WAKE WENZA (part 4)

  Рет қаралды 162,816

Comedy Plus

Comedy Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@shehawaziri7153
@shehawaziri7153 Жыл бұрын
Mashallah uwezo wakuigiza unao vilevile utajua maisha nakufundisha kuhusu maisha nakuombea tu utunufaishe zaidi mungu atakulipa ishallah
@stellahwafula-tn3gd
@stellahwafula-tn3gd Жыл бұрын
Leo naomba like zangu angalau tano Tu, mm wa kwanza
@alencleophace2182
@alencleophace2182 Жыл бұрын
Kwa kazi ipi
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Жыл бұрын
Mashaallah movie nzuri nawapenda nyote ❤👌👌Allah abariki kzi zenu
@husnaadam1994
@husnaadam1994 Жыл бұрын
Assalamu alaykum wapendwa nawapenda sana Kaz nzuri san
@nailaty
@nailaty Жыл бұрын
Hakuna talaka 3 kwa wakati mmoja hiyo inahesabika ni talaka moja mrudie mkeo maisha yaendelee
@BMFURAHAKWANZA
@BMFURAHAKWANZA Жыл бұрын
Daaah kimeumana, kumbe bhailam sheykh duuh kazi hipo, mkongo wenu🇨🇩 naomba zangu like
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 Жыл бұрын
Mashaallah kwa mafunzo hizzi ndio move zinamaadili mazuri na mafunzo kwa jamii iliyotuzunguka
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Hakuna ndoa ya kurejewa ikiwa ameachwa talaka 3 mpk aolewe na mume mwengin kisha amuache kwa ridhaa c kwa shurti yeyote dini ya uislam isichafuliwe. Ina sharia zake
@HadijaHusen-od2bw
@HadijaHusen-od2bw Жыл бұрын
Kaz nzuri
@KingiSudi
@KingiSudi Жыл бұрын
Yatakikana ieleweke ya kwamba mtu akamuacha mkewe kwa kumpa talaka kisha akataka kumrudia basi haitowezekana kurudiana labda itokee mke aolewe na mtu mwingine waishi maisha ya ndoa kabsa kisha baada ya hapo kupatikane hawa wawili kuachana kwa kupeana talaka basi hapo ndipo ambapo mume yule wa Kwanza anaweza kumrudia na kumuowa
@qudrashaeed4265
@qudrashaeed4265 Жыл бұрын
Akhy, hakuna sheria ya talaka 3 kwa pamoja, hiyo inaesabika kama talaka moja tu aloifanya. Kisheria huyo bado mkewe, ispokua , wao ndo wamekosa ufahamu wa hilo.
@iraakasubete8287
@iraakasubete8287 Жыл бұрын
Moja kati ya Historia nzuri niipendayo, Hongereni sana kwa mafunzo mazuri,moja funzo ya talaka,Busara,na mengine mengi
@JumaChinyaka-bt7rd
@JumaChinyaka-bt7rd Жыл бұрын
Busara,hekma na utiifu ,mungu kamjaalia bairam...ausio
@iraakasubete8287
@iraakasubete8287 Жыл бұрын
@@JumaChinyaka-bt7rd Kweli bana
@JumaNasormakame
@JumaNasormakame Жыл бұрын
Nimeipenda sna
@KingiSudi
@KingiSudi Жыл бұрын
Bhailam na wenzenu mcheni mola wenu haiwezekani mke ulomuacha umshurutishe aolewe na mtu mwingine kisha baada ya hapo mtu huyo amuache mke ulokwisha mwacha ili tu umuowe.Jambo hili halifai katika dini ya uislamu na huku ni kupotosha maandiko na ifahamike unapotosha watu katika hili.Nyinyi ni wasani yatakakikana mufahamu ya kwamba chochote mtakachokiigiza basi fahamuni ni ujumbe tosha mnaoufikisha katika umma wa kiislamu.pengine niwanasihi kitu kimoja ikiwa Jambo hamna elimu nalo musilivalie njuga kwa kulifanya nawaombeni.
@asantechota8974
@asantechota8974 Жыл бұрын
Kumbe uzur ana akili na yeye 🔥🔥🔥
@rahmaissa
@rahmaissa Жыл бұрын
Yani 😅😅😅 ety shetani mbhaya 😂
@UkhtyFatmah-he8vg
@UkhtyFatmah-he8vg 5 ай бұрын
Yaani Huyu Bi Mkubwa noma sn kanifurahisha jaman🤣😀🤣😀 kumbe kuomba kwoote huko mswamaha imekua ni Unafiki da wew ni Noma sn,kisha Mbwela umependeza sn kwa vazi hilo kanzu na Kofia👌👌👌.
@starchidy1577
@starchidy1577 Жыл бұрын
Broo nakubali sana endelea kupiga kazi
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Inatakiwa atakae muowq amuoe na aisha nae na ikitokeya kumuacha amuache tu kama ameshindwq na siyo kimipango.wabilah taufiq Allahuyaalam
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 Жыл бұрын
Nzuli sna ila uke wenza mtihan sna
@maryd1538
@maryd1538 Жыл бұрын
Wow niliisubir kwahamu n ghamu🎉🎉🎉❤
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Kwa nza waungwana talaka tatu haina rejeya mpaka mke aoleke kwq mtu mwengine alafu aachike ndiyo unaweza kumuowa tena.ila inatakiwa atakae muowa amuoe kwa mapenzi yake sio kwq masharti yoyote iwe kutoka kwq mke au mume wa kwqnza ili kupata njiya ya kurejeyana hapo hapata kuwa na ndowa
@cuteniluu6612
@cuteniluu6612 Жыл бұрын
Kwanza nikurekebishe talaka tatu ni sawa na talaka moja kisheria hakuna talaka tatu kwa pamoja
@shishisia1878
@shishisia1878 Жыл бұрын
Bailam katoa talk Moj t n Sio Tatu km alvyotmka yey
@bellabelle1593
@bellabelle1593 Жыл бұрын
Nawapenda sana sana💋💋💋
@IvanJames-l7b
@IvanJames-l7b Жыл бұрын
Nime ipenda iyi ntaifatiliya adi mwisho bro ❤❤🇹🇿🇹🇿🇿🇦🇿🇦
@gracemadondola7331
@gracemadondola7331 Жыл бұрын
Ila recho recho recho nakuita mara tatu hahahha
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Mmh hapo bhailam umechemka
@IvanJames-l7b
@IvanJames-l7b Жыл бұрын
Ila tatizo lako bro una chelewesha kazi bro
@LizikiHassani-vr2tv
@LizikiHassani-vr2tv Жыл бұрын
Wow nilikuwa nimeisubir kwahamu ❤ congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉
@ZenaKambi-q2d
@ZenaKambi-q2d Жыл бұрын
Bora leo ulivyonyoa sharubu umebaki na ndevu zako 😂😂😂😂
@AyoubTV414
@AyoubTV414 Жыл бұрын
Jamani nani kasikiliza mara mbili kasema hakumpata kwa kiuno chake mwenyewe😅😅
@RokiyaRokiyarok
@RokiyaRokiyarok Жыл бұрын
🎉🎉❤nimependa
@mwajumsleman9070
@mwajumsleman9070 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂ety we shetan
@salmasaid4309
@salmasaid4309 Жыл бұрын
Wow🎉❤
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 Жыл бұрын
Huyu mke mkubwa😂😂
@HappyDaudi-ub4hw
@HappyDaudi-ub4hw Жыл бұрын
😅😅😅😅😅 ila bi mkubwa una balaa ww 😂😂😂😂😂
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Жыл бұрын
yote kwa yote munaelimisha kisha munapotosha jamii hususan waislam kwanza naomi lazma aolewe na mume mwengine kisha achike kwa hiyar kisha ndio balham amrudie kuweni makini sana juweni kuna kifo na mitandao hifutiki mutakwenda kujibu mbele ya haki yaum kiyama
@Daboymohaa
@Daboymohaa Жыл бұрын
Mr ndio uzuri 🤣🤣
@ericnduwimana8246
@ericnduwimana8246 Жыл бұрын
Bhailam wewe ni hatari kwa kuigiza kabisaaaa
@EmmanuelKunzugala
@EmmanuelKunzugala Жыл бұрын
Nakuona mama shetan 🤣😅😆😆
@OfficiaGfilm
@OfficiaGfilm Жыл бұрын
Kazi Nzur sana ❤❤
@Rajab-Raj
@Rajab-Raj Жыл бұрын
Ndo uzuri
@QueenJane-x3m
@QueenJane-x3m Жыл бұрын
Ila rachol hahaha sio kwa kusujudu uko kuomba msamaha
@FatushAbdi-c2k
@FatushAbdi-c2k Жыл бұрын
I can’t wait part 5 Mbona imechelewa😢
@jumaothman9449
@jumaothman9449 Жыл бұрын
Mh! Ila talaka si zishaisha? Jamani itaillah
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Ila tusubiri muendelezo tuone kitachotokeya inshaalla ila kunamafunzo yakujifunza kina mama na sisi kina baba
@yunuschum3754
@yunuschum3754 Жыл бұрын
Bhailam 🔥
@nockigona5160
@nockigona5160 Жыл бұрын
fisi kakabidhiwa bucha
@saadamohd7976
@saadamohd7976 Жыл бұрын
Hio ndo haifai kabisa kidini ndugu yng umetukosea sana waislam mm nilijua unaenda kutafuta utatuzi wa suala lako
@shishisia1878
@shishisia1878 Жыл бұрын
C usbr umlzie flm
@mrsfahad5693
@mrsfahad5693 Жыл бұрын
Can't wait 🎉🎉part 5
@PANJUWANTV
@PANJUWANTV Жыл бұрын
KAZI NZR KAKA
@lucypaulo9238
@lucypaulo9238 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 Жыл бұрын
Ktk Uislam kumuacha mke talaka tatu, kisha kumuomba mtu amuowe kisha amuache ili umrudie ni dhambi kubwa mno kisheria Inatakiwa mwanamke aolewe Yeye kama Yeye na mtu ampendaye pasina kuingiliwa na mume wa awali, mume wa pili atakapo muacha kama ni miaka 10 au mitano au muda wowote watakao ishi, hapo sasa yule mume wa awali ataruhusiwa kumuoa kwa mahari mpya na ndoa mpya. Nimeandika haya kama tahadhari ya hicho kilichofanyika isionekane ndio utaratibu wa kidini hapana.
@omarylugojo9970
@omarylugojo9970 Жыл бұрын
Hakuna Sheria ya taraka 3 zinazotoka kwa pamoja na hata hio kuolewa mpka akae eda iishe ndo aolewe na hata akiolewa sio mtalaka wake amtaftie wa kumuoa na kuweka mipango baada ya muda kadhaa amuache hio kisheria haiswihi
@indhouroon2213
@indhouroon2213 Жыл бұрын
Naomi hata rudi besi 😂
@Tatuhamzah9
@Tatuhamzah9 Жыл бұрын
Mashaallah ❤️
@MeRy-qk6bp
@MeRy-qk6bp Жыл бұрын
Tunasubili number 5
@deoselcom9701
@deoselcom9701 Жыл бұрын
Bhailam tumesha miss KIDAWA
@aishakassim75
@aishakassim75 Жыл бұрын
Yani hapo ndio mmekosea waezaje kuomba mtu aoe mkeo baada ya hapo arudi kwako iyo itakua zinaa si halali tena
@halimamohammedsuleiman5159
@halimamohammedsuleiman5159 Жыл бұрын
MashaAllah
@AISHA-de1ms
@AISHA-de1ms Жыл бұрын
Mashallah
@neemaalphoince1209
@neemaalphoince1209 Жыл бұрын
Ndo uzuri unyoage na izo ndevu sasa
@allybulula9104
@allybulula9104 Жыл бұрын
Watu wengi hukosea ktk sehem hii ktk taraka tatu ktk jambo hili Kuna hitirafu mke hapewi taraka tatu kwa maramoja wapo maulamaa waliosema inafaa na wapo waliosema haifai kwa maana taraka tatu zinazokubalika nizile mmehitirafiana ukampa taraka ukamrejea hiyo nimeona haifutiki ukimpa Tena inakua yapili harafu ukamrejea ukimpa yatatu hapa zinakua zimekamilika taraka tatu lakin kumpa.mwanamke taraka tatu kwa mkupuo huo muda unapomtamkia nimekua ndio tatali umeshamuacha una unapompa tatu unampa Kama nani wakat sio mkeo? Ndio maana hakubaliki taraka tatu kwa pamoja lakin na kuitaji mkumuoa mwanamke kwamipango kama hivyo anavyotaka bailam nimakosa Sana kisheria mtu akishaoa yy ndio mwenye masmuz ya taraka akigaili usije muona mbaya
@saadamohd7976
@saadamohd7976 Жыл бұрын
Sahihi kabisa kwa sababu atalaku mara tain wanajusahaulisha
@habibahabiba7556
@habibahabiba7556 Жыл бұрын
Ep 5 tafadhali
@selekingstar
@selekingstar Жыл бұрын
Wakwanza
@nasrikhan4218
@nasrikhan4218 Жыл бұрын
Naombeni like zangu
@saadamohd7976
@saadamohd7976 Жыл бұрын
Atalaku mara tan talaka haziji kwa pamoja. Na wala haziachwi mtu mwenye hasira
@mariammmanga4234
@mariammmanga4234 Жыл бұрын
tunakosea jaman waislam ni haramu mwanamke kutolewa mhalili kwa mwanamme mwengine
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 Жыл бұрын
Asipo muacha jee
@KK-ygh
@KK-ygh Жыл бұрын
Yang hata akasujudu!
@BabadorcasJackson-bi1sj
@BabadorcasJackson-bi1sj Жыл бұрын
❤❤❤
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Ilikuwa bado kumbe kuusha😅
@ramaalprice3051
@ramaalprice3051 10 ай бұрын
Mbon sielewi jamani kwani I naenda je sielewi chochote
@blackblue9729
@blackblue9729 Жыл бұрын
Baba mkwe miyayusho
@edhaomar2853
@edhaomar2853 Жыл бұрын
Talaka tatu ilikuaje akarudi kwanini mnaharibu uelevu wadini
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 Жыл бұрын
Kikawaida sanaa hukosoa na kuelimisha kutokana na matukio yaliopo , yajayo yakufikirika na yasiofikirika mm nadhani usikimbilie kukosoa fatilia vyema mwanzo mpaka mwisho ujue dhamira ya kilichowasilishwa ambacho kina matukio yaliopo mitaani mwetu na yapo yanatendeka kila leo
@IbuPapa-j6z
@IbuPapa-j6z Жыл бұрын
😂😂😂
@rhizoamanda3513
@rhizoamanda3513 Жыл бұрын
Next please 🙏
@حليمهالبلوشي-ز5ث
@حليمهالبلوشي-ز5ث Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤❤
@jullia639
@jullia639 Жыл бұрын
Mmmmh ndo jamaaa aje amnganganie mke mazima
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 Жыл бұрын
Shetani kwani yuko juu wee recho
@yunuschum3754
@yunuschum3754 Жыл бұрын
Kisheria dini haipo hivo atakaemuoa hapo anatakiwa aishi nae kama mke na mume na sio ndoa ya kupanga kisha aachwe dini hairuhusu
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 Жыл бұрын
Kwan movie imeisha ?
@yunuschum3754
@yunuschum3754 Жыл бұрын
@@mbwelamedia3469 tunasubiria bro
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 6 ай бұрын
❤🎉
@bitemoses4102
@bitemoses4102 Жыл бұрын
Mbn inachngnya. Chngny mala part1 season 2 mala 3
@deoselcom9701
@deoselcom9701 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉TUNA MTAKA KIDAWA BHAILAM❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AngelaNduta-g1r
@AngelaNduta-g1r Жыл бұрын
I can not wait for part 6😢😢
@metrineokola7730
@metrineokola7730 Жыл бұрын
Party 5 bhailam please
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Bi mkubwa MUNGU anakuona
@ramadhanmdaki2677
@ramadhanmdaki2677 Жыл бұрын
Mbwela Ila we handsome
@SophieCareenkimario-qs8jy
@SophieCareenkimario-qs8jy Жыл бұрын
Huyu mke mkubwa nyoko
@RidyRidydelison
@RidyRidydelison Жыл бұрын
Bora maana tusubili kwa muda
@kamandamkuu4g57
@kamandamkuu4g57 Жыл бұрын
Number 7 leo nimimi
@aminajumaa-fl3xy
@aminajumaa-fl3xy Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣hata shule number 7 hapati kituuuu🫣🤪🤪
@rashaso7564
@rashaso7564 Жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
@EdwardDismass
@EdwardDismass Жыл бұрын
Mko vizuli
@komlaakomlaa7465
@komlaakomlaa7465 Жыл бұрын
Yani taraka tatu ni hatari
@Salafi_wa_dar
@Salafi_wa_dar Жыл бұрын
Pita na kwangu uone vichekesho vyangu
@yuui1878
@yuui1878 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama Жыл бұрын
Alafu anauliza tu kwa kutojua , vile hii movie unaendelea ndivyo wa Islam hufanya au hawa wanaongea ya kwao?
@husseinommy9616
@husseinommy9616 Жыл бұрын
Samahanin huyo mke mdgo anajiita nani mtandaon naona anandomo ya kunyonyq daaah
@zeroconscious1916
@zeroconscious1916 Жыл бұрын
Huo mdomo hata lollipop unafaa kuinyonya
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pendopascal1899
@pendopascal1899 Жыл бұрын
❤️❤️❤️
@AISHA-de1ms
@AISHA-de1ms Жыл бұрын
😂😂
WAKE WENZA (part 5)
9:11
Comedy Plus
Рет қаралды 124 М.
WAKE WENZA FULL MOVIE (SEASON 1) EPISODE 1-6
1:07:25
Comedy Plus
Рет қаралды 686 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
MKE KAMA HUYU UTAMFANYAJE  ONA
10:24
Steve Mweusi
Рет қаралды 931 М.
NYUMBANI KWA HAJRA KIDOTI,  AKUNA AMANI #SAHARA #SAMBAZAHEKIMA
12:33
BIBI TIKISA HII HAPA..TANZAMA UMBEA
9:22
Gebo Mkary tv
Рет қаралды 29 М.
WAKE WENZA (SEASON 3)  EPISODE 1-10
3:08:42
Comedy Plus
Рет қаралды 73 М.
WAKE WENZA (SEASON 2)  EPISODE 11-20
2:39:36
Comedy Plus
Рет қаралды 165 М.
BONGO MOVIE 2022: FILAMU KALI YA “KIPOFU”
1:09:03
JASONS TV
Рет қаралды 582 М.
KINGWENDU AJARIBU KUWA PATANISHA DAIMONDI NA KONDE BOY UTACHEKA SANA HII
7:44
DUNIA (Ep 45)
22:51
ASMA FILMS
Рет қаралды 295 М.
WAKE WENZA (SEASON 2)  EPISODE 1-10
2:14:52
Comedy Plus
Рет қаралды 267 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WAGOMBANISHWA NA MWANAMKE UTACHEKA
15:47
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН