Alhamdulillah mvua imeisha dawah tumeimiss Share and subscribe guys road to 50k Na bado waisilamu wenzangu bado namtaftia mme wangu kazi ya udereva mkiskia nafasi msikose kuniambia😢
@salimdaawah1238 ай бұрын
Inn shaa Allah mwenyewe nafasi amepata ujumbe Allah Atafanya wepesi
@Adm94648 ай бұрын
MaashaAllah ma shehee wetu. Next time please invite brother Omosh
@salimdaawah1238 ай бұрын
Inn shaa Allah
@saidmakombeni51558 ай бұрын
Tupo UK tinawaombea barka na afya waalimu. Msichoke na kazi hii ya daawah
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin Allah Atupe subra
@daawaonestreetassociation.57028 ай бұрын
Amin Amin yarrabi pia nyinyi wote
@dghbnjkmm8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@rahilyas2548 ай бұрын
Ameen❤
@fatimahrashid23568 ай бұрын
Masha Allah Leo nimerauka
@salimdaawah1238 ай бұрын
Masha Allah
@AliMohamed-kg8he8 ай бұрын
Masha Allah
@salimdaawah1238 ай бұрын
Alhamdulillah tunashukuru
@abdirahmanadan6548 ай бұрын
Assalam aleikum nyinyi nyote
@salimdaawah1238 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@Adm94648 ай бұрын
There you go . Pastor ka toroka
@salimdaawah1238 ай бұрын
Kawaida yao hawa wachungaji ni mtihani sana
@lulkul77848 ай бұрын
Masha Allah sheikh Salim Mungu akupatie afya njema ili uzidi kuelimisha watu kuhusu uislamu
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@nakundwamkubwe78238 ай бұрын
Alhamdulilah Allah ashukuriwe mmerudi tena tuko pamoja ndugu zetu ktk Imani.
@isahbarasa8 ай бұрын
Asalam aleikum waramtulah wabarakatu ❤️
@salimdaawah1238 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@mwangimuhammad-sx9hb8 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah...Allah awahifadhi nyote na awalalipe jannatul firdaus...huyo mchungaji wa cap ni mrongo...hata hiyo story eti kaona muislamu akimfukuza mbwa msikitini ni paukwa pakawa
@salimdaawah1238 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kawaida ya wachungaji ni porojo
@nubianqueen67008 ай бұрын
MashaAllah TabarakAllah! Tumefurahi kuwaona.
@JumaKisailo-et4jc8 ай бұрын
Maashaalah nimefurahi kuwaona leo poleni na kupotelewa na wapendwa wenu Kwa ajiri ya mafuliko
@salimdaawah1238 ай бұрын
Tumerudi viwanjani alhamdulillah
@hassandinhoosmail63788 ай бұрын
Masha'Allah. Sheikhuna Salim Ngugi. Allah akupe umri mrefu na afya njema Insha'Allah. 🙏👍❤️
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@saidhassanahmed48 ай бұрын
Mashallah mungu awepe nguvu mashekhe zetu awalipe pepo pamoja na mtume muhamad i watch from Germany 🇩🇪
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin pia wewe
@ahmedosman76987 күн бұрын
Pastor ameingia mitini sheikh salim Mungu akuhifadhi na akupee maisha marefu
@salimdaawah1236 күн бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@Noorein-ws8wk8 ай бұрын
Allahu Akbar walilahi lhamd
@45_._callibar8 ай бұрын
Assalamualaikum allaikum Mume potea sana bana 😂
@salimdaawah1238 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mvua ilikuwa mingi
@jamada-by3rq8 ай бұрын
Allahuakibar Allah is the most high and may he bless and forgive us and give us shifah, welcome back my everyday teachers
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@sahalsharif67408 ай бұрын
Walahi i miss you guy's nimemiss this videos please 🙏 keep on god bless you 🙏
@salimdaawah1238 ай бұрын
Alhamdulillah we are back
@alyumaraos8 ай бұрын
A.alaikum nimefrah sana kuwaona muko na afya njema Alhamdulillah Allah awazidishie afya tunawapenda sana kwa ajili ya Allah.
@salimdaawah1238 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
@Leo-xc1nh8 ай бұрын
Mashallah 🥰🥰
@MohdJuma-w6l3 ай бұрын
Kaka assalamu alaiqum kutoka zanzibar nakupenda kwajili ya allah napenda sana daawah zako Allah akulipe kheri fiddnya wal akhera ammin
@salimdaawah1233 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@AlhajiSaidi-uo8zl8 ай бұрын
mashaallah
@TobaShaban8 ай бұрын
Mashekhe wangu mmerudi poleni sana kwamajanga mliyoyapata
@salimdaawah1238 ай бұрын
Alhamdulillah tunashukuru
@maryam28-p4j8 ай бұрын
MashaAllah nimefurahia vilenimewaona Allah hawalinde
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote tunakupenda kwa ajili ya Allah
Manshalah elk back. We missing a lot. I hope everything is ok.
@salimdaawah1238 ай бұрын
Alhamdulillah we are okey
@dugulemuse44588 ай бұрын
wale wa sio waislamu ndio wanachafua jina uislamu, because Islam doesn't kill, so thanks sheikh for showing the truth 🙌 🙏
@salimdaawah1238 ай бұрын
Kabisa
@dugulemuse44588 ай бұрын
@@salimdaawah123 shukran Sheikh
@skmtotowamama67978 ай бұрын
ma shaAllah mungu ni mwema walimu wangu nawapanda kwa ajili ya Allah nawaombea kila la kheri NshaAllah
@salimdaawah1238 ай бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@maryam28-p4j8 ай бұрын
Assalam alykum warahmatuhlah wabarakatu MashaAllah kutoka Germany
@salimdaawah1238 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@abdirizakali62238 ай бұрын
Nimfurahi kuwaona mumerudi Alhamdulillah Mungu atuwafanye marafiki kwa janaa in Sha Allah
@salimdaawah1238 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@ahmedosman76987 күн бұрын
Kwa ukristo nae ma pastor ni watapeli na wajanja wa kugeuza vitu kweli..maandiko inasema vizuri sana viatu miguuni yeye anasema dhambi ndio ilikua anaambiwa avue..kweli ma pastor wanapotosha kwa hakika
@fatumaali33388 ай бұрын
Asalam aleikum,MashaAllah kuwaona may Allah always bless u
Mashallah, nawapenda Sana walimu wetu,njooni lamu mutufundishe n sisi inshallah,
@salimdaawah1238 ай бұрын
Inn shaa Allah hilo tutalipanga
@MustafaKarama-k3q8 ай бұрын
Assalamu Alykum ndugu wote wa Salim Daawah nafurahi sana kuwaona tena Allah awahifadhi na awalinde na kila Shari na awape ushujaa wa kueneza na kufundisha uislam Ameen..
Dah mchungaji hajui hata maandiko kazi kukusanya sadaka tu...😂😂😂
@salimdaawah1238 ай бұрын
Umeona eti roho inavaa kiatu
@SalmanMughal-lq5lt5 ай бұрын
Roho.ime.vaakiatu.🤣🤣🤣
@mohamedhaji22428 ай бұрын
Kwa ufupi waislamu wanatumia lunar calender .😊
@molee008 ай бұрын
The Lunar Calendar is a NATURAL Calender as opposed to the MZUNGU made Calender that is UNSTABLE, and needs constant correction, because it is Man Made.
@mamasiham92878 ай бұрын
Mashaalah
@mwanaidiissa108 ай бұрын
Asalam aleyikum tumekumic shekhe polenibkwa mvua
@salimdaawah1238 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@fardoshnassor78478 ай бұрын
Mashaallah Allha 💖
@salimdaawah1238 ай бұрын
Alhamdulillah
@Sal.08 ай бұрын
Sisi tuna fuata MOON because it is the most accurate and the ONLY Natural way of counting the Days of the Month. The Days of Months in the Mzungu made Calenders, are NOT regular and Balanced! Because some days are 31, 30, 29, or 28 days, which is Not good for Business! The MZUNGU Calender is also an UN NATURAL and Irregular way of Counting the Days of the Month! SANDA.. General Ogolla pia ali Kataa kuzikwa katika SANDUKU na Suit, kama Wakristo! Gen Ogolla ali taka ku zikwa TUPU TUPU, na fungiwa katika SANDA Nyeupe kama WaIslamu! MashaAllah, leo Salim ame sapotiwa na WaLimu WaTATU, akina Ustad Hassan Mlefu na team!
@salimdaawah1238 ай бұрын
Masha Allah huo ndio ukweli
@wadimtwana72868 ай бұрын
Ustadh salim hayo maneno kama mtu hjasikia hasikii tena
@salimdaawah1238 ай бұрын
Allah awaongoze waione haki na waifuate
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm8 ай бұрын
Yaan tuliwamis sana ❤
@salimdaawah1238 ай бұрын
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@MoinaminaAmina-qh1jb8 ай бұрын
Marehemu Ali mwigny alikua raïs Mara mbili amu ya pili tz bara badae raïs wa Zanzibari tena
@salimdaawah1238 ай бұрын
Masha Allah kwa ukumbusho huo
@husseindzombo64928 ай бұрын
MashaAllah
@cedrickRyan8 ай бұрын
❤❤❤
@Said-jy5wy7 ай бұрын
☝️☝️☝️
@maryam28-p4j8 ай бұрын
Assalam alykum warahmatuhlah wabarakatu wewe mwalim salim mbona wasema wanawake wafahi kudoga mambuwa mbona wapenda kukosowa watu toha kwa Quran haya kuusu niharamu doa haya
@ZamzamMakoto8 ай бұрын
mambo yamechemka nimeshindwa niende wap
@alzawahirabdallah22998 ай бұрын
Naona ally amepumzika kidogo angalau ashushe presha
@salimdaawah1238 ай бұрын
😂🤣😂🤣 Ali yupo
@alzawahirabdallah22998 ай бұрын
@@salimdaawah123 muwe mnampa panadol kwanza kabila ya kuanza mdahalo naona huwa mnachoka kukwambia atulie
@adanabdi52498 ай бұрын
Sawa kabisa
@Jabaman207-ue6sk8 ай бұрын
M,a
@aburaasmedia36828 ай бұрын
Masha Allah, Mchungaji anasema viatu ni ya kiroho....kwani roho yake inavaa viatu namba ngapi?? wakristo someeni bibilia yenu ni aibu mwislamu anawasomea kitabu yenu. kila siku munaona waziwazi vile mapastor wenu wanatoroka na bado munawafuata tu....akili yenu iko wapi? ama akili yenu ni ya kiroho tu?
@salimdaawah1238 ай бұрын
Allah awaongoze waione haki na waifuate
@aburaasmedia36828 ай бұрын
@@salimdaawah123 Allah awaongoze kwa haki
@salimdaawah1238 ай бұрын
@@aburaasmedia3682 aamiin amiin amiin
@hilalskach620511 күн бұрын
❤
@abdallasuleiman87858 ай бұрын
Jamaa hajielewi kabisa sijui kiswahili ndio shida ama ni nini?