Mash allah habit mapishi yako matamu sana kila nikifuata vipimo vyako ❤ ❤❤
@queenshibaskitchen9130Ай бұрын
@@shamzone388 Alhamdulilah nadurahi kusikia hivo
@auntynura23 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah maneno yako kweli tupo kwenye ndowa bwana anakula akijiraba anadhani yanatoka kichwani kwangu kumbe kwa aroma nakupenda sana kwa ajili ya Allah natamani niwe na namba yako
@asyajumajuma8446Ай бұрын
MashaAllah ukhty Allah aibariki mikono yako. Ukhty samahani kama utatumia nyama wakati wa kuikaanga si itabidi uitie maji iwive au nyama unaikata vipande vidogo. Samahani kwa kukuuliza
@queenshibaskitchen9130Ай бұрын
@@asyajumajuma8446 kwanyama ichemsha ikishaiwiva towa supu weka pembeni nyamafanya kama hivo nlivofanya kuku, na ile supu utatumia unapopika wali kama nlivo onesha. Hope umefaham