Majini wako wanzuri na wa mbaya au wote ni wa mbaya maswali ya ulizwa viwanjani leo

  Рет қаралды 9,458

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 ай бұрын
Maasha Allah.ALLAH awalinde wahadhir wetu vipenz.Niliwafikiria sana na kuwaombea duwaa kutokana na kinachoendelea Kenya....ALLAH KARIM
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Aameen ameen ameen alhamdulillah tuko salama shukuran kwa duaa
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 2 ай бұрын
Alhamdulillah ala salama. Tumefurahi kuwaona tena Mashekhe wetu. Mungu Awahifadhi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Aameen ameen ameen
@daawaonestreetassociation.5702
@daawaonestreetassociation.5702 2 ай бұрын
Assalam alykum warramatullah wabarakatuh hali zenu MashaAllah Allah awafanyihe wepesi katika kazi ya daawah. Kijana MashaAllah anajitaidi sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh walimu wa kesho hawa inn shaa Allah yuko sawa sana
@twasckozedon9237
@twasckozedon9237 2 ай бұрын
Mashaallah hao wanaelewa ila majeuri to ! Mungu awalipe inshaallah
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Maandamano yamekwisha au mmeingia viwanjani kibabe😅😅😅😅? Kwako Sheikh Salim
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Kumetulia kiasi alhamdulillah
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 2 ай бұрын
SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN WAALI SAIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek
@Adm9464
@Adm9464 2 ай бұрын
I feel sorry for our Christian brothers and sisters. This are the kind of pastors they listen to and they themselves don’t know and understand the scripture. Very sad
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Yeah the pastor is also confused
@rizikiali328
@rizikiali328 2 ай бұрын
Mashallah masheikh Allah awahifadhi na awalipe kila kheri sheikh Salim umesema kwel kuna wanao sema majiniwanaweza kukusaidia na ati wanajiita waislamu hasa watu wanaotumia falaki hawa wanauhdalilisha uislamu Allah awaongoze awaonyeshe haki
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u 2 ай бұрын
Aslc.
@SaidMgeni
@SaidMgeni 2 ай бұрын
مشأ الله تبارك الله
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 2 ай бұрын
Mashalla ustaz salimo wanhugue
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 Ай бұрын
Mashaallah baarakallah
@spinicahakama4500
@spinicahakama4500 2 ай бұрын
Welcome back our Sheikh asanti kwa elimu nzuri 🙏🙏🙏🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Alhamdulillah tuko salama
@mifunga3414
@mifunga3414 2 ай бұрын
Alhamdulillah ❤ proud I'm a Muslim .
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Masha Allah
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
Mmegoma viwanjani siku hizi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Kenya kulikuwa moto hatungeweza kuenda viwanjani
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 2 ай бұрын
Welcome dr salim ngugi without you KZbin imepoa doctor
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Alhamdulillah tuko tunashukuru
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u 2 ай бұрын
Allaahu Akbar
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 2 ай бұрын
Mash ALLAH alhamdulilah Neema❤❤❤
@abdiidaawah-yv9bg
@abdiidaawah-yv9bg 2 ай бұрын
Alhamdulillah kuliwaka moto kwenye viwanja vya daawah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Yani mpaka kieleweke inn shaa Allah
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 2 ай бұрын
Assalam alahykum warahmatullah Wabarakatuh. Alhamdhulilah. Nafurai Kwa Kuwaona Tena
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah tuko salama
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 2 ай бұрын
Allah ampe amani wakenya.nimefrai kuwaona tena alhamdulillah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Aameen ameen ameen
@josemu870
@josemu870 2 ай бұрын
Allahamdhulla barikiweni sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Aameen ameen ameen
@josemu870
@josemu870 2 ай бұрын
To be a Muslim is a massive from Allah
@josemu870
@josemu870 2 ай бұрын
Nasoma dini pole pole online nakuja kuslim Allah do anajua
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 2 ай бұрын
❤❤❤❤tz
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
Ikisha wakristo wengi mawazo yao yamefanana ya kumpinga yesu lkn huhisi kama wanampenda sana. Ikisha wabishiiii
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Wengi wao hawajui na hawajui kama hawajui
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
@@salimdaawah123 wallahi ni kweli ila Allah akupe taufiq, Wallah unafanya kazi kubwa hata baadhi ya mitume walishindwa. Inshallah akupe nguvu na akulipe firdaus ya daraja la juu kabisa.
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 2 ай бұрын
Huwa hakuna mwimbaji kwaya yeyote, aliye soma Biblia kwa makini. Kwani kila waimbacho, ni tofauti na kilichoandikwa ktk .Biblia. (Kupotea ni kupotea tu, jamani, tena ukiwa mbishi, hiyo ndiyo hatari kabisaa)
@Adm9464
@Adm9464 2 ай бұрын
This pastor will never come back because he already knows he lost mjadala
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
We will wait for him and see if he will come back
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
Maskini huyo mchungaji ndo anawafundisha watu hali hiyo.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Yeah hawa ndio wachungaji kama hali yao iko ivi wafuasi watakua vipi
@abdirizakali6223
@abdirizakali6223 2 ай бұрын
Ma Sha Allah mashee wetu we miss you Hlfu kwa catholiki baba anaeza iita mwanawe baba kma mwanawe ni pastor uko😂 kidogo inachanganya akili😂 Al-Isra' 17:81 وَقُلْ جَآءَ ٱلْحَقُّ وَزَهَقَ ٱلْبَٰطِلُۚ إِنَّ ٱلْبَٰطِلَ كَانَ زَهُوقًا And say, "Truth has come, and falsehood has departed. Indeed is falsehood, [by nature], ever bound to depart."
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Ukweli ukifika uongo lazima utoweke
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Salim , kunaneno "KAMA".... Anasema utukufu KAMA ule wa mwana ......... KAMA imetumika kufananisha UTUKUFU waliouona na ule wa yule mwana wanaosema😅😅😅😅
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Kabisa yani hiyo ni point
@Elybwayz
@Elybwayz 2 ай бұрын
Jimefurah kuwaona tena ❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Masha Allah
@rizikiali328
@rizikiali328 2 ай бұрын
Alhamdulillah nimeelimika
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Karibu sana Allah akuhifadhi
@HassanAli-wf2hm
@HassanAli-wf2hm 2 ай бұрын
Naomba Kujua Mtume Amosi ni mtume gani
@MrRavini
@MrRavini 2 ай бұрын
Wa kwenye bibulia
@nassirmwangi3351
@nassirmwangi3351 2 ай бұрын
Ustadh ujaribu next time kubeba Panadol extra
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Hahaaaaaaa 😂🤣😂😂😂
@faridbashuu
@faridbashuu 2 ай бұрын
Maskini Pastor 😂😂 Huyo sijui kama Atarudi tena... Maskini Biblia imewachanganya completely 😪
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Tena kabisa ila kitaeleweka tu
@faridbashuu
@faridbashuu 2 ай бұрын
@@salimdaawah123 insha'Allah
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 ай бұрын
ikiwa yeye Mkristo anajiita Muisrael sasa mtu wa Mataifa atakua nani? Wanajua wazi ila tu
@attainingallroundexcellenc6992
@attainingallroundexcellenc6992 2 ай бұрын
Ali Muhsin Al-Barwani Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka. Sahih International Cursed were those who disbelieved among the Children of Israel by the tongue of David and of Jesus, the son of Mary. That was because they disobeyed and [habitually] transgressed. Ali Muhsin Al-Barwani Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo kuwa wakiyafanya! Sahih International They used not to prevent one another from wrongdoing that they did. How wretched was that which they were doing. QURAN CHAPTER 5 VERSE 78 and 79.
@MrflashMobile
@MrflashMobile 2 ай бұрын
Nina swali Suleiman mazinge yuko wapi jamani ?🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Yuko ako mzima wa afya
@zakirfeysal4025
@zakirfeysal4025 2 ай бұрын
Sheikh ningependa. Kukija msikiti yenu iko karibu na wapi na inaitwaje? jazakallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Mkuru kwa Ruben kijijini karibu na police station ya mkuru kwa Ruben utatupata inn shaa Allah
@zakirfeysal4025
@zakirfeysal4025 2 ай бұрын
@@salimdaawah123 jazakallah sheikh nitakuja karibuni inshallah
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 2 ай бұрын
Kusema wewe ni mu israeli kiimani ni kama kusema wewe ni mkenya lakini mchina kiimani. Wakristo mna matatizo.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 ай бұрын
Hahaaaaaaa kweli hiyo😂🤣😂😂😂
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 17 МЛН
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 12 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 19 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 91 МЛН
Mwingine asilimu mbele ya mchungaji aliyekua akitutafuta kivumbi githurai 45
1:17:47
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 18 М.
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 38 М.
Wanawake wakikristo wavamia mkutano wa daawah mkuru kwa jenga by sheikh Idris
46:28
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 17 МЛН