Brother Henry Asante Sana nimekupata vizuri ,hiyo nchi nilikuwa naiskia Tu ,lakini sikujua Kiumbe watu wake NI Wazuri hivyo MUNGU akipenda ntaenda Holiday
@MultiBice9 ай бұрын
Kitu kitakachokufanya kutokubagua watu ni pale unapofikiria nyote mnavuta hewa moja na nyote mnatumia damu kuishi na nyote ni sawa mbele za mungu love u all ❤❤❤
@OlyUpowerfuljesus9 ай бұрын
Please viewers don't forget to like. Huyu dada ana content nzr zinatupa upeo wa maisha
@OfficialDatingAssistance9 ай бұрын
Shukran for reminding 🙏 Watu wachoyo kweli 😁
@nicekweba99209 ай бұрын
Watu wachoyo sana jaman
@SamiraMakame-w9c9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤@@OfficialDatingAssistance
@getrudamatoto52778 ай бұрын
Da shena mbona App ya Bantu naambiwa unavailable nifanyeje
@moa41228 ай бұрын
Chakula cha Azerbajdzjan ni kitamu na kina Afya sana hasa ukenda kutembea vijijini na mashaallah ni watu wa kilimo. Matunda na mboga utakula hadi ukinai
@shamzone3889 ай бұрын
Hiyo nchi inajulikana sana na huku gulf watu wengi wanakwenda kutembea na watu wao wazuri sana…
@MultiBice9 ай бұрын
Napenda sana watu ambao hawabagui rangi dini kabila may god bless u all ❤
@mmasipeter41579 ай бұрын
shena uko vzriiiiiiiiii sana aise daaaah unauliza maswali mazuri sana hadi rahaaaaeeeee namsimuliaji unampa nasi adi rahaaa.
@latahilehsein37499 ай бұрын
Azbaijan It's a very beautiful place and its people are very friendly, and where you live, it's a bit like Baku, its people are a bit lively, but when you go to Azerbaijan, it's quiet, and when I'm in the village, I really like to go for a walk with my family
@ELIZABETH-uz6dv7 ай бұрын
Mungu Akubariki sana my brother kwa kukututia Moyo💯🙏🙏🙏🙏
@AmosMwakasusa8 ай бұрын
Bro nimekupenda kwa jitianda zako ktk kufuta maisha, pia nimepanda san jinsi unavyojituma kutafuta fursa za kusoma na kujituma kwako bila kukataa tamaa. utafufika mbali sana ktk elimu.
@WarialangaNdossi-x6m9 күн бұрын
Mpendwa wangu kama nataka mwanangu asome uko upailot cpl kumalizia nafanyaje
@Janeth_Saukiwa7 ай бұрын
Since nimeanza kufatilia Hii Page kwa kweli kuna mambo flan yamebadilika kwenye maisha yangu hususani kwenye mambo ya MAHUSIANO jamani nimepata kujitambua zaidi be blessed Sheina ❤
@OfficialDatingAssistance7 ай бұрын
Keep it up beautiful, i am glad to hear ❤️
@sophiakassim67847 ай бұрын
Tupo wengi wallahi
@MadinaMalk-yd6kp9 ай бұрын
Nice interview da shena na kaka Henry 💐❤️❤️
@willsonsamwel11589 ай бұрын
❤❤nimeipenda hongera hakuna kukata tamaa hiyo nzuri
@jooepaullas7919 ай бұрын
Best interview
@SaraphinaKweka-rp1lg5 ай бұрын
Shena wewe mtu safi sana
@upendogreutert1999 ай бұрын
Hawa watu ni wakitamaduni kweli kweli
@christiankambuga93388 ай бұрын
Safi sana kaka karibu Sana Captown South Africa pia pia siku1
@jonfredkewe34518 ай бұрын
Jamani huyu sister Mungu ampe maisha marefu anaroho zuri ni hatari jaman umenikutanisha na wengi
@banajuliana7589 ай бұрын
Hiyo ni kweli ata mimi niliolewa nikiwa bikra jwahiyo nikishindwa kumuina mme wangu anatongoza mke mwengine ikanifanya ni muache
@klaussteiner949 ай бұрын
Sahivi mwamba brother victor Henry ametusanua sasa tunatembea na hashtags#twendeazerbaijan#
@OfficialDatingAssistance9 ай бұрын
😁😁
@henryvictor12079 ай бұрын
Kwa kweli mje tuwe wengi
@klaussteiner949 ай бұрын
@@henryvictor1207 kabisa brother victor, asante sana kwa kutusanua blessed always kaka mkubwa
@faridaclara31199 ай бұрын
@@henryvictor1207hello bro henry
@sekikigosi82658 ай бұрын
Hiyo nchi ndio kwanza nimeisikia leo nimeshare link kwa watu mbalimbali inaonekana ni nzuri na msimuliaji kweli tumempata,dogo hongera unajua sana kusimulia ni kama nimeshafika😂
@Lizzyktd9 ай бұрын
Tunashukuru sana kwa Elimu hii 🎉🎉🎉🎉
@neemaseiler11228 ай бұрын
Madini mengi,asante
@salmaabdallah13589 ай бұрын
Daa shena yani ramadhan imeisha na ushungi ushauwacha jamani kwani tunaabudu ramadhan ama tunamuabudu mungu ambae yupo daima kila siku.mungu atuongoze sote
@OfficialDatingAssistance9 ай бұрын
Wewe ni mkamilifu wa Ramadan na baada ya Ramadan pia ? Au dini ni ushungi tu jamani ?
@salmaabdallah13589 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance Allah pekee ndio alokamilika,lakini shena dadangu ushungi sio katika sheria tuu bali pia huwa unakupendeza mashallah.
@daudsango41049 ай бұрын
Mind your business Salma una mengi ya kujisaidia
@saidaamourali85909 ай бұрын
😂😂 msimtishe kauliza vuzuri maana ni bora uendelee tu na maisha kama kawaida haina haja ya kumektia Allah kwa ramadhani kwani ukivaa shungi au ukibaki na maisha ya kawaida ambayo umetoka nayo kabla ya ramadhani yeye ndio anaeamua thamani ya funga yako. Sasa uliekti ndio maana umekutana hizi coments na maswali kwa huyo ungekuwa kawaida na hali yako ya mwanzo yasingekuja haya maana thamani ya funga au kukubaliwa kwa funga haamui mwanadamu
@Hawa-es9kn9 ай бұрын
😂😂😂😂@@daudsango4104
@anisiamchembe65529 ай бұрын
Ni kweli kabisa!!
@amoskagika88849 ай бұрын
Me ni mfuatiliaji wa michezo. Nimeijua Azerbaijian kupitia football hasa final ya Europa League ya mwaka 2019 Kati ya Chelsea na Arsenal mji mkuu Baku, lakin pia ni waliwahi kuwa wadhamini wa club ya Atletico Madrid mbele ya jezi zao kulikuwa na neno Azerbaijan
@jamilajamal15849 ай бұрын
Mmmh🏃🏻🏃🏻🏃🏻
@Desireyakubu9 ай бұрын
Azerbaijan sio inchi ndogo ni inchi imeendelea ki uchumi na kijeshi hata juzijuzi wamepigana na Armenia wakaishinda
@StephenSelelya3 ай бұрын
Bro. Henry ulikwenda kuangalia Taifa Stars walipocheza mpira hapo Baku?
@Juke9958 ай бұрын
Kaka ni very intelligent ongea yake tu ni unaona he's a brilliant guy 🙌 sio wale waswahil ulaya wanachamba kama susy bale😢....hiyo nchi haina tofauti n uturuki 🙌 wabongo hawaiwezi watauliwa sana 😂
@evampuya-mp9vf9 ай бұрын
Kijana ameelezea vzr jamani nitashea hii interview na bint yangu yaani alishakata tamaa kbs asante saana shena barikiwa saana
@kadhyanassor50468 ай бұрын
Mbona wa gulf ndo wengi wanaenda huko ni nchi ndogo na watu wake wastaarabu..
@DoreenMwanga-dg7xp8 ай бұрын
Shena naomba basi utuletee hawa ambae yupo Germany anapatikana TikTok sana sana
@liannsambu72649 ай бұрын
But ata kwa wadada mbona inawezekana kwa wadada wa kiafrica maana wengi ni waaminifi 💯💯💯💯💯
@vero579 ай бұрын
Nimechelewa live
@kazigembeleke59589 ай бұрын
Hujajibu vizuri swali la Shena, ungesema tu hapo ndipo umepapata ila natumai baadae hata wewe utafika hizo nchi kubwa ila isiwe kisingizio kufundisha English, sasa tusojua kingereza tubakie wapi!
@gwantwamwalyaje85157 ай бұрын
Na Mimi Nime Wapata Mko Powa
@moa41228 ай бұрын
Mbona waemarati wengi na waomani wanapenda kutalii azerbajdzjan . Azerbajdzjan ni nchi ya watalii sana na kuna fursa kubwa ya biashara kwa kampuni mbali mbali. Na walipofanya euro vision song contens ndio wamejipatia umaarufu sana
@WarialangaNdossi-x6m9 күн бұрын
Mpendwa wangu nifanyeje? Ili mwanangu asome upailot cpl ya mwisho nakuomba msaada ya kunieleza
@devothasimbi64959 ай бұрын
Ameongea ukweli nimempenda
@joyceKingu9 ай бұрын
This is a very brilliant young man
@joyceKingu9 ай бұрын
I wish you the best. Umetusaidia Nawaz ya maana. Vijana zingatieni.
@CamillahDidah9 ай бұрын
❤
@mackjr52918 ай бұрын
Naomba tupate mawasiliano yake
@upendogreutert1999 ай бұрын
Ni deal kivipi jamani leo nimechelewa live imenipita
@carolineoyieko47919 ай бұрын
Dada naomba nbr ya huyu kaka,nione vile naweza wasaidia hawa watoto ninao walea,wamemaliza shule lakini vile niwasaidie wapate kazi,mimi ndie kama mamayao
@zurfapahenge88029 ай бұрын
❤
@AbdullahamanSadala-iu6xf9 ай бұрын
Mama naomba unipe namba ya huyo jamaa kwa ajili ya mwanangu
@mwanaidikingazi42228 ай бұрын
Shena leo umepatikana nchi inajina gumu 😂😂😂
@OfficialDatingAssistance8 ай бұрын
Yani nimepatikana hatari 😁
@liannsambu72649 ай бұрын
Nimependa culture yao maana ni waaminifu , DO MAPENZI YANAWEZA KUWA HUKO NA ZAIDI NAONA BAADHI YA VIGU MBONA KAMA INAFANANA NA BAADHI YA TAMADUNI ZA KIAFRICA
@moa41228 ай бұрын
Kutambea kwingi kuona mengi
@bindawood9788 ай бұрын
Mahojiano mazuri sana nimepata faida
@lucaslyaruu82449 ай бұрын
Kwa kuwa huko hawatumii lugha ya kiingereza, ili muweze kuwasiliana inabidi kujifunza lugha kwanza au inakuwaje?
@neemaseiler11228 ай бұрын
Sio lazima,masomo ni kwa kiingereza
@rehemadaudi43909 ай бұрын
Hao ni wanyaturu kabisa
@masomekitwala37588 ай бұрын
Unaakili sn ww kaka,mpaka huyo dada anaekuhoji anakutaman,bahati mbaya ameolewa
@OfficialDatingAssistance8 ай бұрын
Kumekucha 😳🤣
@sophiakassim67847 ай бұрын
😂😂 ila wabongo 🙌🙌
@LinahRwambali7 ай бұрын
Duh comment imenchekesha sana hii
@maryammrembe3455 ай бұрын
Kheee😅😂
@LinahRwambali5 ай бұрын
@@masomekitwala3758 duuuh msiusemee moyo, vipi mumewe akiona iyo comment? Wabongo tunapenda sana matani, tupunguze masihara mengine jamaniii
@ibrahimmarwa26388 ай бұрын
Wana wivu kama nyegere 😂😂
@artuarnold13718 ай бұрын
Ameongea vizuri sana ila apo pakusema kwamba alimpa mwanamke ela bure bure katudanganya wanaume tunajijua sisi
@OfficialDatingAssistance8 ай бұрын
Tabia yako haiwezi kua ya mwingine.. kila mtu na utu wake 🤷♀️
@tradamus41589 ай бұрын
Tutafutie mtanzania anaeishi nchi ya Siberia mji yakutsk tupate experience yahuko maana nasikia Kuna baridi sio poa ukizubaa nje daika kadhaa tu unaganda unakua kajiwe frani hivi kabarafu 😂😅
@jaffjeff69129 ай бұрын
Unamaanisha Sebia au
@nashonikazabukeye52599 ай бұрын
Niunganishe na hyo muabazajan nimuoee kama ana weza kuja kuisha Tanzania
@OfficialDatingAssistance9 ай бұрын
Ingia mtandaoni utawapata
@upendogreutert1999 ай бұрын
SO binti Ukiwa huna BIKRA jipangeni kwa nchi hii 😂😅
@henryvictor12079 ай бұрын
Huku ni rahisi kumkuta mdada wa 35 years na bado hajaguswa, yaani mpaka ndoa aguswe😅😅😅