Asalam aleikum. Wali utoka vizuri mtamu. Mashaa Allah
@nurujuma45587 жыл бұрын
Hongera sana na unafahamisha vzr Mola akuengezee kipaji chako
@ummusalmaanramlathassan39997 жыл бұрын
Maaa shaaa Allah Allah aibariki mikono yako uzidi kutuelimisha
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Amin kwetu sote
@almasramadhan73444 жыл бұрын
Napenda kipindi chako na mapishi yako asante tatizo sisi tunaotumia mkaa hamtupi maelekezo
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kunishtua, sijatumia mkaa miaka mingi sana, nitaajaribu ni kumbuke hilo.
@suleshmussa13497 жыл бұрын
nice...God bless you our sister.. you're great maashaallah
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran dear
@halimabae86706 жыл бұрын
Vizur dada hongera
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Ahsante
@azmanilmin67636 жыл бұрын
Maashallah Mungu akupe afya
@emmanuelmarwamungubabampon64095 жыл бұрын
Uko wp mommy
@habibtyhabibtykheir12426 жыл бұрын
Mashaallah mola akuzidishie
@ummusamira35187 жыл бұрын
Shukran jazzakallahu lkheri mpenzi wangu nasubiria mapishi ya kuku ili wali Wa asumini uje unoge in sha allah
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah kesho video itakua tayari tukijaaliwa
@ummusamira35187 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar in sha allah
@siriyamwanamkemkakamavu7 жыл бұрын
Kwa kweli Dada, lazima niweke marejesho kwa page . Nimependaaaa. Shukran
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Karibu dear, anytime
@bettymsofe52336 жыл бұрын
siri ya mwanamke mkakamav
@فجرالبلوشي-ل6ت7 жыл бұрын
Mashaallah asante sana dada napenda mapishi yako
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran
@manojreporter74937 жыл бұрын
Very simple...excellent...
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
You are welcome, its been awhile
@imraanhussein30427 жыл бұрын
Shukraan . Jazaaka Allahu khairan
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Amin
@rahmaabdallah20537 жыл бұрын
Allah akuzidishie ujuz uzidi kutugunza
@rahmaabdallah20537 жыл бұрын
ant nakupendaa saaana Allah akuzidishie home tunakupenda saana kutwa tunatizama Mapishi yako tukikaa jmn aroma anajiekewa haswaa mwanamke haswa
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran dear,
@mohabatkhanmalak53147 жыл бұрын
A good one, I will try and have it with Snapper fish fried in tomato sauce. Thank you as always and thumbs up.
@alibeaumont-filder31854 жыл бұрын
Looks delicious - thank you !
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Thank you too!
@shamayzawahir25086 жыл бұрын
Wallahy utatuuwa kwa mapishi hbbty.wallah raha shukran Allaah bareek
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Jamaani hayo ni mapenzi tu dear , love you too
@rabiyaabdulla90007 жыл бұрын
waooooow what a lovely food😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 m ntaanzia mwaka inshallah
@mohammadmbarak29036 жыл бұрын
A.a nimependa mapishi yko mungu akupe barka zaidi uzidi kutuelimisha hii ni samli gani
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Amin, samli yoyote ulokua nayo
@njeshkarisnjeri25276 жыл бұрын
Naipenda hio mapiashi thanks sana
@kalathumahmedmzee17103 жыл бұрын
MashaAllah Nice
@asiaibraahim31704 жыл бұрын
Maashallah ntajarib
@mikidadimresa7085 жыл бұрын
Mashaallah nimeipenda video yako
@banushabdalla64595 жыл бұрын
Mashallwa very nice
@azzamahamdu70395 жыл бұрын
Zanzibariiiiiiii weeeeee 🤗😋😋😋😋😋
@helamamohd73184 жыл бұрын
Mashaallah, nitajaribu
@penninamabonye37617 жыл бұрын
Ahssnteee sanaa....barikiwa
@christinarobert477 жыл бұрын
asante Sana mama
@ienahonserio33425 жыл бұрын
Thanks a lot i have gained cooking skills
@a.8567 жыл бұрын
Jazakallahkhayran ukhty.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Amin
@munirarh6 жыл бұрын
Mashallah
@taharayassin65287 жыл бұрын
Shukran sana mamy 😘
@timamohamed53456 жыл бұрын
Jamani nimependa saana mapishi yako. Naomba kuonyeshwa namna ya kupika tandoori. Shukran
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah dear nikijaaliwa kupika nitaleta
@khadijashaame78376 жыл бұрын
Hongeren sana m napenda kuangalia mapishi yko
@bekaboy66636 жыл бұрын
Safi kwa kujuza Watu
@rosemarysebea85225 жыл бұрын
I like it asumin rice.thanks much
@OnlyRuky7 жыл бұрын
Shukrani😍😍
@wahidabogoyo89095 жыл бұрын
Asnt dada
@loyceomary66894 жыл бұрын
Dada nimependa kazi zako nataka niwe mwanafunzi wako
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ahsante sana mie sipo Tanzania nafundisha mapishi yote hapa KZbin tu
@loyceomary66894 жыл бұрын
Na njia ya whtsp nahitaji kujifunza ili cku moja nifungue mgahawa
@suhailajali38706 жыл бұрын
anty how u become great chef
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Suhaila J Ali Thank you dear am not yet am still learning. I just take time to learn and experiment and I read alot aboutthe food the chemistryand how the ingredients work and what they do I also research about the originality and the historyof that particular dish
@maryamsaid30897 жыл бұрын
Mashallah jaman yummy yummy
@suhailajali38706 жыл бұрын
woow thanks a lot
@christinaseiph86827 жыл бұрын
My sister tunaomba utufunfishe kutengeneza lceing cream ya cake
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Christine , mbona nimeshaonyesha hapa zipo aina 4 tafuta atakyopenda
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gmbYhaipntR9eKc
@mariamjuma45897 жыл бұрын
Wow jmn Kisha rahis
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Sana tena hauna tabu
@mayusahussein47217 жыл бұрын
Shukrani my
@sallynznas64617 жыл бұрын
Shukran habibty
@hadijafakhi43007 жыл бұрын
Assalam alekum mashallah
@auntmwanamuhammed38946 жыл бұрын
Nimependa
@neemak26646 жыл бұрын
Napenda mapichi yako mumy
@bintsalimalbimany93737 жыл бұрын
Mashallah wali unavutia
@shadabbas9556 жыл бұрын
Asante kwa mapishi mazury ila nataka kupika fish stick
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah nikipata fursa nitaleta
@mtumwaaliy22234 жыл бұрын
Asante sana pishilako zuri Alla akubariki
@fatmasaid50912 жыл бұрын
Hii samli Ina kazi gani, na jee inayeyuka baadae
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Samli ladha na harufu ndio inayayuka
@tumaininyundo34165 жыл бұрын
Yummy
@MonicaYohana-kj2pb Жыл бұрын
Seven be
@syliviamonje72134 жыл бұрын
Huo mchele ulioweka baada ya kuweka vitunguu umeupika kdg au ni mchele ulio loweka tu?
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Nimonyesha na kueleza kama upike mchele kiasi dakika 8 mpka 10
@yousafabdullahali56366 жыл бұрын
Mashaa Allah nice
@zamzammohamed43165 жыл бұрын
Unaweza kuweka rangi ya yellow?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Kama utapenda sio vibaya
@neemamhando39976 жыл бұрын
Nakupenda bure naomba ujiunge na Facebook account ya wamama machef wa ukweli ..tunaweza tusiwe tunaweza kama wewe lakini mapishi siku zote ni kujifunza .. Account inatwa TZ COOKING CLUB
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Ahsante sana , mie nipo huko TZ cooking club , huwa naweka mapishi pia
@malikiathuman34533 жыл бұрын
Najifunza mapish
@leimmybae2247 жыл бұрын
Hello.. Bado natatizika mpenzi.. Kuna ayo majani mawili hivi uloyatia kwenye maji ya mchele ulipokuwa unayachemsha.. Plz plzz yanaitwaje na yanapatikana wapi I'm from Kenya uku cjaona Kama ayo
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Yanaitwa bay leaf, you should be able get them in any Indian grocery store,
@hasinahasan9486 жыл бұрын
Mashallah Allah akubar zaid mamiy
@naanaa87767 жыл бұрын
Asante sana!
@fatmasalum26035 жыл бұрын
Naa Naa
@ThccGgggb6 ай бұрын
Hizo foili ni lazima au?
@aromaofzanzibar6 ай бұрын
Kama Ina weza kufunika vyengine sio lazima
@mimahg26206 жыл бұрын
Shukran dear
@manaminamohamed53857 жыл бұрын
Mashaalah
@himdatgulam61366 жыл бұрын
A.a naomba mapishi ya biriani ya chicken tikka
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah dear nikijaaliwa kupika nitaleta
@mwanahamisimohamed3356 жыл бұрын
shukran daa
@richie25447 жыл бұрын
Samahan dada me naomba kuuliza hivyo viungo vinapatikana wapi
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Richie Dada viungo hivi Ni vya kawaida tu unaweza kupata maduka mengi ya vyakula ulizia
@dianayusta74894 жыл бұрын
Sorry, uneweza tumia mchele wa kawaida tuuu,? Na wenyewe usiive sana?
@halimakambi76696 жыл бұрын
Mashaallah!
@mwanamimihamisi77895 жыл бұрын
Hii star anise inapatikana wapi
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Maduka ya spices unaponunua viungo na bizari za sina zote hutokosa
@fatuniyomwungere54125 жыл бұрын
Kama huna samli unaweza tumiya mafuta ya kawaida?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ndio unaweza
@fatumakadute79596 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@edwinmuasya45665 жыл бұрын
mapishi yko sawa ,,haya naomba mrembo wa huko
@thauratali36567 жыл бұрын
😍😍😍😍
@salimmohammed77687 жыл бұрын
😚😚😚😚
@asmasaid13414 жыл бұрын
A/alaikum? Bay leaf ni nini kwa kiswahili?
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
KWA kweli sijui ndio maana ninetumia jina lla english
@pelepetuaherman2114 жыл бұрын
💗
@zz.01285 жыл бұрын
Hi aroma hujambo
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Sijambo
@arnaldomakenz51074 жыл бұрын
Je chumvi ni ile uliotia kwenye mchele tu
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Unaweza kuongeza kama utapenda
@musasalim26136 жыл бұрын
Santee
@twilumbamangula51476 жыл бұрын
asante
@nitungadancilla57594 жыл бұрын
Asante sana
@shantelshanty51937 жыл бұрын
Asante
@0658-i2k5 жыл бұрын
jamani naomba gulupu la mapishi
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
gurupu la mapishi lipo facebook to sina whastapp
@sumaiyahassan9916 жыл бұрын
Habar dada vp akitak kufundishw je unasehem unafundish watu au kwak mtu akitak kufundish
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Mimi nipo marekani nafundisha KZbin tu
@maryfoodproducts76812 жыл бұрын
Lazma mchele wa basmati aunty
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Kama utapata ni vizuri kwasababu una nyooka vizuri
@maryfoodproducts76812 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar ok
@sintasmarty49745 жыл бұрын
Yaani anavyoelezea anameza na mate mm ndio nazid kuwa mwehu
@azzamahamdu70395 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@subehaahaji15047 жыл бұрын
Mashallah
@frolahfortunatusi56216 жыл бұрын
Wewe dada ni nome
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Ahsante
@mrsochu75044 жыл бұрын
Pambee
@amirsab11586 жыл бұрын
Kwani.kuongea kwako.hua unafunga mapua ama niugojwa
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
MAMA PEKU PEKU Ndio nilivyo umbwa na mola wangu
@isrammfamau49836 жыл бұрын
MashaAllah
@mrssidebary98616 жыл бұрын
Hapa kwenye oven uliweka moto juu na chin au chini tu?