WALIOMBAKA BINTI WA YOMBO WAFUNGWA MAISHA

  Рет қаралды 20,341

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@ShafiiAmisi-h3w
@ShafiiAmisi-h3w 2 ай бұрын
Wanao taka afande naye akamatwe naye afungwe maisha like hapa
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 ай бұрын
Tunatakiwa tu comment pia na kusubscribe au ni ku like tu???😂
@hamiduOmar-o8r
@hamiduOmar-o8r 2 ай бұрын
Yye ndio chanzo akamatwe afungwe ikiwezekana kunyingwa kabisa iwe funzo kwa hao askari wengine wenye nyazifa zao madarakani😊
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 2 ай бұрын
Afande akamatwe ndio tutaridhika wananchi tunamtaka mshitakiwa namba moja AFANDE
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 2 ай бұрын
Nimefurahi hatari mashetani wale na huyo afande nae afungwe roho zetu zitulie
@FgfgyGfyghhgft
@FgfgyGfyghhgft 2 ай бұрын
Kweli
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 2 ай бұрын
@@FgfgyGfyghhgft pamoja🤝
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 2 ай бұрын
Walitumwa na Afande kwani Afande aliwalazimisha? Leo mtu wowote mwenye Hatia atasema alitumwa na mtu fulani kuvunja sheria!! Tumieni akili zenu nyinyi watu wazima Na hamna mtu atafungwa kwa maisha, vijana hao 2026 wataachiwa huru
@Paschal-t8p
@Paschal-t8p 12 күн бұрын
Siwez enda jela kisa malaya amini nawaaambia😢😢😢😢😢
@YohanaHaule-p2d
@YohanaHaule-p2d 2 ай бұрын
Umalaya wake haukufanyi mumuingilie watu 4 bila ridhaa yake hata sisi watoto wetu wengi malaya ila leo ukisikia mtoto wako au mdogo wako amefanyiwa vile utasema ni malaya tu au
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Achana nao wanaosema hivyo watakuwa matasa hawajawahi kulea
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 2 ай бұрын
Hakika
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 2 ай бұрын
Ule ni zaid ya unyama
@EMILIANMNGONGO
@EMILIANMNGONGO 2 ай бұрын
😂😂😂afande😂😂😂???
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
Pongezi kwa mahakama kwa uamuzi .👋
@MackPhelemon
@MackPhelemon 2 ай бұрын
ndamana unambiwa kwa mungu 😅yupo ata ukichelewa
@TusekileGwamaka
@TusekileGwamaka 2 ай бұрын
Asa Vipi kuhusu muhisika alie watuma? au yeye hafungwi,.
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 2 ай бұрын
Watatoka tyu😂😂😂😂😂
@shafiimdogwa1482
@shafiimdogwa1482 2 ай бұрын
Sasa Mbona Afande Ajakamatwa
@AllyRamadhan-cw8we
@AllyRamadhan-cw8we 2 ай бұрын
Mind game!! 🎉🎉🎉
@princeSamson-vy1ow
@princeSamson-vy1ow 2 ай бұрын
Wapi afande aliowatuma Afande #Kigondo
@azizahasan2851
@azizahasan2851 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂tumepigwa apa warahi
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 ай бұрын
Alhamdhulillah haki imetendeka😊
@yascoguidezanzibar
@yascoguidezanzibar 2 ай бұрын
Wamehukumiwa wanne wakat walikuwa watano😢😢😢😢
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 2 ай бұрын
6
@massudbiz9828
@massudbiz9828 2 ай бұрын
Afande lazma nae aukumiwe kbs
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 2 ай бұрын
Alhamdullilah
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
Afande yukwap?????
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
Bahada ya raisi wa kitaa kuimba ndo wakachukua mahamzi
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa mpk rais wetu kaingia studio😂
@esthermbalale3075
@esthermbalale3075 2 ай бұрын
Kama afande yupo nje hata wale kina nyundo watatoka kwa rufaa kimya kimyaa kumlinda afande
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 2 ай бұрын
Kabisa
@aminamareta9297
@aminamareta9297 2 ай бұрын
Afande yupowapi
@section8ight174
@section8ight174 2 ай бұрын
Kweli walivhokifanya ni kibaya sana lakini kifungo cha maisha?? Hiyo imezidi, Kwani watu hawakosei maisha Haya???
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Alieagiza hayo mambo siataagiza tena? Maana binti nae bado yupo
@officialpiara
@officialpiara 2 ай бұрын
Afandeeeee yuko wap
@TundaEmanuel-ns8kj
@TundaEmanuel-ns8kj 2 ай бұрын
Safiiiiiiioo,,, walijifanya wanajua kupiga rombo Sas wakapige huko sifa Zakijinga zimewaponza😏😏
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 ай бұрын
Watapigwa wao mbupu tena watakutana na mbupu zenye ukame haswaaa😂😂😂
@LitoDossani
@LitoDossani 2 ай бұрын
Je watapelekwa kweli jela??
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 ай бұрын
Tunataka kujuwaa hatima ya afande alotowaa kazi ya kubakaa huku yake niniiii tuona kwahiloo😭
@lucasbatano333
@lucasbatano333 2 ай бұрын
Wanaume tumeumbiwa mateso
@RamadhaniHemedi-ul4ho
@RamadhaniHemedi-ul4ho 2 ай бұрын
Sawa lakini sio matozo haya😮
@MackPhelemon
@MackPhelemon 2 ай бұрын
kwaiyo alikuwa ana toa matisho anazani kw
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 ай бұрын
Sio afande peke yake.. Na kijana mmoja bado mana walikuwa watano
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 2 ай бұрын
Rufaa😊
@yaziduhusseni3916
@yaziduhusseni3916 2 ай бұрын
Msiwasifie mawakili wa serikali ambayo wao ndo wanawatetea watuhumiwa , timu ya mwambugusi ndo imechangia haki kupatikana
@jumarajab5316
@jumarajab5316 2 ай бұрын
waandishi lakini hata hamjui lolote afande si kesi yake 25/10
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
ichi kipindi cha uwazi na ukweli wapi zembwela nakukubali pdd wa bongo apa😅😅
@yascoguidezanzibar
@yascoguidezanzibar 2 ай бұрын
Sik ukijua pdidy ndo alikuwa anapididiwa sijui utafuta hii😅😅
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
@@yascoguidezanzibar 😂
@azizahasan2851
@azizahasan2851 2 ай бұрын
Waongo
@Gdjn974
@Gdjn974 2 ай бұрын
Hawa jamaa watatoka. kwa nn! Kwa sababu! mbna huyo alie watuma hawajamtaja apa tumepigwa na kitu kzto kwel tena
@ZainabuSalim-iq8cz
@ZainabuSalim-iq8cz 2 ай бұрын
Naipongeza mahakama kwa kutenda haki
@hamisialli7942
@hamisialli7942 2 ай бұрын
Lakin mbona hamuwaulizii na waliobak ambao hawakupatikana? Au wale.nao.ndo ishaisha? Kwakua hawa wamehukumiwa?
@JosephevansLyimoo
@JosephevansLyimoo 2 ай бұрын
Afande mbona aja hukumiwa kifungo chamaisha mana yeye ndiyo kuwatuma hapo kuna kitu kinaendelea nyuma ya pasia inawezekanaje wawa hukumu hao vijana bila huyo afande kuambatana nao alafu hawajasema ni geresa gani wamefungwa ama wanataka kuwatoa namlango wanyuma wawa peleke nchi sajirani wakafanye huko kazi serekali ina tuchezea wana nchi kuna janja janja apo
@JamesKondo-ov9fk
@JamesKondo-ov9fk 2 ай бұрын
Lkn jaman msamaha wa raisi upite mbali na hawa
@zainaburamadhani1444
@zainaburamadhani1444 2 ай бұрын
Namimi swali ni hilo hilo afande iko wapii
@AdamCheze
@AdamCheze 2 ай бұрын
Wale waliomua ALI KIBAO vipi jaman au tuaachane nayo ayo
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@mariamutemu9494
@mariamutemu9494 2 ай бұрын
Uyo bint ndo amtaje afande
@HussainMaula-l1s
@HussainMaula-l1s 2 ай бұрын
Kiukweli watanzania tumefurahi sana kwa mahakama kutenda haki na hii ndio maana ya kua na mahakama huru na za haki ila tunataka kujua kuhusu afande hatma ya yanayomkabili ni ipi??????
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 ай бұрын
Afande nae afi…r..w..hadharani
@FgfgyGfyghhgft
@FgfgyGfyghhgft 2 ай бұрын
Kama nikweli awastahir kabisa mashetani kabisa
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 2 ай бұрын
Na yule wakili aliesema binti alienjoy mahakama inabidi imuone atupwe ndani ata miez6 msomi mpaka kawawakili alafu anaongea maneno ya hovyo hivyo sijapenda😏
@evodiusdiocles7669
@evodiusdiocles7669 2 ай бұрын
Wajuba wakati wanampelekea moto demu, demu alifikia hatua akasanda akaomba maji wahuuni kwa loho mbaya walizokuwa nazo wakampatia bia anywe wangemfanyia mwangu hapo hamna kesi nakata vichwa tu naondoka na viwiliwili nawapa mamba
@ZulfaZulfazulfa-j7c
@ZulfaZulfazulfa-j7c 2 ай бұрын
Wewe unaye sema demu malaya uknevyiwa hivyo azarani au afanyiwe mtt acha unalia na wewe pia wewe ni laana hadi kwa mngu
@mathayothomas6429
@mathayothomas6429 2 ай бұрын
BADO AFANDEEEEEHH
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 2 ай бұрын
Ndiyo imeisha hiyo angekuwa magu angemtimua kazi au angeagiza aunganishwe lakini ngoja tusibili tuone
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 2 ай бұрын
Yani ww unaesema binti malaya nakuombe siku ujikute uko chumbani kwa p ddiy
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Haki hakuna ni udhalimu tu ingekua nikundi lakigaid tungehukumu watelekezaji tumuache boss wao?
@leaherasto929
@leaherasto929 2 ай бұрын
Afande akamatwe
@ThomasAlute
@ThomasAlute 2 ай бұрын
Hapo ni ngonjera tu
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 2 ай бұрын
Ila mi ninachokiona sawa wamefungwa maisha lakini 2026 wataachiwa wameamua kutupa ushindi wa kijinga wananchi ili tuamini wamefungwa ila naamini wananchi watawashughulikia ndio maana wanamficha Dada afande mpk Sasa 😏
@NABIYUSUPH
@NABIYUSUPH 2 ай бұрын
Wewe mwanahabali ukiambiwa ukauwe mtu utakubali ?? Muacheni afande achpekazi
@KemmyPrince-r4l
@KemmyPrince-r4l 2 ай бұрын
Kwa kosa gani??? Demu malaya bhnaaa bora wangelipa faini basiii demu muuza k ajari kazn
@EdisonNdimanya
@EdisonNdimanya 2 ай бұрын
Niko na wanangu hapa njoo utuuzie na wewe
@JamalBaluch-l4l
@JamalBaluch-l4l 2 ай бұрын
Uza na ww upate ajal kazin uwone choko ww
@RehemaSalehe-f1x
@RehemaSalehe-f1x 2 ай бұрын
Kwa sababu cyo ndg yangu nandomaana unaona rahis msemo wa mama kichaa kama syo ndg unachekesha
@rechomwaigaga2476
@rechomwaigaga2476 2 ай бұрын
mshezi wewe hunaakili 😏😏😏
@nassojuma
@nassojuma 2 ай бұрын
Ww utakua mmoja wao
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 2 ай бұрын
Afande yuko wap????
TIGO HAWACHOMOI KWA TUNDU LISSU
3:17
Wasafi Media
Рет қаралды 19 М.
HATUA GANI ZAINAFUATA KWA AFANDE⁉️
6:40
Wasafi Media
Рет қаралды 5 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
PROF. KITILA, GWAJIMA NA MTEMVU HOI
7:29
Wasafi Media
Рет қаралды 10 М.
MPINA KUFYATUA KOMBORA LINGINE
5:26
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Azam TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
200 ILIVYOKATISHA UHAI WA DEREVA KWENYE KAMARI
4:43
Wasafi Media
Рет қаралды 2,3 М.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 117 М.
WANANCHI WA KANDA YA ZIWA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA JKCI
4:42
Wasafi Media
Рет қаралды 328
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН