Safi sana dada umeongea pwenty sana🎉🎉 Una tupa sana hamasa vijana
@SilasshijaMangu11 ай бұрын
Ubarikiwe
@Monicabukur Жыл бұрын
Hongera Sana dada unabarikiwa Sana na mungu naomba unisaidie ushaur Mimi napenda Sana kufuga na ninatamani kuwa Kama wewe ila ningependa tuwasiliane nifanyeje ili niwapate hao kuku
@shaabaninyamaka-o6k13 күн бұрын
Jaman naomben mawasiliano ya dada huyu
@SilasshijaMangu11 ай бұрын
Nilikuwa nauliza hao kuku wanalalia mayai yao
@YUDAMASOTA3 ай бұрын
HONGERA SANA
@GoodLuck-x9i Жыл бұрын
Asante sana
@shabanihassanikabelela2839 Жыл бұрын
Maisha ya kupendeza MUNGU barikiwa zaidi mama kuku
@saysophyfarm1780 Жыл бұрын
Rubaba hamjawahi kutuangusha❤❤🎉🎉
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera Anita
@JacklineMwambeso7 ай бұрын
Ongera sana
@elizabethcharles994 Жыл бұрын
Hi napataje vifaranga nipo kahama
@AsiaMahmoud-w3p21 күн бұрын
Umeanza vipi na sisi tunatamani kufanya hivo
@RubabaTv20 күн бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221 tukusaidie
@pendomasele3602 жыл бұрын
Napenda Sana ufugaji wa kuku
@RubabaTv2 жыл бұрын
Tutumie ujumbe WhatsApp 0764148221
@ibrahimshaban2361 Жыл бұрын
@@RubabaTvnimependa sana kazi yako
@JacklineAyoub4 ай бұрын
Tunaomba namba zake me pia napenda sana kufuga
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
AkM greaters wana kroila wazuri but nadhani ujipange nilianza na 120 wakakua vyema lakin hawakutaga kwa wakati
@sir_ENOCKMACHA3 ай бұрын
Kujipangaje
@JuliasiMashaka2 ай бұрын
One day nitakukaribisha shambani kwangu kijana Kiariro hapa
@RubabaTvАй бұрын
Tungependa kuja pia na Sisi tutafutahi
@josephmeck-e3s6 ай бұрын
Dada nitawezaje pata namba yako ya cm
@estherigogo79744 ай бұрын
🙏🙏
@leahsamwel1931 Жыл бұрын
Nawaitaji please kwa dar naweza kupata????
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221
@pendosailo19898 ай бұрын
Kwenye order hakikisha mtu analipia kabisa ndio unamwekea vifaranga. Ndio wanavyofanya wenzako. Mtu alipe kabisa.
@RubabaTv8 ай бұрын
Asante kwa ushauri
@justinemangari28907 ай бұрын
@@RubabaTv mfugaji anapatikana mwanza sehemu gani,,ndg?
@cyprianbenedicto15667 ай бұрын
Namba hii ni whatap ama kawaida
@RubabaTv7 ай бұрын
Whatsup
@VeronicaMondu4 ай бұрын
Mbona hupokei cm ukipigiwa
@RubabaTv4 ай бұрын
Piga simu muda wote tupo hewan
@JumaRichard-kr7hv9 ай бұрын
mimi binafsi napenda ufugaji,naweza kuwapataje hawa kuku wa cloilar
@VickyMsuya-ho1if Жыл бұрын
Ninahitaji hawa croiler niko moshi kilimanjaro nitapataje hawa kuku
@pendomasele3602 жыл бұрын
Nawezaje kupata mawasilino ya Anitha?
@RobertsonShukuru-v5r5 ай бұрын
Jambo nahitwa shukuru Niko DRC napenda na mimi kuwa mufugaji na weza fanya nini hiliniwe mufugaji
@EMMANUELKIJINZA9 ай бұрын
Kuku unawa manange vip katka changamoto ya kuchangia mayai
@josephnjellah2802 жыл бұрын
Assnta mimi nipo mbeyanitapateje maysi
@RubabaTv2 жыл бұрын
Wasiliana nasi 0764148221
@kiumbeabdul Жыл бұрын
Asante sana, mimi napenda ufugaji huu, lakini napataje vifaranga na nipo Mozambique 🇲🇿?
@RubabaTv Жыл бұрын
Asante kwa kua nasi. Wasiliana nasi tukuunganishe na wakala wa vifaranga "MAMA KUKU"
@AbedaAbdallah-m6t5 ай бұрын
Nawapataje
@RubabaTv5 ай бұрын
0764 148 221
@naomimaduhu3347 Жыл бұрын
Mtetea ana Bei gani
@RubabaTv Жыл бұрын
Kuanzia elfu 12
@ibrahimshaban2361 Жыл бұрын
🎉kwa dar tunapataje
@filipinadaud8853 ай бұрын
UNAFIGA KUKU AINA GANI, JE UNAUZA VIFARANGA
@SabuyiCharles3 ай бұрын
Nahitaji kuku.jike nianze kufuga
@michaelkaliuli-zb3hi Жыл бұрын
Napenda kufuga xan
@RubabaTv Жыл бұрын
Karibu tukupatie elimu na usaidizi 0764148221
@priscillagastory7778 Жыл бұрын
Ninapenda sana ila sijui namna ya kuwafuga nnafuga za kienyeji lkn kwa biashara nnasumbuka siona faida vzr
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana nasi 0764148221
@carolinemasonga163 Жыл бұрын
Hongera Sana Mama Kuku,. Kweli ufugaji unalipa. Nami nafuga kuku aina ya Sasso pia natotolesha vifaranga Niko Dar es salaam. Mwanza ni home maeneo ya Kirumba nikipata likizo nitakutembelea mfugaji mwenzangu tubadilishane mawazo katika ufugaji.
@latifarahim8992 Жыл бұрын
Dar sehem gani naitaji ushauri wako
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221
@JumaRichard-kr7hv9 ай бұрын
Hongera mama kuku, nataka na mimi nipate hao kuku.
@VickyMsuya-ho1if Жыл бұрын
Na vifaranga ni sh ngap? Na niwa muda gani ndo unauza?
@pendomasele3602 жыл бұрын
Niko kakola nikihitaji mayai naweza pataje
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana nasi 0764148221
@SEZARYGWICHALA-hk6iw3 ай бұрын
Naomba kujua utaratibu wa kuwapata vifaranga wa kroila
@muskrilcardo9372 Жыл бұрын
si wateja wakulipe deposit, aki change mind hio pesa unakura!!!!