Wanaharakati:Slaa, Mwabukusi, Mdude Wanaandamwa kwa Kukosoa Mkataba wa Bandari. Waachiliwe

  Рет қаралды 4,032

The Chanzo

The Chanzo

11 ай бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 23
@johngibson3089
@johngibson3089 11 ай бұрын
Asante sana Mama Ananilea Nkya. Yani kwa nondo zako unastahili mabango ya "nani kama mama"
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 11 ай бұрын
Mimi nafikiri mapolice wetu wanafanya kazi kwa maagizo na siyo kwa kuzingatia sheria.
@kingmichael1234
@kingmichael1234 11 ай бұрын
Safi sana mama watanzania lazima wajifunze kufuata haki na sheria za nchi
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 11 ай бұрын
WAACHIWE BILA MASHARITI
@philipongenzatv
@philipongenzatv 11 ай бұрын
Safiiiii maaana Hawa mapolice hawaelewi
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 11 ай бұрын
Uhaini mmmmuuuuu Hawa waarabu wa dpword wametuletea shidaaa jamani huu mkataba wa bandali umetugawa watanzania mzee butiku alieleza katika maojiano na itv
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 11 ай бұрын
Free Slaa and the aligns. Slaa si gaidi. Mapolisi hukurupuka mno, waliwaona/kuwakuta wapi wakifanya uhaini? Rais anapambana mpaka kuunda tume zikiwamo haki jinai. Mapolisi ktk tume hiyo walibeba lawama zote. Hata rais alikwisha walaumu mara kibao. HAWAJIREKEBISHI. We need katiba mpya. Askari wamekuwa kero sana.
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 11 ай бұрын
Nkya, uko sahihi. Polisi wamemvua marinda rais wetu. Nya u r right. Igp aweke cv yake kwetu tuisome. Igp lazima awe mwanasheria.
@jaanjaan111
@jaanjaan111 11 ай бұрын
Nyinyi pimbi mbana muwamsho walipoekwa ndani hakukuwa na kelele kutoka Tanganyika leo pimbi kama silaaha munatusumbua mama Samia tunakuhakikishia mitano tena hawa pimbi wasikushuhulishe tuachie sisi
@AugustinMpeta-te4fm
@AugustinMpeta-te4fm 11 ай бұрын
Tukifanikiwa kuwakabili hawa polisi na uwajibikaji wao wa kizembe kwa kuilinda ccm hiyo ikulu itakuwa na heshima.
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 11 ай бұрын
Kila Mtanzania Ameona na Kusikia Plans za Hawa watu kutaka Kupindua Serkali ya 6 Kwa Maandamano na Kuchoma vituo Vya Polisi na vituo vya Mafuta.
@kingmichael1234
@kingmichael1234 11 ай бұрын
Free wanaharakati, hao sio wahahini kabisa.. hao ni wazalendo kamalifu watetea haki kwenye nchi yao. Mungu ibariki Tanzania
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 11 ай бұрын
Rais hana washauri wanaojitambua. Ni washauri matumbo.
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h 11 ай бұрын
Uonevu kweli. Polisi hawatufai
@philipongenzatv
@philipongenzatv 11 ай бұрын
Waachieni Hawa watu mnatukela
@philipongenzatv
@philipongenzatv 11 ай бұрын
Police waoga kama nn
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 11 ай бұрын
Kwenye uchumi wa nchi, acheni upuuzi wa ushoga. Leo tunaongelea u-ahini. Kitu kinachoirudisha nyuma Tanzania
@milcahkapan7932
@milcahkapan7932 11 ай бұрын
Hao watu si wahaini hataa kidogooo.Tena wanaotuwakilisha waTanzania wengi nyuma yao
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 11 ай бұрын
Free Slaa and the aligns. Slaa si gaidi. Mapolisi hukurupuka mno, waliwaona/kuwakuta wapi wakifanya uhaini? Rais anapambana mpaka kuunda tume zikiwamo haki jinai. Mapolisi ktk tume hiyo walibeba lawama zote. Hata rais alikwisha walaumu mara kibao. HAWAJIREKEBISHI. We need katiba mpya. Askari wamekuwa kero sana.
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 11 ай бұрын
Free Slaa and the aligns. Slaa si gaidi. Mapolisi hukurupuka mno, waliwaona/kuwakuta wapi wakifanya uhaini? Rais anapambana mpaka kuunda tume zikiwamo haki jinai. Mapolisi ktk tume hiyo walibeba lawama zote. Hata rais alikwisha walaumu mara kibao. HAWAJIREKEBISHI. We need katiba mpya. Askari wamekuwa kero sana.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 22 МЛН
Senator Onyonka Reveals The Cause Of Turkana Oil Closure
7:40
Wolfram Physics Project Launch
3:50:19
Wolfram
Рет қаралды 1,6 МЛН
10th Edition: TOI's RTE- Senior Well-Being Summit
3:11:15
Times Of India
Рет қаралды 1,7 М.