Vp yule mwenzao aliekua anaumwa mbona hazungumziwi tena mpka Leo tunahitaji kufahamu sisi mashabiki wao,anaeungana na mm weka like hapo.
@bundaboytz21012 ай бұрын
Ndo huyo anaeongea
@AmonChamriho2 ай бұрын
@@bundaboytz2101sio huyu huyu anaitwa wakuvanga yule bonge mama imma anayeigizaga mama wa kinyakyusa... Yule anaitwa vengu kapotea kbs
@paulajoho22232 ай бұрын
Tunaomba mtuambie ukweli, huyo jamaa yuko wapi? Na anafanya nini? Mara ya mwisho mlisema ni mgonjwa. Sasa yuko wapi Vengu? Tafadhali tunaomba mtuambie ukweli. "Mashabiki wake tumemmiss"
@rahabu14972 ай бұрын
Mbona vengu alifariki jmn
@OfficialA836402 ай бұрын
@@rahabu1497 Ulimuua ww mchawi mkubwa we
@mussamassawe76242 ай бұрын
Wakiwa og wasishabikie uongo ila wakiwa og tutawaelewa,mpira ctarehe za muziki ni og kuliko kujua hak ya taifa mwananchi.hili taifa tuwe wazalendo tunakuwaje na hela kwa mtu mmoja mmoja, hela ipo tanzania ila basi tyu kuna watu 😂❤❤❤Tz
@paulajoho22232 ай бұрын
Vido! Vido! Vido! How many times did I call you? Fanya ufanyavyo! Tunamtaka VENGU! Tunamtaka VENGU! Kama alishaitwa na Mungu, basi pia tujulisheni jamani, mbona mnatufanyia hivyo? Nimeumia sana!!!!
@AlHamra-k4u2 ай бұрын
Hawa jamaa walitikisa sana. Sijui yule mwenzao alikuwa anaumwa sijui anaendeleaje
@ChenchiKing2 ай бұрын
Much Love Kwenu🎉❤🎉
@Boniphaceshayo52 ай бұрын
Naomba mtafuteni vengu tujue yuko wapi iyo itatusaidia sana sisi watanzania
Kaka V mbona ujamuliza kuhusu yule mwenzao aliyekua anaumwa Yuko wapi
@fettyrashid90422 ай бұрын
Yaani umewaza kama mimi, natamani kujua anaendeleaje😢
@HoneysugarPudding2 ай бұрын
Nasikia anaishi Kigamboni Mikwambe na bado anaumwa
@vidovidox26322 ай бұрын
NITAMUULIZA INTERVIEW INAFUATA TUNAFANYA NAYE KUBWA KABISA SO BE READY
@OfficialA836402 ай бұрын
@@vidovidox2632Mtafanya vizuri sana dah raia tunamkumbuka huku watoto wa 80 tu kizazi cha Ally Hassan Mwinyi
@AhamadiNgulungo-n3w2 ай бұрын
Naijuwa hiyo wakuu
@allymaimuna86882 ай бұрын
Yule alikua anaumwa yupo wap?
@kingngoshazephania43442 ай бұрын
Good.king of reggae music in dodoma Tanzania
@OfficialA836402 ай бұрын
Nabonyeza kizenj mdebwedo😂😂
@abdullahmapesa2 ай бұрын
⭐⭐⭐⭐⭐
@AlafatiNangumbi2 ай бұрын
Vengu Yuko wapi?
@lisawilliam24912 ай бұрын
kaongea vizur sn l like lt
@ghoyelamhagama15042 ай бұрын
Hawa jamaa walikuwa noma
@computerjoshua962 ай бұрын
Iyo back sound ya the box song wakiwashitaki MTA anza kulala mika Mme wahusisha wenyew?
@PhillyAmbilikile2 ай бұрын
Sawa
@tumainichanya32682 ай бұрын
Frida unacheka vzr mi napenda
@bryanzeconfesor54762 ай бұрын
vido hizo alama za kucha shingoni uligombana na mtoto walike yupi au ulikuwa unatoa bikra kaka?
@taifaonlinetv.36702 ай бұрын
Oooh nimefurahi kusikia na kuona mahojiano haya kundi moja ninalolikubari sana
@husseinbhatia4342 ай бұрын
Tokea muanze kuongea sijasikia jina la JOTI ! what hell?
@maureenlilykiwia15152 ай бұрын
Ila kwa sasa nashauri wange retire tu jamani kuchekesha kazi kweli walipofikia nadhani ni ile huu mwaka ehee ni mwaka wa ku force mhhh
@zimboj52782 ай бұрын
Hata umri wa mzee majuto hawajafikia afu wastahafu !!!
@maureenlilykiwia15152 ай бұрын
@@zimboj5278 wanaboronga wameishiwa...ukiishiwa una nini cha kutushawishi...achana na majuto wewe yule alikuwa mchekeshaji na kwa taarifa yako hajawahi ku struggle kuchekesha yule weweeerr