No video

UNAWEZA PATA MTU SAHIHI HATA KAMA UNAWATOTO | NILIDAI TALAKA MWENYEWE | BINTI HAKIKISHA UNAKIPATO

  Рет қаралды 24,490

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Terry ameeleza maisha yake kutoka Tanzania mpaka Belgium, ambapo ameeleza alikutana na changamoto ya ndoa ambapo ilibidi aivunje ndoa yake ili apate amani yake
Anakwambia mwanamke hakikisha unakipato chako ili uweze kuanza upya usikae sehemu ambayo unateseka moyoni.
Kua na watoto sio kigezo cha kukosa kupendwa na kupata mtu sahihi.
Never settle for less, ingia kwenye mahusiano kwa nia safi na sio kwasababu ya kupewa maisha mazuri.
Thank you Terry for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 136
@graceandrew3988
@graceandrew3988 4 ай бұрын
Beautiful with brain❤❤❤nimekupenda dada kwa kufahamu thamani yako na nini unahitaji katika mahusiano. Hii ndo imekupelekea kupata Mr.Right,hongera sana kwa kuwa mpambanaji,Mungu akukuzie wanao..
@happinessshija5136
@happinessshija5136 3 ай бұрын
Umeolewa ndoa mbili,umezaa na wanaume watatu tofauti na bado umeolewa mwanaume ndoa ya tatu,UMENIFANYA NILALE USINGIZI MNONO SANA asante Kwa kuwa mkweli umenisaidia single mazazi mie🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 3 ай бұрын
Ndoa mbili sio tatu😊
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 2 ай бұрын
She s selfish nd Feminist 😂😂😂 huyu Dada atakuponzeni ana Matatizo!hana Raha hata kidogo.hana namna nyingine. Mwanaume wake ni Wale wanaume zaifu🤣 Fikra zake mbaya sana.badaa ya kuzaa watoto na wanaume mbalimbali ye anatoloka tu ili apate furaha yake,hajali mazala yake na watoto je wanafurahia!?. Anavunja familia za wana ili awe na furaha yake binafsi. Ndoa si mahali pa furaha.ni Msingi mgumu wa familia Huezi ondoka tu sababu hufurahii. Huo Mme s not Mature, he a weak Una m control ndo maana unasema mnaendana.
@NoraNora-gv7md
@NoraNora-gv7md 2 ай бұрын
😊​@@burundishallsmile1day109
@user-zh9ny3bx4k
@user-zh9ny3bx4k Ай бұрын
​@@burundishallsmile1day109wewe hujielewi. Sikiliza story yake vizuri. Halafu si wewe umemuoa acha mke wa wenyewe
@ednaednamillanzinia2826
@ednaednamillanzinia2826 3 ай бұрын
Alifunga ndoa halafu akikaa bongo mwakana nusu kama sijakosea ndio aende ulaya,mm nilifunga ndoa 2018 ,niliamia Finland 2021 ,kwa hiyo nilisota kidogo ila nimejifunza kitu ,kwanini Mungu aliruhusu nisote kidogo.Nashukuru Mungu kwa yote na rehema zake.
@theresiamilanzi5907
@theresiamilanzi5907 3 ай бұрын
Hongera wajina mimi nnimependa unabidi ufuate moyo unachotaka
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Ulipata nguvu ya kuachana baada ya kupata kazi. Hongera Ila mwisho wa siku maisha hayafanani,kila mmoja ba na bahati yake kuna wadada wanafanya kazi lkn waume zao hawana muda na pesa zao wanapewa kila kitu
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 4 ай бұрын
Mungu akubariki dada,nimejifunza kitu hapa shuhuda nzuri mpendwa, Hata hapa kwetu,tz hapa wapo , ndoa watu wa 4,hongera kwa Kütahya maamzi magumu ,yupo Mungu amekuandalia ubavu wako dada huyo baba haikuwa mpango wa Mungu,
@hamy255.
@hamy255. 3 ай бұрын
Mdada mzuriii and intelligent 👌 ❤
@reginajohnmaghisa322
@reginajohnmaghisa322 3 ай бұрын
Nampa hongera Sana huyu binti, kujitegemea ni kuzuri Sana wakina mama.
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 3 ай бұрын
Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh dada yangu pole sana umepata shida sana mungu mwema
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 ай бұрын
Ninachokiona dd unaheshima sana na bahati mashallah
@WandishaNatianota
@WandishaNatianota 4 ай бұрын
Super Woman❤
@praisetashblessed7065
@praisetashblessed7065 3 ай бұрын
Mawaidha mema kabisa dada zangu.nimesoma mengi toka kwako mgeni wetu leo hongera na Mora akulinde dear na jamii yako.
@evelynlyimo1557
@evelynlyimo1557 3 ай бұрын
Pongezi za dhati kwa wadada wenzangu wanaojitambuaa,,.Terry hapo Dela kumwacha mwanaume kiistarabu nimekuelewa bila doubt..yaani unaamua kufungasha ujiendee ukapate amani...I really admire such a lady who can say I'm done and dusted,,hugs to you,,be courageous be smarter be amazing 👏
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
❤️❤️
@zainabsibuma-omary7061
@zainabsibuma-omary7061 4 ай бұрын
Tegemezi ni kasumba tu, ambayo wengi tunatakiwa kujibadilisha na kujiwezesha wenyewe na kuongeza nguvu. Mazungumzo mazuri, asanteni.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
🙏🙏
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 3 ай бұрын
Binafsi sipendi kuwa tegemezi yaani we acha tu Mungu anajua
@jacqulinemihayo3544
@jacqulinemihayo3544 4 ай бұрын
Hongera sana Terry..maturity kubwa..hongera shena kwa interview nzuri.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Shukran dear Terry is amazing 🥰
@roseswedi5274
@roseswedi5274 3 ай бұрын
I love this lady...she knows her worth.. The first guy was a narcissist.. She doesn't give up..kindly go back n learn full time nurse
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 4 ай бұрын
Nimempenda huyu dada yupo very understanding
@hellenmwasalwiba6555
@hellenmwasalwiba6555 3 ай бұрын
A very strong woman, may God continue to bless you.
@ruthkyambila397
@ruthkyambila397 2 ай бұрын
Hongera sana binti una "courage" sana nimeipenda story yako.Sina la kusema juu yako ila Mungu akupe maisha marefu ,Watoto na mumewe wako wa sasa
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Barikiwa sana dada mwenyezi mungu akutangulie
@ESTHERKamala-qp7gi
@ESTHERKamala-qp7gi 3 ай бұрын
Ongera sana Teddy wambie wasikie watoto wetu uku wasikie
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 4 ай бұрын
Kwa kweli taf Lady mpole mazungumzo mazuri. Bonsoir madame Je Suis tres contant
@JaniferMichael
@JaniferMichael 3 ай бұрын
Huyo dada anaongea vizuri sana anaongea taratibu mpaka raha
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 4 ай бұрын
Kumbe live Sikuwa nimechelewa sana,mahojiano yaneenda kwa kusikilizana kwa utaratibu mzuri hongereni kwa utulivu wenu.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Shukran dear
@praisetashblessed7065
@praisetashblessed7065 3 ай бұрын
Dada Terry asante sana kwa darasa la siku.ya leo.
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mrembo hakika nimejifunza kitu,stay blessed shena ❤
@miriethdjozep6556
@miriethdjozep6556 3 ай бұрын
Im proud ov u terry 100%
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 ай бұрын
Da shena naitwa Fatma nipo turkey Kuna mambo nayaweka sawa Inshallah Natashea nawewe story maana Kuna yule dada alisema waturuki wanatesa mm nipo kinyume nayy ila mm nimeolewa ngoja niongee na Mr akiniruhusu nitakucheck.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Karibu sana dear
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 4 ай бұрын
Nakusubiriaa kwa hamu uje maana na admire sana utamaduni wao hasa chakula jamani natamani siku niende nikale chakula chao tu kisha nirudi vinaonekana vitamu sana😅 kuhusu kuolewa nao bado najitafakari labda mpaka nikishaona interview yako😅
@aminahashim6882
@aminahashim6882 3 ай бұрын
Nasubiri maana naipenda sana iyo nchi sijui nitafikaje huko
@mmarycalvin6395
@mmarycalvin6395 3 ай бұрын
Turkey is a good country. But you need to have a reason to be here in Turkey.
@OlipBeautyCorner
@OlipBeautyCorner 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@reneebill3742
@reneebill3742 3 ай бұрын
Well done Terry, it's brave to share your story. I am super proud of you❤❤❤
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 3 ай бұрын
Thanks darling 😘😘
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 4 ай бұрын
Mambo warembo, nawapenda, naomba kama hupendi hiki kipindi acha kuliko kutukana sisi tunajifuza vingi sana , kuweni wasarabu msikometi vitu visivyo faaa pls wa tz wazangu.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Ni mtihani kweli, kuna watu wanachuki mpaka wanashangaza sijui hata wanafanya nini hapa..
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 4 ай бұрын
Mahojiano mazuri sana.
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 ай бұрын
Nimependa Sana huyu Dada
@DarKopo
@DarKopo 4 ай бұрын
Nimekupenda ulikuwa na misimamo yako😊
@hora8707
@hora8707 3 ай бұрын
Asante kwa story
@user-wf7oh9jr7v
@user-wf7oh9jr7v 3 ай бұрын
Pole sana.
@happystevemaganga1873
@happystevemaganga1873 3 ай бұрын
Nimempenda huyu dada Ana akili sana❤
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 4 ай бұрын
Oh u are strong woman mami❤
@user-zh9ny3bx4k
@user-zh9ny3bx4k Ай бұрын
We wanadamu wote ni sawa. Nilidet na black America guy guy ni uchungu mazee
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um 2 ай бұрын
Safi ujumbe mzuri
@Selinawangusu
@Selinawangusu 3 ай бұрын
My sister Terry 🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 3 ай бұрын
Hello darling ❤️❤️❤️❤️😘😘
@flaziaisack4038
@flaziaisack4038 3 ай бұрын
The lady is so composed.. nimemfurahia❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
❤️❤️
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 4 ай бұрын
Wazungu wenyewe wana kwenda Africa kuolewa na wanaishi vizuri tuu Tena vijijini Hata WA Masai
@jacqulinemihayo3544
@jacqulinemihayo3544 4 ай бұрын
Hutakiwi kukata tamaa,watu wazuri bado wapo😊kikubwa jua unataka nin?.Kuwa independent ni muhim sana kuwa na cha kwako.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
❤️❤️
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 4 ай бұрын
Kabisa watu wazur bado wapo
@hellenelias8854
@hellenelias8854 3 ай бұрын
Hapo ndo napowaheshimu wazungu,uhusiano utaisha ila kama watoto wapo watawajali hadi mwisho. kuna cha kujifunza kutoka kwao.
@glorymrema9239
@glorymrema9239 Ай бұрын
GIVING UP IS NOT IN MY DICTIONARY, Nmeupenda huu msemo na nitatembea nao🤝🏼
@marykatunzi2613
@marykatunzi2613 3 ай бұрын
Hongera dada
@bugesimataso6478
@bugesimataso6478 2 ай бұрын
Yani suala la kujitegemea kiuchumi ni kitu cha muhimu sana ata kwa sisi ambao tuko nyumbani Tanzania.
@ednaednamillanzinia2826
@ednaednamillanzinia2826 3 ай бұрын
Asante Shane kwa interviews motomoto
@user-iy1np9et3q
@user-iy1np9et3q 3 ай бұрын
Uyu dd kW kweri ananifurahish na mutaradibu
@dominaferuzi3901
@dominaferuzi3901 3 ай бұрын
Wazungu wana maisha kama yetu tamaduni ndio zinatofauti Wazungu wana tabia zote tulizonazo watanzania zote mbaya na nzuri
@dominaferuzi3901
@dominaferuzi3901 3 ай бұрын
Pia wadanganyifu na ubabaishaji kuna wanaobabaisha
@user-ku5so9sb2t
@user-ku5so9sb2t 17 күн бұрын
Naomba namb yako ddaa
@amoskipruto5872
@amoskipruto5872 3 ай бұрын
Huyu dada ni mrembo sana
@user-zh9ny3bx4k
@user-zh9ny3bx4k Ай бұрын
Dada nimependa msimamo wako. Wewe ni super woman
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 4 ай бұрын
Huyo mtanzania alikuwa anaenda n'a kurudi sababu ni Mask a covert narcissist alikuwa has other supply /supplies huwa wako hivyo ,hongera ulikuwa n'a msimamo angekuumiza sana .
@halimamkuta5704
@halimamkuta5704 4 ай бұрын
Terry ni super woman nmempenda naongea taratibu
@Selinawangusu
@Selinawangusu 3 ай бұрын
Tupé nafasi Na sisi huku Sweden, tukupe expeariance yetu , itawasaidia watazamaji wengi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Karibu sana Tuwasiliane whatsapp +4367764790884
@irenembura8045
@irenembura8045 4 ай бұрын
Nimekupenda sana unavyoongea na unajiamini saana, sio kama wengine yuko ulaya mwaka tuu hata kiswahili kuongea ni shiida!!!
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Umehonae yuko vzr
@user-go8nq7gi5k
@user-go8nq7gi5k Ай бұрын
❤❤
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 4 ай бұрын
Wabaya sio woote na Wazuri wapoo Isolate. Tamaa
@annamallya8756
@annamallya8756 3 ай бұрын
❤❤❤
@JazilaSiraja-st8cu
@JazilaSiraja-st8cu Ай бұрын
Huyo anaetukana achana nae kuathirika kisaikology s jambo dogo😂😂
@winniemyamba1630
@winniemyamba1630 4 ай бұрын
Terry! Shoga etu miss you
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 4 ай бұрын
😍😍😍 upo kumbe nawewe huku
@winniemyamba1630
@winniemyamba1630 3 ай бұрын
Terry nazama DM umenikosha
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 3 ай бұрын
@@winniemyamba1630sawa karibu
@user-zh9ny3bx4k
@user-zh9ny3bx4k Ай бұрын
Nilivumilia ikanishinda
@jasminemussa
@jasminemussa 3 ай бұрын
❤❤❤terry
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 3 ай бұрын
❤❤❤
@karthala6676
@karthala6676 3 ай бұрын
@samniza9015
@samniza9015 3 ай бұрын
Ni mentality ya Huko Huko home. Malezi sijui!! I don't know, nimeondoka bongo nikiwa bado shule, nikafika hapa kuendelea na masomo na culture ya huku ni wote mnatafuta, wapo wenye pesa ambao wanataka uwe Mama wa nyumbani kama mahali popote pale duniani, but majority is we work and contribute .
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 ай бұрын
Mahojiano yamependeza usikivi umetulia
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
🙏🙏
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Hata mi hiyo ndoa ingenishinda Wazazi tena kuingilia mambo yenu sio issue
@AgripinaPaul
@AgripinaPaul 17 күн бұрын
Mtu anawezaje kudeti?
@LeilaMussa-sn8uz
@LeilaMussa-sn8uz 2 ай бұрын
Dada ninejifunza mengi kupitia hii story hii but nahitaji ushauli nina mzungu ni from Germany tunamahusiano miaka mi 3 sasa lakini hana future yeyote simuelewi nishauli nifanye Nini
@maernov4257
@maernov4257 2 ай бұрын
Dada nakupataje naitaji kuongea na ww nimependa kipindi chako
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 4 ай бұрын
Usikate tamaa na uhai bado upo
@user-hu3tj8ju7z
@user-hu3tj8ju7z 3 ай бұрын
I want to help someone but dont know how maybe you can advise??
@elingimiemakundi1229
@elingimiemakundi1229 3 ай бұрын
Kindly check with me
@maishayetu6182
@maishayetu6182 3 ай бұрын
What kind of help do you want to offer
@flomenakamugisha
@flomenakamugisha 3 ай бұрын
Shena naomba nielekeze namna ya kulipia kwenye app
@karthala6676
@karthala6676 3 ай бұрын
Watu wawache kufikiri mzungu anamapesa. Umaskini télé ulaya
@DoreenMwanga-dg7xp
@DoreenMwanga-dg7xp 3 ай бұрын
Jamani mtu anayetukana ajalazimishwa kuangalia mbona kuna vitu vingi vya kuangalia tuwe na adabu muda mwingine tuheshimu mda wa mtu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Tena anaangalia mwanzo mwisho ili atoe matusi, Afya ya akili ni muhimu sana
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 3 ай бұрын
Da shena achana nao hao
@chapter2719
@chapter2719 4 ай бұрын
Huyu dada nampongeza kuolewa na usingle Mama watoto watatu lakini kutuambia alikuwa anagari na kazi siamini maana hiyo nchi ni ngumu sana
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 4 ай бұрын
Kwanini usiamini? Kila mtu Mungu amemuandalia maisha yake hatufanani. Asante kwa pongezi 🫶🫶
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Nchi zote ni ngumu kama huna documents na hujaamua kusoma lugha zao na taratibu zao.. Ugumu unaweza ukawa umeupata wewe na wengine wasipate 🤷‍♀️
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 3 ай бұрын
Huwezi pata mali ya mzungu , hujachuma nae , hasa hapa Belgium . Chuma chako 😅
@benjaminwabenga9068
@benjaminwabenga9068 3 ай бұрын
Kipindi kizuri sana.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
🙏🙏
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Sana
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 2 ай бұрын
Ukisikia Mwanamke anawashauli wenzake wajitegemee,wasitegemee waume zao basi vua viatu,kimbia sana Shetani. Feminists like this 1 are the reason women break families. For selfish Happiness
@tinaminja5500
@tinaminja5500 4 ай бұрын
How r uuu
@meshofatma1033
@meshofatma1033 4 ай бұрын
Nimekukubali sana dada yan upo kama mimi
@sellysang7504
@sellysang7504 3 ай бұрын
Hi beautiful people 💕 hi Shane I left a message for you in WhatsApp ❤❤❤❤🎉
@theresiamilanzi5907
@theresiamilanzi5907 3 ай бұрын
Naomba namba yako mimi ni ltaliy roma
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
+4367764790884
@user-hu3tj8ju7z
@user-hu3tj8ju7z 3 ай бұрын
Dada Shena naomba number yako please.
@user-hu3tj8ju7z
@user-hu3tj8ju7z 3 ай бұрын
Dada Shena naomba number yako please
@Keyjop
@Keyjop 3 ай бұрын
@officialdatingasistance mbo kuipata hiyo app imekua ngumu saana ..naipataje?
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Ingia play store, dating app nyingi sn kazi ni kwako hakuna ugumu wowote
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 4 ай бұрын
Nmekuja susikiliza yasonihusu😊😅😅😅 nna usingizi ila ntasikiliza tu😂
@hedayamohammed2781
@hedayamohammed2781 4 ай бұрын
@JacklineAlilah-bp3mp
@JacklineAlilah-bp3mp 4 ай бұрын
❤❤
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t 3 ай бұрын
❤❤
@user-bx3fh1ze6i
@user-bx3fh1ze6i 3 ай бұрын
❤❤
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 7 МЛН
NILINYIMWA VISA NA NDOA YANGU MKONONI | CHANGAMOTO NILIZOPITIA NA NAMNA NILIVYOZIKABILI
1:04:45
MAMA MKWE ANANICHUKUA NA KUNIPATIA STRESS | ANATAKA AMCHUKUE MTOTO WANGU SLOVAKIA
47:15
Official Dating Assistance
Рет қаралды 18 М.
KUTENGANA KWA MUDA KUNASAIDIA KUJENGA NDOA | MAISHA YA ULAYA YANA DEPRESSION NYINGI
1:01:00
KOSA LA MOYO KUPENDA: SIMULIZI TAMU YA SAUTI.
2:00:37
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 6 М.
RAFIKI AKAWA ADUI BAADA YA KUJUA MUME YUPO UK |MTANDAO UNAVYOSAIDIA KUANZISHA MAHUSIANO
1:35:30
MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
57:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 73 М.
ANAJALI MBWA NDIO MTOTO WAKE | KUISHI NA MZUNGU KUNAHITAJI KUJISIMAMIA
1:08:35
Official Dating Assistance
Рет қаралды 14 М.
WAJERUMANI WABAHILI | NILILIPIA MTANDAO MARA NNE LAKINI WAPI
1:30:46
Official Dating Assistance
Рет қаралды 46 М.
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 7 МЛН