Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho na kweli unayoifundisha kwa hii platform.naomba unifafanulie kuhusu purgatory kwetu sisi tunaosali sala ili Mungu awarehemu na waamini waliofariki kwa Imani ya kumuona kristo lakini hawako m binguni
@pracksedachrispine55047 күн бұрын
Amina amina Mtumishi yaani nimeshakuelewa tupambane kuingia lango la mbinguni
@IdahNambelasiwala-qs3su17 күн бұрын
Amen ubalikiwe mutumishi wamungu 🙏
@PhilbertKalokola13 күн бұрын
Asante mtumishi,nimekuelewa na Mungu atusaidie wote kabisa
@mukamusoniwendy117613 күн бұрын
Mungu aturehemu
@NeemaDavid-r4o15 күн бұрын
Mhhhh Mungu Uturehemu maana tulikuwa hatujui
@paskaliJohn-r5g16 күн бұрын
eee!! jamani barikiwa sana !
@agnesspaul18666 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@jacksonmathias433823 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa kulionya kanisa,Mungu amekua akitumia watumishi wake kulionya kanisa juu ya mapambo lakini hata hivyo bado watu wanapuuza, ni wakati wa kugeuka ili tupone. Bwana akuinue na kukuzidisha katika yote
@EvangelistMathayo260423 күн бұрын
Bwana Yesu Kristo atusaidie na atuwezeshe sote kupenya kwenye lile gate la mbinguni
@KelvinOlest23 күн бұрын
Amen umenena vile vile navofahamu barikiwa endelea kuleta video nyingi waweke hadharani watumishi wote waongo ili asiyesikia asipate cha kujitetea🙏🙏
@ibrahimmsengi434418 күн бұрын
Mungu akuinue zaidiii
@MichaelMathew-j3f22 күн бұрын
Amen. Pamoja sana mtumishi wa Bwana Yesu. Niko pamoja na ww afu nakuelewa sana.
@ufunuoministry22 күн бұрын
Amen
@pracksedachrispine55047 күн бұрын
Unapatikana wapi nabii
@happyminja-kb1ow23 күн бұрын
Amina nabii.naomba utaje baazi ya wasanii wa nyimbo za injili.
@abdulllyhussein322418 күн бұрын
YESU TUSAIDIE 😭😭😭😭
@NellyKombe19 күн бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi
@E.emillymillyBlessings22 күн бұрын
God bless you too mtumishi kwa ufunuo mwema
@SarahWilson-g2u23 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi.. Hii injili Ndio inayotakiwa
@PHILIPOMUGOA17 күн бұрын
Ubalikiwe
@YohanaMsekefu22 күн бұрын
Balikiwa sana mtumishi MUNGU akulinde na kweri yake
@geitandelwa29921 күн бұрын
Ameni na MUNGU ATUSAIDIE SANA
@UdithiAlbert21 күн бұрын
Damu ya Yesu ya agano utulipie madeni yote na kutufutia mashitaka hatuwezi kwa nguvu zetu.
@queenesther263921 күн бұрын
Amen Amen Mtumishi wa Mungu Mungu mwema akubariki sana sana
@levismike1624 күн бұрын
Amina Amina amina
@Cyprianchonya20 күн бұрын
Uko vizuri sana profeti
@hezekiamhapa739523 күн бұрын
Namshukuru MUNGU kwa ujumbe huu watumishi wote ssngekuws wamenyooka hivi wangewaokoa wengi na kuzimu ila namshukuru MUNGU hata kwa huu ujumbe utamwokoa mtu Fulani mtu wa MUNGU songa mbele sisi kazi yetu ni kukuombea hakuna baya na ninatangaza vita na wote wanaotaka kushindana na MUNGU tutawapiga kwa jina la YESU KRISTO MUNGU mwenye nguvu
@ufunuoministry23 күн бұрын
@@hezekiamhapa7395 ameeen ameen
@Mamas-06k18 күн бұрын
Mtumishi, na mtu akijitambua na kumrudia Mungu, Kwa upya,,, Bado Kuna kuzuiwa@@ufunuoministry
@JamesKikoti-v9s19 күн бұрын
Ameeen
@jauntywriters510721 күн бұрын
Powerful revelations. God bless.
@SarahWilson-g2u23 күн бұрын
Penye nyimbo hapo sasa
@ivonaevarista465422 күн бұрын
Asante kwa neno
@annachachage493120 күн бұрын
Ameni hivi kwa mfano nikiwa napunguza nywele zangu je nayo ni mbaya? Hata kama sifungi kiremba kichwani?
@tumpedaudi668124 күн бұрын
AMEN
@Marthamodest-l7q24 күн бұрын
Amen Mtumishi Mungu azidi kukulinda
@francisfidelis170324 күн бұрын
hii ndio injili ya kutufikisha , amen prophet
@geitandelwa29921 күн бұрын
Ameni
@janethmwihumbo128924 күн бұрын
Mwenye sikio na asikie ujumbe huu ,
@RoseMayige-gn9qb24 күн бұрын
Amen
@josephmusagasa20 күн бұрын
Umenena vema na kweli tupu
@geitandelwa29921 күн бұрын
Ameni MUNGU ANISAIDIE MM
@عائشهعائشه-م9ق24 күн бұрын
Amena
@MaryNakat21 күн бұрын
Haleluyaaa!!
@VIJANAWAYESU1223 күн бұрын
Iyo nikweli kabisa
@Scoviapaschal21 күн бұрын
Thank you Prophet,swali langu ni hili,je nawezaje kutunza nywele xangu za asili?
@roselinemosha22 күн бұрын
Naomba kusuka nywele zangu bila kuongeza chochote nayo ni dhambi
@ufunuoministry22 күн бұрын
Hairuhusiwi mpendwa
@E.emillymillyBlessings22 күн бұрын
😮😮😮ndio maana yohana akala asali na mkate wa kuokwa tu 😢