Prophet afunguka mazito swala la Mapambo | Prophet Justine Ibrahim - 0764 235 742 (code +255)

  Рет қаралды 4,208

Neno la Ufunuo Ministry

Neno la Ufunuo Ministry

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 22 күн бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa huu ujumbe ambao haupendwi na wanawake wanaojiita wameokoka! Nikiwaangalia waimbaji wanawake wa nyimbo za Injili, wanakatisha tamaa na ndo wengi wanasikiliza nyimbo zao. Hata waimbaji wa kiume na wapiga vyombo vichwani ni denge tu! Mungu aliponye kanisa lake kwakweli.
@AilinElias-o2k
@AilinElias-o2k 5 күн бұрын
Mngu akubaliki kazi yako ni njema
@mgosingwa2000
@mgosingwa2000 10 күн бұрын
Halleluyah!! Halleluiyah!! Halleluiyah!! Mtumishi wa Bwana injili yako ni ya ukweli mtupu haina hila wala woga; ubarikiwe uinuliwe na ujumbe wako usambae dunia nzima. Nakufuatilia kutoka Washington DC. Amina!
@paskaliJohn-r5g
@paskaliJohn-r5g 16 күн бұрын
yaani nimekupenda sana katika watu naweza kusikiliza wew umo sasa nakuomba uje kwetu unaufahamu yesu akubariki sana!!
@maazuu-dm7zr
@maazuu-dm7zr 22 күн бұрын
MUNGU ATUPE UFAHAMU TUWEZE KUTAMBUA MEMA NA MAOVU IN JESUS MIGHT NAME 🙏 thank you mtumishi
@Marthamodest-l7q
@Marthamodest-l7q 22 күн бұрын
Amen namshukuru Mungu mapambo nimeachana nayo kabisa
@TabizaAa
@TabizaAa 21 күн бұрын
Amen Asante sana mtumishi wa Mungu na Mungu akubariki🙏🙏🙏na naomba Mungu anisaidie niache kuvaa suruali kati izo vtu zote nmebakisha tu iyo na nina Imani pia nitaacha kwa jina la Yesu kristo 🙏🙏🙏
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 20 күн бұрын
UBARIKIWE MDOGO WANGU ILA USIWAZUIE WATU COMMENT RUHUSU WAKUIMALISHE ULICHO CHAGUWA NICHEMA SANA NA UFAHAM WAKO NIMKUBWA SANA HIVYO WEWE NI CHAGUO LA WAKATI HUU NABARIKIWA NAWE SONGA MBELE UNAKITU ADIM KWA MDA HUU MFUPI BWANA AKUPE NEEMA YAKURUHUSU KILA MATUSI COMMENT ZAKILA NAMNA SONGA MBELE NJIA YAKO NI NJEMA TAITO YA JINA LAKOTA NITOFAUTI NA WALIO JIPA JINA HILO NIMEKUPENDA SANA NIMEKUPENDA MNO NAKUPENDA SANA NARUDIA NIMEKUPENDA KATIKA BWANA SONGA MBELE UMRI WAKO NAKILE ULICHO BEBA HAVIENDANI NIMEKUPENDA SANA
@ufunuoministry
@ufunuoministry 20 күн бұрын
@@paschalcassianoriginal9411 Amen Amen!!!
@FATUMANgala-j1z
@FATUMANgala-j1z 14 күн бұрын
Asante kwa hii mtumishi nmekuwa nikiitafuta hii ju pia mimi nilikuwa nikivaa nikakatazwa, niliskia sauti ikiniambia na hata bdo nilikuwa na bungle ya plastic ilikuwa na maandishi ya kiarabu but wakati huo hayo maandishi yalikuwa yameisha ju ya kufua ila aka niambie nitoe pia hiyo
@MasumbukoEmanuel-g2s
@MasumbukoEmanuel-g2s 19 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi unanitia moyo kuiongea kweli bila kujali wanaumia au wanafuraha
@JUMAMwambeule
@JUMAMwambeule 22 күн бұрын
Amina,pia hata wanaume kujisitiri ni muhimu ,vazi nzuri Kwa kila Mkristo wa kweli ni kazi ,tuvaa kanzu ndilo vazi letu.
@gertrudejohn9039
@gertrudejohn9039 21 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu, asante sana kwa ujumbe huu,MUNGU AZIDI KUKUTUMIA
@NellyKombe
@NellyKombe 22 күн бұрын
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi Ila ninauliza tuu jee ukisuka nywele zako mwenyewe ni dhambi
@ufunuoministry
@ufunuoministry 22 күн бұрын
@@NellyKombe hairuhusiwi mpendwa!!!
@LillianNgao-ob1pl
@LillianNgao-ob1pl 14 күн бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu 🙏
@CosmasIddy
@CosmasIddy 19 күн бұрын
Mungu akubali sana Mtumishi wa MUNGU hii ni injili safi kabsa
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 21 күн бұрын
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana kwa Neno la Mungu
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 22 күн бұрын
Amen Mungu atusaidie sana na atupe ufahamu wakuepuka haya yote
@AgathaHaule
@AgathaHaule 18 күн бұрын
Ni kweli mtumishi. Ungewaambia haya waimbaji wanaume kinyoa Gani huko jamani? Haya na wanaume waambiwe.
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese 17 күн бұрын
Mungu akubariki nakufuatiliya toka Congo
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 16 күн бұрын
Mimi najipamba kiasi kwa ajili ya anayenipenda tu,,,( baba watoto ) wangu,,,,,kwa kiasi
@victoriamtega236
@victoriamtega236 6 күн бұрын
Neno linasema atakayependa mume, wazazi, na n.k kuliko mimi hanistahili usijipambe kwa ajili ya mume muhofu MUNGU . Angalia je iki kiko sawa machoni pa MUNGU? Kama hakimpendezi MUNGU ACHANA NACHO. USIMPENDEZE MWANADAMU BALI MUNGU TU
@kizandume3015
@kizandume3015 21 күн бұрын
Amen mungu akubariki sana baba kwa uju
@SamuelNsengiyumva-cq7jg
@SamuelNsengiyumva-cq7jg 8 күн бұрын
Huu ni ukweli kabisa Kujua mengi zaidi tafuta ushuhuda wa miaka 990 katika ufalme wa giza
@DethaMziwanda
@DethaMziwanda 22 күн бұрын
Katika mambo ambayo walio wengi hawataki kusikia ni pamoja na ujumbe huu.Barikiwa mtu wa Mungu maana wewe umeshafanya sehemu yako.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 22 күн бұрын
Yes hapo kanisa limegoma kukubali neno la MUNGU yaani mbinguni ni kugumu mno na watu tumesahau kuwa makahaba na ss tunaosema tunasali hatuna tofauti na makahaba
@geitandelwa299
@geitandelwa299 22 күн бұрын
Ni kweli mm niliokoka vizuri aaa nikapata marafiki wa duniani hapa haaa na nikavuviwa nguvu za giza nilianza kupaka piko na kupaka matakataka usoni mmm niita inzi zinivamie aaaa nilishika sana kiwokovu na niseme hivi wokovu ni garama sana ila ubishi ndio utupelekao jehanamu milele na MUNGU AKUBARIKI SANA MTU WA MUNGU
@YohanaMsekefu
@YohanaMsekefu 22 күн бұрын
Ameni
@SamwelSoya-y5u
@SamwelSoya-y5u 22 күн бұрын
hakika uko vizuri mtumishi mapambo yoyote ni dhambi au kujibadili kwa namna yoyote.kama hawataacha hayo mapambo, hakika jehanamu kutakuwa nyumbani kwao.mambo ya walawi:-19:26.
@gabrielsasi4636
@gabrielsasi4636 18 күн бұрын
Usitake Kiki ww sio nabii ,hauishi amri 10 na ushuhuda wa yesu ROHO CHAFU WW
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 6 күн бұрын
❤❤❤❤
@LILIAN-k6f
@LILIAN-k6f 21 күн бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi
@VannesaMajora-j2e
@VannesaMajora-j2e 21 күн бұрын
Amina sana mtumishi ...ubalikuwe zaidi
@mariahyera3737
@mariahyera3737 22 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 22 күн бұрын
Asante Kwa ufahamu huu
@josykogei7647
@josykogei7647 12 күн бұрын
MUNGU atusaidie
@LucasNicholaus
@LucasNicholaus 18 күн бұрын
Nywele zako ni Bora kuliko bandia
@jamilajosephat917
@jamilajosephat917 20 күн бұрын
Barikiwa kwa ujumbe, naomba kujua kuhusu nguo za garama nguo ni nzuri tu tena ya adabu lakin ni ya garama je ni dhambi? Make hapo imetaja nguo za garama
@florapeudy3963
@florapeudy3963 22 күн бұрын
Amina umeeleweka
@JaneMujuni-je8wv
@JaneMujuni-je8wv 16 күн бұрын
We hujui unachoongea Mungu akusaidie na kukufungua ufahamu,Fedha na dhahabu na vitu vyote ni mali ya Mungu na nitakutumia kwa kadri nibarikiwavyo,Hakuna Mungu uliyemuona ni mawazo yako na ya ibilisi anayejimilikisha uumbaji wa Mungu,
@SamuelNsengiyumva-cq7jg
@SamuelNsengiyumva-cq7jg 8 күн бұрын
Sidhani kama na wewe unajua unachokiongea Hivi unaona vizuri ushetani ambo umejaa kanisani sahivi?
@AlphaLaiton
@AlphaLaiton 22 күн бұрын
Barikiwa xana
@JestaLuhanya1
@JestaLuhanya1 22 күн бұрын
Amina ubariki
@RizikiWisongata
@RizikiWisongata 22 күн бұрын
Amen
@Magufuli.
@Magufuli. 22 күн бұрын
🤝
@herielkishimbo9052
@herielkishimbo9052 21 күн бұрын
Afadhali Ukweli unaouma kuliko uwongo unaofurahisha.
@عائشهعائشه-م9ق
@عائشهعائشه-م9ق 22 күн бұрын
Amena
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 22 күн бұрын
Shalom mtumishi je kuvaa saa pia ni dhambi?
@AnastaziaMakanta
@AnastaziaMakanta 20 күн бұрын
Nikweli aswaaaa
@AnnNanjala-fw5vu
@AnnNanjala-fw5vu 21 күн бұрын
Na nikishuka nywele yangu kuna shida?
@josephmusagasa
@josephmusagasa 20 күн бұрын
Shida ipo. Hairuhusiwi. Soma vifungu kwa kurudia tena na tena na tena
@RodaMaganga-ye6ye
@RodaMaganga-ye6ye 22 күн бұрын
Vp kuhusu pafyumu nayo tusipake mtumishi?
@nems-f2x
@nems-f2x 22 күн бұрын
proph mm napaka mafuta ya mgando vp kuzim itakuwa ina track?
@ufunuoministry
@ufunuoministry 22 күн бұрын
Inategemeana na mafuta hayo ya mgando, kikubwa amani ya Kristo iamue ndani Yako!!!
@SamwelSoya-y5u
@SamwelSoya-y5u 22 күн бұрын
mambo ya walawi 19:26~28.
@CatherineZakayo-m4o
@CatherineZakayo-m4o 22 күн бұрын
Ameeeeen
@rehemamtarimarehemamtarima
@rehemamtarimarehemamtarima 22 күн бұрын
MUNGU atusaidie wanake na mbinti
@MoosaMd-h6b
@MoosaMd-h6b 22 күн бұрын
Kwani wanawake mnanini jamani! Hamusikii, hamuelewi, hamufahamu? Kila siku nyie tuuuu. Wanawake mcheni Mungu dunia ipone na kizazi chenu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 16 күн бұрын
Pepo hakai kwangu wewe
@MOTOWAINJILITV
@MOTOWAINJILITV 22 күн бұрын
𝙼𝚞𝚗𝚐𝚞 𝙰𝚔𝚞𝚋𝚊𝚛𝚒𝚔𝚒 𝙼𝚝𝚞𝚖𝚒𝚜𝚑𝚒 𝚆𝚊𝚔𝚎
@josykogei7647
@josykogei7647 12 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@cheriealimasi2853
@cheriealimasi2853 21 күн бұрын
Amen
@YohanaMsekefu
@YohanaMsekefu 22 күн бұрын
Ameni
@EzekiahKaingu
@EzekiahKaingu 2 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@AnnNanjala-fw5vu
@AnnNanjala-fw5vu 21 күн бұрын
Amen
@The-Sword-Of-Endtimes
@The-Sword-Of-Endtimes 13 күн бұрын
Amen
UNABII WATIMIA 2024-2025 | MAMBO YAKUA MAKINI NAYO
1:14:18
Ukweli Ministries
Рет қаралды 10 М.
KINA DAIMONDI)( paschal cassian)(official video musc
7:20
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 122 М.
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 36 МЛН
MAMBO SABA YA KUOMBEA KABLA HAYAJATOKEA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 07/11/2024
1:27:43
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 37 М.
Padri Anavyoangaika Kutaka Kuniua 8
1:06:53
Zoe Nicas
Рет қаралды 119 М.
Tafsiri ya ndoto za Nyoka | Prophet Justine Ibrahim - 0764 235 742 (code +255)
7:37