Zogo Mchongo: Kumbe kazi ya Usemaji sio tu kuongea! Ali Kamwe na Ahmed Ally waelezea ugumu wake.

  Рет қаралды 149,945

CRDB BANK PLC

CRDB BANK PLC

Күн бұрын

Пікірлер: 299
@kolosii4351
@kolosii4351 5 ай бұрын
Ally kamwe nimekupenda very positive response unavyomwongelea mtu.
@devotabashome1090
@devotabashome1090 5 ай бұрын
Nafurahi sana nikiwaona hawa vijana wakiwa pamoja. Mungu awatunze❤
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 5 ай бұрын
Amiin 🤲
@geofreymkwelele3588
@geofreymkwelele3588 5 ай бұрын
Mpo poa sana mungu awajalia mzidi kosanga mbele
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 5 ай бұрын
Kamwe Akili nyingi sana ❤❤❤
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 5 ай бұрын
Alikamwe forever 💛💚
@kolosii4351
@kolosii4351 5 ай бұрын
Hawa watu wanapendana sana. Namkumbuka Ally kamwe aliwahi kusema anamhurumia Ahamed Ally anapitia wakati mgumu.
@VicysebaNyambeta
@VicysebaNyambeta 5 ай бұрын
Daaaah we Aly weeee wasemaj Wana chakujifunza kwako❤ 💚💚💚yanga forever"
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 5 ай бұрын
Ally kamwe, anajua kuongea kiproffessional... Anamuongelea very positive manara
@mjanthony4864
@mjanthony4864 5 ай бұрын
Hana choice lazima amuongelee vizuri.. Sababu bado wapo taasisi moja.
@josephlorri431
@josephlorri431 5 ай бұрын
Hilo swali aliulizwa manara..majibu yalikuwa kumponda kamwe.. 'hakuna mtu bora kama yeye manara,the king of media is back​'@@mjanthony4864
@JailaniOmary-ri7gv
@JailaniOmary-ri7gv 5 ай бұрын
Kwa hivyo?​@@mjanthony4864
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Utaonekana una wazimu kumsema mtu negative ambae anaonekana.
@witnesskyando
@witnesskyando 5 ай бұрын
Ally kamwe ana hekima sana🎉
@JamesmalesaMavere
@JamesmalesaMavere 5 ай бұрын
Safi sana mpira siyo uwadui
@SaidMkwabi-ho8yy
@SaidMkwabi-ho8yy 5 ай бұрын
Big up semaji la yanga chukua mauayako🎉🎉🎉🎉🎉
@freenaturetv
@freenaturetv 5 ай бұрын
NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI
@stanleymanya438
@stanleymanya438 5 ай бұрын
Mko vizuri hatuwaachii labda mtuleteee viburi😂😂😂😂
@konzerasokoni1773
@konzerasokoni1773 5 ай бұрын
Ahamed Ally ❤❤❤
@FootballHighlights-zv5bc
@FootballHighlights-zv5bc 5 ай бұрын
Brilliant talent hiz
@MartinWekesa-c2x
@MartinWekesa-c2x 5 ай бұрын
Semaji Ali kamwe...💚💛💚💛
@msabahmaurice7228
@msabahmaurice7228 5 ай бұрын
Nafasi zenu mna zitendea haki ongera mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉chukuwa
@CollinsMorgan-gm3ji
@CollinsMorgan-gm3ji 5 ай бұрын
Ahmedi Ally ni mmoja tuuu Aiseee huyu jamaa kaweza 🙌🏽🙌🏽🙌🏽📌
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 5 ай бұрын
Mependa hiyo studio/eneo mmeliandaa ki_old school
@RosalinaMakenzi
@RosalinaMakenzi 5 ай бұрын
Respect to Ally kamwe👍👍
@nestorypaul1403
@nestorypaul1403 5 ай бұрын
Duh, nimependa sana hii interview, ni moja ya interview Bora sana
@abelimaganga417
@abelimaganga417 5 ай бұрын
Nimeipenda Sana hiii wasemaji kukaaa pa1 hakika mnatuunganisha sis mashabiki 🦁🦁🦁🦁🦁♥️
@esteryaled8731
@esteryaled8731 5 ай бұрын
By Respicius Mathayo Kutoka Goba Dar Es Salaam Kiukweri Nawakubali Sana Kaka Zangu wanaweza sana Mungu hazidi kuwasaidia sana kiukweli wananifulahisha sana natamani siku moja nikutane nao Dada naomba wafikishie hujumbe wangu nishauku yangu najua kuna vitu vya kujifunza kwao 💪💪💪
@rhodasamuel8334
@rhodasamuel8334 5 ай бұрын
Allikamwe💚💛💚💛💚💛💛
@VictoriaAraseni
@VictoriaAraseni 5 ай бұрын
Semaji letu la simba ❤uko vizuri Mungu akuwekee kwa ajili yetu
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 5 ай бұрын
Ali kamwe the best semaji la dunia
@salumkasongo7507
@salumkasongo7507 5 ай бұрын
Mafanikio ya timu yanambeba ... Credit to hersi said
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 5 ай бұрын
Dah ali kamwe yupo vizuri sana😊
@micksonmick3036
@micksonmick3036 5 ай бұрын
ALLY KAMWE 🎉🎉
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 5 ай бұрын
Nyie vijana wote mko vzr sana Nguruwe awapishe
@MariamMwibidy
@MariamMwibidy 5 ай бұрын
Ali kamwe❤❤❤❤
@PerfectJbo03
@PerfectJbo03 5 ай бұрын
Ahmed unaongea point sana mkuuuuu🫡🫡🫡🫡
@ngontibeabede
@ngontibeabede 5 ай бұрын
Hawa jamaa wanafurahisha sana😂😂😅
@zainabadam123
@zainabadam123 5 ай бұрын
Ahmed Ally❤❤❤❤❤
@sittandaki2135
@sittandaki2135 5 ай бұрын
Ukolo
@MalinoKadwame-u1c
@MalinoKadwame-u1c 5 ай бұрын
Nakubali wasemaji
@hajirashid2049
@hajirashid2049 5 ай бұрын
😂😂nafurahi kusikia wamesaidiana kwa ushauri kufika walipo na huo ndio mafano mzuri wa sisi vijana kusaidiana japo tupo taasisi tofauti
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 5 ай бұрын
Lulu kumbe siyo kuigiza tu ha maswali uko vizuri 🎉🎉🎉
@greennationmedia7987
@greennationmedia7987 5 ай бұрын
Wanangu Sanaaaaaa Ali kamwe & Ahmed Ali MUNGU Awatunze muendelee tangaza Nchi Yetu na Mpira Wetu, Mpira sio vita YANGA For Life
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 5 ай бұрын
Nawapenda sana Hawa watu wawili Ally kamwe na Semaji la Simba mnajua sana Mpira sio uadui
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 5 ай бұрын
Safi Sana Vijana wa KAZI
@GabrielSky64
@GabrielSky64 5 ай бұрын
Alikamwe kana Hekima Sana haswa anapo ongelea juu ya Manara💚💛
@SaidMkwabi-ho8yy
@SaidMkwabi-ho8yy 5 ай бұрын
Yani chakufurahisha ote mmevaa suluali zilizofanana mmmmh hii imeendaaa❤❤🎉🎉
@abbysauko3725
@abbysauko3725 5 ай бұрын
jamaa ni ma professional sana. Big up kwao
@emmanuelkarwana4506
@emmanuelkarwana4506 5 ай бұрын
I'm so surprised for this conversation guys which means yanga and simba this two guys ❤❤❤❤ so fine
@RichardcharlesMbwiga
@RichardcharlesMbwiga 5 ай бұрын
Ahmed ally kichwa sana
@davidjohnmatewele4515
@davidjohnmatewele4515 5 ай бұрын
Nimependa wasemaji walivyojibu maswali..!kongole kwenu nyote Mungu ibariki Tanzania.
@PerfectJbo03
@PerfectJbo03 5 ай бұрын
Tuache mapenzi bwana maana Ally kamwe amejibu vizuri sana Ahmed kula CHUMA HICHO msemaji wetu
@MichaelNgowi-nc3vn
@MichaelNgowi-nc3vn 5 ай бұрын
Msemaji mwenye akili ally kamwe nakukubali sana
@AngelinaHassan-fe3jp
@AngelinaHassan-fe3jp 5 ай бұрын
Mm nawapenda wote
@maratochacha5468
@maratochacha5468 5 ай бұрын
mpo vizuri sana
@HashimuOmmy
@HashimuOmmy 4 ай бұрын
WasTeamwork makes the dream work! 💪🏽 Proud to stand with my incredible crew during our toolbox meeting. Together, we’re building a stronger future, one project at a time. #EngineeringLife #TeamSpirit #ToolboxTalk #SupportSystem
@hassanlukope133
@hassanlukope133 5 ай бұрын
The best wasemaji in Tanzania 🎉🎉🎉🎉
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 5 ай бұрын
Wote wapo vizuri sana, wapenzi wa Yanga ushamba mtaacha lini
@MonicaChacha-yx5mj
@MonicaChacha-yx5mj 5 ай бұрын
Ally Kamwe ni mdogo ila ubongo uko vizuri sana
@mansule6974
@mansule6974 5 ай бұрын
Mdogo au kadumaa ?😂
@sanifarohimu4964
@sanifarohimu4964 5 ай бұрын
Mnapendana Sana hawawatu Hadi kuvaa surwale sare 😂😂
@YangaNews
@YangaNews 5 ай бұрын
Nimeelewa sana nyie watu safiiiii
@KevinPhilberth
@KevinPhilberth 5 ай бұрын
Nawakubali saana wote
@godwinkubimba6575
@godwinkubimba6575 5 ай бұрын
Nimekubari mpira sio uadui, ninyi madogo ni Tunu ya Taifa, nimependa umoja wenu
@Abuusalama-i5j
@Abuusalama-i5j 5 ай бұрын
Sem brothers nawakubali sanaa mnatishaa mkiwa pamoja....
@SuzanKameta
@SuzanKameta 5 ай бұрын
Hongera Sana Ahmed semaji caf
@alidamgeni7051
@alidamgeni7051 5 ай бұрын
Kamwe foreva
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 5 ай бұрын
Wote wameongea vzr.....❤
@HamidaJuma-z4d
@HamidaJuma-z4d 5 ай бұрын
Nampenda sana Ahmed ❤❤
@LillianKihongosi-f4o
@LillianKihongosi-f4o 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kwasemaji la yangaaaaa❤❤❤❤❤
@khadijajuma6271
@khadijajuma6271 5 ай бұрын
Kwenye uchumi wa timu zetu Ali kamwe umejibu fact Sanaa 👏👏
@danielbenard9053
@danielbenard9053 5 ай бұрын
Very good sana ❤❤❤
@MaryMChibwana
@MaryMChibwana 5 ай бұрын
👏 congratulations vijana mnaongea vizuri. Mkie deleza hiyo nodhamu mtafika mbali sana kimaisha. Big up
@ummuwawili
@ummuwawili 5 ай бұрын
mashaa Allah mimi hata sjui mpira na sielewi ht knachoongelewa yaan hilo eneo tu nmelipenda nataman kutzama tu mda wote .....yaan kumenikumbusha mbali sana maisha flan ya miaka ile😊 daah kweli old is gold❤
@jothamkibona2919
@jothamkibona2919 5 ай бұрын
Hongereni sana wasemaji wetu
@aikaM74
@aikaM74 5 ай бұрын
Nyie vijana mpo vizuri Sana aisee❤❤
@ProsperajemFelix
@ProsperajemFelix 5 ай бұрын
Ahmed ally nomaa
@MwihdiniMwihdini
@MwihdiniMwihdini 5 ай бұрын
Nakubari sana ali kamwe
@HaruniSangari
@HaruniSangari 5 ай бұрын
Nyinyi ni welevu sana wajomba
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 5 ай бұрын
Nawapenda sana
@Muba581
@Muba581 5 ай бұрын
Masha ALLAH
@mohamedabdallah8321
@mohamedabdallah8321 5 ай бұрын
Lulu ana sauti na anajua kutangaza safi sana
@MartinMadimilo-z6w
@MartinMadimilo-z6w 5 ай бұрын
Ali kamwe very positive
@christophermbunda2172
@christophermbunda2172 5 ай бұрын
Ila Ahmed hajawahi kuwa serious😂😂😂😂
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 5 ай бұрын
Ahmed ally ❤❤
@salumstika2129
@salumstika2129 5 ай бұрын
Ali Shaaban Kamwe 🙌🙌🙌
@BenardChegere-nl4mj
@BenardChegere-nl4mj 5 ай бұрын
Kila mtu ana akili sasa apo Kuna mmoja ana akili timamu afu mwingine ana akili tu alikamwe ana akili timamu nice speech wandishii eeeh kapyungaa pyeee
@erickmbena7757
@erickmbena7757 5 ай бұрын
Hawa jama nawakubali mno wanajua tofauti ya utani wa jadi🔥😊
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 5 ай бұрын
Semaji la cuf ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@hamisikamana
@hamisikamana 5 ай бұрын
Mimi ni yanga lakin Nina wakubali wote
@SuluYusuph
@SuluYusuph 5 ай бұрын
Ahmedy Ally 🔥🔥🔥🔥🔥
@abukhamisi5039
@abukhamisi5039 5 ай бұрын
Ally kamwe upo vizuri nakufata nikiwa Egypt
@patrickmsangi-x1g
@patrickmsangi-x1g 5 ай бұрын
Atar sna awa jamaa uwa awana ugomvi sema wakiwa kazin lazn wawe siliaz na kumpondea mwenzake😂😂😂
@marwa_chacha
@marwa_chacha 5 ай бұрын
The two seem to be great buddies....both of them are doing so well....
@umelamedia
@umelamedia 5 ай бұрын
Ewaaahh semaji
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 5 ай бұрын
Alikamwe big up na ahmed
@amourgwabananga1543
@amourgwabananga1543 5 ай бұрын
Nimependa hii collable
@mohanx6408
@mohanx6408 5 ай бұрын
Ali kamwe: Sema 5-1😂😂
@MichaelKimweri
@MichaelKimweri 5 ай бұрын
Safi sana,vijana mnauweled wahali yajuu,hapo nilazima wengine muige,
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 5 ай бұрын
Safii ndugu zangu hamuna uadui hapaaaa hizo ni kazi fanyeni kazi za watu vinzuri bila kuathiri taasisi zenu
@isayanjelekela-vn8ty
@isayanjelekela-vn8ty 5 ай бұрын
Big up Ahmed uko simple and 🧠
@hamisiamiri108
@hamisiamiri108 5 ай бұрын
Awa jamaaa kama aki na ukwa vilee yaan very interesting😂😂😂😂❤
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 5 ай бұрын
Ahamed ally ❤
@KulvertPius
@KulvertPius 5 ай бұрын
Best interview ever❤
@chiefnyanda3260
@chiefnyanda3260 5 ай бұрын
Good chemistry
@mahmoudabdillah
@mahmoudabdillah 5 ай бұрын
Ahmed ally forever🔱
@luqmanhaji7537
@luqmanhaji7537 5 ай бұрын
Ali kamwe big up Sana lakini Ahmed Ali baba lao
@khadijaselemani2185
@khadijaselemani2185 5 ай бұрын
Kongole kwenu mpo vizuri wasemaji wetu🎉
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
🔴#MPAKA_HOME: Maisha halisi ya Baba mzazi wa ALLY KAMWE.
21:51
Thousands of Christians Convert to Islam After Humiliating Muslim Boy
17:20
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН