Lowasa 2015 nchi yake
@jacoboleparingo52045 жыл бұрын
Serikali imemudu kwenye kuzuia utumiaji wa mifuko ya plastiki sawa. Je vipi kuhusu chupa za plastiki maarufu kama vibobo au take are way? Mana na zenyewe zinakuwa kero kwa kuzagaa mitaani? Mimi naona ya kwamba ingekuwa bora zingekuwa zinarudishwa kiwandani kwatumizi mengine ya baadaye, kama vile chupa za bia na soda. Kama kweli tunahitaji usafi wa mazingira yetu.
@norascombedule10575 жыл бұрын
Duuuh
@josephkessy548610 жыл бұрын
TIME IS A GOOD TEACHER
@omaryswalehe28633 жыл бұрын
Kipindi hicho cha siasa mchwara
@ahmedn.kashaga444310 жыл бұрын
MR.EDWARD N. LOWASA ndio chaguo la kwanza la kuwa Rais ajaye wa Tanzania 2015-2025. Mwenyezi amjalie heri kufikia malengo yetu.Watanzania hatuitaji kiongozi asiye na msimamo thabiti ktk kutekeleza maamuzi. Hope ENL President 2015
@dct4lif10 жыл бұрын
Chaguo la mafisadi
@ahmedn.kashaga444310 жыл бұрын
Adnan fungua macho na uone nani zaidi ya ENL ktk uongozi wa sasa kimaamuzi?
@nwntz9 жыл бұрын
Boniphace Kashaga tu pamoja
@dct4lif9 жыл бұрын
Boniphace Kashaga Hayo maamuzi yalikuwa wapi alipokuwa waziri mkuu ? Watu watuibie wakati mawaziri miaka kumi badae tuwazawadie na uraisi ? Kama ni hivyo Chenge ana haki kuwa raisi
@nwntz9 жыл бұрын
WE ADNAL ULIKUA DOGO KIFIKRA ALIPOKUWA WAZIRI MKUU ALIYOFANYA UJAYAONA...AU UNAFIKIRI UONGOZI WAKE NI KWA NZIA 2005??
@alvangidion93666 жыл бұрын
Mr mwakyembe alisema kama lowassa hausiki lirudishen swala LA Richmond bungeni, muone kama wanao tetea kwamba kaonewa , kama hawata nyolewa kwa vipande vya chupa'
@jacob.mberagu33275 жыл бұрын
Mch Paulo
@mussababu56232 ай бұрын
Lowassa tamaa ya Mali ilimzd kuliko uongozi.alipasea awe mfanyabiashara kama akina Mengi Au Rostam kuliko kutaka urais huku nafsi ikiwa na uchu wamali.Na hapo maadauo zake walamtege donge Richmond ikalkmbilia basa akamalizwa kisiasa
@charlesmwandenuka79865 жыл бұрын
Sawa
@mtunesalumu83595 жыл бұрын
wewe ni mwizi tu
@mudysquare652410 жыл бұрын
President lowassa
@dct4lif10 жыл бұрын
Sorry we dont elect thieves and fired ministers to be president
@lawsofsucces57847 жыл бұрын
Lowasa alionewa
@patricknjoka57616 жыл бұрын
Hiyo
@mayaally25126 жыл бұрын
Alionewa kipengele kipi ?
@petrokihundwa6018 жыл бұрын
nomaa jamaa
@abubakarikisuju53744 жыл бұрын
Kajiuzulu
@yakitanipesha20217 жыл бұрын
ulipo tupo lowasa
@petrogidion31297 жыл бұрын
Yakitani Pesha
@Mbonica111 жыл бұрын
Lowassa is the future president of TZ huyu mtoto wa mkulima amefanya nini katika hili taifa, zaidi ya kulia tupo pamoja katika kila hatua ya kuelekea White House
@davidmwaipopo95122 жыл бұрын
r.i.p
@yohanasemsaka142010 жыл бұрын
JOSE WAU KWELI
@saidlambertmatwi5253 жыл бұрын
Mmm
@sadamosses97639 жыл бұрын
fisadi, mwizii, km uraishi basi utakuwa wa mkoa wa arusha, kwa tz hata cku moja tumechoka na mafisadi, wezi. uko ktk madaraka hata nyerere hajazaliwa uchoki au ndio kuiba pesa zetu unaona raha, mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
@raphaelbossruvakubusa30318 жыл бұрын
this do change
@geofreyandrew10639 жыл бұрын
kama mafisadi yote kama wewe fisadi namba moja yangejiuzulu ingekuwa afadhali
@geraldmlemwa11423 жыл бұрын
By
@jumachilamba84710 жыл бұрын
Mwinzi 2 huyo
@edgapaull53356 ай бұрын
L
@shommyjunior66079 жыл бұрын
huyo anasema lowasa ni mwiz hajitambui lowasa ndiye rais wa Tanzania anayesema et wa arusha nataka nikujibu kuwa wewe hujitambui badilika,,,