Wanahabari waandamana baada ya Catherine Kariuki kupigwa risasi na polisi jijini Nakuru

  Рет қаралды 23,795

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

waandishi wa habari jijini Nakuru chini ya muungano wao wameandamana hadi kwenye ofisi ya kamanda wa polisi wa nakuru wakitaka polisi aliyempiga risasi mwanahabari wa runinga na redio ya kameme catherine kariuki achukuliwe hatua. catherine alipigwa risasi kwenye paja alipokuwa akiandika taarifa za maandamano ya vijana wa kizazi cha genz hapo jana jijini humo. waandishi wetu maryanne nyambura na evans asiba wanafuatilia taarifa hiyo

Пікірлер: 61
@rihkaa6289
@rihkaa6289 2 ай бұрын
This is the spirit,, let's not keep quiet,, let's wail on top of our voices,, let's shape this government..
@ElizabethLetletting
@ElizabethLetletting 2 ай бұрын
Yea justice pole Sana stand with your Coleague brother and sister hood 👏
@uri2243
@uri2243 2 ай бұрын
Am sorry for her...Now am sure even the media can feel the pain that protestors are going through when we talk about police Brutality,now we need actions...
@sharlineshan6606
@sharlineshan6606 2 ай бұрын
Huyu Ruto hana mpango mzuri na sisi ndio lazima atoke
@salimomar-n7s
@salimomar-n7s 2 ай бұрын
Mara ya kwanza waandishi wa habari kuandamna
@geoffreykaranja779
@geoffreykaranja779 2 ай бұрын
Pole Kwa Macharia Gaitho. Pole Kwa aliyepigwa risasi pia. Lakini Media houses wasichome Kenya. They broadcast live mandamano to cause more UNREST. They don't cover Live development
@scholarchepkorir9333
@scholarchepkorir9333 2 ай бұрын
U people should fight for justice for everybody not you alone
@estherkirigo8427
@estherkirigo8427 2 ай бұрын
A rogue government
@wabannah9009
@wabannah9009 2 ай бұрын
"Eventually[Ruto has to go]"!!!.
@emilymasambu830
@emilymasambu830 2 ай бұрын
i like the spirit
@lucymwai7645
@lucymwai7645 2 ай бұрын
Pole sana kwa huyo mwanahabari
@wavyyylikethesea5273
@wavyyylikethesea5273 2 ай бұрын
Siku izi ukiskia umekasirika unatokea tu kwa streets
@camelitelevin1294
@camelitelevin1294 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@JosephMakau-tb4by
@JosephMakau-tb4by 2 ай бұрын
Catherine was not a criminal kw hivo apewe aki yake???
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 2 ай бұрын
Police Mnaua wanahabari wetu tuletewe habari na kina nani na tuchezewe nyimbo zetu kama wasanii wa Kenya na nani😢Qr siz Catherine 🙋🏼‍♀️🇰🇪
@joshuamwangi6796
@joshuamwangi6796 2 ай бұрын
It seems everyone in this country is against this regime except the politicians n those who closely benefit from it in un disclosed ways.
@dennisobara3407
@dennisobara3407 2 ай бұрын
Ruto must go
@Lydiah-m2n
@Lydiah-m2n 2 ай бұрын
So bad. Police should also love their fellow Kenyans
@GgdDyyd-qr6fe
@GgdDyyd-qr6fe 2 ай бұрын
Tuachie jounalist wetu aki bila wao hatuna kitu
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 2 ай бұрын
😢very sad
@jamachakos5517
@jamachakos5517 2 ай бұрын
😂😂😂😂 Kenya kupumzika ni binguni
@jimloyedwin-mw4yl
@jimloyedwin-mw4yl 2 ай бұрын
ruto must go
@lorencemwakwari9955
@lorencemwakwari9955 2 ай бұрын
YEYE HAKUA ANAPEPERUSHA HABARI ALIKUA ANAPAKA WATU PODA WASITHUHURIWE NA TIAGAS
@emmaculatekyakashow
@emmaculatekyakashow 2 ай бұрын
What is going on
@Benjaminkakamasha662
@Benjaminkakamasha662 2 ай бұрын
Eti achukuliwe atua ya nini pia yy apigwe risasi
@moto-junior
@moto-junior 2 ай бұрын
Yes auwawe
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov 2 ай бұрын
Ruto is the least intelligent Eastern African president and Kenya has ever seen
@harrynjenga
@harrynjenga 2 ай бұрын
So President Dr W.S. Ruto is dumb? 😂
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov 2 ай бұрын
@@harrynjenga 😂in matters of governing and leadership ako nje the only thing he is good at is politics,chasing the bag(embezzling money) but in terms of Governing and leadership and choosing public service leaders he is very very very very dumb
@josephkioko9121
@josephkioko9121 2 ай бұрын
​@@harrynjengayes 😂
@harrynjenga
@harrynjenga 2 ай бұрын
@@ViceAdmiralVasilyArkhipov I strongly disagree. Hapa naona fala flani akiita Dr President fala. Hii dunia ni funny sana! Wewe ushawai ongoza hata chamama na Cha baba? Alafu uite huyo msee dumb? 🤣🤣🤣 Dunia simama ni shuke!
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov 2 ай бұрын
@@harrynjenga 😂😂either you are stupid either you are NIS either u are benefiting directly from Ruto's pocket either you have a personal grudge against Uhuru Kenyatta and dynasties or either you are very rich ndio maana huezi Ona huyu mtu ako nje governance
@jessyombeva1670
@jessyombeva1670 2 ай бұрын
Twende nalo
@harrynjenga
@harrynjenga 2 ай бұрын
Couldn't the reporter found a less noisy spot for this report?
@blessingblessings8123
@blessingblessings8123 2 ай бұрын
Harrynjenga you are a disgrace to our country Kenya,I wish ingukuwa ni bibi yako ndio amepata risasi.
@johnmark8424
@johnmark8424 2 ай бұрын
Your parent regrets injecting the education you have
@harrynjenga
@harrynjenga 2 ай бұрын
@@johnmark8424 wewe my parents are dead. Wewe wako wako alive?
@alextercisio
@alextercisio 2 ай бұрын
Unprofessional journalist as journalist always be behind the police but not in the midst of protestors before u blame eagle for snatching your chicken ask yourself first where was it ?? Unaeda kwa protestors kuwauliza maswali ya kijinga
@jullostephen9090
@jullostephen9090 2 ай бұрын
Ungezaliwa tu ukawa makende ya ngamia
@nyaenyaobare6081
@nyaenyaobare6081 2 ай бұрын
Ww n bure kabisa ,,,ww ndo unaogea ujinga
@kennykenny6226
@kennykenny6226 2 ай бұрын
Umesema yote
@raffidahatieno
@raffidahatieno 2 ай бұрын
Acha ku support uovu,ameva nguo ya kazi vizuri inaonekana,why should apolice shot at such a person
@franciskihu5988
@franciskihu5988 2 ай бұрын
You are a fool
@marbymwangi
@marbymwangi 2 ай бұрын
Twende nalo
| UKUMBI | Kuondolewa kwa Gavana Mutai (Part 3)
13:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 461
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,7 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 3,9 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,1 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
MADALALI WAFANYA MAKONDA AVUE KOTI, AWASHUKIA KISAWASAWA
13:15
Millard Ayo
Рет қаралды 99 М.
Wakaazi wa Nakuru wataka rais Ruto aondolewe pamoja na Gachagua
3:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 310 М.
| DAY BREAK | Adani Deals in Kenya
34:24
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 13 М.
Abducted Cop Shakur Speaks After Being Released!! - GEN Z HERO
13:37
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,7 МЛН