WAKILI MWABUKUSI ASHINDA UCHAGUZI TLS //ATOA KAULI HII KWA MARA YA KWANZA BAADA YA USHINDI

  Рет қаралды 10,364

Baharia TV

Baharia TV

Күн бұрын

Пікірлер: 94
@irenalawrence6386
@irenalawrence6386 Ай бұрын
Hongera, hongera, hongera. Sifa na Utukufu ziende kwa Mwenyezi Mungu. Utaongoza vizuri kwani MKONO wa Mwenyezi Mungu uko juu yako. Congrats Mtanganyika Mzalendo.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
MUNGU AMETENDA KWA WAKATI. NI SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU
@StephenKimondo-qw3et
@StephenKimondo-qw3et Ай бұрын
Hongera sana kwa ushindi ulioupata wa kuwa rais wa TLS. Tunamshukuru Mungu kwa kukuwezesha kushinda katika uchaguzi huu. Tunawapongeza na kuwashukuru wana TLS kwa kutuletea mzalendo huyu. Tunamtakia Mwabukusi ufanisi mwema katika utekelezaji wa majukumu yake mapya. Tafadhali usiwaangushe waliokuamini, kukuombea ushindi, na kukupigia kura ya ushindi. Watanganyika wana matarajio makubwa ya mabadiliko chanya ktk TLS, ulinzi wa rasilimali za nchi, na utekelezaji wa haki nchini. Chini ya uongozi wako tunalo tumaini la kupata Katiba mpya na kurejea kwa Tanganyika. Mungu akubariki na akupe hekima ya kuongoza vema!
@yonazimpombe1160
@yonazimpombe1160 Ай бұрын
HONGERA MWABUKUSI kumbe shida zote zile ni Mungu alikuwa anakuonyooshea njia
@EmmanuelPeter-y9u
@EmmanuelPeter-y9u Ай бұрын
Hongera Sana mwabukusi, Kamata mikoba
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 Ай бұрын
That is what we want ooooh congratulation Mwambukusi very good
@user-ls7wp7qx1d
@user-ls7wp7qx1d Ай бұрын
Hongera Mwabukusi. Sasa tutaiona taasisi ya TLS ikitekeleza wajibu wake.
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Ай бұрын
Mungu AWABARIKI sana MAWAKILI MMETENDA KWA HAKI
@HabibMbonde-eq2rc
@HabibMbonde-eq2rc Ай бұрын
Hongera sana sana. Nimefurahi utafikiri ni Mimi nimeshinda. Unatoa funzo Kwa wale wanaopambania kile wanachoamini. Mimi nikiwa mmojawapo. Hongera sana
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Hongera Wakili Mwabukusi. Tunakutegemea kuleta mabadiliko.
@MohammedRashidmchenga
@MohammedRashidmchenga Ай бұрын
Mungu akujalie katika majukumu yko leader.
@sylvestermshana2006
@sylvestermshana2006 Ай бұрын
Haki ukiisimamia haki inalipa heshima pia itakiinua chama chenu umoja wakudumisha amani na kuvumiliana na. Kusameheana kutaongeza utu na ungwana na watakia heri busara hekima hayo yawe mavazi yenu kwa jamii na kazini kwenu ndani ya nchi na nje ya nchi. Amina
@CristinLyanga
@CristinLyanga Ай бұрын
Hongera baba,tunakuomba ukadai katiba mpya.
@user-bq4tk6yq2q
@user-bq4tk6yq2q Ай бұрын
Hongera sana. MWABUKUSI MWAMBA.MUNGU AKUTUMIE.
@gracemnyani6848
@gracemnyani6848 Ай бұрын
Hongera Mwabukusi Roho Mtakatifu akuongoze na Damu Takatifu ya Yesu Kristo ikulinde na kukutunza wakati wote uwapo Rais wa TLS
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Amina
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
Mungu ni mwema sana jamaa walimuondoa kugombea kumbe Mungu amemchagua aisee...hongera sana ndugu Mwabukusi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Mungu ni fundi❤
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Asante mungu chaguo wetu limetimia mungu umejuwa kupokea maombi yetuasante mungu kwa kuwa bado unaitetea nchi yetu
@Grace-s3z
@Grace-s3z Ай бұрын
Ongera sana, Mungu akutunze❤❤
@masuzahMkumbo-vs6ng
@masuzahMkumbo-vs6ng Ай бұрын
Naiona kesho njema~Mwabukusi ❤❤❤❤❤
@user-qd4sk7ws2j
@user-qd4sk7ws2j Ай бұрын
Watanzania tunakuamini Mwabukusi, hongera kwa ushindi wako. Watanganyika tunaamini utatuvusha.
@anosiata8242
@anosiata8242 Ай бұрын
Hongera Mwambukusi mungu akulinde
@benardjames-fs1tb
@benardjames-fs1tb Ай бұрын
Hongera mwambukusi kwa ushindi, sasa kazi tu katika kutenda haki kwa maendeleo ya nchi.
@GeophreyMarika-du1zd
@GeophreyMarika-du1zd Ай бұрын
Hongera mno mno Mungu akutangulie ukatende haki kwa wote usirudi nyuma tunatambua harakati zako.
@user-rq3ic3mt2j
@user-rq3ic3mt2j Ай бұрын
Omba urais 2025 Mwabukusi jina limetakata hilo
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
🎉mungu mwema ninakushukuru kwa ajiri ya mtumishi wako uliemlidhia naomba umpe hekima ulinzi na maalifa akutumikie kea uaminifu sifa na utukufu tunakurudishia wewe mungu amen
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 Ай бұрын
Congratulations, we will closely watch your performance brother, you work begins today
@irenebarakeli
@irenebarakeli Ай бұрын
Hongera sanaa msema kweli usiyetetereshwa usipenda maonevu mikataba ya ovyo mwisho
@charlestarimo5541
@charlestarimo5541 Ай бұрын
Hongera sana shujaa mwabukusi
@ephraimsaimon3125
@ephraimsaimon3125 Ай бұрын
Mungu halinganishwi kabisa Mwabhukusi tumpe utukufu Mungu Amen
@user-gx3jp6uk2f
@user-gx3jp6uk2f Ай бұрын
2025 Lissu awe Rais na Mwabukusi awe Waziri Mkuu nchi itabadilika na kusonga mbele haraka sana.
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw Ай бұрын
Mimi binafsi nimefurahia ushindi wa Mwambukusi, Mungu akuongoze
@user-nv7kj3gl3o
@user-nv7kj3gl3o Ай бұрын
Msema kweli mwabukusi nampenda sana anateteya mpaka machangu na bandari
@ElishaMasuka
@ElishaMasuka Ай бұрын
Hongera mwabukusi nenda kasimamie rasilimali kama ulivyojinadi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Vizazi vijavyo vinakutegemea. Unaenda kulinda rasilimali za Taifa 🎉🎉
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Ай бұрын
Hongera sana. Tunasubiri kazi iendelee. Tunaimani nawe. Never giveup
@MayasaMaghiya-ii9fo
@MayasaMaghiya-ii9fo Ай бұрын
Nimefurahi sana ,hongera MWABUKUSI
@user-qm4bi9wg5k
@user-qm4bi9wg5k Ай бұрын
Mungu akubariki sana uendelee kutetea wanao lala hoi
@paulmathias6328
@paulmathias6328 Ай бұрын
Hongera Sanaa kiongozi wa kweri
@collinsabrahammmbando2855
@collinsabrahammmbando2855 Ай бұрын
Hongera mwamba
@SaveraRwambali
@SaveraRwambali Ай бұрын
Hongera mwamba
@rashidhtibangayukatibangayuka
@rashidhtibangayukatibangayuka Ай бұрын
Hongera saa'ana
@barakakevela245
@barakakevela245 Ай бұрын
HONGERA SANA KAKA MWABUKUSI TUNAKUAMINI SISI WANANCHI
@deombuya9394
@deombuya9394 Ай бұрын
Hero Mwabukusi
@abisairobert4864
@abisairobert4864 Ай бұрын
HONGERA SANA MH.
@user-nv7kj3gl3o
@user-nv7kj3gl3o Ай бұрын
Mwabukusi rudisha bandari yetu ❤❤❤❤❤❤❤❤😅
@user-on1sw7hh1w
@user-on1sw7hh1w Ай бұрын
Hongera baba ww ni mtu na nusu
@gracemsaki1561
@gracemsaki1561 Ай бұрын
Ongera sana kk umepigania haki yako
@BenjaminMwasanje-gv2ci
@BenjaminMwasanje-gv2ci Ай бұрын
Amen God is good
@user-jy8fl1mv8j
@user-jy8fl1mv8j Ай бұрын
nakukubali kijana enda ukaupige unao uwezo chunga tumbolako usiskilize haramu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Usie mpenda kaja
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi Ай бұрын
Hakuna lenye mwazo.lisilokuwa.na.mwinsho.mungu.akikuinua.hata.waangaike.vipi.ni.bure.tuu.mungu.akubariki.sana.muheshimiwa..si.mlijifanya.tumemfutia.uwakili?.Mungu.karudisha.Kubwa.kuliko.chukueni.na.huo.tuone.sasa..hamuwezi.kushindana.na.mungu
@ndeshilema4788
@ndeshilema4788 Ай бұрын
Hongera brother
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Ай бұрын
Hivi televisheni za Tanzania Zina matatizo Gani Hadi jambo kubwa kama hili wanashindwa kurusha hewani. Mbona mambo mengi Sana ya ovyo kama izinduzi wa vyoo wanaonesha? Acheni ubaguzi sisi jatupendi hata kidogo msione tumenyamaza hata hatutazamagi huo ushenzi
@user-lq8mi3zz2c
@user-lq8mi3zz2c Ай бұрын
Mungu ni Mkuu kwa Kumfanikisha Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Rais wa TLS Hongera sana sana sana
@samwelgabriel2175
@samwelgabriel2175 Ай бұрын
Wanasheria wote Mwabukuzi kashinda, wanasiasa feki tulieni tuwanyoe
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 Ай бұрын
Na lazima utafute ubunge mbeya mjini aisee
@user-vu4dp2xr4q
@user-vu4dp2xr4q Ай бұрын
Tulikuhitaji tunasubiri matarajio yetu yaonekane hatutaki mbwela tena za tulikotoka.asante mungu.
@RomwaldMalya
@RomwaldMalya Ай бұрын
Ongera mkuu tutavuka
@kammunisi2296
@kammunisi2296 Ай бұрын
hoñgera sana mpigania haki
@ProsperMwakilembe-lj7rb
@ProsperMwakilembe-lj7rb Ай бұрын
Mambo ni mwemwele. Ongela mwabukusi
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o Ай бұрын
Haleruya
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Ай бұрын
Mungu ni mwema
@atupakisyemapuli8637
@atupakisyemapuli8637 Ай бұрын
Wao
@MunaifatZiadamOthman
@MunaifatZiadamOthman Ай бұрын
Safi.sana.
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Ooh my god
@kamogesamuel2461
@kamogesamuel2461 Ай бұрын
❤❤❤
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w Ай бұрын
Neema ya mngu imetimia
@MwambeGa-x1m
@MwambeGa-x1m Ай бұрын
Safi Sanaa sitahili kabisa
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Sijui kama ni kweli maana lile fukuto lilikuwa kali over.
@user-nv7kj3gl3o
@user-nv7kj3gl3o Ай бұрын
Shujaa mwabukusi hooooyeee
@Didaskamili
@Didaskamili Ай бұрын
Yule anastahili kunisaidia serikali hasa kuingia mikataba ya wazi
@georgekapondo
@georgekapondo Ай бұрын
Tls mmefanya kitu
@musansojo9677
@musansojo9677 Ай бұрын
Ivi nikweli ameshinda naomba mnihakikishie niende kula bata kwa furaha
@ImeldakokusimaChristian
@ImeldakokusimaChristian Ай бұрын
Nimefurahi mpaka basi!
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Saaaaaf kabisa
@MASUMBUKOMALINDI-jy7wg
@MASUMBUKOMALINDI-jy7wg Ай бұрын
unachoeleza kinaendana na kichwa cha habari??
@paulmwangoka
@paulmwangoka Ай бұрын
nimeamini kumbe mawakili wapo timam
@PeterMlungu-fb2jv
@PeterMlungu-fb2jv Ай бұрын
Teteeni watanzania wapo watu miyo yao inalia huku wanatembea
@JacoboNaftari
@JacoboNaftari Ай бұрын
Mwabukusi Hilo ni jembe
@alliwaya9123
@alliwaya9123 Ай бұрын
Huyo nimtu sahihi
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Saaaaaf saaana
@christineaimtonga9872
@christineaimtonga9872 Ай бұрын
Honhera mwabukusi
@AbillaiShabani
@AbillaiShabani Ай бұрын
Yuko vizuli
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Ай бұрын
saf san
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 Ай бұрын
Kajujumele
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Ай бұрын
Liongo ilo
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w Ай бұрын
Muongo mama ako aliekupa baba ako bandia ndo maana ukakosa akiri
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
WHO CARES
@BraxedaDomina-xn4zc
@BraxedaDomina-xn4zc Ай бұрын
Is up to you
@BraxedaDomina-xn4zc
@BraxedaDomina-xn4zc Ай бұрын
I care❤
@user-on1sw7hh1w
@user-on1sw7hh1w Ай бұрын
Hongera baba ww ni mtu na nusu
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
CORRUPTION, INCOMPETENT PR & COMMUNICATION TEAMS
8:40
Iko Nini
Рет қаралды 1,3 М.