Wanajeshi wa MAREKANI wawasili Latvia Kupambana na URUSI upande wa mashariki Vita ikipamba Moto.

  Рет қаралды 60,692

Noni News

Noni News

2 жыл бұрын

Please SUBSCRIBE

Пікірлер: 97
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
Wanajidai mapolisi wa dunia wamekimbia uwanja wa vita.Hizo ni mbwembwe tu..!! mmeitoa kafara Ukrein halafu mmewaacha waadhibiwe, marekani bhana...
@kungakunga9536
@kungakunga9536 2 жыл бұрын
Kabisa wamewauza
@CalmWhiteNoise5
@CalmWhiteNoise5 2 жыл бұрын
Polisi wadui wa wapi walikuepo vitani? Acha uongo!
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 жыл бұрын
Kumbe haya majamaa ni maneno tu yanajua kuonea mwafrika na mwarabu jana rais wa ukrane ansema mmetutekeleza
@khalifasaid0047
@khalifasaid0047 2 жыл бұрын
yani kaka nacheka ninacho kiona n maneno tu .kaka emb tupe taarifa hali inaendaje huko
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
Hii ripoti sio yaleo unatuekea vitu vishapita nato wamesema hawato ingia kijeshi Ukraine
@saidmkutu6658
@saidmkutu6658 2 жыл бұрын
Urus nakupenda incnlhiyangu❤️🇷🇺
@bundalamakanga773
@bundalamakanga773 2 жыл бұрын
Sisi yetu tanzania tuitunze amani yetu
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
Amani ipo wapi bila ya haki?
@protaspeter5371
@protaspeter5371 2 жыл бұрын
Marekani uingereza kumanina zao mbwembwe nyingi na kujifanya wataisaidia ukrain lkn maoga ya kutupa yapo kimkakati tu ili ukrain akipigwe yakusanye resources
@humphreylupembe7807
@humphreylupembe7807 2 жыл бұрын
Hizo ni battle tu hata vita ya 2 ya Dunia ilikuwa hivihiv mwisho wa siku kutakuwa na group mbili wapo watakao muunga mokono mrusi na wapo watakao muunga mkono Ukraine kitakachofuata ni vita ya Dunia nzima
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 жыл бұрын
wamarèkani ni mbwembwetuu kuzuĺumu watu ñakuanzisha vita ili wàuze silaha raundi hii naona mwishowao unakaribia utabiri unatimia ķwakasi sana
@lucyissaya6349
@lucyissaya6349 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie tu watu wa ukraine..tunawaombea
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie warusi
@happyglorynnko602
@happyglorynnko602 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie warusi maana Aya yote wamechokozwa
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
KOKOTE DUNIAN,NAOMBA MUNGU AINGILIE KATI VITA HII.MUNGU ATENDE JAMBO WATU WA URUSI WAGEUKANE WAO KWA WAO .
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 2 жыл бұрын
Upo sahihi duh
@hassanalawy4325
@hassanalawy4325 2 жыл бұрын
Hujui unachokisema, Iraq, Libya, Somalia nk....ziko wapi? Unataka na urusi ije ipotee?
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
@@hassanalawy4325 HUNA HURUMA NA ROHO ZA WATU.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
@@sabastianraymond.6383, Roho za watu zpo Ukraine tu huko Afghanistan, Iraq, Libya, Congo, Syria, Palestine...hakuna
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
Acha pro pro wewee, warusi onesheni vimondo
@stanlychishimba2729
@stanlychishimba2729 2 жыл бұрын
Okay
@msafirinyebunga4078
@msafirinyebunga4078 2 жыл бұрын
Madhara ya maendeleo ya teknolojia.
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 2 жыл бұрын
Hawezi kwenda uko
@rolandmwasomola4516
@rolandmwasomola4516 2 жыл бұрын
Marekani wanafiki wanataka tu wauze siraha Ukraine
@shadrackndossy8181
@shadrackndossy8181 2 жыл бұрын
acha ukuma mbwa wewe
@alizeyuske1867
@alizeyuske1867 2 жыл бұрын
Mungu alete amani
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Жыл бұрын
Km wanaume wache wangie urusi waone chamoto mrusi kajipanganao zamani hao anajua watakuja tuu hewanii.nahuu ndo mwisho wamarekani kuhanisi watu.atakula kichapo atakimbia km alivokimbia vetnamu na somalia.
@hijjahassan2468
@hijjahassan2468 2 жыл бұрын
Good USA
@sionichaula1265
@sionichaula1265 2 жыл бұрын
Nyie ndo wachochezi wakubwa uongo mwingi
@eliakimu4858
@eliakimu4858 Жыл бұрын
Hapo maombi marekani watapigwa vibaya
@muhamedjumaa6867
@muhamedjumaa6867 Жыл бұрын
Siwapendi wamarekani
@yahyamakame6288
@yahyamakame6288 2 жыл бұрын
Hi
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 жыл бұрын
Makosa yanatoka kwa jeshi chuki zao binafsu alafu wanawauwa watu wasio na hatia
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 Жыл бұрын
Dawa ya Moto ni Moto putini ameanza sisi tunamaliza
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 жыл бұрын
Ni kweli urusi ikimpiga ukrein basi atarudi kwa wote ntie furaieni tu hata enzi za kinazi zilianza hivyo
@papaamasauti5944
@papaamasauti5944 2 жыл бұрын
Mm nataka USA kiherehere ajipe dendekeze Kisha aone Cha moto
@specialcuty652
@specialcuty652 2 жыл бұрын
Kama mbwai na iwee mbwai tu
@danielmiburo8800
@danielmiburo8800 2 жыл бұрын
Subiri.mungunaye.atendekazi.bada.yasaa.24.tutaonamambo.tumuombea.putini.ashindevita.marekani.ishindwe
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Mwongo mkubwa hii report sio y leo
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 2 жыл бұрын
MUNGU SIMAMA NAO WW NDIWE TUNAYE KUTEGEMEA
@charlesbarongo2778
@charlesbarongo2778 2 жыл бұрын
Urusi imeamua kumshika kipofu mikono.
@cansuremwiga7282
@cansuremwiga7282 5 ай бұрын
Uko wanaenda kufa
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 2 жыл бұрын
Lativia ni nchi ndogo sana Urusi anajua namna ya kuisambaratisha
@championgm9311
@championgm9311 2 жыл бұрын
Mrusi kwa nato bado mtoto tu na atakama nato wataingilia mrusi hawezi kushinda hiyo vita na yeye putin analijuwa hilo
@dkmrishokimbesa858
@dkmrishokimbesa858 2 жыл бұрын
Bola iwe mbwai tuu
@ndizindeleti761
@ndizindeleti761 2 жыл бұрын
Kuna Jambo nimegundua urusi haitaki kuipig kwa craha nzito ukrein koz hao ni ndugu ila wanamtaka laisitu na washauli wake Basi pia wanaogopa raia lakini nchi zingine zitaingilia Kati bac Moto utakua mkubwa washa sema sote tutabaki majivu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Kwani wewe hupo Urusi na unapanga hiyo mikakati au ndio mbwembwe zenu za maneno ya kiswahili na kukuzakuza mambo kama kawaida yenu
@mwanahawabakari718
@mwanahawabakari718 2 жыл бұрын
Safi Sana 😃😄😆,mtu mbabe mwenye uonevu nae aazibiwe Safi Sana marekan
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 2 жыл бұрын
Hawa wamebaki na ushoga tu hakuna kingine
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
ACHA KUONGEA HAYO.
@oskawilliam5194
@oskawilliam5194 2 жыл бұрын
Urusi mnasema marekan mnaikejeri ila hamtafakali mnakurupuka ungejiuliza kwann hapiganii kwake malekani hawa niwajanja magu Akikuambia uchumi niwatu hataki uchumu ushuke
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
subiri urusi atume icbm kwao...kuna bom linaitwa samarti la mrusi hilo lina uwezo wa kufika marekani kwa dakika 15 ..sasa subiri kwanza...mishe zikijamba ndo kitaeleweka
@oskawilliam5194
@oskawilliam5194 2 жыл бұрын
@@salumumakombo9136 umeenda kishabiki dakk15 nying litakua limehalibiwa kabla halijafika OK ngoja tuone vita haina mjuzi marekani mwenyewe ndik bb yao
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
WOTE TUOMBE MUNGU AWAGEUZE MIOYO WALINZI WA PUTINI WAMUONDOE MADARAKANI.
@shadrackndossy8181
@shadrackndossy8181 2 жыл бұрын
AAMEN
@jeromejosiah7292
@jeromejosiah7292 2 жыл бұрын
Kunachafuka
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 2 жыл бұрын
Latvia ni nchi ndogo sana na imepakana kidogo sana Russia mmarekani anajua km warusi wapo beralus 😆😆😆😆😆😆
@khalifasaid0047
@khalifasaid0047 2 жыл бұрын
kwhyo emb tuelezee kidg hapo kwhyo inamaana gani?
@ibrakes2719
@ibrakes2719 2 жыл бұрын
@@khalifasaid0047 ina maana yakua kwanini asiende kupambana kyvi kuliko na mapambano yeye anaenda lactivia
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 2 жыл бұрын
@@khalifasaid0047 yaan mapambano yapo Rwanda Kigali halafu yeye mmarekani yupo Sudan 😆😆😆
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
HAUJUI UNACHOKIONGEA. NYAMAZA KIMYA.
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
zainabu tuachie sii wanaume hi show wewe nenda kawashe moto tupikie ugali wa kutosha tukitoka vitani tule ...marekani wali tuulia gadafi wetu so tuna jambo nao leo
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
KAMA UNAIFURAI URUSI WEWE HAUNA HURUMA NA ROHO ZA WATU.TENA HAUNA MUNGU.
@victorvancharlz9125
@victorvancharlz9125 2 жыл бұрын
We matako kwel kweli. Ina maana unaionea huruma Ukraine unasahau kua Syria nayo ni nchi na Iraq wakat inavamiwa na marekan ulikaa kimya
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
@@victorvancharlz9125 Matusi ya nini. Kama kidonda kilitokea ukaumia ukapona utafurahia kitokee tena? Maana watu ndiyo wanao teseka.
@michaelmlela747
@michaelmlela747 2 жыл бұрын
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
@robertmsukwa8466
@robertmsukwa8466 2 жыл бұрын
Hakika watu wanaroho ngumu za kinyama unapata wapi fraha kuona watu wanauana jamani mungu atawale mataifa haya na tuwaombee tuache kuchekelea haya mambo ni kama msiba ukitokea kwa jilani ujue na ww ipo cku yatatokea mlangoni kwako
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
@@victorvancharlz9125 HUJUI UYANENAYO MUNGU AKUHURUMIE.
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 жыл бұрын
Mbwembwe hizi hawatamuweza kama Mrusi ana silaha za maajabu na miujiza zenye uwezo wa kupiga mpaka satellite bado masila ya ajabu yanaitwa intercontinental ballistic missiles yanafika popote Duniani
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
ACHA UJINGA WEWE UNAFAIDIKA NINI KWA HICHO ANACHOKIFANYA PUTIN
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
@@sabastianraymond.6383 lazima tuheshimiane ..mwache putin akijambishe tu huko..na ikiwezekana Urusi alushe tu lile bom lake lenye uwezo wa kulipua nusu ya dunia
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
@@salumumakombo9136 HILO BOM HALIWEZI KUFANYA KAZI.
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
ALIYETENGENEZA DUNIA NDIYE ATAWEZA KUITEKETRZA.URUS HAIKUITENGENEZA.
@sabastianraymond.6383
@sabastianraymond.6383 2 жыл бұрын
@@salumumakombo9136 Wewe utapata faida gani?
@papaamasauti5944
@papaamasauti5944 2 жыл бұрын
Amerika mara zote hapigani kwake
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
Ndio maana anajenga vituo vya kijeshi nchi za watu
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
na ndio maana urusi nae ana mabomu makubwa yenye uwezo wa kusafiri yenyewe toka urusi mpaka marekani kwa dakika 15 na kuigeuza vumbi kwa masaa ya kuhesabu....icbm linaitwa so akipiga kule na wao ndo wanalituma bom hilo kuja marekani....hicho ndicho kinacho mpa kiburi urusi...so kupigania kwa mwenzio pased away
@papaamasauti5944
@papaamasauti5944 2 жыл бұрын
@@salumumakombo9136 hii vita nilitaka USA waingie tumuone kama ni mbabe kweli ama anatuekea kelele tuu na kuzichafua nchizetu za Africa na kuwaonea nduguzetu wa kiarabu Sasa kama USA mbabe akamsaidie ukrine
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 жыл бұрын
Ee Mungu wa Mbinguni ingilia Kati BABA
@wendyketchem4786
@wendyketchem4786 2 жыл бұрын
Mrusi apigwe ndoo mchokozi
@danielmiburo8800
@danielmiburo8800 2 жыл бұрын
Subiri.mungunaye.atendekazi.bada.yasaa.24.tutaonamambo.tumuombea.putini.ashindevita.marekani.ishindwe
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46