Mm namini ukisoma ukawa too top till the end kufanikiwa ni chap keep moving champ✊💯
@ashamwamba90884 жыл бұрын
Top.tank.niwakristo
@agnellyelly70063 жыл бұрын
Hongera sana watoto wetu. Asante Miladi Ayo kwakuonesha wanafunzi wote wa masomo ya sayansi na art hii inatuelimisha wazaz kuwa masomo yote ni muhimu
@ramxonforex7723 жыл бұрын
Kila nikitazama hii video napata nguvu ya kusoma sana naimani mwaka 2023 nitakuwa miongoni mwa wanafunzi bore wa mwaka.. Nasoma mchepuo Wa EGM at GREEN CITY HIGH SCHOOL MOROGORO
@stansmorland50724 жыл бұрын
Hongereni sanaa wanafunzi wote❤️❤️❤️
@jumaaabdallahrosemgonza13684 жыл бұрын
Tulimtegemea mungu Sana,tukafuata ushauri,tukasoma Sana mpaka tukajalili ila tatizo shule tulizo soma walimu 6 wanafunzi 1000+ umasikini= nipo kitaa nachang'anya nzege .
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Polee ila poa km linakupa ugali usilale njaa
@aishajuma7124 жыл бұрын
Zuchu kasoma sana kafika hadi india Leo hii boss wake diamond kaishia form 4 tandare usikate tamaa one day yes
@ilovejesus93034 жыл бұрын
@@aishajuma712 good nakubaliana na wewe
@haroldsanja5392 жыл бұрын
I see myself there 😂😂💪💪
@jacksonbiswalo83604 жыл бұрын
NAISHAURI SERIKALI KWAMBA WASIISHIE HAPO IKIBIDI WAENDELEE KUWASAPOTI MBAKA MWISHO KWA KUWAPOKEA WAZAZI JUKUMU LA KUWASOMESHA HUKU WAKIPEWA KWA UNDANI SOMO LA URAIA WAJE KUISAIDIA TZ BAADAE.
@mkanamc83414 жыл бұрын
kwa mfumo huu wa Tunzo, uendelee basi hata kwa Wasanii tulimisi haya mambo😢😢😢
@ibrahimthabit27954 жыл бұрын
Hongeren kwa wote
@ibrahimemmanuel47802 жыл бұрын
Jamani msiwaseme vibaya bali mwasapoti. Wasomi ndiyo wanaobeba taifa.
@romananyaulingo86874 жыл бұрын
Vzr
@D-mox4 жыл бұрын
Bongo nyoso kama huna mtu mkubwa selklin mje tuuze vitunguu kitaa
@subiradalabu66164 жыл бұрын
😀😁😂😁😁😁😁
@D-mox4 жыл бұрын
Yani mbona tunawaona kitaana wanavyo tia uruma mtu kazoea kushika shika mapeni school alafu ajira ngumu na hata akijiajili atabaki kuuliza nilpoteza muda wangu
@subiradalabu66164 жыл бұрын
@@D-mox ukweli ndoo huo t
@kenybenjiz78504 жыл бұрын
Msiwaweke mambo hapo ya kina zuchu etc Any way hongereni wanafunzi
@kpetres28724 жыл бұрын
Endeleeni kuvimba mtatukuta kitaa🤣🤣🤣🤣
@wasaficomedytvamour59774 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 walio toroka shule
@kpetres28724 жыл бұрын
@@wasaficomedytvamour5977 tulia Ivo ivo🤣🤣.kuna Agatha mwaka Jana alifanya wonders saiz atumsikii😂😂😂
@wasaficomedytvamour59774 жыл бұрын
Yupo shule ana soma
@jacksonbiswalo83604 жыл бұрын
Hongereni vijana.Someni mje muisaidie Tz msijekuwa kma Lisu ambaye hana uchungu na hii nchi
@anastaziuscyriacus54154 жыл бұрын
Kitaaa....
@nrwawanndeny73944 жыл бұрын
Cha ajabu utakuta hawajui hata kushona lapa au chupi zao zikichanika.hawana chochote cha kuisaidia jamii yao hata bomba lilipasuka hawawezi kulifunga looh! Ajabu!
@prettyh75094 жыл бұрын
Na hawana upendo kwa ndugu zao😅
@sarahmsangi72434 жыл бұрын
Wewe unaweza
@nrwawanndeny73944 жыл бұрын
@@sarahmsangi7243 Niko vizuri mama .
@dismaschama58584 жыл бұрын
Izo ni ndoto tu zinaweza zisitimie pia au zikatimia