CCM wajipanga kwa tahadhari ya nidhamu na utiifu ndani ya chama chawo,tafahadhali hiyo yamkini inamuelekeo wa kuimatisha ngome kuu ambayo haitaruhusu Kiongozi au mwanachama kujichukuliya maamuzi ya kufanya jambo lolote bila ya utaratibu ulioweka,hii inaonekana kwamba,ni lazima kuweni na Nidhamu,Adabu,na utiifu katika Utekelezaji wa matendo na matamko,kama ndiyo hivyo CCM inajiandaa kikamilifu kwa mpangilio wa Siri zawo na maneno yao ndani ya chama chako kiukamilifu tayari uchaguzi Mkuu utakapo wadiya wachukuwe Madaraka endelevu 2025,Chama ni lazima kiwe na Siri kisipokuwa na Siri kitadorora,CCM wanajipanga kinidha ya chama .