WAKE WENZA (SEASON 3) - EPISODE 18

  Рет қаралды 121,199

Comedy Plus

Comedy Plus

Күн бұрын

#Bhailam#Rachel#Naomy#comedyplus#2024#
⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : www.youtube.co...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz

Пікірлер: 441
@judithpendo9985
@judithpendo9985 7 ай бұрын
Olaa team strong hoyeeeeeeeeee 😂 mm ndio wa kwanza Leo like km wapenda mke mwenza ikikataa krb tunyonge pamoja 😂😂😂😂Niko apa Riyadh 😂🇸🇦🇰🇪team 2024 pamoja 😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦😂😂🥰🥰😂
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 7 ай бұрын
😂😂😂kwa nini ujaniita sasa
@judithpendo9985
@judithpendo9985 7 ай бұрын
@@zainaabdallah809 😂😂😂😂nmesahau mke mwenza
@Susanumazi
@Susanumazi 7 ай бұрын
😂😂😂
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@AsdOo-fs1jd
@AsdOo-fs1jd 7 ай бұрын
Hoyeeeeeeeee❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Jaydanny..
@Jaydanny.. 7 ай бұрын
Mimi hapa kama mnavyonijua maneno kidogo likes nyingi nipeni basi❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢
@JessyBeauty-h6u
@JessyBeauty-h6u 7 ай бұрын
Wanaofatilia hii movie nipeni likes wapenzi wenzangu❤❤❤
@purityneema218
@purityneema218 7 ай бұрын
Yaani Rachel Usha changanywa na dada zako tayari na sasa una elekea kulala na kakako kita kuramba
@SusanMuema-i7n
@SusanMuema-i7n 7 ай бұрын
Nimewai leo from team strong naombeni like zangu jamani ata 5 tu
@QueenGabriel-ys7eh
@QueenGabriel-ys7eh 7 ай бұрын
Mnashindwa kucomment vitu vya msingi mnakalia wa kwanza wa pili ili iweje 😮
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 7 ай бұрын
Nashangaa
@ashrakswaleh2116
@ashrakswaleh2116 7 ай бұрын
Wanaboa
@NeemaMoses-x1b
@NeemaMoses-x1b 7 ай бұрын
yan wanaboa nyau hawa
@mahmoudsingle7808
@mahmoudsingle7808 7 ай бұрын
Wananikera sana
@PARISSARAMBA
@PARISSARAMBA 7 ай бұрын
Leo mi ndo wa kwanza naombeni like zenu japo kumi
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 7 ай бұрын
Huyo Hana Nia njema kwenu dakitari huyo unaemuita fatuma no mnafiki sanangoja muone vituko vyake huyo fatuma nimuongo. sana Yule dada aliyekutananae nidadayake ameogopea Tu!
@jaliaalfan
@jaliaalfan 7 ай бұрын
Jaman ata mimi wa mwish naomben like 5😂😂😂
@YUSRASMART-i2c
@YUSRASMART-i2c 7 ай бұрын
Ila Rechol n kivurunge kweli 😂😂😂😂 nawapenda sana kutoka Kenya 🇰🇪 ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@MlongoChai
@MlongoChai 7 ай бұрын
Mzee simba ww ni baba bora unazo sifa za kila aina za kuitwa baba nawapenda nyote ❤❤❤❤❤
@HusnaMwanjaa
@HusnaMwanjaa 7 ай бұрын
Akaa kila mtu wakwanza wankwanza wamwesho nani sasa km vp mm wa mwesho leo sema nawapenda kinoma noma🤸🤸🤸🤸🤸🌹🌹🌹🌹
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 7 ай бұрын
Yani team furus mko fasta mno mshawai big up bhailam pokea maua yako 💐💐💐💐
@lulupeter-xf9gs
@lulupeter-xf9gs 7 ай бұрын
Wa mia na sabini na tatu naombeni like jamani hata kumi tu na Mimi nitajaa shavu😂😂.
@ScholaMalale
@ScholaMalale 7 ай бұрын
Hahahahahaha mbona hmnijibu hizo like jmn mnapata pesa
@EmilyRehema-p1e
@EmilyRehema-p1e 7 ай бұрын
Mariam hongera kwa ujasiri uliyo nao kwa dinyo big love from 🇸🇦 to 🇰🇪
@EdinaShaban
@EdinaShaban 7 ай бұрын
yaan recho kila kukicha anawaza kwa waganga wa kienyeji utafka mbingun umechoka sana
@TwahaHamisi-u6j
@TwahaHamisi-u6j 7 ай бұрын
Kazi nzuri.naomba muda wa kurushwa kipande kifuatacho upunguzwe.
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 7 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@halimamohammed7863
@halimamohammed7863 7 ай бұрын
Nmewahi jmni naombeni like jpo tano team fulus kujeni uku 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🎉🎉🎉
@nabahyaombeni-ic4ft
@nabahyaombeni-ic4ft 7 ай бұрын
Jamaniiii wakwanza leoo mara yakwanza naomba like zenu❤❤❤❤
@davinaemmanuell-uj5or
@davinaemmanuell-uj5or 7 ай бұрын
Jamani watu mpo kasi nipeni like hata mbili basi
@AmiHussein
@AmiHussein 2 ай бұрын
❤1pvwl🎉 J
@Queensalembagv7ow7ce1
@Queensalembagv7ow7ce1 7 ай бұрын
Nami leo sijachelewa sana naomba ata like chache jamani
@Amena-z5r
@Amena-z5r 7 ай бұрын
Nimewahi leo na mm jmn nipeni like zangu 😢😢😢❤❤❤🎉🎉🎉
@liylahahmed829
@liylahahmed829 7 ай бұрын
Kazi ipoo dunia ina mambo..
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 7 ай бұрын
Recho naona aibu mie laana hiyo utaumbuka kaka yako huyo 😅😅😅 nampenda mzee simba ❤❤❤
@ERICKJUAmedia
@ERICKJUAmedia 7 ай бұрын
I'm really supporting you guys ❤❤❤
@AaIi-qw3ec
@AaIi-qw3ec 7 ай бұрын
Mimi wa mwisho jamaniiii ❤❤❤❤ ongereni sanaaa ❤❤
@HellenMahumi
@HellenMahumi 7 ай бұрын
Haina sauti rekebisheni
@UmmyZakiah
@UmmyZakiah 7 ай бұрын
😢nilijua cm yangu mbovu
@YusuphRama-ux6kg
@YusuphRama-ux6kg 7 ай бұрын
Mm pia saut hamna
@ZainabuShabani-u7p
@ZainabuShabani-u7p 7 ай бұрын
Jamani mm siyo wakwaza ila nawapenda sana maana Kila mutu wakwanza ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@saumbliz8983
@saumbliz8983 7 ай бұрын
Naomi jishushe dada mwanaume usimuoneshe udhaifu wako ,,usilipize baya kwa baya,,lipiza baya kwa zuri Naomi 😢
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 7 ай бұрын
Kwan kamkosea nn
@NajmaMohammedy-u4y
@NajmaMohammedy-u4y 7 ай бұрын
Duh Da recho umeipigaje pigaje iyooo😂kuwa makini mahi wangu uyo ni bro wko mtto wa mzee king wama king🤣
@muslimakassim8315
@muslimakassim8315 7 ай бұрын
Masha Allah good job ❤❤❤😊
@AbdillaahAbdillah
@AbdillaahAbdillah 7 ай бұрын
Best series ❤
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 7 ай бұрын
Mungu angu madawa aya mabaya jaman fatuma ss ataolewa na kaka ake 😂😂
@ritahkedi2410
@ritahkedi2410 7 ай бұрын
😅😅😅like husaidia nn mnipe sirii maana kila mtu mm wakwanza 😅😅😅😂
@Bintluckas3918
@Bintluckas3918 7 ай бұрын
❤❤ Rachel wakimbize😂😂ila huyo doctor nimzur kakuchum wewe raha nimepata mm
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 7 ай бұрын
Kaka yake yule
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@fatmahamadi8928
@fatmahamadi8928 7 ай бұрын
Recho kaka ako huyo shaur yako 😅😅
@FrncMukwinka
@FrncMukwinka 7 ай бұрын
Fatu Mungu anakuona😢😢😢 them hammam from 🇧🇮 mupo Wapi nipeni Japo 10😊😊😊
@MarionKerubo-v1v
@MarionKerubo-v1v 7 ай бұрын
Leo maua kapendeza saaaana❤❤❤ much love kutoka Kenya
@SofiaKazungu
@SofiaKazungu 7 ай бұрын
Much love from saudia Arabia really appreciate like plz all 2
@edwardmatuga4446
@edwardmatuga4446 7 ай бұрын
Mzee Simba , Baba Bora. Ushauri mzuri kwa mwanao Bylam
@ashahassanhiribae1527
@ashahassanhiribae1527 7 ай бұрын
Naona recho ywaelekea kutembea na ndugu yake 😂😂😂
@Zeldaommy
@Zeldaommy 7 ай бұрын
Jamani bailam utamuuwa kaka mbwela Hilo panga sasa kiboko kazi nzuri kaka mbwela 🔥🔥🎉🎉❤❤
@jasminiIssa-y2q
@jasminiIssa-y2q 7 ай бұрын
Ila recho mmhh Bora umfadhiri mbuzi binadamu anamauzi na hujui uyo ni kaka Yako ❤
@HadijaChondo
@HadijaChondo 7 ай бұрын
Heloooo team strong kujenii hapana tutianee nguvuuu na mnipee likes ata kama mbili nikabuy khubus❤❤❤😂😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 7 ай бұрын
Chukua my🎉🎉🎉🎉
@edwinpius4913
@edwinpius4913 7 ай бұрын
Likes zangu ak tafadhali nimengoja kuona Mzee simba
@ShadidaHamad-er4gh
@ShadidaHamad-er4gh 7 ай бұрын
👏👏👏♥️♥️♥️
@floraakineza
@floraakineza 7 ай бұрын
Mariam unanifurahisha sio sili jinsi unavyo mjibu dinho kwa ujasili na kujiamin chukuwa mauwa yako mama🌹🥀💐 Mzee Simba kiboko wewe💪💪💪
@HADIJAMASHAKA-em3qp
@HADIJAMASHAKA-em3qp 7 ай бұрын
Uchawi ukizidi fatuma kamroga kakaake😄😄 baba mmoja
@MwanashaHemed-w3r
@MwanashaHemed-w3r 7 ай бұрын
Mashallah hii move tamu sana congrats 🎉🎉🎉🎉 good job❤❤❤
@IreneJiress-qh8xj
@IreneJiress-qh8xj 7 ай бұрын
Wake mwenza inapoelekea Rachel atatembea na Kaka yake bila kujua😢😢😢😢😢😢😢
@sadcome3213mapenzi
@sadcome3213mapenzi 7 ай бұрын
Wow fatuma hongera dada❤❤❤❤
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 7 ай бұрын
Bhailam unaweza much love from 🇰🇪 to 🇸🇦
@sikudhanifaiz
@sikudhanifaiz 7 ай бұрын
Mzee simba asante kwa maneno yako kuntu, ni kweli wanawake twapenda kudekezwa na kunyenyekewa❤
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 7 ай бұрын
Limbwata limeshika tayar😂😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 7 ай бұрын
Recho unaboa na michawi yako et ndo kipaji chako, 😂😂😂
@saadashaabanshaaban386
@saadashaabanshaaban386 7 ай бұрын
Hadi kumroga kakake ili kutoka nae kimapenzi daaa kiboko recho na utakapo gundua ni kakako wa damu je itakuaje?
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 7 ай бұрын
Safarihii akijua ukweli huyu atajiua nawaganga wake😂😂😂
@SophieCareenkimario-qs8jy
@SophieCareenkimario-qs8jy 7 ай бұрын
Sema hii movie inafundisha sana wanaume nawaita Tena wanaumeeeeeee😢mnajua kuharibu sana wanawake zenu mkipata wanawake wema mnawachezea sana matokeo yake mmeyaonaaaaaa
@salhaally2103
@salhaally2103 7 ай бұрын
Katika mdada mwenye sin ngumu ni recho jaman dada anajua sana bip up kwake
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉ongereni saaan kwa kazi
@Bibi-he6vt
@Bibi-he6vt 7 ай бұрын
Kazi nzuri Bhailam ila Hilo panga lachekesha😂😂😂
@MercyKahindi-go2nr
@MercyKahindi-go2nr 7 ай бұрын
Maua kapendeza Sana ❤❤ hongera kwako
@Paulomchinje
@Paulomchinje 7 ай бұрын
Namm n❤imewai leo wakwnza
@Jali-et8py
@Jali-et8py 7 ай бұрын
Fatuma acheni uchawi jamani 😢😢😢😢
@ZabibusuphianialiSuphiani
@ZabibusuphianialiSuphiani 7 ай бұрын
Jaman watu mnawahi humu duh 😢😢😢😢😢🎉🎉🎉
@FatmaAlmas-r9s
@FatmaAlmas-r9s 7 ай бұрын
Sana Ila Mbona hap mwanzo Amna sauti
@rahmaomaryomary-md5ck
@rahmaomaryomary-md5ck 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂heeee mimi na recho
@AidathRweyongeza
@AidathRweyongeza 7 ай бұрын
Dah hatari sana
@priscilladimanche8217
@priscilladimanche8217 7 ай бұрын
Fatima rachel ameamua vita kila mahali anaingia😂😂😂
@zubedahamis2346
@zubedahamis2346 7 ай бұрын
Nampenda Mariam sasa hvi yuko strong 🎉🎉🎉🎉
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 7 ай бұрын
Kuzaa hivyo wanaume SASA fatuma😢😢 anatembea na kaka yake
@MozaKhamis-y6p
@MozaKhamis-y6p 7 ай бұрын
Nna imani recho hatoivunja hii ndoa mzee simba atamnasa t😂😂😂
@TausiMokiwa
@TausiMokiwa 7 ай бұрын
ila lecho wewe jaman umeshaenda kuvuluga ndio ya wifi yako bila mwenyewe kujijua kama hilo busu nilakaka yako 😂😂
@AsebaleylaDavid
@AsebaleylaDavid 7 ай бұрын
Uku kwangu akuna sauti sijui kwa wengine
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 7 ай бұрын
Hata mie. Ila ni sehemu ndogo
@NaomiNaomi-z5v
@NaomiNaomi-z5v 7 ай бұрын
Mauwa yenu jomon ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@zni8z
@zni8z 7 ай бұрын
Nimependa sana ❤❤❤mauwa na Janet wakiwa marafiki nawapenda kutoka Kenya 🇰🇪
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 7 ай бұрын
Rachael jamani wataka kupita na broo wko jameni 😢😢😅😅😅
@estaphone
@estaphone 7 ай бұрын
😂😂😂 Racheal umeanza kufanya hicho kitu
@magdalenew.mwanyota5901
@magdalenew.mwanyota5901 7 ай бұрын
Dunia ya sai iko hivi kabisa ewe mola tustiri waja wako 😢😢😢😢😢,ila bailam iyo mbio noma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,maua tayari kashakua mwanga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂fathmaa noma mama
@EmilyRehema-p1e
@EmilyRehema-p1e 7 ай бұрын
Fatma hutosheki piya huyo wataka kumuchukuwa mwanaume wa mwenzako ambaye amekusaidiya wahenga walisema mufadhili mufadhili mbuzi binadamu Wana maudhi😂😂😂😂😂😂
@fawwadhibrahim
@fawwadhibrahim 7 ай бұрын
Nimewahi tena 😊
@Fatma-to6rq
@Fatma-to6rq 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂keee balaaa recho na kakaake
@ShabanAbdulrahman-b6r
@ShabanAbdulrahman-b6r 6 ай бұрын
Huyu recho ataliwa na kaka yake jamanini😁😁😁
@alekiealexiana9395
@alekiealexiana9395 7 ай бұрын
Naomi umenimalisia hamu kabsa ya filamu😔😔😔Bhailam hata km n movi duh!hiyo situation ina~touch...Fatuma nawe you make me get bored with you...shida hizi zote ni ww na bado tu unabisha🤦🤦
@MwajumaLajab
@MwajumaLajab 7 ай бұрын
Fatuma fatuma,recho recho njoo inbox uchukuwe zawadi yako❤❤
@MushuRwega-qp4zm
@MushuRwega-qp4zm 7 ай бұрын
Siku hizi mnaleta zenye sauti ya chini sana.
@Fatma-to6rq
@Fatma-to6rq 7 ай бұрын
😂😂😂😂recho utafika mbinguni umechoka
@SAIDMKAIKUTA
@SAIDMKAIKUTA 7 ай бұрын
Jamani njoeeni uku kwa recho
@AviaMahenge
@AviaMahenge 7 ай бұрын
naomi pisi ya kwendaaa❤
@aishaomar9621
@aishaomar9621 7 ай бұрын
Naomi nimependa ugizaji wako ila kwakwli wanaume wanatutesa sana inapswa nao uwapitishe kwenye magumu kidogo hili ni funzo😂❤
@irinemmasy8387
@irinemmasy8387 7 ай бұрын
Recho ni mvurugaji ataharibu ndoa ya watu
@NaomiNaomi-z5v
@NaomiNaomi-z5v 7 ай бұрын
Recho ,Recho Recho kaka ako huyoo😂😂😂
@OmanMobile-v7h
@OmanMobile-v7h 7 ай бұрын
Yani recho kila anakoenda kuharibu ni kwa ndugu yake mwenyewe hajui daah ❤❤
@nyakirotojuma8417
@nyakirotojuma8417 7 ай бұрын
Me wakwanz kuona lovebite kwa maua😜😁, good job 🔥
@elimukwadada
@elimukwadada 7 ай бұрын
Best series talent iko juu 🎉🎉🎉
@BintyRama-b1r
@BintyRama-b1r 7 ай бұрын
Mungu anakuona recho ila chunga babko asije
@nesaahaji1329
@nesaahaji1329 7 ай бұрын
🎉🎉 jamani mauwa yao wapewe
@SAIDMKAIKUTA
@SAIDMKAIKUTA 7 ай бұрын
Kwer mandingo😅
@getrudalawz7871
@getrudalawz7871 7 ай бұрын
Mnatucheleweshea 21 mpaka tumechoka kusubili jmn
@AngelNinaofficial
@AngelNinaofficial 6 ай бұрын
Na Mimi wa mwisho napata ngapi hhh 😂😂😷😷
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 7 ай бұрын
Recho we noma umeshindwana na Bhai lam Leo umeingia Kwa mume wa mtu I saluted you
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 7 ай бұрын
Cyo mume wa mtu kaka yake damu Moja yani😂😂😂
WAKE WENZA (SEASON 3) - EPISODE 19
24:01
Comedy Plus
Рет қаралды 114 М.
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 33)FINAL
21:47
Comedy Plus
Рет қаралды 38 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 69 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 45 МЛН
USIYEMPENDA KAJA | Kp & Zebuu
11:57
Zebuu
Рет қаралды 260 М.
WAKE WENZA S01 EP 01
14:13
Juma Zomboko
Рет қаралды 24 М.
WAKE WENZA{ SEASON 4) EPISODE 8 FINAL
31:15
Comedy Plus
Рет қаралды 128 М.
CHAMDOMO |1|
9:11
KIM VEVO
Рет қаралды 91 М.
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 32)
19:21
Comedy Plus
Рет қаралды 54 М.
MWALIMU WAHOVYO |short film|
24:08
CLAM VEVO
Рет қаралды 4,9 МЛН
MKURYA KANITONGOZA
5:54
CRAYZ BOSS
Рет қаралды 29 М.
Premier Full Episode -  Pete S1 Episode 1 | Maisha Magic East
27:21
Maisha Magic East
Рет қаралды 2,4 МЛН
KIPENDA ROHO Episode 2 Love story (HD) swahili series
10:31
ANKO HANS
Рет қаралды 1,2 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12