'Wanaosema mimi mwizi wataisoma namba'-Prof Tibaijuka

  Рет қаралды 223,828

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Profesa Anna Tibaijuka akichangia kuhusu Utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2015/2016 pamoja na maoni ya kamati kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/2017

Пікірлер: 67
@evansm8802
@evansm8802 3 жыл бұрын
1 Prof.tibaijuka.i love you mum you are my inspiration. Very intelligent old woman
@cpamussamwampamba2917
@cpamussamwampamba2917 8 жыл бұрын
Good...uko vizuri mama tibaijuka....nimesahau yote kuhusu wewe...sasa apa kazi tu
@ndukikali8894
@ndukikali8894 8 жыл бұрын
uko vizuri mama!
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 8 жыл бұрын
Mi nasstiza jimboni kwangu ujenzi wa barabara from Mleba to Nshamba nshamba to Rubya Hospital, the infrastructure is very very pool in this Nshamba Division
@janieanthony594
@janieanthony594 8 жыл бұрын
usiyempenda mwenzio, we mungu hakupend pia
@danforddaud5784
@danforddaud5784 5 жыл бұрын
Kichwa cha habari na yaliyo semwa n tofauti kabisa du!
@mamawanyumba103
@mamawanyumba103 8 жыл бұрын
nampenda sana my role model Anntibaijuka
@abdulqaadrilaurian3700
@abdulqaadrilaurian3700 2 жыл бұрын
Yes applies
@johnmwambungu7434
@johnmwambungu7434 6 жыл бұрын
Calm speech!
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 8 жыл бұрын
Millardayo katudanganya title na kilichomo tofauti.
@abuuhishaam4028
@abuuhishaam4028 6 жыл бұрын
Hatar sana pia sku hizi millrd kaanza mapicha picha
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 8 жыл бұрын
Sawa mama wa mfano. kwanza nakupongeza kwa kuchagulkiwa kuwa mbunge wa mleba kusini kwa mara nyingine, ila nakuomba uweze kuangalia miundombinu jimboni humo kwani barabara ya kutoka mleba kwenda nshamba to Rubya hospital ni majanga matupu kwenda mpaka biirabo secondary haipitiki tunakuomba Mungu akupe wepesi
@MohereGhati
@MohereGhati 7 жыл бұрын
Samson K aboko
@richardnyakarare3744
@richardnyakarare3744 8 жыл бұрын
sawa....mama
@mwanahella9650
@mwanahella9650 8 жыл бұрын
hapa kichwa cha habari na maongezi ya bi mkubwa confusing😇😇😇 nirllad kaka mmetuleka ki Imla😂😂km alivyosema mama tibaijuka.kelele za ngombe hazimzuii chura kunywa maji asante mama💃💃💃💃💃💃
@estermahirane9091
@estermahirane9091 6 жыл бұрын
Africa is Africa..kiongozi ukishakuwa na kashfa ni bora ujiuzulu coz hata ukiongea point za meter 5000 pipo hawatakuamini tena
@abdulramadhan981
@abdulramadhan981 6 жыл бұрын
Excellent prof....
@chrisbee7876
@chrisbee7876 7 жыл бұрын
tofauti anachoongea na kichwa cha habari mimi naona mapichapicha tu
@abdulqaadrilaurian3700
@abdulqaadrilaurian3700 2 жыл бұрын
Sawa dada
@abrahim4861
@abrahim4861 8 жыл бұрын
napenda kuangalia miladayo ila naomba usiwekama magazeti kichwa cha habari na maelezo ya video haviendani kabisa...naomba zingatia hayo
@chrisantgeorge6018
@chrisantgeorge6018 6 жыл бұрын
epuken kama yale ya magazeti udaku
@kainegodfrey5142
@kainegodfrey5142 6 жыл бұрын
Hawa wanaoandika habari mbona hawaendani na clip wanayoitoa
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 7 жыл бұрын
rudisha wweee,kalmax hakuwa mwizi
@alexanderntonge7519
@alexanderntonge7519 8 жыл бұрын
kichwa cha habar na anayoyazungumza mama tibaijuka mbona haviendani
@filbertaloyce6490
@filbertaloyce6490 6 жыл бұрын
ALEXANDER NTONGE
@asnathsweeth3029
@asnathsweeth3029 8 жыл бұрын
huyu mamaaaa
@cholozagaro1325
@cholozagaro1325 8 жыл бұрын
uyo bibi kasoma lakini mshamba kweli mungu hakupi yote
@cholozagaro1325
@cholozagaro1325 8 жыл бұрын
nawewe mshamba kama uyo bibi
@johnsonmaro5060
@johnsonmaro5060 6 жыл бұрын
umeshakua koko wewe kalee vitukuu sasa
@juanmatt4264
@juanmatt4264 8 жыл бұрын
huyu Anna anagonjwa kweli Zanzibar inaweza kuwa kuliko Singapore
@mhandyeyoo6591
@mhandyeyoo6591 7 жыл бұрын
Polisi si wa CCM? Au?
@rashidsleman5545
@rashidsleman5545 7 жыл бұрын
hawa Maprofesa ucharwa ndio walio inyonya nchi mpaka hapo ilipo hawana akili watu wanajenga nchi zao kwa sifa wao wanatumia elemu yao kubomoa ndo elemu au ujinga
@mubason2803
@mubason2803 6 жыл бұрын
Hawa viongizi wamuogope mungu
@santyhassan4186
@santyhassan4186 7 жыл бұрын
Kamechanganyikiwa hako tangu kaibe hela zetu
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dct4lif
@dct4lif 8 жыл бұрын
Kama kaizi haka
@MrBeerlahairoi
@MrBeerlahairoi 8 жыл бұрын
You lie when did she said wataisoma number
@santyhassan4186
@santyhassan4186 7 жыл бұрын
Rudisha hela ndo utaongea vizuri
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@cyrilomapunda3360
@cyrilomapunda3360 8 жыл бұрын
HATA DINI ZINASEMA KWAMBA SALA NA KAZI KWAHIYO RAISI WETU YUKO SAHIHI SANA KUSISITIZA WATU WAFANYE KAZI
@jamesminja4265
@jamesminja4265 8 жыл бұрын
wewe mjinga tuuuu
@bakarimhina6437
@bakarimhina6437 6 жыл бұрын
Acheni Matusi mnabeba laana.
@arodiadeogratias6457
@arodiadeogratias6457 5 жыл бұрын
We mwnyw Mungu akupendi
@chodahpro
@chodahpro 8 жыл бұрын
simpendi huyo mama
@frankmuganyizi2808
@frankmuganyizi2808 8 жыл бұрын
+MZIGUA HALISI Jitundike,kwan ww nan anakupenda au unamchukia umemuumba??
@chodahpro
@chodahpro 8 жыл бұрын
+Frank Emmanuel huyu mama kala fedha zetu nyingi....kaaibisha wakina mama wenzie
@frankmuganyizi2808
@frankmuganyizi2808 8 жыл бұрын
+MZIGUA HALISI Hakuna ushahid ni tuhuma za kisiasa, alisha jieleza na akasema pesa ziliko enda kama kwel alichangiwa pesa za wizi bas alisha sema serikal ithibitishe ili wazirudishe, unajua watanzania mnakua wepes sana kuamin tuhuma za kipuuzi bila kuelewa wala kufatilia ukwel halis, huyu mama anafanya kazi kubwa sana kutafta pesa za kusaidia watoto wenye vipaji wanao toka mazingira magum sana, mimi niliwahi kufanya utafiti ktk shule za namna hii na hata shule yake niliwahi kufika nikajionea mwenyewe make na mimi nilikua miongoni mwa wenye hasira na nilikua na iman iyo uliyo nayo. Hii inatuponza sana wa tz tunapenda sana ushabiki wa matukio ya kisiasa bila kutafta ukwel, haitusaidiii inatuangamiza
@samiamtanga1311
@samiamtanga1311 8 жыл бұрын
Frank Emmanuel makuma muko wengi Sana mashoga wakubwa
@bonisilayo5196
@bonisilayo5196 7 жыл бұрын
MZIGUA HALISI tibaijuka rusisha kwanza pesa
@johnnymsangi5435
@johnnymsangi5435 6 жыл бұрын
haviendani kabisa kuku ww mirad ayo
@zeblufingo8361
@zeblufingo8361 8 жыл бұрын
haka kamama kana mume jamani, napenda kanavyo jielezaga. Kameni kuna sana
@sirialemmy37
@sirialemmy37 8 жыл бұрын
unaongea nini wewe? mtu si mwili bali ni akili!
@hasani565
@hasani565 8 жыл бұрын
+zabron mwakalasi wewe nini wewe kila kitu unadhani ngono kapige nyeto
@allyhussein9608
@allyhussein9608 8 жыл бұрын
daaa
@gastordominic410
@gastordominic410 8 жыл бұрын
Me hata simuelewi mchumi kufanya billion kuwa vijicent
@zeblufingo8361
@zeblufingo8361 8 жыл бұрын
Mama jasiri huyu! Je umejisamehe mwenyewe?
@thompsonmasologo5093
@thompsonmasologo5093 2 жыл бұрын
Ngombe kunywa maji hahahaha 🤣🤣😂😂😂!
@alexmashimbaisululu6309
@alexmashimbaisululu6309 8 жыл бұрын
Du sote tutapita tu BWANA aa
@ashuraatanas5967
@ashuraatanas5967 7 жыл бұрын
unaongea upuuzi profesa gani ww
@oyay2821
@oyay2821 7 жыл бұрын
nimependa nukuu ya Carl Marx. Huyu ni professor wa ukweli
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
👍👍👌👌
@maishalupia7136
@maishalupia7136 6 жыл бұрын
Milad ayo sasaivi umeshaanza kutuchakachua unaweka habari za uongo kichwa cha habari hakiendani na kilichozungumzwa humu kama kazi imekushinda fanya kazi nyingine hizi MB hatuziokoti tunanunua fala wewe
Nyerere, Mwinyi na JPM kwenye dakika 10 za Prof. Tibaijuka Bungeni
11:08
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 64 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН
MANENO YA JPM KWA PROF. TIBAIJUKA ALIPOPITA MULEBA LEO
5:22
Millard Ayo
Рет қаралды 20 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa |  Rev. Dr. Eliona Kimaro
38:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 218 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 64 МЛН