Kwan hii nchi MKUU WA MKOA ni m1 tu ...km makonda anaweza hao wengine wanashindwa Nin kusikiliza kero za wananchi wao daah!! God bless you Mh.makonda🙏
@miriamamiri6419 ай бұрын
Makonda mungu akulinde mweshimiwa wew ni magufuli wa pili
@elijahnkoidela42628 ай бұрын
God bless you sir. My all respect to you. Next time plz visit Ngorongoro, thank you so much.
@BenardZephaniah9 ай бұрын
Wale wanaomsema vibaya mh, wamenyamanzishwa na MUNGU 😊😊😊😊YESU ahsante
@sirkomba8 ай бұрын
Utazani inch nzima mkuu wa mkoa ni mmoja voice of people keep it up
@hamzaabdallah86379 ай бұрын
Wasiopenda haki hawapendi unayoongelea, piga kazi Mungu akulipe kheri
@franciscojohn57519 ай бұрын
Tumbo lililo mzaa magufuri na makondo yabalikiwe
@rosetreffert41798 ай бұрын
Kabisaa ❤❤❤❤
@rosetreffert41798 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Na Mama Samia kwa kumteua mhshmw Makonda.
@kibabysaid66928 ай бұрын
Ameen
@kristofuraha33699 ай бұрын
MH MAKONDA Wewe ni baraka sana sana sana!❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏👊👊👊👊💪💪💪💪💪
@HashimuHashboy-bo2wl9 ай бұрын
Mama samia hakukosea kukuchagua ww uende ukawe msimamizi wa haki za wanyonge mama samia anamaono na imani juu yako mheshimiwa makonda
@iemsunnah55179 ай бұрын
Makondaa namuona mbali saana..! GOD BLESS BROO 🙌
@barbarasara40338 ай бұрын
Mbali wap?
@mswakisaid23208 ай бұрын
Mafisadi lazima wakupige vita tu. Usijali mh Pm' Mungu atakulinda na utaishinda vita hiyo👏
@shabanmramba48408 ай бұрын
Makonda ni kiongozi ambaye anatetea haki
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur9 ай бұрын
Paul CHRISTIAN makonda on top headlines
@MDUYARAMAMduyarama8 ай бұрын
Makonda ni kiongozi mfatiliaji sana Tena mtenda haki atapaweza Arusha mungu ampe maisha marefu
@NeemaMahega-z3g8 ай бұрын
Mkuu wet makonda mungu akupe maisha malefu ya kuish. Ili utuokowe sisi watuwako njoo na mwanz tunakuhitaji baba
@bibianakiwali19698 ай бұрын
MAMA SAMIA MUNGU AKUBARIKI SANA SANA KWA KUMTEUA MAKONDA KWENDA MKOA WA ARUSHA. TUNAOMBA WA DAR ES SALAAM AWE KAMA MAKONDA.
@StewartTemu-fu4ej8 ай бұрын
Safi sana nimeipenda
@wadauwasizoni9 ай бұрын
Millard ayo naomba niunganishe na mama nimpe hongera zake anajua.
@elgardgration65049 ай бұрын
Anafnya kazi nzuri sana huyu Poul
@joshuamaginga14999 ай бұрын
Hongera mweshimiwa makonda kwa kazi jema unayoifanya kaka yangu
@bennytech84838 ай бұрын
JESUS DO IT ❤
@ekisuka18 ай бұрын
Makonda sijawai acha kukufuatilia na kufurahidhwa na utendaji wako na kukuombea, Mungu akulinde.
@BenethRwekaza-yv1gl8 ай бұрын
Mashine tata we mwamba. Unaeleweka sana!
@OscarAsukenie9 ай бұрын
Kuna haja ya kuwa na makonda kama 50 hivi ili wawekwe kila mkoa. Hii nchi kuna baadhi ya watu wanaipiga sana.
@ElishiliaLoth9 ай бұрын
Mungu akulinde mkuu
@thedon84678 ай бұрын
AMEEN
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Mama Samia amejua sana, khs Makonda na Slaa, raia wamejaa machozi machoni na simanzi mioyoni. Mungu amjalie umri mrefu na afya njema.
@bibianakiwali19698 ай бұрын
MUNGUakuwekee Mkono WAKE WASIKUWEZE NA WANAOJARIBU WAPIGWE KWA MKONO WA YESU KRISTO BWANA MUNGU WA MAJESHI. WAFE WASIISHI. Amen.
@NeemaMwangobola5 ай бұрын
Makonda wangu baba...soma hii coment...kuna watu wamekufa awajui nani anapendwa na nani...wala ajui mmbaya wake nani...mungu wako makonda baba ni waajabu sana chini ya mama yetu samia..mungu anakuonyesha mengi makuu unayaona uko hai..wewe nani baba mshukuru mungu sana na sara za watanzania na mama yetu samia kuto wasikiliza wanafk wanao kunafk lakini mungu wa mama samia unaishi na watu wanakuombea na tunalia sana kwa kukupenda juu ya wanafki wanao kutafuta kiuwadui watapambana na simba wakabira la yuda Usiogope...jeshi lisilo onekana lipo na wewe...nakupenda sana sana mtumishi wa mungu.
@NeemaMwangobola5 ай бұрын
Siku mungu akipenda naomba nikushike TU mkono na mke wako...nazidi kumwomba mungu atukutanishe nakupenda sana makonda mpaka mama yangu...tunaishi mbeya mjini..karibu mtumishi wa mungu.
@dorcasdavid22479 ай бұрын
Damu ya Yesu Kristo Ikulinde Paul Makonda,kwa kazi Unazofanya.
@yessesamsom9618 ай бұрын
Safi sana makonda mungu akubariki na akulinde kila unapokuwa akuongezee malaika wakukuongoza na wakukulinda daima
@AlbertThadeo9 ай бұрын
Makonda ana moyo wa mungu viongozi wengine hawana huruma na binadam wanzao
@humphreybilly74378 ай бұрын
Nimesikia kulia Mungu Akumbariki Rc kaka yangu Makonda.❤
@paulm.kaponda23008 ай бұрын
Mungu akulinde mh. Makonda.
@colkiwale49739 ай бұрын
AMEN. I HAVE NOTICED YOUR T-SHIRT AND CAP. CONGRATS FOR NOT BEING ASHAMED OF THE GOSPEL OF JESUS CHRIST.
@beatricemunisi78918 ай бұрын
Exactly 💯 powerful
@mariasafari10048 ай бұрын
👍👍🙏🙏🙏💪💪💪Mungu akupe nguvu zaidi makonda
@mthiaspaul9 ай бұрын
Makonda anafanya kazi ya Mungu,kutoa haki na Mama atabarikiwa kumpa nafasi afanye hiyo kazi.
@bharyasarbjit11878 ай бұрын
Well-done Mhe Mkonda you are Great leader. Many foolish things happening tortouring local people. My Nigerian Tenant not paid 600 m rent contract expired in Feb but in Dar our people Helping Him na ka weka Bouncers kwenye Main entrance ku Block landlord.
@MRPRESIDENT-w4l9 ай бұрын
MAKONDA PEKEE YAKE ANA POWER KULIKO MAWAZIRI WAKIWA WOTE, WABUNGE Wakiwa WOTE kuliko HADI RAISI 😂😂
@imranijuma69558 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@emmanuelqaday69499 ай бұрын
Moja ya teuzi makini ni uteuzi wa makonda
@adammsenga27939 ай бұрын
Big up kwake long live the clan🎉
@MansuliSelemani9 ай бұрын
Nakubali piga Kaz mwenetyu
@jameswissa99819 ай бұрын
Huyu Jamaa Ukuu wa mkoa haumtoshi, Viatu vinambana sana apewe nchi ndo size yake.. Au wampe aongoze mikoa 10 walau..
@joachimgolola629 ай бұрын
Mabosi wake wanamuona watafanya kitu siku zijazo.
@sleifikhajjir2628 ай бұрын
Hongera sana mama Samia kwa teuzi yako magufuli alimbania sana huyu jamaa
@Samwelmagita-jb1so8 ай бұрын
Kwel mkuu huyu ni Raisi
@Rolemodel_wa_taifa8 ай бұрын
MAGUFULI NDIYE ALIYEFANYA HUYO AONEKANE KAMA HUJUI@@sleifikhajjir262
@jamessumuni13649 ай бұрын
Hawa viongozi Mungu awalinde na kuwafunua zaidi na zaidi
@nurumohamed72259 ай бұрын
Nakukubali sanaaa
@shabanmramba48408 ай бұрын
Mungu akubariki Makonda
@ephraimmakaranga17959 ай бұрын
Nakukubali sana Makonda piga kazi kaka
@mtambogh68438 ай бұрын
Mungu akuepushe na maadui wanaopinga kazi zako mkuu upo vizuri sana
@ladislausmoris96389 ай бұрын
Tumuombee sana jemedali wetu Paul makonda mungu akubariki saaana tunakuombee jemedali wetu.
@ezramartin39489 ай бұрын
Uko vizuri Sana broo
@kaltumsharif95479 ай бұрын
ARUSHA PIA UENDESHAJE WAGARI NI MBAYA SANA😊
@RamlaMohamedy-sr1peАй бұрын
Masha lla makonda.alla.akulinde sana
@PillyItuka9 ай бұрын
Hivi nyie wakuu wa mikoa mingine hamjifunzi kitu kwa Makonda au hamuna kelo mikoani kwenu
@bahatimwawende51879 ай бұрын
Mh-Makonda upo vzuri sana,MTU akifanya vzuri mpeni maua yake,makonda kw sasa kaja upya kazi yetu sisi nikumuombea tu.
@juchaonline40849 ай бұрын
Mweshimiwa fungua App
@OmaryKarata8 ай бұрын
makondà wewe mungu Akujaliee
@MudhiriMbogoli8 ай бұрын
Mungu atende miujiza makonda awe rahisi tuna kuomba mungu tukumbuke watanza utukabizi kwa makonda
@paulstephen83179 ай бұрын
Hadi machozi yamenitoka, makonda Mungu akurinde na wauni.
@OscarFabian-uu3rs8 ай бұрын
Muheshimiws makonda upo vizuri, sisi wenzio tumetapeliwa na tanescoo mradi wasomanga kinyerezi, tangu ulipokuwa mkuu wa mkoa kipindi kile ulitupambania sana, tumedhurumiwa ndugu yetu, mungu akupe maisha marefu, mtetezi wawanyonge.
@sasha-ri7tf8 ай бұрын
Tunaimani ns Samia. Tunaimani na Makonda jeshi la mtu mmoja 🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤.
@shammhagama25279 ай бұрын
Yes JESUS DID IT
@Jean-marieNiyonzima-f3e9 ай бұрын
Rais samia bilaubaguzi akuangalie kwakukupa nafasi nzurizaidi iliuweze kuwafikia wanaichiwotee kaka
@JuliusWerema4 ай бұрын
Makonda mungu azidi kukupa hekima siku Moja njoo mara ujionee kituko Cha tarime ryolya,eneo lipo tarime mahaka ya ryolya inatoa hukum Kuja tarime madarali wanakuja kubomoa mji wa m2 ambapo si kwenye eneo ambalo rilikuwa halina migogoro,
@petergembe55288 ай бұрын
Keep it up The Great Paul Makonda
@FrolahRimo-cm3tu9 ай бұрын
Tunakuhtaj utuongoze kama raisi tunakupenda
@user-to6up4hg2w9 ай бұрын
You're the best makonda may Allah protect you ❤❤
@Boniphaceshayo59 ай бұрын
Asili ya @makonda nimtu mwenye nyota ya utetezi ila siyo mbaya kunasiku atalitumikia TAIFA ZIMA MUNGU MLINDE MAKONDA AJE AWE RAIS ATUSAIDIE TANZANIA 🇹🇿 YA SASA NA YA BADAE
@jeremiamwakilimaji82849 ай бұрын
MAKONDA PIGA KAZI MUNGU AZIDI KUKUPIGANIA.👋👋👋👋
@eliamanimfinanga39578 ай бұрын
Mkuu hengera sana uko vizurii
@mrhekimasuleiman38849 ай бұрын
hallelujah! nilikua KZbin nilikua siielewi, lakini kupitia huyu mwamba nimemkubali Mungu amtunze, Kwa ajili anatenda haki
@methodoscar29829 ай бұрын
Arusha ilioza jamaniiii
@GodfreyOsward9 ай бұрын
Sio arusha ni tatizo liko nchi mzima. Wakati wa uchaguzi tunachagua vibaya. Bible kitabu kutoka Sura18:17-26.
@sophiamsangi97638 ай бұрын
Mungu amewashushia neema wananchi wa arusha kwa maombi ya mungu kinywa chako kimebarikiwa sana kiongozi wa watu wanyonge
@godsonmolla15949 ай бұрын
May GOD Bless you Comrade!!
@mashakambugi67308 ай бұрын
Kazi njema hujitangaza yenyewe. Hongera sana mkuu wa mkoa wa Arusha.
@patricksebastian35938 ай бұрын
Vizuri sana mkuu, kazi njema sana
@johnkatindasa52868 ай бұрын
God bless you Comrade🙏🙏🙏
@martinegeorge46968 ай бұрын
Makonda unauwezo wa kipekee sana songa mbele mwamba
@rehemakabogo19928 ай бұрын
God blesss your
@martinsimtenda59909 ай бұрын
Kazi ya Mungu itasimama
@RomwardWM8 ай бұрын
Mkuu wa mkoa unaweza sema ni mmoja wengine wakishapewa vyeo hukaa ofisini na vikombe vya chai lakini kwake Mheshimiwa Makonda ni tofauti kabisa .
@NR-ll4sr8 ай бұрын
👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥
@MajutoElliasi8 ай бұрын
Mungu akurinde ❤❤❤
@jitabojilala61629 ай бұрын
Mungu akulinde
@mtambogh68438 ай бұрын
Nampongeza Sana MH Rais kwa kuona mbali ,kumchaguwa MH makonda kuwa kiongozi yupo vizuri,nashauri mama mtu mwingne atakae kusaidia mama ni Ndgu Ally Happi pia ni jembe
@NuruIddi-x3t9 ай бұрын
Vizur xan😊
@YamunguMuha9 ай бұрын
Mh.Mungu akulinde
@beatricemunisi78918 ай бұрын
Kazi ienndelee safi Mungu akulinde
@joachimgolola629 ай бұрын
Hongera ni ushujaa
@jalaryababilasi15629 ай бұрын
Mama Samia japo sikukubali Ila nakuomba umpe sabaya mkoa afanya Kazi make majizi bado Ni mengi mno
@jumarajabu8628 ай бұрын
Hata ali happy pia ame mkoa
@lukasielibariki31818 ай бұрын
Sabaya ni shetani
@lukasielibariki31818 ай бұрын
Sabaya alimteka baba yangu anataka kumuuwa watu wanataka kuandamana
@vickykwembe58428 ай бұрын
Nakukubali sana baba
@MonicaBenitomwalongo9 ай бұрын
Mungu akuongezee baba makonda
@asajileraphael19519 ай бұрын
Yaaani Kaka ww ni wa pekee Kuna watu wanateseka Sanaa huku mtaani, haki hakuna Mungu azidi kukutumia ili watu Wapate haki. Sio kila Mt anaweza kuku elewa lazima wawepo wa kukubeza ila wananchi tuko nyuma yako
@linahmacha3709 ай бұрын
Pongezi nyingi kwa mama yetu na Rais wetu mama Samia kumpa kibali huyu jembe hakika mama umeona mbali sana 🌼🌼🌼🌼
@StellaWaillu8 ай бұрын
May God continue to protect you in Jesus's name.
@hezronsanga51979 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde
@kilogreek40508 ай бұрын
MAKUFULI JUNIORS ❤
@bibianakiwali19698 ай бұрын
Yeees
@mo7funny9 ай бұрын
Ivi awezi kugombea uraisi uyu mwamba
@aaa64sa139 ай бұрын
😂😂 Subra kila kitu na Wakti wake. Bado kijana na anafursa ya kufika mbali sana. Hivi sasa kila mmoja amuongelea yeye kwa kazi nzuri sana. Mwamba iko siku atafika huko. Insha Allah
@MiriamAbdallah9 ай бұрын
@@aaa64sa13😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Soon8159 ай бұрын
@@aaa64sa13 Miaka 42 bado kijana ??
@imranijuma69558 ай бұрын
Ata waziri mkuuu unamfaaaaaa
@deboramushi59248 ай бұрын
Mungu akamlinda Mkuu wa mkoa Arusha tunakupenda sana
@margarethpolepole74388 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki sanaaaa Mama Samia amecheza mchezo mzuri sanaaaa kukuteua wewe japo humo ndani ya Ccm na watendaji wa Serikali wanakuchukia sanaaaa jihadhari wasikuue kama Magufuli
@BONIFASISICHONDE8 ай бұрын
Mungu akubambanie mpaka ushike nafasi ya urais
@amedeuskimario31049 ай бұрын
Mkuu wilaya ya karatu kuna Don ametudhulumu shamba alilokuwa amekodi mzee wangu lakini mahakama ya wilaya ya karatu kesi inapigwa tarehe na bwanyenye mmoja wa karatu yaaani sijui tu namshukuru mwenyezi mungu wewe mheshimiwa Paul makonda kuletwa Arusha nina imani utaikomboa familia yangu pale karatu