WANGU WA MOYONI (official Video) - BMM YOMBO VITUKA

  Рет қаралды 82,841

FAMILY OF FATIMA

FAMILY OF FATIMA

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@lovenessebehat6327
@lovenessebehat6327 3 жыл бұрын
Bmm Mungu azidi kutubariki daima mambo ni moto
@calvinabacy6440
@calvinabacy6440 3 жыл бұрын
Sijui nisemenini kwakweli Mungu azidi kuwabariki BMM for life 🧬
@justinambrose3577
@justinambrose3577 3 жыл бұрын
Blessed young boy
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Amina sana🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@stephanhonest6694
@stephanhonest6694 2 жыл бұрын
Watu wamikoani tunatamani kujiunga nayi hakika mmepindua soko la kwaya kwa nguvu mungu ni mwema
@justinambrose3577
@justinambrose3577 2 жыл бұрын
Mnakaribishwa mno
@Faustinak2000
@Faustinak2000 2 жыл бұрын
Napenda huu wimbo sana
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 2 жыл бұрын
Ubinifu mzuri sana...ladha mpya
@geraldtadeo4819
@geraldtadeo4819 Жыл бұрын
Huuu wimbo Mungu anawaonaa mtamu Sana
@felistagasara4492
@felistagasara4492 2 жыл бұрын
Hongereni Sana, nawapenda mno
@cathykamura3521
@cathykamura3521 2 жыл бұрын
Wóoi. Naoa kesho.😂😂 Nahitaji kuimbiwa hii.
@AnnaAmos-u1x
@AnnaAmos-u1x 3 күн бұрын
Hongereni sana ,,namuona Justin
@mkuyu-ben.6746
@mkuyu-ben.6746 2 жыл бұрын
Maisha ni Musiki, na Muziki Mzuri Unaishi! Hngereni kwa kazi nzuri.
@ziadamsemwa2585
@ziadamsemwa2585 3 жыл бұрын
Kaz imeeenda shulee kwakwelii bmm yombo vituka mnajuwa Sana nawapenda Sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 2 жыл бұрын
❤️
@fellisterchamy4986
@fellisterchamy4986 3 жыл бұрын
Hii ni ya kufungia na kufungulia Mwaka...... Mmenishawishi kuserebuka aiseeeeeh BMM Hamjawahi kukosea my Family
@ziadamsemwa2585
@ziadamsemwa2585 3 жыл бұрын
iludiwee wakat mpo studio sikuwepo nawapenda mnoo
@Ynicodemu
@Ynicodemu 2 жыл бұрын
Hongeren BMM, HONGERA IRIS STUDIO
@esterlaizer1372
@esterlaizer1372 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri Hongereni kwa kazi nzuri
@ziadamsemwa2585
@ziadamsemwa2585 3 жыл бұрын
Namuona baloziii wetuu bmm mko pia sana
@stellakafulo5458
@stellakafulo5458 2 жыл бұрын
Kwakweli wimbo mzuri sana
@simonlyavatwa4022
@simonlyavatwa4022 2 жыл бұрын
Kazi nzur... Msilale Sana tupeni masongi zaidi
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Kazi ya motooo ya ukweli sana. Ila imeenda kimahadhi ya kisabato zaidi....
@bonifacejohanes895
@bonifacejohanes895 2 жыл бұрын
Naona wema wa Mungu na mapaji ya Roho mtakatifu ktk wimbo huu. dumuni ktk kumtumkikia Mungu aliyewapa sauti nzuri
@amoscheroben4520
@amoscheroben4520 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana. Hakika zinafurahisha moyo.
@adelaidashayo5464
@adelaidashayo5464 3 жыл бұрын
Kazi nzurii
@zenoxemilian
@zenoxemilian 3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hongeren sana kwa utume
@sixfildmutabi7156
@sixfildmutabi7156 3 жыл бұрын
Oooh Yes. Hi familia hainaga mchezo. Keep it up Bmm
@marygeemwijage8314
@marygeemwijage8314 3 жыл бұрын
Nimeshapata wimbo wa kuingilia 😍😍
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Shukran sana #sambaza upendo♥️♥️,sambaza tabasam😀😀
@Elizabeth-od5zd
@Elizabeth-od5zd 2 жыл бұрын
Wow!!wow!! Kazi safi kabisa. Wimbo mtamu kuliko asali. From the sound effects,setup and everything excellent job.
@romanuskayanda4613
@romanuskayanda4613 2 жыл бұрын
Hongereni sana BMM YOMBO VITUKA Hongera sana Mwl Pius Fubusa kwa utunzi mzuri sana, hakika umejaaliwa karama ya utunzi katika Kanisa letu Katoliki
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Jamani nimewapendaje? Duuu huu wimbo nikiboko mtakuja niimbia siku nikiwa na sendiofika
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Karibu sana
@octavinamgulunde5183
@octavinamgulunde5183 3 жыл бұрын
asante wimbo mzuri
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana barikiwa
@petergeorge7757
@petergeorge7757 2 жыл бұрын
Safi sana,,naomba nota za huu wimbo🙏
@andrewmushi281
@andrewmushi281 3 жыл бұрын
Naiwe fundisho safi sana BMM
@mtuymichael1426
@mtuymichael1426 3 жыл бұрын
Nawapenda BMM
@mcvenakanisa6321
@mcvenakanisa6321 3 жыл бұрын
Huu ni ukatili mkubwa sanaaaa😄😄. Hongera sana bro' Fubusa, Banally sina chakusema hakika unania njema na muziki wetu wa kikatoliki, Kuhusu BMM daah nyie watu ni makatili sanaaaaa😄😄. Hongereni sana!!
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana McVena
@annastasiakisoi6179
@annastasiakisoi6179 Жыл бұрын
I l❤ve it❤❤❤❤
@aloycekimbori6256
@aloycekimbori6256 3 жыл бұрын
Bmm ni hatari .....
@renaldalwilla9638
@renaldalwilla9638 3 жыл бұрын
Hongereni sana wana BMM kwa kazi nzuri
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana
@pendojoseph5809
@pendojoseph5809 3 жыл бұрын
Waoo🤗🥰,, hongeren sanaa wimbo upo vzur Mungu awabariki mzidi kuitumikia kaz yake siku zote 💕💕
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Amina
@Ellybeny
@Ellybeny 2 жыл бұрын
mubarikiwe wimbo mtamu🙏🥰🥰
@givenmakemba9908
@givenmakemba9908 2 жыл бұрын
Kazi nzuri hongereni sana 🙏 sauti tamu na mziki na jumbe ni nzuri pia 🎶👏
@justinambrose3577
@justinambrose3577 3 жыл бұрын
Bless up, Very nice work, congratulations to BMM choir, composer PPF, the organist Mr. Santino and Iris production team. Kudos 🔥🔥🔥
@Kibobo1295
@Kibobo1295 3 жыл бұрын
PAMOJA SANA
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaa.... stunning work
@mauramichael4401
@mauramichael4401 2 жыл бұрын
Hongereni sana
@vivianasirai9767
@vivianasirai9767 3 жыл бұрын
🤭🤭🤭🤭🤭 jamniii yuh kill it MUNGU azidii kuwasimamia nimewakubali toka siku ya Kwanza mlivyokuja Arusha more love kwenu nyote😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana Vivian tuendelee kusambaza upendo♥️♥️ na kusambaza tabasam pia😀😀
@beatrisikimario8233
@beatrisikimario8233 2 жыл бұрын
Nice song, ntautumia huu 2024🤗, Mungu awabariki waimbaji🙏
@josephinabasso9963
@josephinabasso9963 2 жыл бұрын
Naomba mwaliko
@beatrisikimario8233
@beatrisikimario8233 2 жыл бұрын
@@josephinabasso9963 jamani si bado bado kidogo😊
@Ellybeny
@Ellybeny 2 жыл бұрын
nice song.,, 🥰❤️
@laurentlugema593
@laurentlugema593 3 жыл бұрын
Maisha nimeyapatiaaaaaaaa🥰❣️❤️🎈🎈
@gaudenciakassa1711
@gaudenciakassa1711 3 жыл бұрын
Kweli hii ya kufungia mwaka nimeurudia zaidi ya mara tano
@michaelkithembe
@michaelkithembe 3 жыл бұрын
Studio iris pro🔥🔥🔥,,kazi nzuri sana bmm👏🏽
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante Mr:Michael
@japhetkyarukambaaristides8698
@japhetkyarukambaaristides8698 2 жыл бұрын
The highlife though..😋🥰
@andrewmushi281
@andrewmushi281 3 жыл бұрын
Daima msikaribishe majungu pigen kazi kelele za mbwa zisiwanyime usingizi kwani Kubweka ni jadi Yao
@justinambrose3577
@justinambrose3577 3 жыл бұрын
Amina mtumishi
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Amina sana
@eugengetrude7636
@eugengetrude7636 3 жыл бұрын
Wimbo wangu pendwaaa...🔥🔥 Hamnaga kazi mbaya
@irynerashidy9052
@irynerashidy9052 3 жыл бұрын
Waoooh jaman bmm is the next lever mdogo wangu venance na bmm wote mmeua🔥🔥🔥😜💗❤️
@odilogasparkillenga8607
@odilogasparkillenga8607 6 ай бұрын
So nice song.
@jpunch558
@jpunch558 2 жыл бұрын
That's good Work 💥💥💥
@vicentamandus6149
@vicentamandus6149 3 жыл бұрын
Mungu awabariki tu na kuwaongoza ...🙏🙏🙏
@akingstv9648
@akingstv9648 2 жыл бұрын
Bmm is the best
@russiaululu7723
@russiaululu7723 2 жыл бұрын
Kuimba raha Sana mungu awajarie waimbaji wote
@kulwakingi5266
@kulwakingi5266 3 жыл бұрын
Am blessed with this composition, selection of location ,musical instrumental combination and vocals are so beautiful keep it up a d may our lord blessing you all
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Amen🙏🏼🙏🏼
@heavenlymusicproduction4360
@heavenlymusicproduction4360 3 жыл бұрын
Hongera sana BANALY PRODUCTION kwa AUDIO Kali Hongereni IRIS PROFUCTION kwa video imetulia Hongereni na wanakwaya na mtunzi kazi imetukuka
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana na asante kwa kuendelea kutuamini
@asteriasimion5703
@asteriasimion5703 3 жыл бұрын
Nice song of the year
@colmanhumphrey2996
@colmanhumphrey2996 3 жыл бұрын
Incredible
@kmdsbombambili7616
@kmdsbombambili7616 3 жыл бұрын
Sauti Tamu, wimbo mtamu, Hongereni sana BMM
@eliasmalima3410
@eliasmalima3410 3 жыл бұрын
Sir God bless you
@marynessmelchiory3433
@marynessmelchiory3433 3 жыл бұрын
Aisee...kazi nzuri sana hii..loving the combination of everything from the composition of the song to the video 👏👏👐👐. Kudos to everyone that made the whole thing look the way it does,BRILLIANT.
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana 🙏🏼🙏🏼
@gaudenciakassa1711
@gaudenciakassa1711 3 жыл бұрын
Wow wow mmetishaaa keep going
@nazaedmjema3609
@nazaedmjema3609 3 жыл бұрын
Nice BMM♥♥♥♥mbarikiwe sanaaaa
@simonibyashara7631
@simonibyashara7631 3 жыл бұрын
Texas✌✌
@alexkaiza4020
@alexkaiza4020 3 жыл бұрын
Great 🔥
@adelaidashayo5464
@adelaidashayo5464 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lucywangari3838
@lucywangari3838 2 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@ednakamata4354
@ednakamata4354 3 жыл бұрын
You kill it BMM🔥🔥🔥 hongereni sana sana
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana 🙏🏼🙏🏼
@dafrosabwalya6635
@dafrosabwalya6635 3 жыл бұрын
Wooooow 👏👏🔥🔥nice song Mmeuaaaa
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Shukran sana Dafrosa uzid barikiwa
@gracelidya1273
@gracelidya1273 3 жыл бұрын
Waooooooh it is so mwaaaaàah. God bless you BMM Familiy
@justinambrose3577
@justinambrose3577 3 жыл бұрын
Amen Dada Grace, barikiwa pia
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Amina uzidi barikiwa nawe
@maurarespich9245
@maurarespich9245 4 ай бұрын
Wooow
@fredmoranga1701
@fredmoranga1701 5 ай бұрын
Nice voices
@bonifacejohanes895
@bonifacejohanes895 2 жыл бұрын
naomba namba za mtunzi
@gladnessmathayo3224
@gladnessmathayo3224 3 жыл бұрын
Nice
@lusinamushi3675
@lusinamushi3675 3 жыл бұрын
Kaz nzuri sana
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Asante sana
@annyquentic6722
@annyquentic6722 3 жыл бұрын
Mmenipa nyimbo ya kuingilia cku ya ndoa
@thefamilyoffatima
@thefamilyoffatima 3 жыл бұрын
Share nasi zambaza upendo🥰🥰♥️ zambaza tabasam😀😀😀
@hanssabdallah
@hanssabdallah 3 жыл бұрын
Nice light setup & idea, nimepende zile sound effects hapo mwanzo
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 3 жыл бұрын
😀👍🏾
@thegreat.9869
@thegreat.9869 2 жыл бұрын
Josephine....
@winnieavit5985
@winnieavit5985 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ptahperpex9326
@ptahperpex9326 Жыл бұрын
Wimbo mtamu mtunzi ni nani???
@DolaHatun-l5w
@DolaHatun-l5w 3 ай бұрын
Walker Ronald Perez Maria Hernandez Mark
@gwanda27
@gwanda27 3 жыл бұрын
Kama naenda mbinguni vile
MSAADA U KATIKA BWANA | D. Nkoko | (official video)
7:18
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 1 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Anastacia Muema - Maisha Yangu (Official Video)
4:33
Anastacia Muema
Рет қаралды 4,1 МЛН
BWANA MKUBWA_BMM-YOMBO-VITUKA✓
8:10
DEO LIMILA
Рет қаралды 885
BMM-YOMBO-VITUKA || EE BWANA USIKIE_By_JOHN MGANDU
4:13
DEO LIMILA
Рет қаралды 4,4 М.
Wonder Chibalonza Muliri - Uliniumba Nikuabudu (Official Music Video)
4:13
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 4,2 МЛН
Sara Nyongole ft Godfrey Steven - Najua (Official Music Video)
4:14
Sara Nyongole
Рет қаралды 437 М.
Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video)
7:56
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 963 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 15 МЛН