Hongera sana waziri ndomana mi naipenda Ccm miaka buku kwenye madarakA siyo kinyonge
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Raisi anapambana sana🙏
@hassanjuma74334 жыл бұрын
Kazi nzuri mh Wazir
@jaguarman83934 жыл бұрын
Asante baba .MUNGU AKULINDE MR PRESIDENT, MAGUFULI FOR EVER ...
@elizabethproby94124 жыл бұрын
Rahis ishi miaka mingi baba uwe mtetez wa wanyonge
@erickchitumbi13084 жыл бұрын
Magufuli hauna mpinzani nchi hii.bora uongezewe miaka 15 kwanzia sasa.
@mrfix65964 жыл бұрын
Wale wenzangu na mm tuliokuwa tukitumia kuni mmetuwekea sehemu husika. Umeme hatujauozoea
@davidcurtis85564 жыл бұрын
Itabidi utafute kijiji ukaishi kama umeme haujauzoea
@zeralucyntazimila66004 жыл бұрын
Safi sana mwendo mdundo
@gracekimaro1634 жыл бұрын
duuuuuu from zero to hero
@zozohmeed55464 жыл бұрын
Uledi .mtumwa asante
@selemankishema57804 жыл бұрын
Imechukua muda mrefu mpaka tulisahau
@worldrapamako39604 жыл бұрын
Kweli ya kwet musoma awakuvunja pale magomeni tuamie jaman
@marymfugwa8474 жыл бұрын
Kwahiyo watalipa kodi au wataishi bule?
@nguruwekikwete16354 жыл бұрын
Mbona sikuizi amuonyeshi project kikamilifu ni sura tu za anaye ongea
@ahmedelalawi61434 жыл бұрын
Hizo nyumba tupo hapa hapa lazima utoe rushwa nndio upate hiyo chance. Rushwa ndio mungu wa afrika
@hamislichombo57214 жыл бұрын
Ahmed El alawi wameansikwa majina mjomba
@saidnasir62934 жыл бұрын
Waliokuwa wanakaa hapo si wanajulikana na wajuana wenyewe
@africa74794 жыл бұрын
Mmmmh muda wote huo ,
@rajabmnyimwa31264 жыл бұрын
Jamani kwanini msitumie nguzo za chuma, mmwetumia miti on a jinsi mlivyoharibu misitu hapo kwa matumizi ya mara moja tu
@erickkihuru45294 жыл бұрын
Ukisema tu wengine watasimama tyr umeruhusu
@uledimtumwa24064 жыл бұрын
Kuna mabosi na wakurugenzi watawaweka jamaa zao.
@jacobmakono3894 жыл бұрын
..umeponea chupuchupu juzi kati!sasa kaa chonjo!
@fordbreezy58824 жыл бұрын
😂😂😂😂😂👊🙌
@linnamlay36434 жыл бұрын
Kweli aisee daraja Moro lilikuwa limfyekelee mbali
@zozohmeed55464 жыл бұрын
Watamlipa Kodi hao wapangaji au watakaa Bure?
@uledimtumwa24064 жыл бұрын
Watakaa bure miaka mitano.
@kacherosimba57624 жыл бұрын
Mbona zime chelewa kukamilika mpaka tume sahau
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Kujenga gorofa siyo sawa nakujenga vyumba 2
@michaelsiweya65004 жыл бұрын
Huyu jamaa mnamfokea kwa kumuonea tu ni kweli mradi umechelewa sana na yuko sahihi.. Ndo maana rais alipotembelea alishitushwa na kasi ndogo.. Ndipo akawasema TBA.. Tokea hapo TBA wakasema hawakuwa na vifaa.. Muda si muda TBA wakaja na vifaa vipya vya ujenzi. Ikiwemo batching plant.. Muwe na kumbukumbu.. Maana rais alitamani kuwatumbua
@kacherosimba57624 жыл бұрын
@@michaelsiweya6500 bola ume nisaidia wote wanao nilaumu kwakusema mladi umechelewa hawajui maana nimiladi mi ngi sana mikubwa isha kamilika kushinda hiyo mihgorofa
@abdulmohd68804 жыл бұрын
Jeeee hiki kipindi choooote hiki ambacho wananchi mmewaondoa hapo mnajuwa wanaishi wapi???
@abrahamkibona70384 жыл бұрын
Acheni kukosoa kila kitu
@manjaugodwin12184 жыл бұрын
Baba makufuli kazi yako ni.nzuri sana nami naebdelea kukuombea baba.Naomba msaada wako baba jinsi itakavyopendeza unipatie pakuishi hapo kwennye nyumba hizo
@manjaugodwin12184 жыл бұрын
Naomba nami unipangishe kwenye nyumba za magomeni baba .Nisaidie kama baba yangu mkubwa alivyokusaidia chato