WANANCHI WALIVYOCHAPA SUPU BAADA YA 'JOGGING' KUELEKEA KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI

  Рет қаралды 15,378

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@veelmng7746
@veelmng7746 2 ай бұрын
Hongera sana viongozi kuwapa wananchi raha, hao wanao beza Supu hawajui maana ya kuisha pamoja club na wananchi ni imani yangu siku za mbeleleni hii itazaa matunda, hawa watakuwa wanachama wa mfano ambao kulipa ada ya uanachama itakuwa ipo damuni mwao. Hutamaduni hujengwa kwa matukio kama haya wanayanga wanaoa thamani yao ya kuwa wanachama
@Maryc2G
@Maryc2G 2 ай бұрын
Supu kama kawaida, yanga mna maisha sana 💚💚💛💛🇹🇿🇹🇿🌻🌻
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Hongera wanayanga. Maisha yenyewe mafupi bora mjipe raha na yanga yenu. Kesho full house na kelele kama zote.🎉🎉🎉
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 2 ай бұрын
I love this club jama aaaah💛💚🔥🔥🔥
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 2 ай бұрын
Sadaka iyooo ndo mana makombe mengi🎉🎉🎉
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi 2 ай бұрын
Jaman tamu hiyo supu
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 2 ай бұрын
supu nzuri natamani ningekua dar
@Hapygideon
@Hapygideon 2 ай бұрын
We ukienda bar supu kama hiyo bei Gani na mwengine hapo anakunywa mchuzi nyama inakaa mfukoni mboga nyumbani akirudia mara tatu mboga ya kula siku tatu,,chezea yanga wewe na kama hujashiba unaruhusiwa kuongeza,,maisha marefu kwa GSM MUNGU AKUWEKE BABA
@MalinoKadwame-u1c
@MalinoKadwame-u1c 2 ай бұрын
Ksho ndo movie la kutisha leo ilikua utangulizi
@aishabakari8040
@aishabakari8040 2 ай бұрын
Ila sie tunadekezwa jamani ukoloni hakuna mambo kama haya ndio mana wanaumia tukinywa supu 😂😂😂😂
@aishabakari8040
@aishabakari8040 2 ай бұрын
Ngoma kaliiiiii 🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@gideonchipepo8405
@gideonchipepo8405 2 ай бұрын
Jamani wananchi kesho tujitokeze Kwa wingi tuu uwanjani
@joackimmutulu
@joackimmutulu 2 ай бұрын
Niko Kenya naweza kununua hiyo jezi mpya ya yanga wapi? Iko sawa sanaaa
@SophiaMoto-t9q
@SophiaMoto-t9q 2 ай бұрын
yangaaaaaaas rahaaaaa sanaaa jamaniiiiii💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@Abdulikifyasi-j1z
@Abdulikifyasi-j1z 2 ай бұрын
Nakubali 👊👊👊
@BahatiSego
@BahatiSego 2 ай бұрын
💚💛💚💛💛
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi 2 ай бұрын
Mwimbo mzur
@mariaerenest5632
@mariaerenest5632 2 ай бұрын
Chama langu hilo
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 2 ай бұрын
Hadi raha ☺️☺️💚💚💛💛
@Lubida
@Lubida 2 ай бұрын
Hakika timu yenye watu,yenye upendo, yenye raha, yenye thamani na yenye kuongeza siku za kuishi.
@Jackxon_tz1
@Jackxon_tz1 2 ай бұрын
Salute
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 2 ай бұрын
Niliiona Simba ambayo Bado inajitafuta kuwa na muunganiko ila inaonyesha kocha wao ni mpenzi wa uchezaji wa speed Kali so tarehe nane msipende kwa kujiamini sana na msimdharau mpinzani wenu naimani benchi la ufundi lishaona nakufanya kazi yanayohitajika na pia mtale ni wakumchunga na pia kujitahidi kuepuka kufanya madhambi yasiyo na ulazima ila all in all fitness na speed na team working, higher spirit ni muhimu katika timu na wachezaji nawatakia Kila la kheri katika maandalizi yenu dabi haijawai kuwa nyepesi naimani mtajipanga vyema nje na ndani ya uwanja
@MaglassPro
@MaglassPro 2 ай бұрын
Yanga ni fire 🔥🔥
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho 2 ай бұрын
Hili songi ni noumah!!
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 2 ай бұрын
Imetisha aisee
@BekaPeter
@BekaPeter 2 ай бұрын
Naskiaaa rahaaa sana
@ZaiSaidy
@ZaiSaidy 2 ай бұрын
Supu tunayo tunatamba nayo
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 2 ай бұрын
Nimekosa supu😭😭
@DianamussaAlex
@DianamussaAlex 2 ай бұрын
Supu day
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 2 ай бұрын
LEO NDO SIKU YA KUTUWEKEA CLIP YA ZILE GOLI 4 ZA KAZER TUINJOYI JAMANI🎉🎉🎉🎉🎉
@pelegrinmwamba1594
@pelegrinmwamba1594 2 ай бұрын
Muwe mnanunua na ticket mapema sasa timu ina kila kitu jaman
@robatingoseki
@robatingoseki 2 ай бұрын
Club kubwa mambo makubwa afu utasikia mshenzi mmoja anasema hers hafanyi kitu
@Fine-BoY
@Fine-BoY 2 ай бұрын
Timu njaa hamn ishu
@SophiaMoto-t9q
@SophiaMoto-t9q 2 ай бұрын
🎉🎉💛💚💚
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 2 ай бұрын
🔥🔥
@Ndundu23
@Ndundu23 2 ай бұрын
Kwahy hawarndi uwanjani had supu
@mbarakashabani3574
@mbarakashabani3574 2 ай бұрын
Yangaaaaaaa
@JenifaNyamhanga
@JenifaNyamhanga 2 ай бұрын
Umeionja 😂😂😂😂😂😂
@EliyaKudaga-u4q
@EliyaKudaga-u4q 2 ай бұрын
Wazee wasupu
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi 2 ай бұрын
Huu mwimbo aliimba nan jaman
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 2 ай бұрын
Meja kunta
@KONDAKALIZI-k3t
@KONDAKALIZI-k3t 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@allytv1714
@allytv1714 2 ай бұрын
Utooo supu chll😂😂😂 mnapenda vya bure kuichangia club yenu aaaaah
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani 2 ай бұрын
Umia ujae
@NicVice
@NicVice 2 ай бұрын
Saf san
@Fine-BoY
@Fine-BoY 2 ай бұрын
Na kesho mtafugwa
@eleminapeter6921
@eleminapeter6921 2 ай бұрын
Nyama za makafara mnakula tu ili mpewe ticket bure nyambafu!
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 2 ай бұрын
Kusafirisha wajumbe wa mkitano mkuu hamuwezi, ila ya kafara ya wanyama mnayo
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 2 ай бұрын
Kwanini unaumia Deborah
@amanizavala
@amanizavala 2 ай бұрын
Wazee wa supu za bure ila hawajazi uwanja
@FarahaniSalehe
@FarahaniSalehe 2 ай бұрын
TULIA KOLO
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 2 ай бұрын
Tunajaza mimba
@dianasamson9311
@dianasamson9311 2 ай бұрын
Tulia kaane. Na siku yako.... kesho hamjui mtajua....tunakunywa supu mabosi... tena nimekuona umeanza kwenye supu...
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@MTUMZIMADAWA
@MTUMZIMADAWA 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 89 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
ZUCHU AIMBA WIMBO HUU MBELE YA ALIKIBA NA MWIJAKU,
6:45
EastAfricaRadio
Рет қаралды 11 М.
WANANCHI NA JAMBO LAO LA SUPU BAADA YA KUMCHAPA SIMBA SC
14:36
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 89 МЛН