HUEZI AMINI ZANZIBAR YOTE IPO NDANI YA JENGO HILI! JUMBA LA MAKUMBUSHO YA AMANI

  Рет қаралды 20,132

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

5 жыл бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Zanzibar #Makala #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Пікірлер: 74
@allysaid6742
@allysaid6742 5 жыл бұрын
Shukraan Sana KTV kwa kutujuza historia ya kisiwa chetu
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Ally, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@chinaboyzanzibar5328
@chinaboyzanzibar5328 Жыл бұрын
ASSALAAMU ALEYKUM I AM PROUD OF PEOPLE OF 🇿🇦 ZANZIBAR MY ALLAH ALWAYS MAKE THEM HAPPY INSHALLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@maidasaid947
@maidasaid947 5 жыл бұрын
Dah nimezaliwa Zanzibar na nimekulia Zanzibar lkn Haya mambo ilikua cyafahamu.asante san ktv online...tumetoka mbali kihistoria
@nureyna629
@nureyna629 5 жыл бұрын
Nimekipenda sn hiki kipindi hususan sehemu inayoonesha ujenzi wa nyumba zetu za asili, Hongereni ktv tz online... Hakika hii ni fahari yetu.
@khamisame4649
@khamisame4649 5 жыл бұрын
Kumbe Zanzibar haikutwaliwa Leo et duu wa Zanzibar tuamkeni bana tudai haki yetu
@farhatelqalb9831
@farhatelqalb9831 5 жыл бұрын
K tv online hongereni sana najua mengi kupitia nyinyi Allah awajaalie afya na amani muzidi kutujuza yaliyo mageni kwe2
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 5 жыл бұрын
Hayo ndio mambo tunayoyataka kujua historia ya nchi yetu Asante sana
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Fatma, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@yahyasaid5841
@yahyasaid5841 5 жыл бұрын
Kiukweli hsa nazipenda izi documentary mnazozitoa ktv hongera 👊🏾🥳
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Yahya, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@hassanturky7511
@hassanturky7511 5 жыл бұрын
Kumbe mnajua Kama wazungu ndo walikutawaleni. Sasa kwanini mnaharibu jina la waarabu.?!!!
@hamnakituumupumbatupumohd8505
@hamnakituumupumbatupumohd8505 5 жыл бұрын
acha upemba
@zenj1986
@zenj1986 5 жыл бұрын
Ktv Bora muwe munatuletea vipindi Kama hivi kuliko taarifa za habari. Mana taarifa za habari huwa ni kinyume na kichwa cha hbari
@hhonest9553
@hhonest9553 5 жыл бұрын
KTV munafanya kazi nzuri sana.Mda mwengine natamani mungelikuwepo miaka 40 nyuma mkituonyesha historia🤔🤔
@DeApple05
@DeApple05 5 жыл бұрын
Historia nzur sanaa
@mzeebaba3632
@mzeebaba3632 5 жыл бұрын
Mtawala wa Tanganyika anaitwa mtawala wa Tz bara Uhuru wa Tanganyika unaitwa uhuru wa tz bara. Cjui hili jina Tanganyika linachukiza kwa sababu gan
@hassanturky7511
@hassanturky7511 5 жыл бұрын
Njama za kutawala watu ni kujua lugha zao,kisha kuingilia Mila zao. Ndo wanayofanya wazungu hivi Sasa. Ili watawale tena happy Zanzibar.
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 жыл бұрын
mimi naona zanzibar yote ipo bara
@hamnakituumupumbatupumohd8505
@hamnakituumupumbatupumohd8505 5 жыл бұрын
wapemba utawajuaa tu kaa pembeni
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 жыл бұрын
@@hamnakituumupumbatupumohd8505 kwani mpemba sio mtu?
@hamnakituumupumbatupumohd8505
@hamnakituumupumbatupumohd8505 5 жыл бұрын
ni mtu kama watu wengne ila tabia zenu za kila jambo kufanya Siasa zinatuchoshaaaa bhaaa
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 жыл бұрын
@@hamnakituumupumbatupumohd8505 kama unavyowatafsiri watu nawao hukuona hivyohivyo. Mkiambiwa ukweli hamuutaki.
@hamnakituumupumbatupumohd8505
@hamnakituumupumbatupumohd8505 5 жыл бұрын
ivi pia hujaiona kama Pemba yote ipo Zanzibar (unguja)
@allyyussufshuwari4508
@allyyussufshuwari4508 5 жыл бұрын
Kaz nzuri ktv mambo haya ndo yanayotakiwa tuyajuwe
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Ally, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 жыл бұрын
Zamani sana
@hamnakituumupumbatupumohd8505
@hamnakituumupumbatupumohd8505 5 жыл бұрын
hio ndo zenj yetu
@savimbimpiganiauhuruangola6328
@savimbimpiganiauhuruangola6328 5 жыл бұрын
Kikweli tunaifurahiya iyo historia
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Kimbo Mohammed, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@hammerQ954
@hammerQ954 5 жыл бұрын
Nzuri ila unazunguka zunguka sana
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana! Usikose Muendelezo wake. Karibu sana Ktv TZ online.
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
Kila mmj na uelewa wake na wote hamtakua sawa kwa kuelewa, so lazma apitie uku na kule alimrad mnafam kwa wote!!!..
@hassanturky7511
@hassanturky7511 5 жыл бұрын
Ulindeni wenyewe mji musiwape wa Israel. Kama hivi Sasa mulivokuwa mushafanya..mnaurejesha utumwa Tena wenyewe.
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
Ivi izi historical sites hazikosi majini kwa tangia miaka io?
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Dah! zinaweza, angalia video yetu mpya, Usiikose
@hhonest9553
@hhonest9553 5 жыл бұрын
Sehemu iyo sio nzuri.binafsi napajua sana tu apo.mchana kuna kituo cha taxi.ukipita jaribu kuuliza dereva wa taxi kwann usiku hamna kituo??? Sio sehemu nzuri kwa kweli na madereva wanatambua ilo.
@saydbarakismailiya1515
@saydbarakismailiya1515 5 жыл бұрын
Historia nzuri sana hii
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Sayd, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@salmasalim6055
@salmasalim6055 5 жыл бұрын
Nakumbuka niliwahi kuingia zamani sana
@fatmajumaa1069
@fatmajumaa1069 5 жыл бұрын
Asanta kTV
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 5 жыл бұрын
That true
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahmed Young, Tuko pamoja. Ahsante sana Ally, Hakika hii ni Fahari Yetu
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
mnatoa habari nzuri ila mitandao tulionayo malazi tupu
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
najua kama unatoka Tanganyika lakini hilo neno haliitwi malazi sawa?bali linaitwa (maradhi) buh i am so so sori pal okay?
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 3 жыл бұрын
Mshaiba kila kitu
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
Mimi niko nchi za makafiri kidogo lakini inshaallwah ni kirudi muwe mshaniekea ndani ya hilo nyumba yule mtoto wa Kitanganyika anae igiza igiza kujamba mimi na mpenda sana vile anavyo jamba kwa hio muhamisheni kule Tanganyika muniekee kwenye hili jumba na kuja sawa?yule TeTe mjambaji sawa?
@abuibra
@abuibra 5 жыл бұрын
UKIZUNGUMZIA UJENZI WA STONE TOWN ZANZIBAR,HAINA HAJA YA KUZUNGUSHA MANENO KWANI UKISEMA ARCHITECT YA KIARABU KUNA UBAYA GANI?!!MBONA NDIYO SHEMIJI ZENU AU SIO?.
@abrahamlucas6792
@abrahamlucas6792 5 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@harithshaib7482
@harithshaib7482 5 жыл бұрын
Sawasawa
@issakawanya648
@issakawanya648 5 жыл бұрын
Mashaallah tukumbusheni
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
Hodari
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
hongera sana Abraham, Ahsante sana, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 жыл бұрын
Ibra mara3
@loyaltey6407
@loyaltey6407 5 жыл бұрын
Sanatuu
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Tey, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Raisi wetu JPM mbona mitandao inasumbua sana nchini je akuna mwenye sauti yenye mamlaka ya kufunga mtando zaifu apa nchini ambae umemteua wewe
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
Huyo Rais Wako mwisho wake Chumbe sawa?
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
Zinjibar kuna Rais wake kuna Serekali yake na kuna Raia wake sawa?
@islimhassan7800
@islimhassan7800 5 жыл бұрын
Good
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Ahsante sana Islim, endelea kuangalia video zetu, Hakika hii ni Fahari Yetu
@islimhassan7800
@islimhassan7800 5 жыл бұрын
@@ktvtzonline shukrani sana daima nipo pamoja na nyinyi nyumbani kwanza
@bindawood978
@bindawood978 5 жыл бұрын
C useme tu tanganyika?
@islimhassan7800
@islimhassan7800 5 жыл бұрын
@@bindawood978 ikiwa Tanganyika ww inakuhusu nn jiheshim ndg yng hata km umejifunza kutumia cm ukubwani isiwe chanzo au sabab y kukosana n watu
@hamnakituumupumbatupumohd8505
@hamnakituumupumbatupumohd8505 5 жыл бұрын
usibishane nae anatoka kojani uyo
@shukranahsante2395
@shukranahsante2395 5 жыл бұрын
Na hayo ni machache tu nilipata kuona tena kwa Tv kuwa vitu vingi vya kumbukumbu vilichukuliwa na waingereza viko nje ya nchi inasikitisha sana
@hhonest9553
@hhonest9553 5 жыл бұрын
Vitu wanauza wenywe akili nyingi ndani ya serikali.IZO NI Antique(Vitu vya thamani viliowahi kuwepo duniani,Vinathamani sana ata wazungu wenywe walikuwa hawamili) raia wametulia wanachezewa na siasa.Inasikitisha kuona znz inafisidiwa na wasio waznz.
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
Yaani izi historian nyengine nahis km ni doto tu
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 жыл бұрын
Kwaio umondani ndio mna ivo tu ?sasa ukihitaj kujakujionea mwenyewe proses zinakuwaje?
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
Unaandika barua.. au mnaenda Hua mnalipa
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
@@amnemkubwa7353 MUendelezo wa makala haya yatakuja muda si mrefu, washa kengele ili usikose
@hajusamhemed2949
@hajusamhemed2949 5 жыл бұрын
Naomba kuuliza kwa wenyeji wanaotaka kutwmbekea hapo kuna utaratibu gani ? Pia kuna kiingilio au vp. Naomba unijuze
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Usikose muendelezo wa makala haya, utajua kila kitu., Hakika hii ni Fahari Yetu
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 73 М.
TAZAMA BINTI MREMBO ZANZIBAR ANAVYO TENGENEZA PESA NYUMBANI KWAO
14:06
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 468 М.
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 27 М.
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 235 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН