Haaah,kumbe lisu ni ccm, ndio maana slaa anamsupport, kweli chadema imeingiliwa
@RichardBituro-x9g16 күн бұрын
Mboowe Angepata heshima kubwa tz had I ulaya,km tu angesema nang'atuka ilikuwa heshima. Kwa sasa hana heshima tena,wala hawezi itwa kwenye mambo ya demokrasia Kazidiwa na zito kabwe.Aiiiiibu mbowe . Sisi wananchi tunamtaka lisu simba.
@dennisungonella20516 күн бұрын
Yaani Kuna tuhuma ya pesa kutembezwaa, duh
@RichardBituro-x9g16 күн бұрын
@dennisungonella205 hiyo ndiyo yakula kwa sababu haipigi kelele kwenye box,na watakuwa wajinga kuhongwa harafu ukashindwa kuangalia nini unaenda kufanya. Wakifanya kosa tu kumpa mbowe wananchi watageuka akili za ukombozi zitaamia Act na chadema itakuwa kama trip.
@HumphreyNyiti15 күн бұрын
Lisu ni mwamba asee
@margarethpolepole743813 күн бұрын
Ukipewa pesa kula akili yote kwa Lisu mambo yote mpeni Lisu mabadiliko yanahitajika
@margarethpolepole743813 күн бұрын
Mbowe must go umechokwa
@MjuniLaulian16 күн бұрын
Namkubari lissu alipambana na magu nakumbuka akifunga njia kati ya misugusugu au kibaha anaweza siasa ngumu alimpelekesha rais magu mpaka kambi ya rais ilipoteana kampeni zikabaki za lissu leo kampeni ya chama labda afukuzwe leo au wakodiwe tamisemi waje wasinamie na polis bila ivyo mtachemka
@melch309714 күн бұрын
Yaani mbowe ameshinda kweupe
@Zanzibar-e4h16 күн бұрын
Lissu anafaa kumridhi mbowe
@johnsinyinza745016 күн бұрын
Angaliyeni mnaweza kuhujumiwa kayeni chonjo .
@stevencharles-di9yc16 күн бұрын
bado Kanda ya kati
@chiefmajai934515 күн бұрын
Kura ni siri ya mtu je kwenye box
@dr.edmundbmgeni48615 күн бұрын
Kuna aina ya siasa sisi kama watanzania hatujawa tayari kuona. Tumezoea uvumilivu na kuheshimiana
Hapo kwenye maombi mbona tumesikia maombi yapo kwenye Imani moja ya kikiristo tu imekaje hii
@vascomwalongo45115 күн бұрын
Acha udini
@EmmanuelKiula15 күн бұрын
Inatosha, MUNGU ni mmoja tu!
@SaidAlly-uh4qw16 күн бұрын
Kwani chadema wana sare? Naombeni kuuliza...
@gidongailo717416 күн бұрын
Ni zaidi ya CCM😂😂😂
@KishiwaMaganga-g1r16 күн бұрын
Haja vaa sare
@MjuniLaulian16 күн бұрын
Ukitukana mtu kwq mavazi unatangaza udhaifu wako
@juliasmtundu44216 күн бұрын
Kigaila unamupenda MBOWE mpaka iunafikia kuongea uwongo itafika sehemu utaulizwa swali mke wako unamupenda utajibu mpaka iandaliwe katiba kigaila wewe nakuamini usijitowe ufahamu
@cyprianshayo404416 күн бұрын
Slaa ni Nani chadema??? Si alienda ccm... Hahaha
@MosesMzakwe16 күн бұрын
Tunasubiri January 21
@aloycemchuo768716 күн бұрын
Kura ni maamuzi YA MTU sio kulazimishana
@melch309714 күн бұрын
Mbowe mbele kwa mbele huo ndio ukweli
@OscarKasalile10 күн бұрын
Toa uchaga wako hapa
@MitiroNyantire-b7n16 күн бұрын
Huyu silaa nn nani kweye chama
@GodfreyOsward16 күн бұрын
Wewe ulitaka awe nani?
@melch309714 күн бұрын
Lisu ni ccm, ndio yuko naslaa
@mnamamnama273212 күн бұрын
Ndo na mimi najiuliza
@gadielmungure971116 күн бұрын
Lisu anajitahidi kutafuta kiti lakini atawavuruga mpaka mtashangaa. Lisu ni msomi ila Hana heshima Wala adabu na hakika hafai kuongoza maana si mstahimilivu. Mnaomtaka Lisu badilikeni huyu ni mchochezi WA vita siyo mstaarabu atakidhalilisha chama Mbowe ni kiongozi mstahimilivu jasiri na mwenye uwezo mpana kitaifa na kimataifa. Badilikeni acheni kukimblia upepo wa kisulisuli, kelele na mapepe
@FatmaAbdulrahman-m4c16 күн бұрын
Leo hii mnataka kulazimisha mbowe abakie ila tusije tukawasikia kwamba mnasema ccm ni chama cha dicter kw7bu hawataki kuondoka madarakani kama mnataka ccm iondoke madarakani basi anzeni kwa mbowe kwanza aondoke na awaachie wengine
@HumphreyNyiti15 күн бұрын
Sisi tunamtaka lisu mm ni mjumbe
@UrioStanley15 күн бұрын
LISSU NI YEYE NI MSAFI NI MUWAZI AMENYOOKA KAMA RULA
@ErnestiSulle-w9k14 күн бұрын
Hao wenye heshima tumewafaidi nini yangi huu Mfumo Wa kidemokrasia uanze? Wewe acha ujinga kwa Sasa za Sasa tunamtaka lisu.
@lufingomwakisambwe-ow4yc14 күн бұрын
Hakuna hoja hapo acha ujinga wewe
@petandy177916 күн бұрын
Kwamba Mshauri wenu mkuu ni Dr Slaa mwana CCM
@GodfreyOsward16 күн бұрын
Ushauri Mzuri unatotoka kwa yeyote
@melch309714 күн бұрын
@@GodfreyOsward😂😂 angekua mbowe mngesema kala asalo, leo slaa ccm yuko na lisu aliekula hela ya abdul
@LucyMacha-kp5uu16 күн бұрын
Mitano kwa Fam
@gidongailo717416 күн бұрын
Hujaandika mingine. Maana amekuwa katika madaraka kwa 21 years😂😂😂
@francomwalutende786415 күн бұрын
Mbowe amebakia na wenyeviti wa kanda tu, hii imeenda - dignity & legitimacy yake imeporomoka mno
@KishiwaMaganga-g1r16 күн бұрын
Haha vaa sare chawa wewe😊
@selemanmcharazo16 күн бұрын
Kwani huyu silaha ni Chama gani? hivyo kwanini watu wanaoongea uongo kama silaa wasichukuliwe hatua we mama hizo pesa ametoa wapi? hizo ni propaganda za kumchafua Rais lakini pia kumchafua Mbowe Silaha anaongea kwa chuki binafsi.
@KishiwaMaganga-g1r16 күн бұрын
Mjinga mnafiki wewe unaonekana chawa wa ccm Umeshindwa kuvaa share ya chama