WANAOKATA NYAYA ZA SGR WANALIRUDISHA NYUMA TAIFA

  Рет қаралды 1,276

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Ай бұрын
wahusika na usimamizi wa miundo mbinu wasiongee maneno , mtu akithibitika ametenda kosa kama hilo.....funga kitambaa machoni PIGA RISASI HADHARANI
@noelabeli3346
@noelabeli3346 Ай бұрын
Wanyongwe tu hakuna option nyingine hapo. Tuacheni huruma basi tz
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 Ай бұрын
Hawa watu wana vifaa vya umeme vya hali ya juu, wachunguzi wafanye kazi haraka
@simonmanyama8670
@simonmanyama8670 Ай бұрын
Naomba hawa watu wanao hujumu SGR Wanyongwe kabisa sidhani kuna Lugha mimi ya kutumia Hawa sawa na watekaji wa watu
@tonitonito90
@tonitonito90 Ай бұрын
Wekeni Sheria kali Wanao hujumu huu mradi isiwe kifungo iwe ni hukumu ya kifo Mara moja na itimizwe kwa wakati
@godfreyleonad7437
@godfreyleonad7437 Ай бұрын
Tusioneane uruma waujumu uchumi wanyongwe tena adhalani
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 Ай бұрын
Watakua watu wasiojulikana hao.
@MrishomuhsinHussein
@MrishomuhsinHussein Ай бұрын
Yani hao wanoihujumu reli wasije wakaomba mh rais aje aniteuwe mm niwe mkurugenzi au msaidizi kama umeweza kukata waya za reli lengo lako ni kuua watu basi na ww sioni sababu ya kukaa uraiyani
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Ай бұрын
C mweke cctv
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Ай бұрын
Mmeanza sababu na dili zenu za kutoa semina ujanja ujanja umewajaa!
@jeoffreyamis3782
@jeoffreyamis3782 Ай бұрын
Mbona reli ina walinzi kila mahali? Kama ni hujuma kweli, basi ni mtandao mkubwa: maana SGR imebana Biashara za maroli na mabasi! Wekeni CCTV camera, watakaonaswa, watuambie Nani kawatuma na kwa kusudi gani, wakishabainika watajwe hadharani na makampuni yao yafilisiwe!
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
ELIMU NI NZURI kwa wananchi, ila kuna wale wazee wa kuhujumu maksudi na roho mbaya hasa wale vibaraka wa wazee wa Berlin conference 1885 , itungwe sheria kali ya miundo mbinu..
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Ай бұрын
Angekuwepo mwanzilishi wa hiyo reli ya SGR, ndugu Magufuli, hayo maujinga ujinga yasingejitokeza. Acha tuendelee kutembea macho
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Ай бұрын
Mkurugenzi hazungumzii hakemei, Aggrey Mwanri anapaswa awe mkurugenzi. atafaa
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 455 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 211 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
MABEHEWA 264 YA SGR YA MIZIGO YAWASILI NCHINI
3:43
TRC RELI TV
Рет қаралды 15 М.
SERIKALI YAWATOLEA UVIVU WAPOTOSHAJI TRC, ATCL
4:28
Daily News Digital
Рет қаралды 3,7 М.