WAKILI MSOMI, AWADH ALI SAID AIZUNGUMZIA BIMA YA WASAFIRI, ZANZIBAR

  Рет қаралды 3,717

Swahili Voice TV Online

Swahili Voice TV Online

Күн бұрын

Shuhudia Wakili Awadh akiichambuwa bima ya Zanzibar

Пікірлер: 21
@user-wv5is5ky9b
@user-wv5is5ky9b 7 күн бұрын
Kinachofanyika hapa nitamaa tu za watu kutaka kujikushanyia feza ili watie mifukoni mwao Lakini uku kwetu mtu akitaka kufanya kitendo kama hicho cfano wake huambiwa (watafuta kukosa kaa na ngando ) maana ya msemo huu ni kwamba kuna kuna unakua unapata lakini ukajitia tamaa ukataka upate zaidi mwisho wako ukakosa yote Maana kwenye utalii kunaingiza pesa nyingi sana lakini inaonekana hazitoshi wanataka wapate zaidi mushowasiku unakoso yote
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 7 күн бұрын
SASA MKUYA AMEZEEKA NA SASA ANAWAKOMOA WAZANZIBARI WALIOPO NJE YA NCHI AMBAO NDIO HAWAKATI BILA HUKO ULAYA!
@SaidAbdala-f7p
@SaidAbdala-f7p 6 күн бұрын
Huu ni mwisho wa ccm . Ndio maana wanataka kuiba kwa muhula wa mwisho. Mujue marahiii Ccm kwisha kwa zanzibar. Mtaona wenyewe. Zanzibar haina tofauti na palastina. Kwahiyo tushsona kinachofanyika palastina. Kwa hiyo na sisi tujiandae. Mujue waengereza katholiek West-Europese na wamerekani. Wako nyuma kwaa kila kitu. Ili zanzibar isiwe huru. Lakini kwa mara hii. Mutaona pesa ya zanzibar ina uso wa OMO, jumbe. Malim seif.babu. duni. Jussa.
@khalidabdulla6545
@khalidabdulla6545 6 күн бұрын
😢😢 mhhh au bas
@abdullamasoud7324
@abdullamasoud7324 4 күн бұрын
Wakukurupuka StarTV.
@walidsaid7807
@walidsaid7807 7 күн бұрын
Huu ni uonevu kwa wageni kutozwa bima ya lazima ilhali watalii wengi wanao kuja nchini tayari wana bima zao iweje msizikubali? Halafu Zanzibar haiko tayari kwa haya ili kutowa huduma hasa zile za dharura (Emergency) mtu kupatiwa huduma za haraka kama vile Air Ambulance pindipo parahitajika kumwahisha mtu hospital kwa matibabu
@khadi-z4o
@khadi-z4o 5 күн бұрын
WATALII WENGI 99% WANABIMA ZAO AMBAZO NI INTERNATIONAL.
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 6 күн бұрын
Zanzibar sasa kuna min hospital ambazo zipo kila Kona ya zanzibar kas kus na magh watalii wana bima zao na hii itapelekea kupungua utalii soon tutaona 😅
@kadirkhamis7704
@kadirkhamis7704 3 күн бұрын
bima gani unapangiwa hospitl ya kwenda haima ishu ishu yoyote tuikataeni
@FernandezBruno-p5t
@FernandezBruno-p5t 7 күн бұрын
Mtu anakua chawa half ndo anachaguliwa kua kiongozi anakua mkurugenzi waziri manaibu waziri matokeo yake nchi inakua kama inaogozwa n machizi kwasababu jambo ata haliingii akilini wao ndo atataka liwe half wakiambiwa pia hawataki yaani ujinga ujingaaaa watu wenye akili wanakaa nje serikali
@salimsaid8348
@salimsaid8348 6 күн бұрын
Hii ZHSF hassa kiukweli wafanyakazi wengi wa private hatuitaki tumelazimishwa tu. Tunawaomba wanasheria mulisimamie hili Bima gani hii ina masharti kibao
@khadi-z4o
@khadi-z4o 5 күн бұрын
WIZI HUUTU WA CCM , WATALI 99% WAKIJA KUTALII WANAKUWA NA BIMA ZAO . WATU WANAISHI NA BIMA TOKA WANAZALIWA. CCM YA ZANZIBAR WACHENI WIZI HEBU. KUNA HOSPITAL GANI ZANZIBAR YA PIMA KIMATIBABU!!!!!! UHANISITU😅
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 7 күн бұрын
Kuna nchi ya Thailand ni nzuri pia kwa utalii na ni nchi moja yenye gharama kidogo sana katika kutalii. Na ina vivutio vizuri. Kama mgeni atakuja Zanzibar kutalii mfano kwa dollars 3000 bas kwa nchi ya Thailand itakua ni nusu tu ya hiyo. Sasa nyinyi musioangalia mbele hasara za kodi za ovyo juu ya utalii subirini muone kitakachotokea.
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 7 күн бұрын
Kwann ACT WAZALENDO tusimtumie huyu kwenye taasisi yetu
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 7 күн бұрын
Wanataka kutukimbizia Watalii tu wengine hatutaki kuajiriwa ndio tumejiajiri humo tunakula kupitia hao wageni
@lusakaone7782
@lusakaone7782 6 күн бұрын
Shukraan kwa ushauri
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 6 күн бұрын
@@lusakaone7782ukiachia wazungu sisi wengine tuna family nyumban hali hii ni Mtihan pia kwetu
@hassanalikombozanzibar1192
@hassanalikombozanzibar1192 6 күн бұрын
Na hivi sasa maagent wa wageni washaanza kutuambia kuwa zanzibar ni expensive we will change the trip travelling to another country, watahama kuja znzbar watawauzia tours katika mataifa mengine
@allyhamad8492
@allyhamad8492 6 күн бұрын
Ccm hawana mawazo 😮😮
@ussiamer3523
@ussiamer3523 6 күн бұрын
Wana nchi wao huku mtaani hawataki wawe na ajira
@DuuSaid
@DuuSaid 7 күн бұрын
Wafanyieni hospitali ambazo wataweza kutumia bima zao wanazo kujanazo .sio kuwapa bima ya kutumia wiki halafu hajui akaitumie wapi badae😂😂😂
Duniani Leo
29:56
VOA Swahili
Рет қаралды 2,2 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 45 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 62 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
MFAHAMU MSANII WA PEMBA MWINYI MPEKU NA SAFARI YAKE YA CHINA
44:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
Ufafanuzi kuhusu vitambulisho kwa Wazanzibari wanaoishi ughaibuni
37:33
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,7 М.
JUSSA AISHUKIA BIMA YA WASAFIRI ZANZIBAR: AICHAMBUWA KAMA KARANGA!
25:58
Wachungaji zaidi wazidi KUCHAFUKWA. ROLINGA ATOA LAANA KUBWA KWA WATEKAJI
13:08
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 12 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 45 МЛН