WANA QADIRIA WAISOMA QASWIDA YAO MPYA YA NABII YUSSUF LIVE KWA HUZUNI YA MSIBA WALIOPATA - HII LIVE

  Рет қаралды 193,559

Comex Media

Comex Media

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 3 жыл бұрын
Hayaaa wenye maneno nawasubir hapa tuonane mm nimeipenda we he like tujuwe
@yusufgagamuhammad2674
@yusufgagamuhammad2674 3 жыл бұрын
Masha allah.mimindo wakwanza naombeni laik 100
@comexmediatz
@comexmediatz 3 жыл бұрын
mashallah
@abdillahbakar9850
@abdillahbakar9850 3 жыл бұрын
@@comexmediatz mbona ile kasida ya iddi ya wale mabanati watutu mumeiondoa
@YusuphuBilaly
@YusuphuBilaly 8 ай бұрын
Masha Allah naipendasana hii qaswida
@abuufadhili6214
@abuufadhili6214 3 жыл бұрын
Hawa wanaimba kwaya hamna cha qaswida ebu fatilieni waimbaji wa kwaya na hii qaswida wanatafautiana nn mm nashindwa kukosa tofauti kwa sabab wote wanatumia ala za mzk wote wanaimba kumtukuza mungu wote wanaimba kwa kucheza kama wanawake hivi kwel ss km waislaamu kwel tuna ibada ya hivi apo kucheza hivo tunamchezea mungu au mtume muhammadi vingine muwe mnatafakari wao cheza hivi ni wakristo fatilieni kwaya zao mnaibisha dini yenu na kuidharrsha bla kujua subirini nyny edharrshen dini ya allah kwa kutafuta rizik mkisingizia et mnamsalia mtume
@aliy3303
@aliy3303 3 жыл бұрын
Broo mashairi yapo sawa tatizo wanacheza sanna na huo mziki waupunguze ..or
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 3 жыл бұрын
Upo sawa broo ni hakika hakuna ujumbe wa aina hio huu ni mtihani Allah atustiri
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Mashallah hizo ndio nasheed nzuri sana zenye mafundisho mashallah mpo vizuri wapendwa wetu alhmdulillah
@puchameky6846
@puchameky6846 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah qaswida ina ujumbe mzito ndani yake 🥺 Allah akubarik msomaji 🙏
@hawaaaidarus7046
@hawaaaidarus7046 3 жыл бұрын
Kaswida nzuri maa shaa Allah, ninaonelea afadhali wangelikua wamefanya kuigiza hiyo historia kuliko kucheza kuku kusiko eleweka
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Maashaa Allah tabaraka Allah qaswida nzuri
@alisaid5378
@alisaid5378 3 жыл бұрын
Mashaalla kz nzr madrast gadiria honheren. Alla.awazdshie vpaji
@asiaaliy4366
@asiaaliy4366 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah ujumbe umetulia sana inshaallah Allah atawalipa mema inshaallah 🤲🤲🤲❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aliy3303
@aliy3303 3 жыл бұрын
Binafc nakubali kasida na hii iko poa but mm nafc yng haiyoni sawa kucheza sanna inatoa heshma..just wacheze kidogo kusiko na shubhaat
@KKk-i3b3t
@KKk-i3b3t 6 ай бұрын
Mashallah qaswida jema Alhamdulillah
@Oman-tt1hn
@Oman-tt1hn 3 жыл бұрын
Muko vizuri muna jua muna jua hamna mpinzani
@ashakidide9982
@ashakidide9982 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah azd kuwaongoza mko vzr saaan
@abuually6604
@abuually6604 3 жыл бұрын
Subhana allah yani mtu anafanya maovu halafu waisilamu tuna wasifia inasikitisha
@aliyislam3753
@aliyislam3753 3 жыл бұрын
Haya ndio matatizio ya wazushi, badala ya kuwafundisha vijana Qura'an, Ahadeeth, Fiq. Wamezua mambo ya bidaa na maasi nyimbo na miziki wakichanganikana wanaume na wanawake.
@kodraaa7244
@kodraaa7244 3 жыл бұрын
Mashallah mungu awabark kwan ni tamu sana hata usingizi hakuna
@zaitunmfaki7929
@zaitunmfaki7929 3 жыл бұрын
Qaswida nzur sana Mashaa Allah......Allah awazidi kuwabarik In Shaa Allah
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 жыл бұрын
Mashallah tabarak Rahman 😍🥰🥰🥰🇴🇲👌
@kazungudavis4297
@kazungudavis4297 Жыл бұрын
Mashallah muko vizuri
@mshahahamzmdmd5942
@mshahahamzmdmd5942 3 жыл бұрын
Mashallah mungu akubarikin n akufanyien wepes inshallah
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 3 жыл бұрын
namuona ukhty riziki kwa mbli ❤️
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 жыл бұрын
Nimeipenda hiiii kasida najisikia kama niko omani
@zainabuabdalaah3671
@zainabuabdalaah3671 Жыл бұрын
Ustadhi hafidhi
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 3 жыл бұрын
Jaman waislam dini ya Allah tunaiharibu haya hayamo katika uislam
@aliy3303
@aliy3303 3 жыл бұрын
Brothers musicheze sanna plz inatoa heshma or mnasemaje
@sleymanabdallah8403
@sleymanabdallah8403 2 жыл бұрын
Juma faki qaswid mpy 2022
@salmamohammed5633
@salmamohammed5633 2 жыл бұрын
Nawapenda hawa wanaqadiria natokea kenya
@babuudullahmunisi4753
@babuudullahmunisi4753 3 жыл бұрын
Mashallaaah mashallaaah mashallaaah 💪❤️
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Mashallah Allah 💓💐
@habibasuleiman8544
@habibasuleiman8544 3 жыл бұрын
Nimependa dance move mashaallah
@zakomone7672
@zakomone7672 3 жыл бұрын
Mashaaallh ❤️
@halimarashid5794
@halimarashid5794 3 жыл бұрын
Mashallah
@zaitunmfaki7929
@zaitunmfaki7929 3 жыл бұрын
Wallah kuna wakati waga natamni nimzaliwa wa Tz vile nawapenda na mm ni mpenzi wa maulid sanaaa
@khamiskhamis7434
@khamiskhamis7434 3 жыл бұрын
Okay kweli?
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 3 жыл бұрын
Mashallah Tabaarakallah
@mwanasomomohamed5660
@mwanasomomohamed5660 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@josevilla4204
@josevilla4204 Жыл бұрын
🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤cabezas😮😊😊😮😊😮🎉😅😅🎉😅🎉❤😢😢❤😢❤🎉🎉❤🎉❤❤🎉🎉❤🎉❤❤🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉🎉❤
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 3 жыл бұрын
Innalillahi waislam tunapotea haya magoma ndio mafunzo aliotuwachilia mtume wa allah
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 3 жыл бұрын
Hawa kadiria niwapotoshaji Tena wao ndio waanzilishi miziki vyuoni hap zanzibar nakila anaejifunza kwenu mujue ni dhima mbele ya allah
@latifaabdallaissa4240
@latifaabdallaissa4240 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@mwanalelee6
@mwanalelee6 3 жыл бұрын
Izo kanzu ni oriji icho kitambaa au mumekifunga kukinga husda na uchawi
@sultannassor4868
@sultannassor4868 3 жыл бұрын
msiba wa nani jamani alo farik
@asas4097
@asas4097 3 жыл бұрын
Mashallaah
@fahimasheikh743
@fahimasheikh743 3 жыл бұрын
A.a haya ndio maandalizi ya watoto kwenda kuimba kama Diamond na Ali Kiba.Silazima wanafunzi ku dance sasa waalimu mwazidisha hakuna mambo kama haya kwenye dini.Ittaqullah.
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
kwani Hawa ni waimbaji kamili ila ndio ya police kumwita askari . wasijitiye bure. Mimi huwashangaa watu arudi zao hawataki taarab ikisha waita hawa qadiria mijitu mizima na wanawake wakatika mbele yao wake za watu ndio kuwa hao maustaadh waowa wakiacha maana kila leo waona warembo wapya.
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 3 жыл бұрын
Kwa kweli ndg yng tumuombe Allah atustiri na vizazi vyetu
@shanishamsi9576
@shanishamsi9576 3 жыл бұрын
Pambe atari😍😍😍
@abdulkarimahmad8924
@abdulkarimahmad8924 3 жыл бұрын
hz ndo kaswida tunajifunza kisa
@shanishamsi9576
@shanishamsi9576 3 жыл бұрын
@@abdulkarimahmad8924 ni kwel kabis
@fahadayoub850
@fahadayoub850 3 жыл бұрын
Namuona bin jafar akiangalia vijana wake apo
@aishajuma260
@aishajuma260 3 жыл бұрын
🤲🤲🤲🙏😍😍🇨🇳
@othmansaid6949
@othmansaid6949 3 жыл бұрын
safiiiii bingwaaaaaaaa
@aliy3303
@aliy3303 3 жыл бұрын
Broo kasida kali wallah imeuwa sanna ila binafc nimetokea huko nasasa nimekua nahc ujumbe upo sawa lakini michezo ipo wrong broo or mnasemaje ..naomba tufikishe kwa wahusika
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
washachoka kuimba nyimbo za taarab . yaani qasida zinanichefua zile "pole pole nautambae mtango"
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Kwaya!!
@mwanalelee6
@mwanalelee6 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t 3 жыл бұрын
Kaz iyo
@comexmediatz
@comexmediatz 3 жыл бұрын
uhakikaaaaa
@rehemabakali494
@rehemabakali494 3 жыл бұрын
Msiba wa nani tena uliotokea
@saiydabohra9657
@saiydabohra9657 3 жыл бұрын
Mashhaalh kaswid pambe
@aliy3303
@aliy3303 Жыл бұрын
mwawashinda hata swaifat na Tarbiya..
@abuually6604
@abuually6604 3 жыл бұрын
Nyny muko kama daimondi huo nao mziki music jidai kawaida inalilahi waina ilaihi rajuun
@mohamedimsala5897
@mohamedimsala5897 3 жыл бұрын
Hongereni wanakadiria
@ibnually7648
@ibnually7648 3 жыл бұрын
Kwaiyo safari hii mumeamua kuimba visa vya Qur'an!!!!!
@hemeduzeir6878
@hemeduzeir6878 3 жыл бұрын
Hamujuwi kucheza
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Cheza wewe tukuone
@tamelasanationalpresident1818
@tamelasanationalpresident1818 3 жыл бұрын
Hivyo vitambaa vyeusi waliojifunga vina maana gani
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
hawatofurahia mpaka mufate mila zao ndio haya . mambo ya kikafir kudance ndio munaleta ktk duni ni uzushi hakuna kitu hichi . Allah atuhifadhi na shari zao .
@khelefabdulla2604
@khelefabdulla2604 3 жыл бұрын
👏
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
🔥🔥
@saidisalum2051
@saidisalum2051 3 жыл бұрын
UISLAMU HAUNA NYIMBO MAKHOLAFI NYIE
@mwanasomomohamed5660
@mwanasomomohamed5660 3 жыл бұрын
Kma waona hupinga fuata lako..kila moja abebe mzigo wake...watkaleta ligi sasa
@abuunuswaibahahmadi8288
@abuunuswaibahahmadi8288 3 жыл бұрын
munaomboleza nani
@antymunna4215
@antymunna4215 Жыл бұрын
Maa sha Allah
@saabafaraji7781
@saabafaraji7781 3 жыл бұрын
Mashallah
@lusad9800
@lusad9800 3 жыл бұрын
Mashaallah
@suhfatkhelef6840
@suhfatkhelef6840 3 жыл бұрын
Mashaallah
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 102 МЛН
Deadpool family by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 6 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 5 МЛН
hatua kabla kuacha-madrasa qadiria kaswida
14:47
Eng'Omary Shibe
Рет қаралды 567 М.
ALAA MAA RAAYNA - ألآ ما رأينا مثل طفل يتيم
15:47
Al Ihsaan Records
Рет қаралды 66 М.
QASWIDA MPYA (MAMA) HAKIKA ITAKUTOA MACHOZI DHAMANI YA MAMA
8:33
BAADA YA SHAHADA NAKUTAJA WEWE LEO NI LEO | HOLINI KUMEPAMBA MOTO
13:58
Qswida,by fakky mbarouk/kisa cha ibrahim
17:59
Mohd salum
Рет қаралды 31 М.
Aqaz
16:16
Sayd Mohd
Рет қаралды 215 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 102 МЛН