Wanawake wawili wakwama Nairobi baada ya kuhudhuria uapisho wa Rais Ruto

  Рет қаралды 69,170

NTV Kenya

NTV Kenya

Жыл бұрын

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер: 390
@fectoryab1833
@fectoryab1833 Жыл бұрын
Mama mboga anaulizwa appointment 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@macharosandra9467
@macharosandra9467 Жыл бұрын
😂😅
@norahmakrean525
@norahmakrean525 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mariamomar1735
@mariamomar1735 Жыл бұрын
Hahaha
@georgesimiyu8407
@georgesimiyu8407 Жыл бұрын
That's a very gud lesson learned, watu walee familia zao,na pia mjiheshimu,a whole woman unajifanya eti uko na mkokoteni unaenda kwa uapisho,kila laheri
@mumbiwachira9397
@mumbiwachira9397 Жыл бұрын
A lot of nonsense
@lavenderakoth855
@lavenderakoth855 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@noahowino5473
@noahowino5473 Жыл бұрын
Hahahaha,,my friend this is funny,,
@amosoluoch9770
@amosoluoch9770 4 ай бұрын
Na niliwawarn😂😂😂
@fectoryab1833
@fectoryab1833 Жыл бұрын
Sasa ona hii ujinga Chukueni WHEELBARROW 😂😂😂😂😂
@Beingme2024
@Beingme2024 Жыл бұрын
Ongeza volume 😂😂😂😂
@LK-xm1tj
@LK-xm1tj Жыл бұрын
These are just attention seekers. Zawadi gani na mlikuwa na 200/- only. Why can't they walk back with same determination as they came? Next time stay at home and take care of your families. Or run real marathon and get real trophies.
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 Жыл бұрын
True. Tell them again.
@mikkello3590
@mikkello3590 Жыл бұрын
Zawadi ilikuwa mkokoteni. It's a nice light weight mkokoteni.
@niyomugabojohn8329
@niyomugabojohn8329 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Wakimbo-Ent
@Wakimbo-Ent Жыл бұрын
Nani alimtoa sugoi....kaguu na njia hadi sugoi and next time stay indoors
@davismate6999
@davismate6999 Жыл бұрын
brilliantly said! how did they expect to get back? this is high of responsibility watu waache kubebesha wengine mizigo ya kujitakia ...
@kenmbai7786
@kenmbai7786 Жыл бұрын
If they trekked from Sugoi To Nairobi for WSR swearing in, why is it hard for them to trek back from Nrb to Sugoi with their mkokoteni?
@thevineyard7149
@thevineyard7149 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@mintonationtv5075
@mintonationtv5075 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@euniceprosper7616
@euniceprosper7616 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@faithmutuku3048
@faithmutuku3048 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@amosoluoch9770
@amosoluoch9770 4 ай бұрын
Surely
@gkgreg7445
@gkgreg7445 Жыл бұрын
Kwa hivo haikuwa kujitolea ni kutafta pesa😂😂😂😂
@mohammadbora8175
@mohammadbora8175 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 uapisho uliisha xaxa c warudi wanaaibisha hta mabwana zao hawa
@beatriceminoo4313
@beatriceminoo4313 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jacklinemutie8901
@jacklinemutie8901 Жыл бұрын
Wajiga Hawa... walikuwa wanaenda wapi
@mohammadbora8175
@mohammadbora8175 Жыл бұрын
@@jacklinemutie8901 c wangemsubiri huko sugoi c pia ana makao huko..
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 Жыл бұрын
Ni tamaa ya kutaka kusaidiwa kimaisha chezea njaa wewe ati watoto awajafungua shile waruto wanasona canada wao wakesha na tamaa zao
@gee2638
@gee2638 Жыл бұрын
ile upuzi iko Kenya 😂😂😂
@umpump8472
@umpump8472 Жыл бұрын
Kweli niupuzi
@lydiahdominique1326
@lydiahdominique1326 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂wacha nicheke tu. Kenya sihami!, Kujituma the way to go!
@TeacherBeatrice_
@TeacherBeatrice_ Жыл бұрын
How can a man allow his wife to do such a thing,thank God hamukupatwa na jambo mbaya njiani,wanyama mwitu,kubakwa na hata kuwaawa wanadamu siku hizi wamekuwa wanyama pia.that is a huge risk for a woman
@ipetert5372
@ipetert5372 Жыл бұрын
Wamezidi wamekaliwa Chapo mayai
@marywaaquilla3183
@marywaaquilla3183 Жыл бұрын
Rudi na mkokoteni sugoi Kwa haraka sana
@t-shirtguy
@t-shirtguy Жыл бұрын
clout chasers....hawa wanataka doo
@polinekilengelu9163
@polinekilengelu9163 Жыл бұрын
Yaaaaaaaaaaaaaa.....true
@wanjohimuriithi1904
@wanjohimuriithi1904 Жыл бұрын
Stupidity of the highest level! Uhuru Kenyatta foresaw this when he said " Ile upuzi iko Kenya jameni, ni mwingi sana"
@beatriceminoo4313
@beatriceminoo4313 Жыл бұрын
For sure
@noahowino5473
@noahowino5473 Жыл бұрын
Hahahahahahaha
@godfreymuasya2869
@godfreymuasya2869 Жыл бұрын
Iam sure our beloved president will finally meet this Ladies. Much of my focus is on this Lady who received and welcomed the stranded Sisters to her home, taking all possible responsibilities and at some point risks to her own self , from the look of things and far on spiritual perspective,this moral act being very rare to Nairobians, receive my humble greatings, and again salute you for your kindness, the message you have relayed to us Kenyans is that we all are human beings and we need each other at some point, that we be keepers for each other, not necessarily those we know alone. My message to you is that, by way of blessings God will amaze unbelievably, Keep doing good to others. Barikiwa Sana Dada
@emilywawira6346
@emilywawira6346 Жыл бұрын
For now ako busy
@njokimacharia5419
@njokimacharia5419 Жыл бұрын
Waaah Mimi ata kama nampenda aje huyo president Wacha nimuonee kwa TV 😏
@rotichrobert5948
@rotichrobert5948 Жыл бұрын
Very sad.....Please hii poverty inatuumiza kabisa...next time don't do something like that next time.....
@Hopewavinya567
@Hopewavinya567 Жыл бұрын
Chukua hawa wakale wajinga urudishe sugoi kwa wajinga
@lilylilian8729
@lilylilian8729 Жыл бұрын
😂😂😂
@umpump8472
@umpump8472 Жыл бұрын
Mimi ni mecheka karibu mbavu zivunjike. Lakini ni kujizuzuwa wana dhani ni watapendwa gooo
@pamelab1734
@pamelab1734 Жыл бұрын
Jameni poleni Hussle in Nairobi then. You already have mkokoteni. Ukibebea watu mali hapo marikiti... you will go back home richer. Hustler ni bidii tu ya mtu.
@ashameyomfatma347
@ashameyomfatma347 Жыл бұрын
At least you managed to appear in the media and now famous and also you got a lesson,,,,ni ujipange mana hakuna kapangwaga.
@aminawebo7014
@aminawebo7014 Жыл бұрын
Sasa hata unawacha Boma yako na watoto , mungu ndio umaliza mzigo ya
@ashameyomfatma347
@ashameyomfatma347 Жыл бұрын
Ati ana Zawadi ya Ruto , tena wakapimwe akili pengine dishi limeyumba.
@tristandacunha4752
@tristandacunha4752 Жыл бұрын
That "msamaria mwema" knows how to play her game,she will definitely get a % of what they get, talk of jumping into opportunities .
@isaacnyadianga5344
@isaacnyadianga5344 Жыл бұрын
Mtajua Nairobi ni shamba la mawe
@sheengazi4245
@sheengazi4245 Жыл бұрын
Ata nyumbani kwa kakaako lazima utoe taarifa yakwamba utamtembelea,sio ujiendee kamaambae nikwako home
@betformula98
@betformula98 Жыл бұрын
Wasee wa Azimio wamefurahi😂😂😂. Acheni kina mama wa hustle finally wataonekana na wapewe kitu, 400km si mchezo😂. I wish them good luck.
@lucyanyango1573
@lucyanyango1573 Жыл бұрын
Na ilikua ni sherehe kubwa sana thank you very important 🗣️
@noahowino5473
@noahowino5473 Жыл бұрын
Aaayaaa,nyier eliel
@lucyanyango1573
@lucyanyango1573 Жыл бұрын
@@noahowino5473 🤣🤣🤣🤣🤣 aol
@sallykanja2744
@sallykanja2744 Жыл бұрын
this life is about working hard and not waiting for handouts,us we are in Nairobi and we watched this from our screens,I JUST HOPE THE PRESIDENT WATCHES THIS and come to your rescue, am sorry though
@willismcary1862
@willismcary1862 Жыл бұрын
4 minutes of my life am never getting back.
@alfredokubo5516
@alfredokubo5516 Жыл бұрын
Madness has limits
@Uzuri-kenya
@Uzuri-kenya Жыл бұрын
That moment was politics, but you people took it too far, politics ended on 8th of August 2022
@jeptookotos3347
@jeptookotos3347 Жыл бұрын
kakoaibishanech neya...
@Uzuri-kenya
@Uzuri-kenya Жыл бұрын
@@jeptookotos3347 I wish walengwe na dp
@albertkamau586
@albertkamau586 Жыл бұрын
consider it done
@albertkamau586
@albertkamau586 Жыл бұрын
mhesh ndindi shughulikia hawa tafAdhali
@bobbybrians843
@bobbybrians843 Жыл бұрын
Women will show us wonders ndo maana tuko apa tunateseka saii tungekua Eden tunakula na kulala bila stress😌😌
@aashifharun7530
@aashifharun7530 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@nusramunini9650
@nusramunini9650 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 Жыл бұрын
Mungu awabariki
@reelax789
@reelax789 Жыл бұрын
Hihi
@wawudasowa6145
@wawudasowa6145 Жыл бұрын
Hahaaa,,,,, taabu ya kujitakia hiyo ladies. Walk back to sugoi, just as you walked from there to Nairobi 😂
@gladysmurage247
@gladysmurage247 Жыл бұрын
Hahahaha....kupata ruto ni shida sahii...zawadi no wewe
@princessfa2872
@princessfa2872 Жыл бұрын
If they think human being can sort their problem then let them die of poverty......
@safinaamutabi2843
@safinaamutabi2843 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana nyinyi nendeni ushako state house is not like heaven
@lucyanyango1573
@lucyanyango1573 Жыл бұрын
😁😁😁😂
@shufaaesala3511
@shufaaesala3511 Жыл бұрын
Nyinyi ni wamama wapumbavu sana.kelba
@milkahmadege6027
@milkahmadege6027 Жыл бұрын
😂😂😂
@convinemukidanyi864
@convinemukidanyi864 Жыл бұрын
Alaaa!!! Nilidhani ilikuwa kujitolea 🤣🤣🤣
@MugweKamau1960
@MugweKamau1960 Жыл бұрын
God is Great! May Blessings rain on the ladies involved and also to their loved ones The rewards (and the punishment for all those mean participants) will be delivered right here on earth!
@avatar3879
@avatar3879 Жыл бұрын
Am sure uncle Bill will heed to their wish and grant them audience! Wacheni kuwatusi kila MTU hufanya kulingana na uwezo na maono yake.
@dennisondieki2412
@dennisondieki2412 Жыл бұрын
Pole sana ujinga ni kitu kibaya rudi nyumbani wacheni ujinga hayo ndio malipo ya hustler
@reginakaloki6590
@reginakaloki6590 Жыл бұрын
Malipo ya Hustler halafu upate bwanako got married to another woman
@kennedyayuka9065
@kennedyayuka9065 Жыл бұрын
@@dennisondieki2412 utalaaniwa kuto matusi Kwa wasazi wetu
@kenobumba8792
@kenobumba8792 Жыл бұрын
Kama walifanya kulingana na uwezo na mano yao warudi Sugoi basi waache kutuchafulia news.
@cmg8683
@cmg8683 Жыл бұрын
@@reginakaloki6590 😂😂😂
@saadiasiman3946
@saadiasiman3946 Жыл бұрын
very sad indeed surely
@alexmutua252
@alexmutua252 Жыл бұрын
Kwa mkale 300 kilometers nikindongo sana
@JosephMwema
@JosephMwema Жыл бұрын
Walipita hiyo highway yote mbio kama bus ya *Eldoret Express* wakikuja inauguration Nairobi.
@charleskyalo3193
@charleskyalo3193 Жыл бұрын
Juxt remember pastor from ukambani going to state house mpaka wa Leo atujui poleni Sana so sad
@sankofaman4112
@sankofaman4112 Жыл бұрын
😆😆😆😆. Musubiri hapo kidogo naongea na Farouk Kibet awatumie fare 😂😂😂😂😂
@alicembari8190
@alicembari8190 Жыл бұрын
This was a bad idea for this two woman to try to get attention from the President. Kenyans are hustling and Kenya is full of debts to start rewarding random people just the way they did with githeri man. She should go back to her kibanda and continue with her daily hustle
@evarlynemwenywa6928
@evarlynemwenywa6928 Жыл бұрын
I agree Alice hakuna pazuri watu wajikaze tu
@sueshi3792
@sueshi3792 Жыл бұрын
IGNORANCE IS VEEERY EXPENSIVE, IGNORANCE PEGGED ON TRIBAL ALLEGIANCE IS EVEN WORSE...
@josephineomeno5518
@josephineomeno5518 Жыл бұрын
Mtapata mzee ameoa na watoto hawako shule🤣🤣🤣
@mabletandawili4128
@mabletandawili4128 Жыл бұрын
Kama wangekua watu wa mlima Ruto ange wasaidia Haraka yy hushugulika na watu mlima kuliko watu wa kwao
@jacklinemutie8901
@jacklinemutie8901 Жыл бұрын
Ukikutana na ruto shida zako zitaisha Kwan ruto ni mungu.....jinga sana
@hezronkwaso1927
@hezronkwaso1927 Жыл бұрын
We azimio team tolerating nonsense no no 😆😆😆😆😆😆 ujinga Wacha wakuame na wilbarrow
@gladysmudi8727
@gladysmudi8727 Жыл бұрын
Walitaka kujionyesha mwishowe ni aibu kwao....mimi Azimio sipanduki
@kahiyemohammed8556
@kahiyemohammed8556 Жыл бұрын
mimi ni azimio damu lakini wakina mama wazaidiwa fadhlan thy are human being, give them comfortable place to sleep , delicious food, luxury car, admitt them thy are patriots, ruto please give them five hundreds thousands each fro ur pocket.
@mohammadbora8175
@mohammadbora8175 Жыл бұрын
Mm pia n azimio damu but huo wao n mcba wa kujitakia usiohitaj pole kaka
@stenammusicgroup8573
@stenammusicgroup8573 Жыл бұрын
This is the kind of people we need to this country, may God bless her for her kind heart.
@jackochibz5646
@jackochibz5646 Жыл бұрын
sasa heart gani surely hahah
@ashameyomfatma347
@ashameyomfatma347 Жыл бұрын
Which kind are you meaning dear,,,, au ni mapepo?
@karuripatrick
@karuripatrick Жыл бұрын
si warudi tu mguu, huu ni upuzi
@tujutuju2567
@tujutuju2567 Жыл бұрын
Wakwame na wako na gari ya hustlers ? How?
@Dillie-dally
@Dillie-dally Жыл бұрын
Nani alikuambia utembee shenzi
@RK-xv1si
@RK-xv1si Жыл бұрын
Please hustle let’s help them they’re our patriot!
@johnbrown3235
@johnbrown3235 Жыл бұрын
lead by example.
@faithkinyanjui8903
@faithkinyanjui8903 Жыл бұрын
@@johnbrown3235 😂😂😂😂😂😂well said
@marvindacha8651
@marvindacha8651 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@christinembuva71
@christinembuva71 Жыл бұрын
Hata Mimi Niko na wheelbarrow
@usiniletee
@usiniletee Жыл бұрын
Nenda statehouse huko ndio Rachel Ruto ako. Mutasaidiwa
@stephenkaranja1485
@stephenkaranja1485 Жыл бұрын
Ushai ona mkokoteni kwa statehouse
@judithamagove2251
@judithamagove2251 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@newsgang254
@newsgang254 Жыл бұрын
Kenyans please tuwache upuzi ya siasa hatuwezi tajirika ivo vile tunafikria tafadhali tujifunze vile tutaishi kwa sababu penye tunaelekea nipagumu
@alicehamisi3140
@alicehamisi3140 Жыл бұрын
Safe journey wa mama wezangu
@mariamkitekha9233
@mariamkitekha9233 Жыл бұрын
😂😂😂😂 hasola nation ,, kazi ni kazi,, mama mboga
@mohammadbora8175
@mohammadbora8175 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kwan hilo kokoteni halina kitu.....
@mariamkitekha9233
@mariamkitekha9233 Жыл бұрын
@@mohammadbora8175 na kumbuka halitumii fuel,
@mohammadbora8175
@mohammadbora8175 Жыл бұрын
@@mariamkitekha9233 liliwafurisha kuja nairobi na xai lahitaj kurudishwa sugoi tena, lakin kulingana na yale masaibu wanayopitia sioni wakirud nalo hilo kokoteni....
@mariamkitekha9233
@mariamkitekha9233 Жыл бұрын
@@mohammadbora8175 ndio maana ya hasola , walikua wakiimba hasola na hawajui maana yake , wamejua sasa😂😂
@irenekioi1754
@irenekioi1754 Жыл бұрын
Little knowledge is very dangerous
@annewanjiru5922
@annewanjiru5922 Жыл бұрын
True
@amedeogikonye4694
@amedeogikonye4694 Жыл бұрын
The amount of energy spent by those two mums was too much. They should have waited him at Sugoi. I pity the children who are still waiting mums to take them back to sch. Other hustlers in nbi can assist them to back. They were trying their luck like many others in these hard times.
@christinembuva71
@christinembuva71 Жыл бұрын
Amen muazie KAZI ya mkokoteni huku Nairobi na hio zawadi yako uuze hili ukodi nyumba Nairobi
@joicmartin7012
@joicmartin7012 Жыл бұрын
Hakuna kiuk" anaweza fanya hivi.. ruto mlimtafutia kazi.. nanyi.. HAMNA
@MrBonafide300
@MrBonafide300 Жыл бұрын
Hawa ni ma toast haha Ruto ata hajui story yenu😂
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
Shida zao😂😂😂😂
@dorineatieno6927
@dorineatieno6927 Жыл бұрын
Mgogoteni imepotea hajui mahali Iko,lkni bdo anataka kuenda state house apeleke zawadi...Sasa zawadi gani?😂😂😂😂
@abdallamombasa4859
@abdallamombasa4859 Жыл бұрын
Poleni sana !!!
@annkimani9434
@annkimani9434 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣wah wameachwa Na mabwana zao
@jenipherawuor4282
@jenipherawuor4282 Жыл бұрын
Pole sana hasola
@ipetert5372
@ipetert5372 Жыл бұрын
So the whole thing was an appointment at state house. Hustlers life ni kujipanga kama njiwa
@josphatongori7414
@josphatongori7414 Жыл бұрын
Waende Karen wakae uko😅😅😅😅😅😅
@morineopana8991
@morineopana8991 Жыл бұрын
C mkemboi sasa 😂😂😂😂
@makuikisaka7266
@makuikisaka7266 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@gladysmudi8727
@gladysmudi8727 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃
@samuelndegwamburu3273
@samuelndegwamburu3273 Жыл бұрын
Mwenye kumtegemea binadamu, trust in God first then God will send yu an angel for your needs
@singhrishabh4121
@singhrishabh4121 Жыл бұрын
Kama walitembea mbona wanashindwa kurudi. Wakona miguu na njia hijafungwa, hivo hivo warudi
@kefaaboki6387
@kefaaboki6387 Жыл бұрын
Hustler hoiyeeeee!!!!
@gladysmudi8727
@gladysmudi8727 Жыл бұрын
Warudi kwao washaona jiji kuu
@nyabwansufred
@nyabwansufred Жыл бұрын
Oh shit Hadi SAA HII??
@user-oc6gz1ry8w
@user-oc6gz1ry8w Жыл бұрын
Mambo na kuona ruto sai hakuna 😂😂😂hiyo ilikuwa njia ya kupata kura...rudi tu polepole
@quilletyakuza3974
@quilletyakuza3974 Жыл бұрын
Kwani hadi wenye waliapisha the president elect pia wanaulizwa appointment 🤣🤣🤣🤣 mayie
@nicksmambo8047
@nicksmambo8047 Жыл бұрын
Si walitembea kuja nairobi,sasa kurudi ni issue tena?Wasugue lami warudi
@wanyamuthimookariuki2012
@wanyamuthimookariuki2012 Жыл бұрын
Hope he remembers them like mordekai was remembered..
@focusdaily2742
@focusdaily2742 Жыл бұрын
Modekai,,,,,? Absurd comparison,
@samwelkirimi5939
@samwelkirimi5939 Жыл бұрын
Watu waache ujinga wake ya walikaa nyumbani na rahisi aliapishwa alitembea kwa manufaa ya tumbo zenu so mjisort rahisi akichaguliwa kushuhulikia mtu binafsi mbali ni wakenya kwa jumla leo mkikaribishws ikulu kesho ni wengine na shauri wakenya wenzangu tungozee huduma za sherekali tukiwa kazini
@puritykariuki6324
@puritykariuki6324 Жыл бұрын
My question is who is looking after your kids surely??
@edwardkamau9063
@edwardkamau9063 Жыл бұрын
Ruto uko wapi?
@youngsaka6681
@youngsaka6681 Жыл бұрын
They are not serious 😂😂😂😂. Yaani ilikuwa Ni Biashara tena
@faithmutua2485
@faithmutua2485 Жыл бұрын
Watu wanapenda sympathy 😂....walikua wanafanya hivo for something in return
@JosephMwema
@JosephMwema Жыл бұрын
Most certainly! It was just a smoke screen for something else.
@charitymwende1362
@charitymwende1362 Жыл бұрын
Hii ni mchezo nyiyi wa mama,just go home
@victorodehe6160
@victorodehe6160 Жыл бұрын
Bottom up!!
@marymata8977
@marymata8977 Жыл бұрын
Coming mashujaa day mutatunzwa na Uncle willi kwa hakika nyinyi ni wa bottom up party
@dfc8558
@dfc8558 Жыл бұрын
Aaahhhh hapo sasa iyo ndio tawaya hasola nilikuwa nafikiria anti mta mpika mumukule shetani Milicent saudi Arabia
@samcaptain001
@samcaptain001 Жыл бұрын
Once you walk 400km na miguu trust me even your foot soles will take 1month to heal
@joicmartin7012
@joicmartin7012 Жыл бұрын
Kalenjin can walk
@hudhudisonline2040
@hudhudisonline2040 Жыл бұрын
@@joicmartin7012 and run
@johnbrown3235
@johnbrown3235 Жыл бұрын
@@hudhudisonline2040do they have reverse gear?
@growingandlearning7064
@growingandlearning7064 Жыл бұрын
@@johnbrown3235 No, forward ever, Ruto himself has never lost an election. No retreat no surrender.
@noahowino5473
@noahowino5473 Жыл бұрын
@@johnbrown3235 hahahahaha
@junenadine6512
@junenadine6512 Жыл бұрын
That was a bad idea and since i saw them in sugoi claiming they will walk, a part of me like fellow kenyans knew it was a bad bet,innocent naive kenyans who really bought the mama mboga narrative
@lucyoduor7975
@lucyoduor7975 Жыл бұрын
Mimi bora Ng'ondi amekuwa speaker of the Nairobi county Assembly period.... Women from Sugoi you can just continue to wait for your son....nilazima uwe na appointment.
@kelvinkiprotich3524
@kelvinkiprotich3524 Жыл бұрын
Ndio bottom up sasa .. aty government ni yenu na hamna hata CS moja 😄 mtoto amesahau nyumbani
@hudhudisonline2040
@hudhudisonline2040 Жыл бұрын
Wako na prezzo
@reginakaloki6590
@reginakaloki6590 Жыл бұрын
Wangehamia State House
@jamilasalim7165
@jamilasalim7165 Жыл бұрын
Huo mda wa kutembea kite huko bila kulipwa na utowa wapi Jeri mngebaki tu nyumbani,ni wangapi walikuja na walirudi
@lilylilian8729
@lilylilian8729 Жыл бұрын
Si mlitaka kua famous Haya ndio hiyo
@jamespeter5060
@jamespeter5060 Жыл бұрын
Bottom up hiyo
@noahowino5473
@noahowino5473 Жыл бұрын
Hahahahahahaha,,,this is juicy,,,,
@jamaalmallo136
@jamaalmallo136 Жыл бұрын
Sasa si nyi ni mashabiki sugu ...
@singhrishabh4121
@singhrishabh4121 Жыл бұрын
Unampa zawadi gani na hiyo mkokoteni hijabeba kitu. Nyi wamama pia😄
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 Жыл бұрын
Raila hakurudi Bondo vile mlisema. Raila is abroad. Wewe umeshindwa hata kurudi kwenu. Pumbavu sana
@mohammadbora8175
@mohammadbora8175 Жыл бұрын
😂😂😂
@christinembuva71
@christinembuva71 Жыл бұрын
Chukueni mkokoteni mrudi kwenu mmoja anakalia juu Yule mwingine anavuta mbele mmoja akibebwa for 2 kilometres anashuka na kumbeba mwezake 2 kilometres hapo mtakuwa mmekata distance badala ya 400km itakuwa 200k hili mkarudishe watoto shule president atawakubuka baadaye lakini mjue Raisi akijanguliwa ni Raisi WA watu wote Kwa hivyo kila MTU akisema anataka kuona president Kenya mzima?? ndio shida zake ziishe????
@mintonationtv5075
@mintonationtv5075 Жыл бұрын
Wakale wamepatikana🤣🤣🤣
@blessingsblessed2894
@blessingsblessed2894 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣bresident haki kukosa ni kibaya Hawa lengo lao lilikuwa pesa mbona waende State House kama walikuwa na lengo la kuapisha
@piusmutinda4598
@piusmutinda4598 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 ulikua unaenda wp
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 11 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 25 МЛН
Athari za maandamano (Part 2)
26:22
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 53 М.
Ruto, Daring Gachagua is SUICIDAL
20:18
Herman Manyora
Рет қаралды 97 М.
President Ruto defends concessions made on Finance Bill
2:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 33 М.