"POLISI Hamuwezi KUKWEPA DHAMBI HII" SAKATA LA KUTEKWA WATU LAMUIBUA TENA MDUDE | AWATAJA WAHUSIKA

  Рет қаралды 32,130

Baharia TV

Baharia TV

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@RamadhanKasherente
@RamadhanKasherente Ай бұрын
You have said all what is there to say .thankyuo
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt Ай бұрын
Sawa kabisa mdude
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Ай бұрын
Mwendazake alitaka kukuuwa. Mungu alikataa. Hatulisahau hili maisha
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
Tununueni silaha za jadi nchi ishakua sio hii bora mtu akupige risasi live kuliko kukuchkua kizembe
@JohnManyilizu-rl5bm
@JohnManyilizu-rl5bm Ай бұрын
Very good speech
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb Ай бұрын
Safiii kabisa nmekuelewa
@BarakaMaglaniLaizer
@BarakaMaglaniLaizer Ай бұрын
brother nakukubaliiigi sana
@josephminja7953
@josephminja7953 Ай бұрын
Daah huyu mwamba haogopagi kabisa😢
@paulombay6884
@paulombay6884 Ай бұрын
Asante kaka kwa maelezo mazur
@nunikayuni6394
@nunikayuni6394 Ай бұрын
Nikweli kabisa
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Ай бұрын
Mdude yupo sahihi, wanadharau sana sisi watanzania wanawaona wananchi kama watoto wasio na akili, yani wanawafanyia wakosoaji uhuni wazi wazi wa utekaji, upotezaji na uuaji wa watanzania wenzetu ovyo kijinga kihasarahasara kiurahisi hivyo halafu wanaigiza eti wasiojulikana
@SinarahaNtaraha
@SinarahaNtaraha Ай бұрын
Best nakupa heshima yako upo vzr
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi Ай бұрын
Mtu anachukuliwa kwenye bas wananchi mpo kimya kweli wabongo ni changamoto sana iyo inatwa mbifamuki subili yakukute
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Wanachokijua wao umbea na fitina tu wako tyl kugharamia hata mamilioni ili kutengeneza fitna kwa watu wengine lkn kujitolea kumtetea mtu anapoonewa huu ujinga unaniuma sana aisee
@HijaRashid-g4q
@HijaRashid-g4q Ай бұрын
kama ulishawai kuiona short surb machine gun uwezi kutoa lawama
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi Ай бұрын
@@HijaRashid-g4q Mimi sio mwoga kias icho sehem kubwa nimepitia
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Ай бұрын
Wabongo mazuzu sana
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Ай бұрын
Mtu kashika bomba ya maana mkononi tena sio mmoja ,wewe ungefanya nini huna hata panga
@OthumankibabiKocho
@OthumankibabiKocho Ай бұрын
Ccm tume ichoka kwa kweli
@EdwardRweyendera
@EdwardRweyendera Ай бұрын
Watanzania mbona tupo mambumbu hv mpaka Kenya wanatushangaa
@StellaKaluwa
@StellaKaluwa Ай бұрын
Mimi mtoto wapia alifatwa na POLISI tulipofatilia tulikuta amesha uawawa na POLISI wa KILWALOD BILA HATA kumfikisha mahakamani yaani Mimi waniue TU NITATOA ushahidi popote
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah Ай бұрын
Mjomba upo vzr
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw Ай бұрын
Kama wanaona mfumo wa vyama ving umeshindikana bas wafte waongoze wao tu. Waache kuwauwa watanzania wenzetu waache kuwaukum watu kisa siasa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Ukweli kwa hali ya sasa Acha wanilige risasi mbele za watu kuliko kwenda kuteswa kikatili wapige risasi moja nife
@MsumariMdoe-th8gm
@MsumariMdoe-th8gm Ай бұрын
Upo sahihi kaka,tuwaone kama wezi,ambao watakamata bila vielelezo husika kisheria
@VeronikaBernad-ih8gd
@VeronikaBernad-ih8gd Ай бұрын
Nimeipenda hiyo umeongea vizuri,ikiwahivyo watakomaa kikubwa niumoja naushirikiano,
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Ай бұрын
Vizuri sana nimependa, hiyo ndio dawa
@josephmantago2837
@josephmantago2837 Ай бұрын
Hyu Mh Mdude ndo jasili mkuu cdm ameteswa sana lkn yuko imara aisee natamani siku moja awe kiongozi wa nchi hii hyu ndg yuko smart
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Ай бұрын
SAFI SANA MHESHIMIA MDUDE UMENENA.
@JeniferPiter-wo3ve
@JeniferPiter-wo3ve Ай бұрын
Police kwann mnatuhumiwa na wakati mlio wengi mnaishi mtaani angalieni hili
@habibakusaga-tf4uu
@habibakusaga-tf4uu Ай бұрын
me ishaa sema uyo mbwa atakae jichanganya sikuiyo atakua ya mwisho yeye kuteka watu na mm kufia apoapo kama wakiweza
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k Ай бұрын
Ushauri mzuri huo
@HaulSidney
@HaulSidney Ай бұрын
Hivi hawa mafisadi wa nchi hii, awamu ya sita, kwanini na wao wasitekwe
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 Ай бұрын
Nakuelewa sana mdude
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
Hata mimi wataniuwa sitoondoka polic kwanza niwezi vibaka tunaongozwa navibaka
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 Ай бұрын
Hao police nao wanatumwa kuteka wasuka mipango ya kuteka wako ndani ya serikali na viongozi wanawajua vizuri
@MecksanChale
@MecksanChale Ай бұрын
KAMA KWELI KUNA MUNGU NINAE MWAMINI MIMI, NA KAMA KWELI KUNA ADHABU YA MOTO , BASI KUNA WATU MWISHO WAO NI MBAYA.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
NII BWANA MDUDE NYANGALI SUMU YA NYIGU ALIKUWA ANAONGEAA👏🏼👏🏼👏🏼
@surusuru1994
@surusuru1994 Ай бұрын
Umenena bro tena wachangue chadema
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
Polic.watekaji wauji watekaji namafisha usalama. Pia nawao wanausika zakalia nijembe talime nijembe
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Ай бұрын
Mitindo ya nguo wakat mwingine under define someone IQ.. .. duh aya.. Napita tu jaman😂😂
@khadi-z4o
@khadi-z4o Ай бұрын
BRO WEWE SIYO MNAFIKI. UMEONGEYA UKWELI MTUPU. HUWO NDOUKWELI NANDOOILIVO. HATUOGOPI TENA SASA .KILAMTU ATAKUFA DUNIYANI HAKUNA ATAEBAKI. CC. WASHENZITU. MAPOLISI NI WATOTO WAMASHETANI.
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p Ай бұрын
Kwani rais halioni hili jamani
@Mussapeter-ct1fu
@Mussapeter-ct1fu Ай бұрын
rais wenu ashasema ni drama
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Ok
@JailanRamadhan
@JailanRamadhan Ай бұрын
Ahsantum
@FaithOluouch75
@FaithOluouch75 Ай бұрын
😂😂😂
@JfourHumbi
@JfourHumbi Ай бұрын
Tatizo wanakuwa na mitutu ya Moto nawatazana waoga sana
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k Ай бұрын
Nikweli usemayo
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 Ай бұрын
Huyu jamaa alichokisema ni kweli wananchi inabidi tuungane na tufanye hivyo pale wanapokuja watu kukamata watu hovyo
@obednyagani506
@obednyagani506 Ай бұрын
Mtu na nusu
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m Ай бұрын
Awa ni wezi kama wezi wengingine maiti tunazitaka kuzitupa porini kuliwa na fisi tusikubali maiti ibaki kwangu...
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 Ай бұрын
Kwanini kiongozi mkubwa kama huyu Hayati Bao alishindwa kupiga kelele za kuomba msaada ndani ya basi wala nje ya basi je sisi kajamba nani tutawezaje
@StellaKaluwa
@StellaKaluwa Ай бұрын
Sisi tulitulikataa kuchukua mwili tukihoji kwanini wamemuua mmoja wa polisi jina sikumjua alise mwacheni tunamzika kwenye shimo la pamoja hamshukuru kuipata hatahiyo maiti kwakauli ya kishujaa na ukali tuliamua kuchukua tu maiti hatuna mtu wakutusaidia mwenye cheo ila polisi niwauaji ameacha watoto wake wanapatashida mi nishazeeka naliatu heri nife
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Uckate tamaa na rehma za mwnyzi mungu Subra subra Innallaha maaswabirin Kila mwny kusubri yupamoja na mwnyz mungu Hayo yt uptiayo Ckm mungu hayaoni Inshaallah ipocku yt yatalipwa Wao ndio wataumia zaid Nawe utakua mwny burdan
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali Ай бұрын
Pole sana inaumiza
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Ай бұрын
KWA HILI WOTE TUNAPASHWA KUPAZA SAUTI POLICE WAMEUMIZA SANA WATANZANIA . KUNA MAMBO MENGI SANA YANAYOENDELEA POLICE WAWAJIBIKE KUANZIA KWA WAZIRI WAO
@Princemahamba-m3p
@Princemahamba-m3p Ай бұрын
Serikali ya samia haiwezi kulinda watu wake
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Kwani wakati wa Makufuli watu hawakutekwa na kuuawa!usiwatowe watu ktk njia!hapa ni Serikali ya Chama cha Mapinduzi!
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Km ni uchaguzi hakuna zaid ya usanii tu Ccm hawana shda na kura Wao wanamilki matangazo ya mtangaza mshind Kuteka watu nipolice tu wanajipndkeza iliwaonekane wanalinda chama
@meckdonald81
@meckdonald81 Ай бұрын
Shusha mawe kaka
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o Ай бұрын
Huyu mama ni simtanzania, naimani angekua rsis wa Zanzibar angatoa tamko, moyoni anawazs, mbwa watanganyika uaneni.
@MasumoMgendi
@MasumoMgendi Ай бұрын
Najulisha MUNGU mwenyewe ambaye ameumba wanadamu wote ametoa uhuru WA maamuzi, wapo watu wanatenda dhambi ila sio mwepesi WA kuwaua hapo hapo, amekuwa anavumilia, tena anasema kisasi ni chake, inakuwaje mwanadamu anamuua mwanadamu mwezake, hii ni dhuluma ya haki ya Mtu ya KUISHI, Kuna utaratibu WA kutoa adhabu, mpeleke mtu mahakamani kama amekosa maana Sheria inasema mtu yoyote anakuwa innocent mpaka mahakama itoe maamuzi , vitendo VYA kukamata watu na kuwatesa kwa kisingizio Cha madai wametenda makosa nashindwa kuelewa kuna makosa Sheria imetoa ruhusa mtu ajichukulie maamuzi mkononi?, hakuna Cha haki jinai katika matendo haya ya ukamataji, Rais aliunda tume ya haki jinai, lakini sioni kama haki jinai inafuatwa, maana haki jinai haitaki mtu ajichukulie maamuzi mkononi ya kumtesa muhalifu yoyote yule, baada ya kumkamata, bali afikishwe mahakamani apate uhuru WA yeye kujieleza, inakuwaje kwa polisi wanaofanya hivyo kujichukulia maamuzi mkononi na huku wanakataza raia yoyote aliyetenda kosa asipewe adhabu na wananchi bali afikishwe mahakamani hata wezi wanaoiba huwa Polisi hawapendi jamii ijichukulie hatua kuwapiga, sasa inakuwaje wao wanajichukulia hatua na kati mahakama ndio chombo cha kutoa haki. MOJA YA DALILI YA KIAMA NI DHULUMA KUONGEZEKA DUNIANI, Mwanzo 6:13. Cha msingi saivi Kila mtu ajiponye nafasi yake kwa kumrudia MUNGU, ili tupate rehema mbele zake. Kisasi ni Cha MUNGU, ataona yeye jinsi ya kufanya ila sisi kama wananchi hivi vitendo VYA dhuluma na utekaji hatuvitaki viendelee, Bora MUNGU aingiloe kati, ajifunue kwa matendo yake, alipwe kisasi yeye kama yeye ili jamii ya sasa itambue yupo MUNGU WA mbinguni anayeona Kila kitu, na hakimu WA wanadamu wote walio katika uso WA Nchi, MUNGU ajifunue kama matukio kama haya ili kuwa fanya wanadamu watambie uwepo wake, ni kweli tunajua kuwa MUNGU atajifunua siku ya mwisho ya atakaporudi, ila yeye ni zaidi ya yote, hata mambo yanapoonekana yanaenda kombo, ni vyema ajifunue kuwaamsha wanadamu wajue uwepo wake. Maana anayemiliki uhai ni yeye, na yeye ndiye aliyetoa Sheria USIUE, AINGILIE KATI ILA KIZAZI CHA SASA KITAMBUE YUPO MUNGU NA ANAONA MATENDO YA MWANADAMU
@bakarimwishehe
@bakarimwishehe Ай бұрын
Lishindwe pepo la utekaji
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe Ай бұрын
Watu wasiojulikana hata rais mwenyewe hajulikan guys
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
Kweli
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 Ай бұрын
PAMOJA SANA MDUDE.
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Police ndio wahusika haina ubishan
@emanuelKarei
@emanuelKarei Ай бұрын
Hiiii nchi inaelekea pabaya mnoo
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd Ай бұрын
Mbweha na wenzake wanajua walipo.
@carlosditram2069
@carlosditram2069 Ай бұрын
IGP AJIUZULU APISHE UCHUNGUZI
@jumarajab5316
@jumarajab5316 Ай бұрын
hauna akili yaan mkuu wakituo azurule mtaan kukamata mtu au askari maalum wa upelelezi wanahusika kukamata makosa makubwa unataka wavae sare kenge kweli wewe
@gaspermatovu2899
@gaspermatovu2899 Ай бұрын
Sasa wewe mjusi" mbona unatukana?
@SmithJacob-f2r
@SmithJacob-f2r Ай бұрын
Mbwa kabsa ww watu wanaumizwa watu wanauwa then unaongea upuzii huuu
@DeeZote
@DeeZote Ай бұрын
Au na yy ndio mmoja wapo​@@SmithJacob-f2r
@NassormsuruzyaRupia
@NassormsuruzyaRupia Ай бұрын
Mungu ajaarie baba yako atekwe akauliwe uko
@alexKasanda-if5xl
@alexKasanda-if5xl Ай бұрын
Kumbe kUna watanzania akili hamna hivi na ww wazazi walizaaa unaempty space kichwani hazimo zote fala ww muwe mnajitokeza mnaongea bc tokeni kwenye kucomment 2 ili tuwajue tuwanyooshe
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Ай бұрын
Hali inatisha,waziri wa mambo ya ndani,Igp,na mkuu wa usalama wa taifa wanatakiwa kujiuzulu,wameshindwa kutekeleza majukumu yao,vinginevyo aliyewateua anatakiwa kuwawajibisha.
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Sio kujiuzulu tu Walitakiwa wakamatwe washtakiwe Lkn wao wanatumwa na watawala
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Ай бұрын
Nchi ya majuhaaaa hiii imekaaa kama wadudu fulani ivi
@Magufulitanzania-d6e
@Magufulitanzania-d6e Ай бұрын
Uhakika
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 Ай бұрын
Kwel wamemalizana naye
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy Ай бұрын
Fyeeeeeeeeeeeeeeeee
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
Uyo bibi ni atawali anatawaluwa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
hawa watekaji sio salama maana naona wanaelekea kumteka mama yetu Samia, hawa watu wakamatwe kujibu mashtaka jmni
@maspro6294
@maspro6294 Ай бұрын
WEWE TANGU ALIPO KUA JERA NA KUTATULIWA MALINDA NA MANYAMPALA UMEKUA KAMA MWEHU
@MtalikaAlly-i4u
@MtalikaAlly-i4u Ай бұрын
Wewe uliwahi kwenda jela ukatamtuliwa au unalopokatu mtu anaongea pointi au kwakua wanaopata matatizo sio nduguzako?
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt Ай бұрын
Sawa kabisa mdude
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 62 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 254 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 49 МЛН
BONIFACE JACOB ATOBOA SIRI JINSI SERIKALI INAVYOTEKA NA KUUWA
3:03:03
Chadema Media TV
Рет қаралды 17 М.
SALIM KIKEKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 169 М.
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 303 М.
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 62 МЛН