Allah akupe umri mrefu wenye kheri na Baraka Cheikh wetu ,akupe mema duniani na kesho Akhera
@ramamohammed14384 жыл бұрын
ALLAH(S.W) atuondolee fitna ya Simu na internet maana ndoo chanzo kikuu cha waja wa Allah(s.w) kusahau na kujawa na uvivu wa kuleta istighfar.....Allahu akbar..
@shuhaidaomar33474 жыл бұрын
swadaqt hizo ndio zimetupotosh vakubwa kwa wadogo
@alvinsafi27334 жыл бұрын
Ni kweli kaka
@aishaabaad52974 жыл бұрын
Amin
@maymunahomar50164 жыл бұрын
Aamin Yaa Rabb. Sadaqta maneno yako.
@ramamohammed14384 жыл бұрын
@@maymunahomar5016 Shukran ukhtie
@lacroquetalacroqueta68134 жыл бұрын
Allah Akbar💚MashaaAllah💚Saum Maqboleen💚Ramadhan Mubarak💚Baarakallah Fekum💚
@nipoassia61883 жыл бұрын
LAILLAH ILLA ANTA SUBHANAKA INNI KUNTU MINADHWALIMINA
@mashakabundala99554 жыл бұрын
Allah akulipe sheikh wetu kwa fikra nzuri kabisa ni kweli kabisa
@maymunahomar50164 жыл бұрын
Allahumma Aamin.
@omarjumanne67444 жыл бұрын
Huyu ni lmamu safi sana kama maimamu wote wagekuwa kama weye manshaaalallllah
@jumaahmad41174 жыл бұрын
Sheikh Allah akubariki na kila la kheri dunian na kesho Akhera. Uzd kutuelmsha.
@adamjb10264 жыл бұрын
Masha allah. Ahsante sheikh kwa ukumbusho mzuri
@salmabaidu78494 жыл бұрын
Hii dua ni nzto sana WALLAH!! ALLAHU AKBAR!! Ukiisoma kwa yakin biidhiLlah unafanikiwa
@bebisheni43804 жыл бұрын
yaani Shekhe kama uliniona allah akupe kila la kheri akhera na duniani asante
@sifaayyldz60404 жыл бұрын
Shukran kwa mafundisho yako mashallah mashallah mashallah 🤲
@rukiaomar25604 жыл бұрын
Alhamdulillah shukran tumefaidika maashaAllah
@maymunahomar50164 жыл бұрын
Shukraan sana Sheikh kwa mawaidha yako. Allah (SWT) atuongoze tufuate yalo mema. Aamin.
@fabssaleh7273 Жыл бұрын
ALLAHUMMA AMEEN WA JAZAKALLAHU KHAIRAN
@khayraatsaidi38014 жыл бұрын
ALLAHU AKBARU Shukran sana Shaykh Baaraka Allahu fiyka
@begumbutt33304 жыл бұрын
Wallahi ni kweli kabisa hii dua ninaiamini sana kila ninapokuwa kwa msiba wowote ninaisoma hii dua na inanisaidia sana
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah kweli kabisa shekh wangu, sisi islamu tuwavivu lkn mungu atuepushe
@mariam1chuwa5424 жыл бұрын
Mashalah mwenyezi mungu akupe Maisha marefu
@fatmaameer53334 жыл бұрын
Mashallah shekhe ALLAH akuzidishie kheri dunian na kesho akhera
Shukurani. Mwenyezi Mungu akujaalie kila la kheri dunia mpaka akhera kwa kutuandikia hii dua
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Jazaka Allah kheri
@nasramussadaudi6 ай бұрын
Lailaha illa anta subhanaka inni kuntum minadhwaliimin
@mustakeemrafiksatya73114 жыл бұрын
سُبْحَانَ ٱللَّٰهِ ماشاءالله
@afrahalbusaidi48164 жыл бұрын
MashaAllah, May Allah grant you jannah
@rashidissa63622 жыл бұрын
MaashaAllah
@pilimusa32172 жыл бұрын
Amiin
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
@juniorjuma68844 жыл бұрын
Mwenyezimungu atupe mwisho mwema inshaallha
@kdloon20304 жыл бұрын
Allah azidi kutuhurumia waja wake na atuongoze na azilainishe nyoyo zetu na azifanye nyepesi kwa kumtaja yeye na kumshukuru zaidi.Ila kuna sehem kidogo yanichanganya sheikh wangu"Wasema Nabii.Yunus,baada ya kuwaambia watu wake watafikwa na balaa baada ya siku 3,halafu haikutokea ndipo akaamua kukimbia.Na kuna sheikh mwingine aliwahi kusema yakua,Nabii.Yunus kutokana na watu wake alipokua akiwakataza kufanya maovu wanakataa.Hatimae akakasirika na akaamua kuondoka,kwa kua hawataki kumsikiliza,ili watapo fikwa na balaa yeye asiwe miongoni mwao!Hapo ndipo nashindwa kuelewa kidogo,naomba nifafanuliwe zaidi,nami nia yangu si kwamba napinga unacho ongea,bali nahitaji nifaham zaidi.Samahani kwa hili
@jubeyrtvliterarymaterials96892 жыл бұрын
Alhamdulillah. Mashallah sheikh
@abdinurabdi43994 жыл бұрын
Masha Allah
@jumakhamis2264 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh
@tukaezuberi85139 ай бұрын
Shukran sheh
@zamdinkilala87904 жыл бұрын
Allah akupe kheri
@mudysule68704 жыл бұрын
Kwel tupo nyuma sanaa wallah tunaandaafia sana mambo ya kipuuzi....
@mudysule68704 жыл бұрын
Mashaallah sheikh upo vizl sanaa
@namatajoy224 жыл бұрын
Jazak ALLAH khair
@dhulhijahabubakar77784 жыл бұрын
Baraka Allah fikum
@alvinsafi27334 жыл бұрын
Hawa watu wasiopenda hii video ni kina nani? 1.Makafiri 2.Wachawi 3.Watumishi wa shytani 4.Maadui wa Mwenyezi mungu 5.Watu wasiopenda kusikia jina la mwenyezi kutajwa 6.Wachawi wasiopenda kurudi kwa mungu mlezi
@rahmaomary51344 жыл бұрын
Wamekufuru hawa watu
@africa74794 жыл бұрын
Wana wivu na dini yetu ya haki, kwenye din zao hakuna haya, utasikia toa elf kadhaa mungu akusamehe au akupe kitu filan
@alvinsafi27334 жыл бұрын
@@africa7479 michango kama wapo ktk harusi. Wengine wanafikia mpk kuwaambia wafuasi wao walete nusu ya mshahara wao.🤔🤔 Huko america ndio usiseme wanafikia mpk kuwafosi wafuasi wenye kipato cha juu wakae mbele wenye kipato cha kati wakae katikati na wale kina sisi walala hoi wanatukanwa kila siku wakienda huko kuaomba mungu. Utasikia nyie mliokaa nyuma zaidi ni aje hawa wawe na pesa nyie hamna? Dua zenu hazikubaliwi sababu ya umaskini wenu na ubahiri wa kutoa. .Subhannallah
@mohamedisultani81632 жыл бұрын
Allah atuezeshe
@saraahmed64134 жыл бұрын
Shukran sheikh
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Insha Allah tutapigana vita na Iblis ili tumkurubie ALLAH🤲🤲🤲🇰🇪
@PAZI_TV4 жыл бұрын
Sina shaka na Surat l waaqia huwa naisoma nikiwa sina hela basi hata inapotokea pesa inakuja leo!umeniongezea jengine la dhikri ahsante Sheikh
@ukhtyanasabintimalikimalik71884 жыл бұрын
😀😀😀😀
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@wahidkombokhamis43304 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 sasa zayyat unacheka nini mama? hahahahahahahahh
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
@@wahidkombokhamis4330 Yani kanifrahisha👆Yani weacha tu
@wahidkombokhamis43304 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 una visa ww hahhahahahhahahahahahahhaah
@saumuseif91894 жыл бұрын
Shukran shekhewetu tutayafanyia kazi
@ochuuothmani95554 жыл бұрын
Shekh yupo vyema
@aminamtawila18894 жыл бұрын
Nikweli kabisa waisl am tumekuwa wavivu sn2 wà DUA
@bimumaulid11714 жыл бұрын
vidonge vyetu bila daku shukran sheikh kwa ukumbusho
@allysfuma59164 жыл бұрын
Kweli sheikh ss tuuwavivu wa kuleta duwaaa.
@allysfuma59164 жыл бұрын
Maashaallha sheikh
@moridohome47903 жыл бұрын
Shukran wajazakumullah kheir
@rukiamwinyihija78494 жыл бұрын
MashaAllah
@ramadhanially66134 жыл бұрын
Allhamdulilah
@husnaally93914 жыл бұрын
M@shaallah Sante kwa ukumbusho
@ukhtyanasabintimalikimalik71884 жыл бұрын
Shukran sana
@ochuuothmani95554 жыл бұрын
Amin
@aishasaidchekeche92624 жыл бұрын
Shekhe unasema kweli kabisa,
@hudhud20224 жыл бұрын
pia Masheikh wengine wanasema shirki tukiweka nia sasa hatujuwi sahihi Subhanallah akili vichwani mwetu
@AbdullaAbdulla-pw5nd4 жыл бұрын
Mashallah
@shuhaidaomar33474 жыл бұрын
kweli shekh wetu ss tuko nyum na mambo ya khere
@maryammct39674 жыл бұрын
Subhanallah
@mozasaid38694 жыл бұрын
Shukran shekhe
@AbdulAbdul-vp2np4 жыл бұрын
Astaghafirullah kwa uvivu tulionao, Allah tuongoze tuwe wenye kushikamana na dua kwa wingi ili tupate rahma zako
@fetysukafetysuka88114 жыл бұрын
shukuran
@zahraalbaloochi28414 жыл бұрын
Ameen Yarrab
@hudhud20224 жыл бұрын
Allahuma Aamin
@pilimusa32172 жыл бұрын
Amiin ya Rabbi allamiin
@mohamedmjange55852 жыл бұрын
Mashaallah
@abubakarnabahani49944 жыл бұрын
Maashaa Allah
@abuyunusmohamed69613 жыл бұрын
Msikitini angebakia saimu gwao tu
@aminagau33444 жыл бұрын
Mashaalaa
@queenmaya80224 жыл бұрын
Shukran
@abdallahjuma11763 жыл бұрын
Sheikh je kama hujui kuisoma suratul Waqia ila kuisikiliza pia iko na faida ama?
@faruquesumail4465 Жыл бұрын
Swadakta shehe
@akramwalong53704 жыл бұрын
Nice
@allykassim8194 жыл бұрын
URADI HUU KWA UKAMILIFU WAKE NI MARA NGAPI,MUDA GANI NA KWA SIKU NGAPI
@lutyali49644 жыл бұрын
Haina idadi yyt usome kwa uwezo wako t
@zahraalbaloochi28414 жыл бұрын
Yote kweli...
@abukarhassan26634 жыл бұрын
Msikitini tusingezidi watu 10
@saidimrisho8834 жыл бұрын
Ila waumini weng hawajui kukaa kwa adabu nakumcklz Shekh wapoapo tu kama wapo kijiwen