Yaaaani wewe dada ni Nuru na ni funguo pia ya kitu ninachopenda elimu yako ni kubwa kwangu asanteeee Sanaa mwalimu wangu kwa kunipa elimu ya kile ninachopenda🙏🙏🙏🙏🙏
@HappnessYohanaRohongo2 жыл бұрын
Napenda sana ufungaji nikilundi nitakutafuta
@889lemo9 ай бұрын
Nimeifhrahia kazi yako hakika ubarikiwe Mm ndo nimeanza kwa kweli nahitaji kukaza mwendo Mungu AWABARIKI SANA Siye tupo mbali labda kama mna mawakala wen Umu kilimanjaro Siha
@amoursaidsalim5096 ай бұрын
Asalamu alekum dada vipi hali yako mimi majike 5 na jogoo 1 bei gani
@amoursaidsalim5096 ай бұрын
Na uko wapi
@Lusubilombamba2 ай бұрын
Mungu awabariki kwa wema wenu kwetu ambao hatukujua.
@princekelvin5834 Жыл бұрын
Ndugu kiongozi Mungu Akubariki Katika biashara hiyo ya kuku
@KiagoFamily-j2v Жыл бұрын
Umeelezea viema Sana. Swali Kuku atakula kiasi Gani akiwa amefikisha miezi mbili Kwa starter, ngapi Kwa growers Kwa hio miezi mbili bdio aanze kujula layers.
@ronaldtemu86442 жыл бұрын
Safi sana naomba niambie KUKU moja chotara onatakiwa kula kiasi gani
@AizackKalenge-ro5rc7 ай бұрын
Hongera sana,Naomba ninunue
@alfredfuteh573 Жыл бұрын
Mimi ni mfugaji mdogo hapa Dodoma. Napata tabu kupata vifaranga wa mayai (layers).
@زيتونتنزانيا5 ай бұрын
Chukulia dar kama unaweza Chukulia dar mtafute wastara yule muigizaji anauza vifanga vyakila aina
@SarahFilbertАй бұрын
@@زيتونتنزانياNamba zake unazo za wastara
@antodoxytarimo65642 жыл бұрын
Je hivo vyakula
@melejisekeyan94923 ай бұрын
Mnapatikanaje ili tupate vifaranaga , mi nipo Monduli!
@loishiyelaizer70182 жыл бұрын
Nmefurahishwa na hili
@teresiagama35783 күн бұрын
Unawafuga mpaka miezi sita kl. Tano unawauza shs. Ngapi mpaka muda huo
@superior29 Жыл бұрын
Uko sawa mama
@galaxyqwer7438 Жыл бұрын
Wow
@LeahChristian-ow8pl Жыл бұрын
Samahan dada mimi natotolesha kwa kutumia kuku wa kienyeji,sasa basi naomba ushaur wa uleji vifaranga
@mlandagodfrey1212 жыл бұрын
Ahsante Sanaa nimekuwa wa Kwanza ku comment na kuangalia
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Asante sana, huo ni upendo wa hali ya juu 💪🏽💪🏽💪🏽
@galaxyqwer7438 Жыл бұрын
@@changamkiafursa wow good job madam❤
@NeemaMango-k7j Жыл бұрын
Nimependa dada
@jomgondwe542011 ай бұрын
Kifaranga cha siku moja kroilers ni bei gani
@SamWilihem Жыл бұрын
Tunakupataje
@saumumunisi8013 Жыл бұрын
Anthonia mbona hu up date video zako? Tafadhali tunaomba mpya bwana
@elizabethringo71542 жыл бұрын
Bei ya kifaranga Cha meezi mmoja ni shilling ngapi?
@izadiniamiri32522 жыл бұрын
Naomba kuona picha vizuri structure ya banda lako hilo
@josphatheneriko Жыл бұрын
Mbalikiwe !
@sirajimussa4889 Жыл бұрын
Nahitaji vifaranga aina ya kroiler na sasso chotara mnapatikanaje?
@VailetMunuo-u9q11 ай бұрын
Dada habari naitwa Vailet ndo naanza kufuga naomba uniunge kwenye hili group.
@douglasmwandeje4384 ай бұрын
Hi naepata vifaranga
@erickaaya7433Ай бұрын
Tunaomba mawasiliano yake au namna ya kumfikia
@abdulmainaDIYs Жыл бұрын
Inawezekanaje watage kwa miezi2 ? kuliko hadi layers wenyewe?
@josephchege89282 жыл бұрын
Pogezi kwa kazi nzuli,naitwa Joseph nigependa kufunga Hawa kuku nitawapata wapi Niko Thika.
@rebeccawambui4769 Жыл бұрын
Mko wapi hii Kenya...
@switbertsele1342 Жыл бұрын
Mnapatikana wapi..
@SendiClan3 ай бұрын
Kifaranga n bei gan
@JonathanLyimo-k3b Жыл бұрын
Mnapatikana wapi!
@KamotaTegani Жыл бұрын
Nataka kuanza ufugaji wa kuku kroirer vifaranga nitapata wapi
@ChescoKassim3 ай бұрын
Dada kuku hao huuzwa kiasigan kwa kila kifaranga
@jacklinemabuga485 Жыл бұрын
Kuku chotara na kuku wa kisasa ni sawa?
@sifawilson8628 Жыл бұрын
Unauza
@johnalphonce86002 жыл бұрын
Acheni uongo nimefuga chotara tena kwa uangalizi bora sana ila hawatagi kwa umri mliousema miezi 4,kawaida ni miezi 5 na kuendelea,,na kroila akiwa mkubwa ndio anakula sanaaaaaaa, Hata umlisheje haiwezekaniki miez 4 atage
@changamkiafursa2 жыл бұрын
😎
@hezenkileo22623 ай бұрын
Sio kweli tupe gharama za kuwalisha na hicho chakula unanunua wapi? Niliwafuga ila hawarudishi gharama.
@alfredfuteh573 Жыл бұрын
Nimeona ndoo ni kwa ajili ya chakula/
@YahayaDaimu9 ай бұрын
1:44 1:46 1:46
@HezronMbembe Жыл бұрын
Banda ni laima liwe na wavu chini?
@lexadamz55932 жыл бұрын
Kabla nilikua najua unawalisha usiku na mchana muda wote kwa miezi miwili ya kwanza kumbe ni mwezi mmoja tu. Sasa mwezi wa pili unawapimia vipi chakula. Reference iwe kwa kuku 100.
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Description ya video inaonyesha kiwango cha chakula kwa kuku mmoja kwa umri husika
@lexadamz55932 жыл бұрын
@@changamkiafursa oouh sawa asante sana.
@francismagembe94002 жыл бұрын
Kwa kuanzia Vifaranga 100vya siku Moja Kroiler mpaka miezi 2 wanaweza tumia mifuko mingapi ya starter?
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Mifuko 4 na nusu
@francismagembe94002 жыл бұрын
@@changamkiafursa asante
@sabrinaandrew4245 Жыл бұрын
Kifaranga bei gani
@UpendoGasper2 күн бұрын
Vifaranga vinapatikana wp
@jimmykahindi925711 ай бұрын
Nataka kuanz kufunga kuroiler Sasa vifaraga nitapata wapi
@sabrinamamaa45052 жыл бұрын
Bi Antonia Niko Kenya ntapataje vifaranga?
@HezronMbembe Жыл бұрын
Kwa hiyo stater miezi 2?
@nelsonmukabwa50004 ай бұрын
Hapo kwa kilo 5 siamini dada.
@costantinebahakaso37362 жыл бұрын
nipo KAGERA navipataje?
@ldngowo2 жыл бұрын
Naomba simu zenu mniuzie kuku
@fredrickrwamahe3 ай бұрын
Nahitaji vifaranga ni bei gani
@PialaMassawe6 ай бұрын
Naomba namba
@RossaMengo11 ай бұрын
Mwalimu niunge kwa group kongwe simu yangu iliharibika group likapotea...
@KiagoFamily-j2v Жыл бұрын
Ni wapi naweza Pata hio jiko ya joto
@bukebukevettv422 жыл бұрын
Vizuri
@HamadiSelemani-w4s3 ай бұрын
Safisana nimekuelewa kwaelimu yako naomba uniunge kwenye group lenu
@derickrugendabanga76802 жыл бұрын
kupata mbegu nije?
@tibajuma89292 жыл бұрын
Mnauza na mayai ya groila
@JilalaTungu6 ай бұрын
Huu ndio ukombozi wa afrika
@switbertsele1342 Жыл бұрын
Wakiwa wadogo wa umri gani
@zu33392 жыл бұрын
Bei gani kifaranga cha 2 weeks?
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Hatuuzi kifaranga cha wiki 2
@زيتونتنزانيا5 ай бұрын
Hawa VP wanauza vifaranga awatoe namba
@ChipegwaDaud Жыл бұрын
Dodoma mnatuma
@switbertsele1342 Жыл бұрын
Kwa hiyo hawana kiwango Cha chakula
@FatihiyaSuleiman Жыл бұрын
Habari vifaranga unauza bei gani je unauza kwanzia 50 au100
@shaaharzard56112 жыл бұрын
npo rombo kilimanjaro na wapataje hao vifaranga
@rachealnamirimu26692 жыл бұрын
How big is that space?
@cosmuskaingu0902 жыл бұрын
Naomba kujua tofauti kati ya Kuroiler na Sasso ni ipi. 2. Kati ya aina hizi mbili nigani nzuri?
@harlanhehdjsjjqgxhaka56322 жыл бұрын
Sasso ni kwa ajili ya nyama na kroiler ni dual kwa malengo ya nyama na mayai sana mayai
@harlanhehdjsjjqgxhaka56322 жыл бұрын
Maumbile yao ni tofaut pia sasso vibonge vifupi kroiler waref
@daudpastory16192 жыл бұрын
Unapatkana wapi?
@mosestukiko30002 жыл бұрын
Niko burundi
@PialaMassawe6 ай бұрын
Unapatikana wap
@FremoElisante-uu1lg Жыл бұрын
kwani kuku wa sasso na kroiler nitawatambuaje
@MariamDilla8 ай бұрын
Naomba namba Yako ya simu tafadhali
@switbertsele1342 Жыл бұрын
Tunaomba namba ya simu
@MVUMBIMAULID8 ай бұрын
Yai alitokana na nini
@PhilisMaimu-ji5zn Жыл бұрын
Lakini nasikia kroila hawastawi maeneo ya baridi je ni kweli.?
@hekimaluvanda5337 Жыл бұрын
Si kweli kabisa
@olivemwangi56882 жыл бұрын
Hiyo starter wanakula ni ile chakula ya broilers?
@thomasmensah5313 Жыл бұрын
Oui c'est souvent l'aliment pour poulet de chair au démarrage
@placidiuscastusrwechungura73102 жыл бұрын
kipindi kizuri sana
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Asante sana
@Godneverfailed2 жыл бұрын
Mlipotelea wapi
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Tupo kiongozi, muda unatubana wa kuandaa vipindi
@Godneverfailed2 жыл бұрын
@@changamkiafursa Sawa poleni na kazi
@jacksonprince54862 жыл бұрын
Naomba namba ya dada lyimo
@muskrilcardo93722 жыл бұрын
Mpunguze madawa, labuda vaccination ya kwanza ni muhimu but dawa ni Chakura poa tupu!!!!
@alombwesalumu94202 жыл бұрын
Nahomba namba ya simu
@pasteurmardochemwale2 жыл бұрын
Ata sasso ?
@pasteurmardochemwale2 жыл бұрын
ASanté sana
@maestropaul3710 Жыл бұрын
Habari..samahani kwani hakuna group la whatsup ili elimu ifike kwa uzuri
@muskrilcardo93722 жыл бұрын
Tumechangamuka!!!!
@marymanoni55362 жыл бұрын
Awo Kuku 100 ni shingapi
@changamkiafursa2 жыл бұрын
150,000 box la Vifaranga 100
@ericafransis66632 жыл бұрын
Naomba kujifunza kutoka kwako kabla ya kufuga dada mm nipo iringa
@SarahFilbertАй бұрын
Mimi naitaji vifaranga 100 naomba no yako
@marymanoni5536Ай бұрын
@@changamkiafursa naomba no dd
@jayharryson49132 жыл бұрын
Mnapokea Order ya Vifaranga 50
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Kuanzia 100
@AbubakarFakii-en9ic9 ай бұрын
Pongezi sana kwakutuilimisha dada.nikitaka vifaranga na niko mombasa naweza pata.