Poleni sana wafiwa wote Mwenyezi Mungu awafariji kwa hili awepe subra katika kipindi hiki kigumu 😢😢😢
@VeronicaPaul-cj1yu18 күн бұрын
Poleni sana ndugu zetu kwa msiba mzito uliwafika... yote ni mapito ya mungu... Imeandikwa kila Nafasi itakuja na itarudi kwake... Hakika sote tupo safarini na kwake tutarejea. Amini.
@AminaHalid-e5w15 күн бұрын
Polen Sana wafiwa mungu awatie nguvu kwakimbindi ichi
@rehemamahendeka-rm2ek18 күн бұрын
Poleni wafiwa wote,pia wkt wa mahojiano icwepo dhihaka(Eti na ww ni Mhs?),Mungu hana hiyana humpa amtakae wkt autakao,kazi iendelee dhihaka icwe kwenye hadhara ukizingatia UZITO wa TUKIO LA MSIBA.
@khadijayusuph263417 күн бұрын
Raha ya milele uwape ee bwana"na mwamga wa milele uwaangazie"wapumzike kwa amani"Aamina
@JustineWangi-j2t16 күн бұрын
Dah!poleni sana wafiwa.
@RamadhaniKitala-gx6wc18 күн бұрын
Innalillah wainan lillah rajoun, poleni Wana familia na ndugu
@HanifaOman-oo4pl18 күн бұрын
Allahu akibarr. Mtihani lnnalillahi wainnailahi rajuun. Poleni familia. Kilakifo kinasababu
@BintYahaya16 күн бұрын
Polen sana ndugu zangu wahanden jamn hapo nikwetu
@Mwanaha17 күн бұрын
Polensana mungu awatienguvu.nduguzangu
@Zilpalulanika18 күн бұрын
Familia zote poleni kwa msiba mzito mungu awape wepesi kwa kipindi hichi kigumu bwana ametoka bwana ametwaa jina lake lihimidiwe😭😭😭😭
@JUMAMARCO-w1d17 күн бұрын
Pole sana
@ChausikuAli18 күн бұрын
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote wa marehem mola awape khauli thabiti ndugu zetu
@sophiakimaro517418 күн бұрын
Umeme ni mzuri lakini hautakiwi kuzoeleka jamani.Mungu awatie nguvu saana.
@hospitalyamungutv821717 күн бұрын
DUNIA NJIA TUACHE KUISHI KWA KUZARAULIANA.POLENI SANA WANAFAMILIA.
@magejuliani529318 күн бұрын
Wapumzike kwa amani! Umeme sio kabisa!
@StAr-yu3vz16 күн бұрын
Poreni sana wafiwa wote😢😢😢
@AshaMwamba-m5x18 күн бұрын
Polenii sanaaa
@EmmaroseJoseph15 күн бұрын
BWANA awafariji wote waliopatwa na misiba hii mizito